2 Chronicles 17 (BOKCV)

1 Yehoshafati mwanawe akawa mfalme baada yake na akajiimarisha dhidi ya Israeli. 2 Akaweka jeshi katika miji yote ya Yuda yenye ngome na kuweka askari walinzi katika Yuda na katika miji ya Efraimu ile ambayo baba yake Asa alikuwa ameiteka. 3 BWANA Mungu alikuwa na Yehoshafati kwa sababu katika miaka yake ya mwanzoni alienenda katika njia za Daudi baba yake. Hakutafuta Mabaali 4 bali alimtafuta Mungu wa baba yake na kuzifuata amri zake badala ya kufuata desturi za watu wa Israeli. 5 Kwa hiyo BWANA akauimarisha ufalme chini ya uongozi wake, nao Yuda wote wakamletea Yehoshafati zawadi, hivyo akawa na utajiri mwingi na heshima. 6 Moyo wake ukawa hodari katika njia za BWANA na zaidi ya yote, akaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu na nguzo za Maashera katika Yuda. 7 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa akatuma maafisa wake ambao ni: Ben-Haili, Obadia, Zekaria, Nethaneli na Mikaya ili kufundisha katika miji ya Yuda. 8 Pamoja nao walikuwepo Walawi fulani nao ni: Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia, Tob-Adonia, pamoja nao walikuwepo makuhani Elishama na Yehoramu. 9 Wakafundisha Yuda yote, wakiwa wamechukua Kitabu cha Sheria ya BWANA wakazunguka miji yote ya Yuda na kufundisha watu. 10 Hofu ya BWANA ikawa juu ya falme zote za nchi zilizozunguka Yuda, hivyo hawakufanya vita na Yehoshafati. 11 Baadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi na fedha kama ushuru, nao Waarabu wakamletea mifugo: kondoo dume 7,700 na mbuzi 7,700. 12 Yehoshafati akaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi, akajenga ngome na miji ya hazina katika Yuda 13 na akawa na wingi mkubwa wa vitu katika miji ya Yuda. Pia aliweka askari wa vita wenye uzoefu huko Yerusalemu. 14 Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo: Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu:Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000; 15 aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita; 16 aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya BWANA, akiwa na askari 200,000. 17 Kutoka Benyamini:Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao; 18 aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita. 19 Hawa ndio waliomtumikia mfalme, mbali na wale mfalme aliweka katika miji yenye ngome huko Yuda yote.

In Other Versions

2 Chronicles 17 in the ANGEFD

2 Chronicles 17 in the ANTPNG2D

2 Chronicles 17 in the AS21

2 Chronicles 17 in the BAGH

2 Chronicles 17 in the BBPNG

2 Chronicles 17 in the BBT1E

2 Chronicles 17 in the BDS

2 Chronicles 17 in the BEV

2 Chronicles 17 in the BHAD

2 Chronicles 17 in the BIB

2 Chronicles 17 in the BLPT

2 Chronicles 17 in the BNT

2 Chronicles 17 in the BNTABOOT

2 Chronicles 17 in the BNTLV

2 Chronicles 17 in the BOATCB

2 Chronicles 17 in the BOATCB2

2 Chronicles 17 in the BOBCV

2 Chronicles 17 in the BOCNT

2 Chronicles 17 in the BOECS

2 Chronicles 17 in the BOGWICC

2 Chronicles 17 in the BOHCB

2 Chronicles 17 in the BOHCV

2 Chronicles 17 in the BOHLNT

2 Chronicles 17 in the BOHNTLTAL

2 Chronicles 17 in the BOICB

2 Chronicles 17 in the BOILNTAP

2 Chronicles 17 in the BOITCV

2 Chronicles 17 in the BOKCV2

2 Chronicles 17 in the BOKHWOG

2 Chronicles 17 in the BOKSSV

2 Chronicles 17 in the BOLCB

2 Chronicles 17 in the BOLCB2

2 Chronicles 17 in the BOMCV

2 Chronicles 17 in the BONAV

2 Chronicles 17 in the BONCB

2 Chronicles 17 in the BONLT

2 Chronicles 17 in the BONUT2

2 Chronicles 17 in the BOPLNT

2 Chronicles 17 in the BOSCB

2 Chronicles 17 in the BOSNC

2 Chronicles 17 in the BOTLNT

2 Chronicles 17 in the BOVCB

2 Chronicles 17 in the BOYCB

2 Chronicles 17 in the BPBB

2 Chronicles 17 in the BPH

2 Chronicles 17 in the BSB

2 Chronicles 17 in the CCB

2 Chronicles 17 in the CUV

2 Chronicles 17 in the CUVS

2 Chronicles 17 in the DBT

2 Chronicles 17 in the DGDNT

2 Chronicles 17 in the DHNT

2 Chronicles 17 in the DNT

2 Chronicles 17 in the ELBE

2 Chronicles 17 in the EMTV

2 Chronicles 17 in the ESV

2 Chronicles 17 in the FBV

2 Chronicles 17 in the FEB

2 Chronicles 17 in the GGMNT

2 Chronicles 17 in the GNT

2 Chronicles 17 in the HARY

2 Chronicles 17 in the HNT

2 Chronicles 17 in the IRVA

2 Chronicles 17 in the IRVB

2 Chronicles 17 in the IRVG

2 Chronicles 17 in the IRVH

2 Chronicles 17 in the IRVK

2 Chronicles 17 in the IRVM

2 Chronicles 17 in the IRVM2

2 Chronicles 17 in the IRVO

2 Chronicles 17 in the IRVP

2 Chronicles 17 in the IRVT

2 Chronicles 17 in the IRVT2

2 Chronicles 17 in the IRVU

2 Chronicles 17 in the ISVN

2 Chronicles 17 in the JSNT

2 Chronicles 17 in the KAPI

2 Chronicles 17 in the KBT1ETNIK

2 Chronicles 17 in the KBV

2 Chronicles 17 in the KJV

2 Chronicles 17 in the KNFD

2 Chronicles 17 in the LBA

2 Chronicles 17 in the LBLA

2 Chronicles 17 in the LNT

2 Chronicles 17 in the LSV

2 Chronicles 17 in the MAAL

2 Chronicles 17 in the MBV

2 Chronicles 17 in the MBV2

2 Chronicles 17 in the MHNT

2 Chronicles 17 in the MKNFD

2 Chronicles 17 in the MNG

2 Chronicles 17 in the MNT

2 Chronicles 17 in the MNT2

2 Chronicles 17 in the MRS1T

2 Chronicles 17 in the NAA

2 Chronicles 17 in the NASB

2 Chronicles 17 in the NBLA

2 Chronicles 17 in the NBS

2 Chronicles 17 in the NBVTP

2 Chronicles 17 in the NET2

2 Chronicles 17 in the NIV11

2 Chronicles 17 in the NNT

2 Chronicles 17 in the NNT2

2 Chronicles 17 in the NNT3

2 Chronicles 17 in the PDDPT

2 Chronicles 17 in the PFNT

2 Chronicles 17 in the RMNT

2 Chronicles 17 in the SBIAS

2 Chronicles 17 in the SBIBS

2 Chronicles 17 in the SBIBS2

2 Chronicles 17 in the SBICS

2 Chronicles 17 in the SBIDS

2 Chronicles 17 in the SBIGS

2 Chronicles 17 in the SBIHS

2 Chronicles 17 in the SBIIS

2 Chronicles 17 in the SBIIS2

2 Chronicles 17 in the SBIIS3

2 Chronicles 17 in the SBIKS

2 Chronicles 17 in the SBIKS2

2 Chronicles 17 in the SBIMS

2 Chronicles 17 in the SBIOS

2 Chronicles 17 in the SBIPS

2 Chronicles 17 in the SBISS

2 Chronicles 17 in the SBITS

2 Chronicles 17 in the SBITS2

2 Chronicles 17 in the SBITS3

2 Chronicles 17 in the SBITS4

2 Chronicles 17 in the SBIUS

2 Chronicles 17 in the SBIVS

2 Chronicles 17 in the SBT

2 Chronicles 17 in the SBT1E

2 Chronicles 17 in the SCHL

2 Chronicles 17 in the SNT

2 Chronicles 17 in the SUSU

2 Chronicles 17 in the SUSU2

2 Chronicles 17 in the SYNO

2 Chronicles 17 in the TBIAOTANT

2 Chronicles 17 in the TBT1E

2 Chronicles 17 in the TBT1E2

2 Chronicles 17 in the TFTIP

2 Chronicles 17 in the TFTU

2 Chronicles 17 in the TGNTATF3T

2 Chronicles 17 in the THAI

2 Chronicles 17 in the TNFD

2 Chronicles 17 in the TNT

2 Chronicles 17 in the TNTIK

2 Chronicles 17 in the TNTIL

2 Chronicles 17 in the TNTIN

2 Chronicles 17 in the TNTIP

2 Chronicles 17 in the TNTIZ

2 Chronicles 17 in the TOMA

2 Chronicles 17 in the TTENT

2 Chronicles 17 in the UBG

2 Chronicles 17 in the UGV

2 Chronicles 17 in the UGV2

2 Chronicles 17 in the UGV3

2 Chronicles 17 in the VBL

2 Chronicles 17 in the VDCC

2 Chronicles 17 in the YALU

2 Chronicles 17 in the YAPE

2 Chronicles 17 in the YBVTP

2 Chronicles 17 in the ZBP