2 Chronicles 16 (BOKCV)
1 Katika mwaka wa thelathini na sita wa utawala wa Asa, Mfalme Baasha wa Israeli akashambulia Yuda na kuweka ngome mji wa Rama ili kumzuia yeyote asitoke wala kuingia nchi ya Mfalme Asa wa Yuda. 2 Ndipo Asa akachukua fedha na dhahabu kutoka hazina ya Hekalu la BWANA na kutoka jumba lake mwenyewe la kifalme na kumpelekea Ben-Hadadi mfalme wa Aramu, ambaye alikuwa anatawala huko Dameski. 3 Akasema, “Pawepo na mkataba kati yangu na wewe, kama ulivyokuwepo kati ya baba yangu na baba yako. Tazama, nimekuletea fedha na dhahabu. Sasa vunja mkataba wako na Baasha mfalme wa Israeli ili aniondokee mimi.” 4 Ben-Hadadi akakubaliana na Mfalme Asa na kutuma majemadari wa majeshi yake dhidi ya miji ya Israeli. Wakashinda Iyoni, Dani, Abel-Maimu na miji yote ya hazina ya Naftali. 5 Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha kujenga Rama na kuacha kazi yake. 6 Ndipo Mfalme Asa akawaleta watu wote wa Yuda, nao wakachukua mawe na miti ambayo Baasha alikuwa anavitumia huko Rama. Kwa vitu hivyo akajenga Geba na Mispa. 7 Ikawa wakati huo mwonaji Hanani akamjia Mfalme Asa wa Yuda na kumwambia: “Kwa sababu ulimtegemea mfalme wa Aramu nawe hukumtegemea BWANA Mungu wako, jeshi la mfalme wa Aramu limeponyoka mkononi mwako. 8 Je, hukumbuki lililotendeka kwa Wakushi na Walibia, hawakuwa jeshi lenye nguvu na magari mengi ya vita na wapanda farasi? Hata hivyo, ulipomtegemea BWANA yeye aliwatia mkononi mwako. 9 Kwa kuwa macho ya BWANA hukimbiakimbia duniani kote ili kujionyesha mwenye nguvu kwa ajili ya wale ambao mioyo yao inamtegemea kwa ukamilifu. Umefanya jambo la upumbavu na kuanzia sasa na kuendelea utakuwa na vita.” 10 Asa akamkasirikia mwonaji kwa sababu ya jambo hili. Alikuwa ameghadhibika sana hata akamweka gerezani. Wakati huo huo Asa akaanza kuwatesa na kuwaonea baadhi ya watu kwa ukatili. 11 Matukio ya utawala wa Asa, kuanzia mwanzo mpaka mwisho, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli. 12 Katika mwaka wa thelathini na tisa wa utawala wake, Asa alipatwa na ugonjwa kwenye miguu yake. Ingawa ugonjwa wake ulimzidia sana, hata katika kuugua kwake hakutafuta msaada kutoka kwa BWANA bali kwa matabibu tu. 13 Katika mwaka wa arobaini na moja wa utawala wa Asa, alikufa na kulala na baba zake. 14 Nao wakamzika katika kaburi lile alilokuwa amejichongea mwenyewe katika Mji wa Daudi. Wakamzika kwa jeneza lililowekwa vikolezi na mchanganyiko wa manukato ya aina mbalimbali yaliyotengenezwa kwa utaalamu wa mtengeneza marashi, nao wakawasha moto mkubwa kwa heshima yake.
In Other Versions
2 Chronicles 16 in the ANGEFD
2 Chronicles 16 in the ANTPNG2D
2 Chronicles 16 in the AS21
2 Chronicles 16 in the BAGH
2 Chronicles 16 in the BBPNG
2 Chronicles 16 in the BBT1E
2 Chronicles 16 in the BDS
2 Chronicles 16 in the BEV
2 Chronicles 16 in the BHAD
2 Chronicles 16 in the BIB
2 Chronicles 16 in the BLPT
2 Chronicles 16 in the BNT
2 Chronicles 16 in the BNTABOOT
2 Chronicles 16 in the BNTLV
2 Chronicles 16 in the BOATCB
2 Chronicles 16 in the BOATCB2
2 Chronicles 16 in the BOBCV
2 Chronicles 16 in the BOCNT
2 Chronicles 16 in the BOECS
2 Chronicles 16 in the BOGWICC
2 Chronicles 16 in the BOHCB
2 Chronicles 16 in the BOHCV
2 Chronicles 16 in the BOHLNT
2 Chronicles 16 in the BOHNTLTAL
2 Chronicles 16 in the BOICB
2 Chronicles 16 in the BOILNTAP
2 Chronicles 16 in the BOITCV
2 Chronicles 16 in the BOKCV2
2 Chronicles 16 in the BOKHWOG
2 Chronicles 16 in the BOKSSV
2 Chronicles 16 in the BOLCB
2 Chronicles 16 in the BOLCB2
2 Chronicles 16 in the BOMCV
2 Chronicles 16 in the BONAV
2 Chronicles 16 in the BONCB
2 Chronicles 16 in the BONLT
2 Chronicles 16 in the BONUT2
2 Chronicles 16 in the BOPLNT
2 Chronicles 16 in the BOSCB
2 Chronicles 16 in the BOSNC
2 Chronicles 16 in the BOTLNT
2 Chronicles 16 in the BOVCB
2 Chronicles 16 in the BOYCB
2 Chronicles 16 in the BPBB
2 Chronicles 16 in the BPH
2 Chronicles 16 in the BSB
2 Chronicles 16 in the CCB
2 Chronicles 16 in the CUV
2 Chronicles 16 in the CUVS
2 Chronicles 16 in the DBT
2 Chronicles 16 in the DGDNT
2 Chronicles 16 in the DHNT
2 Chronicles 16 in the DNT
2 Chronicles 16 in the ELBE
2 Chronicles 16 in the EMTV
2 Chronicles 16 in the ESV
2 Chronicles 16 in the FBV
2 Chronicles 16 in the FEB
2 Chronicles 16 in the GGMNT
2 Chronicles 16 in the GNT
2 Chronicles 16 in the HARY
2 Chronicles 16 in the HNT
2 Chronicles 16 in the IRVA
2 Chronicles 16 in the IRVB
2 Chronicles 16 in the IRVG
2 Chronicles 16 in the IRVH
2 Chronicles 16 in the IRVK
2 Chronicles 16 in the IRVM
2 Chronicles 16 in the IRVM2
2 Chronicles 16 in the IRVO
2 Chronicles 16 in the IRVP
2 Chronicles 16 in the IRVT
2 Chronicles 16 in the IRVT2
2 Chronicles 16 in the IRVU
2 Chronicles 16 in the ISVN
2 Chronicles 16 in the JSNT
2 Chronicles 16 in the KAPI
2 Chronicles 16 in the KBT1ETNIK
2 Chronicles 16 in the KBV
2 Chronicles 16 in the KJV
2 Chronicles 16 in the KNFD
2 Chronicles 16 in the LBA
2 Chronicles 16 in the LBLA
2 Chronicles 16 in the LNT
2 Chronicles 16 in the LSV
2 Chronicles 16 in the MAAL
2 Chronicles 16 in the MBV
2 Chronicles 16 in the MBV2
2 Chronicles 16 in the MHNT
2 Chronicles 16 in the MKNFD
2 Chronicles 16 in the MNG
2 Chronicles 16 in the MNT
2 Chronicles 16 in the MNT2
2 Chronicles 16 in the MRS1T
2 Chronicles 16 in the NAA
2 Chronicles 16 in the NASB
2 Chronicles 16 in the NBLA
2 Chronicles 16 in the NBS
2 Chronicles 16 in the NBVTP
2 Chronicles 16 in the NET2
2 Chronicles 16 in the NIV11
2 Chronicles 16 in the NNT
2 Chronicles 16 in the NNT2
2 Chronicles 16 in the NNT3
2 Chronicles 16 in the PDDPT
2 Chronicles 16 in the PFNT
2 Chronicles 16 in the RMNT
2 Chronicles 16 in the SBIAS
2 Chronicles 16 in the SBIBS
2 Chronicles 16 in the SBIBS2
2 Chronicles 16 in the SBICS
2 Chronicles 16 in the SBIDS
2 Chronicles 16 in the SBIGS
2 Chronicles 16 in the SBIHS
2 Chronicles 16 in the SBIIS
2 Chronicles 16 in the SBIIS2
2 Chronicles 16 in the SBIIS3
2 Chronicles 16 in the SBIKS
2 Chronicles 16 in the SBIKS2
2 Chronicles 16 in the SBIMS
2 Chronicles 16 in the SBIOS
2 Chronicles 16 in the SBIPS
2 Chronicles 16 in the SBISS
2 Chronicles 16 in the SBITS
2 Chronicles 16 in the SBITS2
2 Chronicles 16 in the SBITS3
2 Chronicles 16 in the SBITS4
2 Chronicles 16 in the SBIUS
2 Chronicles 16 in the SBIVS
2 Chronicles 16 in the SBT
2 Chronicles 16 in the SBT1E
2 Chronicles 16 in the SCHL
2 Chronicles 16 in the SNT
2 Chronicles 16 in the SUSU
2 Chronicles 16 in the SUSU2
2 Chronicles 16 in the SYNO
2 Chronicles 16 in the TBIAOTANT
2 Chronicles 16 in the TBT1E
2 Chronicles 16 in the TBT1E2
2 Chronicles 16 in the TFTIP
2 Chronicles 16 in the TFTU
2 Chronicles 16 in the TGNTATF3T
2 Chronicles 16 in the THAI
2 Chronicles 16 in the TNFD
2 Chronicles 16 in the TNT
2 Chronicles 16 in the TNTIK
2 Chronicles 16 in the TNTIL
2 Chronicles 16 in the TNTIN
2 Chronicles 16 in the TNTIP
2 Chronicles 16 in the TNTIZ
2 Chronicles 16 in the TOMA
2 Chronicles 16 in the TTENT
2 Chronicles 16 in the UBG
2 Chronicles 16 in the UGV
2 Chronicles 16 in the UGV2
2 Chronicles 16 in the UGV3
2 Chronicles 16 in the VBL
2 Chronicles 16 in the VDCC
2 Chronicles 16 in the YALU
2 Chronicles 16 in the YAPE
2 Chronicles 16 in the YBVTP
2 Chronicles 16 in the ZBP