Genesis 23 (BOKCV)
1 Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba. 2 Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Abrahamu akamwombolezea na kumlilia Sara. 3 Ndipo Abrahamu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema, 4 “Mimi ni mpitaji na mgeni miongoni mwenu. Niuzieni sehemu ya ardhi yenu ili niweze kumzika maiti wangu.” 5 Wahiti wakamjibu Abrahamu, 6 “Bwana, tusikilize. Wewe ni mtawala mkuu sana miongoni mwetu. Zika maiti wako katika kaburi unalolipenda kati ya makaburi yetu. Hakuna mtu wa kwetu atakayekuzuia kaburi lake ili kuzika maiti wako.” 7 Abrahamu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti. 8 Akawaambia, “Kama mnaniruhusu kumzika maiti wangu, basi nisikilizeni mkamsihi Efroni mwana wa Sohari kwa niaba yangu 9 ili aniuzie pango la Makpela, lililo mali yake, nalo liko mwisho wa shamba lake. Mwambieni aniuzie kwa bei kamili atakayosema ili liwe mahali pangu pa kuzikia miongoni mwenu.” 10 Efroni Mhiti alikuwa ameketi miongoni mwa watu wake, akamjibu Abrahamu mbele ya Wahiti wote waliokuwepo katika lango la mji. 11 “La hasha, bwana wangu, nisikilize, nakupa shamba, pia nakupa pango lililomo ndani yake. Nakupa mbele ya watu wangu. Uzike maiti wako.” 12 Abrahamu akasujudu tena, mbele ya wenyeji wa nchi, 13 akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.” 14 Efroni akamjibu Abrahamu, 15 “Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.” 16 Abrahamu akakubali masharti ya Efroni, akampimia ile fedha aliyotaja masikioni mwa Wahiti: Shekeli 400 za fedha kulingana na viwango vya uzito vilivyokuwa vikitumika wakati huo na wafanyabiashara. 17 Hivyo shamba la Efroni huko Makpela karibu na Mamre, yaani shamba pamoja na pango lililokuwamo, nayo miti yote iliyokuwamo ndani ya mipaka ya shamba hilo, vilikabidhiwa, 18 kwa Abrahamu kuwa mali yake mbele ya Wahiti wote waliokuwa wamekuja kwenye lango la mji. 19 Baada ya hayo Abrahamu akamzika Sara mkewe kwenye pango ndani ya shamba la Makpela karibu na Mamre (huko Hebroni) katika nchi ya Kanaani. 20 Hivyo Wahiti wakamkabidhi Abrahamu shamba pamoja na pango lililokuwa humo kuwa mahali pa kuzikia.
In Other Versions
Genesis 23 in the ANGEFD
Genesis 23 in the ANTPNG2D
Genesis 23 in the AS21
Genesis 23 in the BAGH
Genesis 23 in the BBPNG
Genesis 23 in the BBT1E
Genesis 23 in the BDS
Genesis 23 in the BEV
Genesis 23 in the BHAD
Genesis 23 in the BIB
Genesis 23 in the BLPT
Genesis 23 in the BNT
Genesis 23 in the BNTABOOT
Genesis 23 in the BNTLV
Genesis 23 in the BOATCB
Genesis 23 in the BOATCB2
Genesis 23 in the BOBCV
Genesis 23 in the BOCNT
Genesis 23 in the BOECS
Genesis 23 in the BOGWICC
Genesis 23 in the BOHCB
Genesis 23 in the BOHCV
Genesis 23 in the BOHLNT
Genesis 23 in the BOHNTLTAL
Genesis 23 in the BOICB
Genesis 23 in the BOILNTAP
Genesis 23 in the BOITCV
Genesis 23 in the BOKCV2
Genesis 23 in the BOKHWOG
Genesis 23 in the BOKSSV
Genesis 23 in the BOLCB
Genesis 23 in the BOLCB2
Genesis 23 in the BOMCV
Genesis 23 in the BONAV
Genesis 23 in the BONCB
Genesis 23 in the BONLT
Genesis 23 in the BONUT2
Genesis 23 in the BOPLNT
Genesis 23 in the BOSCB
Genesis 23 in the BOSNC
Genesis 23 in the BOTLNT
Genesis 23 in the BOVCB
Genesis 23 in the BOYCB
Genesis 23 in the BPBB
Genesis 23 in the BPH
Genesis 23 in the BSB
Genesis 23 in the CCB
Genesis 23 in the CUV
Genesis 23 in the CUVS
Genesis 23 in the DBT
Genesis 23 in the DGDNT
Genesis 23 in the DHNT
Genesis 23 in the DNT
Genesis 23 in the ELBE
Genesis 23 in the EMTV
Genesis 23 in the ESV
Genesis 23 in the FBV
Genesis 23 in the FEB
Genesis 23 in the GGMNT
Genesis 23 in the GNT
Genesis 23 in the HARY
Genesis 23 in the HNT
Genesis 23 in the IRVA
Genesis 23 in the IRVB
Genesis 23 in the IRVG
Genesis 23 in the IRVH
Genesis 23 in the IRVK
Genesis 23 in the IRVM
Genesis 23 in the IRVM2
Genesis 23 in the IRVO
Genesis 23 in the IRVP
Genesis 23 in the IRVT
Genesis 23 in the IRVT2
Genesis 23 in the IRVU
Genesis 23 in the ISVN
Genesis 23 in the JSNT
Genesis 23 in the KAPI
Genesis 23 in the KBT1ETNIK
Genesis 23 in the KBV
Genesis 23 in the KJV
Genesis 23 in the KNFD
Genesis 23 in the LBA
Genesis 23 in the LBLA
Genesis 23 in the LNT
Genesis 23 in the LSV
Genesis 23 in the MAAL
Genesis 23 in the MBV
Genesis 23 in the MBV2
Genesis 23 in the MHNT
Genesis 23 in the MKNFD
Genesis 23 in the MNG
Genesis 23 in the MNT
Genesis 23 in the MNT2
Genesis 23 in the MRS1T
Genesis 23 in the NAA
Genesis 23 in the NASB
Genesis 23 in the NBLA
Genesis 23 in the NBS
Genesis 23 in the NBVTP
Genesis 23 in the NET2
Genesis 23 in the NIV11
Genesis 23 in the NNT
Genesis 23 in the NNT2
Genesis 23 in the NNT3
Genesis 23 in the PDDPT
Genesis 23 in the PFNT
Genesis 23 in the RMNT
Genesis 23 in the SBIAS
Genesis 23 in the SBIBS
Genesis 23 in the SBIBS2
Genesis 23 in the SBICS
Genesis 23 in the SBIDS
Genesis 23 in the SBIGS
Genesis 23 in the SBIHS
Genesis 23 in the SBIIS
Genesis 23 in the SBIIS2
Genesis 23 in the SBIIS3
Genesis 23 in the SBIKS
Genesis 23 in the SBIKS2
Genesis 23 in the SBIMS
Genesis 23 in the SBIOS
Genesis 23 in the SBIPS
Genesis 23 in the SBISS
Genesis 23 in the SBITS
Genesis 23 in the SBITS2
Genesis 23 in the SBITS3
Genesis 23 in the SBITS4
Genesis 23 in the SBIUS
Genesis 23 in the SBIVS
Genesis 23 in the SBT
Genesis 23 in the SBT1E
Genesis 23 in the SCHL
Genesis 23 in the SNT
Genesis 23 in the SUSU
Genesis 23 in the SUSU2
Genesis 23 in the SYNO
Genesis 23 in the TBIAOTANT
Genesis 23 in the TBT1E
Genesis 23 in the TBT1E2
Genesis 23 in the TFTIP
Genesis 23 in the TFTU
Genesis 23 in the TGNTATF3T
Genesis 23 in the THAI
Genesis 23 in the TNFD
Genesis 23 in the TNT
Genesis 23 in the TNTIK
Genesis 23 in the TNTIL
Genesis 23 in the TNTIN
Genesis 23 in the TNTIP
Genesis 23 in the TNTIZ
Genesis 23 in the TOMA
Genesis 23 in the TTENT
Genesis 23 in the UBG
Genesis 23 in the UGV
Genesis 23 in the UGV2
Genesis 23 in the UGV3
Genesis 23 in the VBL
Genesis 23 in the VDCC
Genesis 23 in the YALU
Genesis 23 in the YAPE
Genesis 23 in the YBVTP
Genesis 23 in the ZBP