Psalms 117 (BOKCV)
1 Msifuni BWANA, enyi mataifa yote;mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 2 Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,uaminifu wa BWANA unadumu milele. Msifuni BWANA.