1 Chronicles 1 (BOKCV)

1 Adamu, Sethi, Enoshi, 2 Kenani, Mahalaleli, Yaredi, 3 Enoki, Methusela, Lameki, Noa. 4 Wana wa Noa walikuwa:Shemu, Hamu na Yafethi. 5 Wana wa Yafethi walikuwa:Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 6 Wana wa Gomeri walikuwa:Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 7 Wana wa Yavani walikuwa:Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 8 Wana wa Hamu walikuwa:Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani. 9 Wana wa Kushi walikuwa:Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka.Wana wa Raama walikuwa:Sheba na Dedani. 10 Kushi akamzaaNimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 11 Misraimu akawazaa:Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 12 Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. 13 Wana wa Kanaani walikuwa:Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi, 14 Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, 15 Wahivi, Waariki, Wasini, 16 Waarvadi, Wasemari na Wahamathi. 17 Wana wa Shemu walikuwa:Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu.Wana wa Aramu walikuwa:Usi, Huli, Getheri na Mesheki. 18 Arfaksadi akamzaa Shela,Shela akamzaa Eberi. 19 Eberi alipata wana wawili:Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 20 Wana wa Yoktani walikuwa:Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, 21 Hadoramu, Uzali, Dikla, 22 Obali, Abimaeli, Sheba, 23 Ofiri, Havila na Yobabu. Wote hawa walikuwa wana wa Yoktani. 24 Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela, 25 Eberi, Pelegi, Reu, 26 Serugi, Nahori, Tera, 27 Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 28 Abrahamu alikuwa na wana wawili:Isaki na Ishmaeli. 29 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari:Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, 30 Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, 31 Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli. 32 Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa:Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.Wana wa Yokshani walikuwa:Sheba na Dedani. 33 Wana wa Midiani walikuwa:Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa.Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura. 34 Abrahamu alikuwa baba wa Isaki.Wana wa Isaki walikuwa:Esau na Israeli. 35 Wana wa Esau walikuwa:Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 36 Wana wa Elifazi walikuwa:Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi;Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 37 Wana wa Reueli walikuwa:Nahathi, Zera, Shama na Miza. 38 Wana wa Seiri walikuwa:Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 39 Wana wa Lotani walikuwa wawili:Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna. 40 Wana wa Shobali walikuwa:Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu.Wana wa Sibeoni walikuwa:Aiya na Ana. 41 Mwana wa Ana alikuwa:Dishoni.Nao wana wa Dishoni walikuwa:Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 42 Wana wa Eseri walikuwa:Bilhani, Zaavani na Akani.Wana wa Dishani walikuwa:Usi na Arani. 43 Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli:Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba. 44 Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 45 Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 46 Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 47 Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 48 Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 49 Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 50 Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu. 51 Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa:Timna, Alva, Yethethi, 52 Oholibama, Ela, Pinoni, 53 Kenazi, Temani, Mibsari, 54 Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.

In Other Versions

1 Chronicles 1 in the ANGEFD

1 Chronicles 1 in the ANTPNG2D

1 Chronicles 1 in the AS21

1 Chronicles 1 in the BAGH

1 Chronicles 1 in the BBPNG

1 Chronicles 1 in the BBT1E

1 Chronicles 1 in the BDS

1 Chronicles 1 in the BEV

1 Chronicles 1 in the BHAD

1 Chronicles 1 in the BIB

1 Chronicles 1 in the BLPT

1 Chronicles 1 in the BNT

1 Chronicles 1 in the BNTABOOT

1 Chronicles 1 in the BNTLV

1 Chronicles 1 in the BOATCB

1 Chronicles 1 in the BOATCB2

1 Chronicles 1 in the BOBCV

1 Chronicles 1 in the BOCNT

1 Chronicles 1 in the BOECS

1 Chronicles 1 in the BOGWICC

1 Chronicles 1 in the BOHCB

1 Chronicles 1 in the BOHCV

1 Chronicles 1 in the BOHLNT

1 Chronicles 1 in the BOHNTLTAL

1 Chronicles 1 in the BOICB

1 Chronicles 1 in the BOILNTAP

1 Chronicles 1 in the BOITCV

1 Chronicles 1 in the BOKCV2

1 Chronicles 1 in the BOKHWOG

1 Chronicles 1 in the BOKSSV

1 Chronicles 1 in the BOLCB

1 Chronicles 1 in the BOLCB2

1 Chronicles 1 in the BOMCV

1 Chronicles 1 in the BONAV

1 Chronicles 1 in the BONCB

1 Chronicles 1 in the BONLT

1 Chronicles 1 in the BONUT2

1 Chronicles 1 in the BOPLNT

1 Chronicles 1 in the BOSCB

1 Chronicles 1 in the BOSNC

1 Chronicles 1 in the BOTLNT

1 Chronicles 1 in the BOVCB

1 Chronicles 1 in the BOYCB

1 Chronicles 1 in the BPBB

1 Chronicles 1 in the BPH

1 Chronicles 1 in the BSB

1 Chronicles 1 in the CCB

1 Chronicles 1 in the CUV

1 Chronicles 1 in the CUVS

1 Chronicles 1 in the DBT

1 Chronicles 1 in the DGDNT

1 Chronicles 1 in the DHNT

1 Chronicles 1 in the DNT

1 Chronicles 1 in the ELBE

1 Chronicles 1 in the EMTV

1 Chronicles 1 in the ESV

1 Chronicles 1 in the FBV

1 Chronicles 1 in the FEB

1 Chronicles 1 in the GGMNT

1 Chronicles 1 in the GNT

1 Chronicles 1 in the HARY

1 Chronicles 1 in the HNT

1 Chronicles 1 in the IRVA

1 Chronicles 1 in the IRVB

1 Chronicles 1 in the IRVG

1 Chronicles 1 in the IRVH

1 Chronicles 1 in the IRVK

1 Chronicles 1 in the IRVM

1 Chronicles 1 in the IRVM2

1 Chronicles 1 in the IRVO

1 Chronicles 1 in the IRVP

1 Chronicles 1 in the IRVT

1 Chronicles 1 in the IRVT2

1 Chronicles 1 in the IRVU

1 Chronicles 1 in the ISVN

1 Chronicles 1 in the JSNT

1 Chronicles 1 in the KAPI

1 Chronicles 1 in the KBT1ETNIK

1 Chronicles 1 in the KBV

1 Chronicles 1 in the KJV

1 Chronicles 1 in the KNFD

1 Chronicles 1 in the LBA

1 Chronicles 1 in the LBLA

1 Chronicles 1 in the LNT

1 Chronicles 1 in the LSV

1 Chronicles 1 in the MAAL

1 Chronicles 1 in the MBV

1 Chronicles 1 in the MBV2

1 Chronicles 1 in the MHNT

1 Chronicles 1 in the MKNFD

1 Chronicles 1 in the MNG

1 Chronicles 1 in the MNT

1 Chronicles 1 in the MNT2

1 Chronicles 1 in the MRS1T

1 Chronicles 1 in the NAA

1 Chronicles 1 in the NASB

1 Chronicles 1 in the NBLA

1 Chronicles 1 in the NBS

1 Chronicles 1 in the NBVTP

1 Chronicles 1 in the NET2

1 Chronicles 1 in the NIV11

1 Chronicles 1 in the NNT

1 Chronicles 1 in the NNT2

1 Chronicles 1 in the NNT3

1 Chronicles 1 in the PDDPT

1 Chronicles 1 in the PFNT

1 Chronicles 1 in the RMNT

1 Chronicles 1 in the SBIAS

1 Chronicles 1 in the SBIBS

1 Chronicles 1 in the SBIBS2

1 Chronicles 1 in the SBICS

1 Chronicles 1 in the SBIDS

1 Chronicles 1 in the SBIGS

1 Chronicles 1 in the SBIHS

1 Chronicles 1 in the SBIIS

1 Chronicles 1 in the SBIIS2

1 Chronicles 1 in the SBIIS3

1 Chronicles 1 in the SBIKS

1 Chronicles 1 in the SBIKS2

1 Chronicles 1 in the SBIMS

1 Chronicles 1 in the SBIOS

1 Chronicles 1 in the SBIPS

1 Chronicles 1 in the SBISS

1 Chronicles 1 in the SBITS

1 Chronicles 1 in the SBITS2

1 Chronicles 1 in the SBITS3

1 Chronicles 1 in the SBITS4

1 Chronicles 1 in the SBIUS

1 Chronicles 1 in the SBIVS

1 Chronicles 1 in the SBT

1 Chronicles 1 in the SBT1E

1 Chronicles 1 in the SCHL

1 Chronicles 1 in the SNT

1 Chronicles 1 in the SUSU

1 Chronicles 1 in the SUSU2

1 Chronicles 1 in the SYNO

1 Chronicles 1 in the TBIAOTANT

1 Chronicles 1 in the TBT1E

1 Chronicles 1 in the TBT1E2

1 Chronicles 1 in the TFTIP

1 Chronicles 1 in the TFTU

1 Chronicles 1 in the TGNTATF3T

1 Chronicles 1 in the THAI

1 Chronicles 1 in the TNFD

1 Chronicles 1 in the TNT

1 Chronicles 1 in the TNTIK

1 Chronicles 1 in the TNTIL

1 Chronicles 1 in the TNTIN

1 Chronicles 1 in the TNTIP

1 Chronicles 1 in the TNTIZ

1 Chronicles 1 in the TOMA

1 Chronicles 1 in the TTENT

1 Chronicles 1 in the UBG

1 Chronicles 1 in the UGV

1 Chronicles 1 in the UGV2

1 Chronicles 1 in the UGV3

1 Chronicles 1 in the VBL

1 Chronicles 1 in the VDCC

1 Chronicles 1 in the YALU

1 Chronicles 1 in the YAPE

1 Chronicles 1 in the YBVTP

1 Chronicles 1 in the ZBP