1 Chronicles 8 (BOKCV)

1 Benyamini akamzaa: Bela mzaliwa wake wa kwanza,Ashbeli mwanawe wa pili, Ahara mwanawe wa tatu, 2 Noha mwanawe wa nne na Rafa mwanawe wa tano. 3 Wana wa Bela walikuwa:Adari, Gera, Abihudi, 4 Abishua, Naamani, Ahoa, 5 Gera, Shefufani na Huramu. 6 Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 7 Naamani, Ahiya na Gera. Gera alikuwa baba yao Uza na Ahihudi na ndiye aliwaongoza kwenda uhamishoni. 8 Shaharaimu aliwazaa wana katika nchi ya Moabu baada ya kuwapa talaka wake zake wawili yaani, Hushimu na Baara. 9 Kwa mkewe Hodeshi, akawazaa wana saba: Yobabu, Sibia, Mesha, Malkamu, 10 Yeuzi, Sakia na Mirma. Hawa ndio waliokuwa wanawe, viongozi wa jamaa zao. 11 Hushimu alimzalia: Abitubu na Elpaali. 12 Wana wa Elpaali walikuwa:Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka), 13 na Beria na Shema, waliokuwa viongozi wa zile jamaa zilizokuwa zinaishi katika mji wa Aiyaloni, na ambao waliwafukuza wenyeji wa Gathi. 14 Wana wa Beria walikuwa Ahio, Shashaki, Yeremothi, 15 Zebadia, Aradi, Ederi, 16 Mikaeli, Ishpa, na Yoha. 17 Zebadia, Meshulamu, Hizki, Heberi, 18 Ishmerai, Izlia na Yobabu ndio waliokuwa wana wa Elpaali. 19 Yakimu, Zikri, Zabdi, 20 Elienai, Silethai, Elieli, 21 Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wana wa Shimei. 22 Wana wa Shashaki walikuwa Ishpani, Eberi, Elieli, 23 Abdoni, Zikri, Hanani, 24 Hanania, Elamu, Anthothiya, 25 Ifdeya na Penueli. 26 Shamsherai, Sheharia, Athalia, 27 Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu. 28 Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao wakuu, kama ilivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu. 29 Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni.Mke wake aliitwa Maaka. 30 Mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu, 31 Gedori, Ahio, Zekeri, 32 na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 33 Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali. 34 Yonathani akamzaa:Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika. 35 Wana wa Mika walikuwa:Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi. 36 Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 37 Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. 38 Aseli alikuwa na wana sita; haya ndiyo majina yao:Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa wote ndio waliokuwa wana wa Aseli. 39 Wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa:Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti. 40 Wana wa Ulamu walikuwa mashujaa hodari walioweza kutumia upinde. Alikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla yao 150.Hawa wote ndio walikuwa wazao wa Benyamini.

In Other Versions

1 Chronicles 8 in the ANGEFD

1 Chronicles 8 in the ANTPNG2D

1 Chronicles 8 in the AS21

1 Chronicles 8 in the BAGH

1 Chronicles 8 in the BBPNG

1 Chronicles 8 in the BBT1E

1 Chronicles 8 in the BDS

1 Chronicles 8 in the BEV

1 Chronicles 8 in the BHAD

1 Chronicles 8 in the BIB

1 Chronicles 8 in the BLPT

1 Chronicles 8 in the BNT

1 Chronicles 8 in the BNTABOOT

1 Chronicles 8 in the BNTLV

1 Chronicles 8 in the BOATCB

1 Chronicles 8 in the BOATCB2

1 Chronicles 8 in the BOBCV

1 Chronicles 8 in the BOCNT

1 Chronicles 8 in the BOECS

1 Chronicles 8 in the BOGWICC

1 Chronicles 8 in the BOHCB

1 Chronicles 8 in the BOHCV

1 Chronicles 8 in the BOHLNT

1 Chronicles 8 in the BOHNTLTAL

1 Chronicles 8 in the BOICB

1 Chronicles 8 in the BOILNTAP

1 Chronicles 8 in the BOITCV

1 Chronicles 8 in the BOKCV2

1 Chronicles 8 in the BOKHWOG

1 Chronicles 8 in the BOKSSV

1 Chronicles 8 in the BOLCB

1 Chronicles 8 in the BOLCB2

1 Chronicles 8 in the BOMCV

1 Chronicles 8 in the BONAV

1 Chronicles 8 in the BONCB

1 Chronicles 8 in the BONLT

1 Chronicles 8 in the BONUT2

1 Chronicles 8 in the BOPLNT

1 Chronicles 8 in the BOSCB

1 Chronicles 8 in the BOSNC

1 Chronicles 8 in the BOTLNT

1 Chronicles 8 in the BOVCB

1 Chronicles 8 in the BOYCB

1 Chronicles 8 in the BPBB

1 Chronicles 8 in the BPH

1 Chronicles 8 in the BSB

1 Chronicles 8 in the CCB

1 Chronicles 8 in the CUV

1 Chronicles 8 in the CUVS

1 Chronicles 8 in the DBT

1 Chronicles 8 in the DGDNT

1 Chronicles 8 in the DHNT

1 Chronicles 8 in the DNT

1 Chronicles 8 in the ELBE

1 Chronicles 8 in the EMTV

1 Chronicles 8 in the ESV

1 Chronicles 8 in the FBV

1 Chronicles 8 in the FEB

1 Chronicles 8 in the GGMNT

1 Chronicles 8 in the GNT

1 Chronicles 8 in the HARY

1 Chronicles 8 in the HNT

1 Chronicles 8 in the IRVA

1 Chronicles 8 in the IRVB

1 Chronicles 8 in the IRVG

1 Chronicles 8 in the IRVH

1 Chronicles 8 in the IRVK

1 Chronicles 8 in the IRVM

1 Chronicles 8 in the IRVM2

1 Chronicles 8 in the IRVO

1 Chronicles 8 in the IRVP

1 Chronicles 8 in the IRVT

1 Chronicles 8 in the IRVT2

1 Chronicles 8 in the IRVU

1 Chronicles 8 in the ISVN

1 Chronicles 8 in the JSNT

1 Chronicles 8 in the KAPI

1 Chronicles 8 in the KBT1ETNIK

1 Chronicles 8 in the KBV

1 Chronicles 8 in the KJV

1 Chronicles 8 in the KNFD

1 Chronicles 8 in the LBA

1 Chronicles 8 in the LBLA

1 Chronicles 8 in the LNT

1 Chronicles 8 in the LSV

1 Chronicles 8 in the MAAL

1 Chronicles 8 in the MBV

1 Chronicles 8 in the MBV2

1 Chronicles 8 in the MHNT

1 Chronicles 8 in the MKNFD

1 Chronicles 8 in the MNG

1 Chronicles 8 in the MNT

1 Chronicles 8 in the MNT2

1 Chronicles 8 in the MRS1T

1 Chronicles 8 in the NAA

1 Chronicles 8 in the NASB

1 Chronicles 8 in the NBLA

1 Chronicles 8 in the NBS

1 Chronicles 8 in the NBVTP

1 Chronicles 8 in the NET2

1 Chronicles 8 in the NIV11

1 Chronicles 8 in the NNT

1 Chronicles 8 in the NNT2

1 Chronicles 8 in the NNT3

1 Chronicles 8 in the PDDPT

1 Chronicles 8 in the PFNT

1 Chronicles 8 in the RMNT

1 Chronicles 8 in the SBIAS

1 Chronicles 8 in the SBIBS

1 Chronicles 8 in the SBIBS2

1 Chronicles 8 in the SBICS

1 Chronicles 8 in the SBIDS

1 Chronicles 8 in the SBIGS

1 Chronicles 8 in the SBIHS

1 Chronicles 8 in the SBIIS

1 Chronicles 8 in the SBIIS2

1 Chronicles 8 in the SBIIS3

1 Chronicles 8 in the SBIKS

1 Chronicles 8 in the SBIKS2

1 Chronicles 8 in the SBIMS

1 Chronicles 8 in the SBIOS

1 Chronicles 8 in the SBIPS

1 Chronicles 8 in the SBISS

1 Chronicles 8 in the SBITS

1 Chronicles 8 in the SBITS2

1 Chronicles 8 in the SBITS3

1 Chronicles 8 in the SBITS4

1 Chronicles 8 in the SBIUS

1 Chronicles 8 in the SBIVS

1 Chronicles 8 in the SBT

1 Chronicles 8 in the SBT1E

1 Chronicles 8 in the SCHL

1 Chronicles 8 in the SNT

1 Chronicles 8 in the SUSU

1 Chronicles 8 in the SUSU2

1 Chronicles 8 in the SYNO

1 Chronicles 8 in the TBIAOTANT

1 Chronicles 8 in the TBT1E

1 Chronicles 8 in the TBT1E2

1 Chronicles 8 in the TFTIP

1 Chronicles 8 in the TFTU

1 Chronicles 8 in the TGNTATF3T

1 Chronicles 8 in the THAI

1 Chronicles 8 in the TNFD

1 Chronicles 8 in the TNT

1 Chronicles 8 in the TNTIK

1 Chronicles 8 in the TNTIL

1 Chronicles 8 in the TNTIN

1 Chronicles 8 in the TNTIP

1 Chronicles 8 in the TNTIZ

1 Chronicles 8 in the TOMA

1 Chronicles 8 in the TTENT

1 Chronicles 8 in the UBG

1 Chronicles 8 in the UGV

1 Chronicles 8 in the UGV2

1 Chronicles 8 in the UGV3

1 Chronicles 8 in the VBL

1 Chronicles 8 in the VDCC

1 Chronicles 8 in the YALU

1 Chronicles 8 in the YAPE

1 Chronicles 8 in the YBVTP

1 Chronicles 8 in the ZBP