1 Chronicles 3 (BOKCV)
1 Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni:Mzaliwa wa kwanza alikuwa Amnoni ambaye mama yake aliitwa Ahinoamu wa Yezreeli;wa pili, Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili wa Karmeli; 2 wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi; 3 wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali;wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla. 4 Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita.Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu, 5 nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu:mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua, Shobabu, Nathani na Solomoni. 6 Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti, 7 Noga, Nefegi, Yafia, 8 Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa. 9 Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao. 10 Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu,mwanawe huyo alikuwa Abiya,mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati,mwanawe huyo alikuwa Asa, 11 mwanawe huyo alikuwa Yehoramu,mwanawe huyo alikuwa Ahazia,mwanawe huyo alikuwa Yoashi, 12 mwanawe huyo alikuwa Amazia,mwanawe huyo alikuwa Azaria,mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 13 mwanawe huyo alikuwa Ahazi,mwanawe huyo alikuwa Hezekia,mwanawe huyo alikuwa Manase, 14 mwanawe huyo alikuwa Amonina mwanawe huyo alikuwa Yosia. 15 Wana wa Yosia walikuwa:Yohanani mzaliwa wake wa kwanza,Yehoyakimu mwanawe wa pili,wa tatu Sedekia,wa nne Shalumu. 16 Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni:Yekonia mwanawe,na Sedekia. 17 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:Shealtieli mwanawe, 18 Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia. 19 Wana wa Pedaya walikuwa:Zerubabeli na Shimei.Wana wa Zerubabeli walikuwa:Meshulamu na Hanania.Shelomithi alikuwa dada yao. 20 Pia walikuwepo wengine watano:Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi. 21 Wazao wa Hanania walikuwa:Pelatia na Yeshaya, na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania. 22 Wazao wa Shekania:Shemaya na wanawe:Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita. 23 Wana wa Nearia walikuwa:Elioenai, Hizkia na Azrikamu; jumla yao watatu. 24 Wana wa Elioenai walikuwa:Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.
In Other Versions
1 Chronicles 3 in the ANGEFD
1 Chronicles 3 in the ANTPNG2D
1 Chronicles 3 in the AS21
1 Chronicles 3 in the BAGH
1 Chronicles 3 in the BBPNG
1 Chronicles 3 in the BBT1E
1 Chronicles 3 in the BDS
1 Chronicles 3 in the BEV
1 Chronicles 3 in the BHAD
1 Chronicles 3 in the BIB
1 Chronicles 3 in the BLPT
1 Chronicles 3 in the BNT
1 Chronicles 3 in the BNTABOOT
1 Chronicles 3 in the BNTLV
1 Chronicles 3 in the BOATCB
1 Chronicles 3 in the BOATCB2
1 Chronicles 3 in the BOBCV
1 Chronicles 3 in the BOCNT
1 Chronicles 3 in the BOECS
1 Chronicles 3 in the BOGWICC
1 Chronicles 3 in the BOHCB
1 Chronicles 3 in the BOHCV
1 Chronicles 3 in the BOHLNT
1 Chronicles 3 in the BOHNTLTAL
1 Chronicles 3 in the BOICB
1 Chronicles 3 in the BOILNTAP
1 Chronicles 3 in the BOITCV
1 Chronicles 3 in the BOKCV2
1 Chronicles 3 in the BOKHWOG
1 Chronicles 3 in the BOKSSV
1 Chronicles 3 in the BOLCB
1 Chronicles 3 in the BOLCB2
1 Chronicles 3 in the BOMCV
1 Chronicles 3 in the BONAV
1 Chronicles 3 in the BONCB
1 Chronicles 3 in the BONLT
1 Chronicles 3 in the BONUT2
1 Chronicles 3 in the BOPLNT
1 Chronicles 3 in the BOSCB
1 Chronicles 3 in the BOSNC
1 Chronicles 3 in the BOTLNT
1 Chronicles 3 in the BOVCB
1 Chronicles 3 in the BOYCB
1 Chronicles 3 in the BPBB
1 Chronicles 3 in the BPH
1 Chronicles 3 in the BSB
1 Chronicles 3 in the CCB
1 Chronicles 3 in the CUV
1 Chronicles 3 in the CUVS
1 Chronicles 3 in the DBT
1 Chronicles 3 in the DGDNT
1 Chronicles 3 in the DHNT
1 Chronicles 3 in the DNT
1 Chronicles 3 in the ELBE
1 Chronicles 3 in the EMTV
1 Chronicles 3 in the ESV
1 Chronicles 3 in the FBV
1 Chronicles 3 in the FEB
1 Chronicles 3 in the GGMNT
1 Chronicles 3 in the GNT
1 Chronicles 3 in the HARY
1 Chronicles 3 in the HNT
1 Chronicles 3 in the IRVA
1 Chronicles 3 in the IRVB
1 Chronicles 3 in the IRVG
1 Chronicles 3 in the IRVH
1 Chronicles 3 in the IRVK
1 Chronicles 3 in the IRVM
1 Chronicles 3 in the IRVM2
1 Chronicles 3 in the IRVO
1 Chronicles 3 in the IRVP
1 Chronicles 3 in the IRVT
1 Chronicles 3 in the IRVT2
1 Chronicles 3 in the IRVU
1 Chronicles 3 in the ISVN
1 Chronicles 3 in the JSNT
1 Chronicles 3 in the KAPI
1 Chronicles 3 in the KBT1ETNIK
1 Chronicles 3 in the KBV
1 Chronicles 3 in the KJV
1 Chronicles 3 in the KNFD
1 Chronicles 3 in the LBA
1 Chronicles 3 in the LBLA
1 Chronicles 3 in the LNT
1 Chronicles 3 in the LSV
1 Chronicles 3 in the MAAL
1 Chronicles 3 in the MBV
1 Chronicles 3 in the MBV2
1 Chronicles 3 in the MHNT
1 Chronicles 3 in the MKNFD
1 Chronicles 3 in the MNG
1 Chronicles 3 in the MNT
1 Chronicles 3 in the MNT2
1 Chronicles 3 in the MRS1T
1 Chronicles 3 in the NAA
1 Chronicles 3 in the NASB
1 Chronicles 3 in the NBLA
1 Chronicles 3 in the NBS
1 Chronicles 3 in the NBVTP
1 Chronicles 3 in the NET2
1 Chronicles 3 in the NIV11
1 Chronicles 3 in the NNT
1 Chronicles 3 in the NNT2
1 Chronicles 3 in the NNT3
1 Chronicles 3 in the PDDPT
1 Chronicles 3 in the PFNT
1 Chronicles 3 in the RMNT
1 Chronicles 3 in the SBIAS
1 Chronicles 3 in the SBIBS
1 Chronicles 3 in the SBIBS2
1 Chronicles 3 in the SBICS
1 Chronicles 3 in the SBIDS
1 Chronicles 3 in the SBIGS
1 Chronicles 3 in the SBIHS
1 Chronicles 3 in the SBIIS
1 Chronicles 3 in the SBIIS2
1 Chronicles 3 in the SBIIS3
1 Chronicles 3 in the SBIKS
1 Chronicles 3 in the SBIKS2
1 Chronicles 3 in the SBIMS
1 Chronicles 3 in the SBIOS
1 Chronicles 3 in the SBIPS
1 Chronicles 3 in the SBISS
1 Chronicles 3 in the SBITS
1 Chronicles 3 in the SBITS2
1 Chronicles 3 in the SBITS3
1 Chronicles 3 in the SBITS4
1 Chronicles 3 in the SBIUS
1 Chronicles 3 in the SBIVS
1 Chronicles 3 in the SBT
1 Chronicles 3 in the SBT1E
1 Chronicles 3 in the SCHL
1 Chronicles 3 in the SNT
1 Chronicles 3 in the SUSU
1 Chronicles 3 in the SUSU2
1 Chronicles 3 in the SYNO
1 Chronicles 3 in the TBIAOTANT
1 Chronicles 3 in the TBT1E
1 Chronicles 3 in the TBT1E2
1 Chronicles 3 in the TFTIP
1 Chronicles 3 in the TFTU
1 Chronicles 3 in the TGNTATF3T
1 Chronicles 3 in the THAI
1 Chronicles 3 in the TNFD
1 Chronicles 3 in the TNT
1 Chronicles 3 in the TNTIK
1 Chronicles 3 in the TNTIL
1 Chronicles 3 in the TNTIN
1 Chronicles 3 in the TNTIP
1 Chronicles 3 in the TNTIZ
1 Chronicles 3 in the TOMA
1 Chronicles 3 in the TTENT
1 Chronicles 3 in the UBG
1 Chronicles 3 in the UGV
1 Chronicles 3 in the UGV2
1 Chronicles 3 in the UGV3
1 Chronicles 3 in the VBL
1 Chronicles 3 in the VDCC
1 Chronicles 3 in the YALU
1 Chronicles 3 in the YAPE
1 Chronicles 3 in the YBVTP
1 Chronicles 3 in the ZBP