Genesis 12 (BOKCV)
1 BWANA akawa amemwambia Abramu, “Ondoka kutoka nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha. 2 “Mimi nitakufanya taifa kubwana nitakubariki,Nitalikuza jina lako,nawe utakuwa baraka. 3 Nitawabariki wale wanaokubariki,na yeyote akulaaniye nitamlaani;na kupitia kwako mataifa yote dunianiyatabarikiwa.” 4 Hivyo Abramu akaondoka kama BWANA alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano. 5 Abramu akamchukua Sarai mkewe pamoja na Loti mwana wa ndugu yake, mali zote walizokuwa nazo pamoja na watu aliokuwa amewapata huko Harani, wakasafiri mpaka nchi ya Kanaani, wakafika huko. 6 Abramu akasafiri katika nchi hiyo akafika huko Shekemu, mahali penye mti wa mwaloni ulioko More. Wakati huo Wakanaani walikuwa wanaishi katika nchi hiyo. 7 BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu BWANA aliyekuwa amemtokea. 8 Kutoka huko Abramu akasafiri kuelekea kwenye vilima mashariki ya Betheli, naye akapiga hema huko, Betheli ikiwa upande wa magharibi na Ai upande wa mashariki. Huko alimjengea BWANA madhabahu na akaliitia jina la BWANA. 9 Kisha Abramu akasafiri kuelekea upande wa Negebu. 10 Basi kulikuwako na njaa katika nchi, naye Abramu akashuka kwenda Misri kukaa huko kwa muda, kwa maana njaa ilikuwa kali. 11 Alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, “Ninajua ya kwamba wewe ni mwanamke mzuri wa sura. 12 Wakati Wamisri watakapokuona, watasema, ‘Huyu ni mke wake.’ Ndipo wataniua, lakini wewe watakuacha hai. 13 Sema wewe ni dada yangu, ili nitendewe mema kwa ajili yako, na maisha yangu yatahifadhiwa kwa sababu yako.” 14 Abramu alipoingia Misri, Wamisri wakamwona Sarai kuwa ni mwanamke mzuri sana wa sura. 15 Maafisa wa Farao walipomwona, wakamsifia kwa Farao; ndipo Sarai akapelekwa kwa nyumba ya mfalme. 16 Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, naye Abramu akapata kondoo, ngʼombe, punda, ngamia na watumishi wa kiume na wa kike. 17 Lakini BWANA akamwadhibu Farao na nyumba yake kwa maradhi ya kufisha kwa sababu ya kumchukua Sarai, mke wa Abramu. 18 Ndipo Farao akamwita Abramu, akamuuliza, “Umenifanyia nini? Kwa nini hukuniambia ni mke wako? 19 Kwa nini ulisema, ‘Yeye ni dada yangu,’ hata nikamchukua kuwa mke wangu? Sasa basi, mke wako huyu hapa. Mchukue uende zako!” 20 Kisha Farao akawapa watu wake amri kuhusu Abramu, wakamsindikiza pamoja na mke wake na kila alichokuwa nacho.
In Other Versions
Genesis 12 in the ANGEFD
Genesis 12 in the ANTPNG2D
Genesis 12 in the AS21
Genesis 12 in the BAGH
Genesis 12 in the BBPNG
Genesis 12 in the BBT1E
Genesis 12 in the BDS
Genesis 12 in the BEV
Genesis 12 in the BHAD
Genesis 12 in the BIB
Genesis 12 in the BLPT
Genesis 12 in the BNT
Genesis 12 in the BNTABOOT
Genesis 12 in the BNTLV
Genesis 12 in the BOATCB
Genesis 12 in the BOATCB2
Genesis 12 in the BOBCV
Genesis 12 in the BOCNT
Genesis 12 in the BOECS
Genesis 12 in the BOGWICC
Genesis 12 in the BOHCB
Genesis 12 in the BOHCV
Genesis 12 in the BOHLNT
Genesis 12 in the BOHNTLTAL
Genesis 12 in the BOICB
Genesis 12 in the BOILNTAP
Genesis 12 in the BOITCV
Genesis 12 in the BOKCV2
Genesis 12 in the BOKHWOG
Genesis 12 in the BOKSSV
Genesis 12 in the BOLCB
Genesis 12 in the BOLCB2
Genesis 12 in the BOMCV
Genesis 12 in the BONAV
Genesis 12 in the BONCB
Genesis 12 in the BONLT
Genesis 12 in the BONUT2
Genesis 12 in the BOPLNT
Genesis 12 in the BOSCB
Genesis 12 in the BOSNC
Genesis 12 in the BOTLNT
Genesis 12 in the BOVCB
Genesis 12 in the BOYCB
Genesis 12 in the BPBB
Genesis 12 in the BPH
Genesis 12 in the BSB
Genesis 12 in the CCB
Genesis 12 in the CUV
Genesis 12 in the CUVS
Genesis 12 in the DBT
Genesis 12 in the DGDNT
Genesis 12 in the DHNT
Genesis 12 in the DNT
Genesis 12 in the ELBE
Genesis 12 in the EMTV
Genesis 12 in the ESV
Genesis 12 in the FBV
Genesis 12 in the FEB
Genesis 12 in the GGMNT
Genesis 12 in the GNT
Genesis 12 in the HARY
Genesis 12 in the HNT
Genesis 12 in the IRVA
Genesis 12 in the IRVB
Genesis 12 in the IRVG
Genesis 12 in the IRVH
Genesis 12 in the IRVK
Genesis 12 in the IRVM
Genesis 12 in the IRVM2
Genesis 12 in the IRVO
Genesis 12 in the IRVP
Genesis 12 in the IRVT
Genesis 12 in the IRVT2
Genesis 12 in the IRVU
Genesis 12 in the ISVN
Genesis 12 in the JSNT
Genesis 12 in the KAPI
Genesis 12 in the KBT1ETNIK
Genesis 12 in the KBV
Genesis 12 in the KJV
Genesis 12 in the KNFD
Genesis 12 in the LBA
Genesis 12 in the LBLA
Genesis 12 in the LNT
Genesis 12 in the LSV
Genesis 12 in the MAAL
Genesis 12 in the MBV
Genesis 12 in the MBV2
Genesis 12 in the MHNT
Genesis 12 in the MKNFD
Genesis 12 in the MNG
Genesis 12 in the MNT
Genesis 12 in the MNT2
Genesis 12 in the MRS1T
Genesis 12 in the NAA
Genesis 12 in the NASB
Genesis 12 in the NBLA
Genesis 12 in the NBS
Genesis 12 in the NBVTP
Genesis 12 in the NET2
Genesis 12 in the NIV11
Genesis 12 in the NNT
Genesis 12 in the NNT2
Genesis 12 in the NNT3
Genesis 12 in the PDDPT
Genesis 12 in the PFNT
Genesis 12 in the RMNT
Genesis 12 in the SBIAS
Genesis 12 in the SBIBS
Genesis 12 in the SBIBS2
Genesis 12 in the SBICS
Genesis 12 in the SBIDS
Genesis 12 in the SBIGS
Genesis 12 in the SBIHS
Genesis 12 in the SBIIS
Genesis 12 in the SBIIS2
Genesis 12 in the SBIIS3
Genesis 12 in the SBIKS
Genesis 12 in the SBIKS2
Genesis 12 in the SBIMS
Genesis 12 in the SBIOS
Genesis 12 in the SBIPS
Genesis 12 in the SBISS
Genesis 12 in the SBITS
Genesis 12 in the SBITS2
Genesis 12 in the SBITS3
Genesis 12 in the SBITS4
Genesis 12 in the SBIUS
Genesis 12 in the SBIVS
Genesis 12 in the SBT
Genesis 12 in the SBT1E
Genesis 12 in the SCHL
Genesis 12 in the SNT
Genesis 12 in the SUSU
Genesis 12 in the SUSU2
Genesis 12 in the SYNO
Genesis 12 in the TBIAOTANT
Genesis 12 in the TBT1E
Genesis 12 in the TBT1E2
Genesis 12 in the TFTIP
Genesis 12 in the TFTU
Genesis 12 in the TGNTATF3T
Genesis 12 in the THAI
Genesis 12 in the TNFD
Genesis 12 in the TNT
Genesis 12 in the TNTIK
Genesis 12 in the TNTIL
Genesis 12 in the TNTIN
Genesis 12 in the TNTIP
Genesis 12 in the TNTIZ
Genesis 12 in the TOMA
Genesis 12 in the TTENT
Genesis 12 in the UBG
Genesis 12 in the UGV
Genesis 12 in the UGV2
Genesis 12 in the UGV3
Genesis 12 in the VBL
Genesis 12 in the VDCC
Genesis 12 in the YALU
Genesis 12 in the YAPE
Genesis 12 in the YBVTP
Genesis 12 in the ZBP