2 Samuel 11 (BOKCV)

1 Katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati wafalme watokapo kwenda vitani, Daudi akamtuma Yoabu pamoja na watu wa mfalme na jeshi lote la Israeli. Wakawaangamiza Waamoni na kuuzunguka kwa jeshi mji wa Raba. Lakini Daudi akabaki Yerusalemu. 2 Ikawa siku moja wakati wa jioni Daudi aliinuka kitandani mwake na kutembeatembea juu ya paa la jumba lake la kifalme. Kutokea kule kwenye paa, akamwona mwanamke akioga. Mwanamke huyo alikuwa mzuri sana wa sura, 3 naye Daudi akatuma mtu mmoja kuuliza habari za huyo mwanamke. Huyo mtu akamwambia Daudi, “Je, huyu si Bathsheba binti Eliamu, naye ni mke wa Uria, Mhiti?” 4 Ndipo Daudi akatuma wajumbe kumleta. Huyo mwanamke akaja kwa Daudi, Daudi akakutana naye kimwili. (Huyo mwanamke ndipo tu alikuwa amejitakasa kutoka siku zake za hedhi.) Kisha akarudi nyumbani kwake. 5 Huyo mwanamke akapata mimba akampelekea Daudi ujumbe, kusema, “Mimi ni mjamzito.” 6 Ndipo Daudi akapeleka ujumbe kwa Yoabu, “Unipelekee Uria, Mhiti.” Naye Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi. 7 Uria alipofika, Daudi akamuuliza habari za Yoabu, hali za askari na vita kwamba inaendeleaje. 8 Kisha Daudi akamwambia Uria, “Teremka nyumbani kwako ukanawe miguu yako.” Basi Uria akaondoka kutoka kwenye jumba la kifalme, tena zawadi zikamfuata kutoka kwa mfalme. 9 Lakini Uria akalala kwenye ingilio la jumba la kifalme pamoja na watumishi wote wa bwana wake, na hakuteremka kwenda nyumbani kwake. 10 Daudi alipoambiwa kwamba, “Uria hakwenda nyumbani,” Daudi akamuuliza, “Je, si ndiyo tu umefika kutoka safari ya mbali? Kwa nini hukwenda nyumbani?” 11 Uria akamwambia Daudi, “Sanduku la Mungu, na Israeli na Yuda wanakaa kwenye mahema, naye bwana wangu Yoabu na watu wa bwana wangu wamepiga kambi mahali pa wazi. Ningewezaje kwenda nyumbani kwangu ili nile, ninywe na kukutana na mke wangu? Hakika kama uishivyo sitafanya jambo la namna hiyo!” 12 Ndipo Daudi akamwambia, “Kaa hapa siku moja zaidi, nami kesho nitakutuma urudi.” Kwa hiyo Uria akakaa Yerusalemu siku ile na siku iliyofuata. 13 Kwa ukaribisho wa Daudi, Uria akala na kunywa pamoja naye, Daudi akamlevya. Lakini jioni Uria alitoka kwenda kulala juu ya mkeka wake miongoni mwa watumishi wa bwana wake, hakwenda nyumbani. 14 Asubuhi yake Daudi akamwandikia Yoabu barua, akamtuma Uria kuipeleka. 15 Ndani ya barua aliandika, “Mweke Uria mstari wa mbele mahali ambapo mapigano ni makali sana. Kisha wewe uondoke ili Uria aangushwe chini na kuuawa.” 16 Hivyo Yoabu alipokuwa ameuzingira mji kwa jeshi, akamweka Uria mahali ambapo alijua kuwa ulinzi wa adui ulikuwa imara sana. 17 Wakati watu wa mjini walipotoka kwenda kupigana dhidi ya Yoabu, baadhi ya watu katika jeshi la Daudi wakauawa, zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, akafa. 18 Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita. 19 Akamwagiza mjumbe hivi, “Utakapokuwa umemaliza kumpa mfalme maelezo ya vita, 20 hasira ya mfalme yaweza kuwaka, naye aweza kukuuliza, ‘Kwa nini mlisogea karibu hivyo na mji kupigana? Hamkujua kuwa wangeweza kuwapiga mishale kutoka ukutani? 21 Ni nani aliyemuua Abimeleki mwana wa Yerub-Besheth? Je, mwanamke hakutupa juu yake jiwe la juu la kusagia kutoka ukutani, kwa hiyo akafa huko Thebesi? Kwa nini mlisogea hivyo karibu ya ukuta?’ Ikiwa atakuuliza hivi, ndipo umwambie, ‘Pia mtumishi wako Uria, Mhiti, amekufa.’ ” 22 Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema. 23 Mjumbe akamwambia Daudi, “Watu walituzidi nguvu wakatoka nje ya mji dhidi yetu kwenye eneo la wazi, lakini tuliwarudisha nyuma mpaka kwenye ingilio la mji. 24 Ndipo wapiga upinde walitupa mishale kwa watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watu wa mfalme wakafa. Zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, mtumishi wako amekufa.” 25 Daudi akamwambia mjumbe, “Ukamwambie Yoabu hivi, ‘Jambo hili lisikutie wasiwasi, upanga hula huyu sawa na ulavyo mwingine. Zidisha mashambulizi dhidi ya mji na uangamize.’ Mwambie Yoabu hivi ili kumtia moyo.” 26 Mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe amekufa, akamwombolezea. 27 Baada ya muda wa maombolezo kwisha, Daudi akamtaka aletwe nyumbani kwake, naye akawa mkewe, na akamzalia mwana. Lakini jambo alilokuwa amefanya Daudi lilimchukiza BWANA.

In Other Versions

2 Samuel 11 in the ANGEFD

2 Samuel 11 in the ANTPNG2D

2 Samuel 11 in the AS21

2 Samuel 11 in the BAGH

2 Samuel 11 in the BBPNG

2 Samuel 11 in the BBT1E

2 Samuel 11 in the BDS

2 Samuel 11 in the BEV

2 Samuel 11 in the BHAD

2 Samuel 11 in the BIB

2 Samuel 11 in the BLPT

2 Samuel 11 in the BNT

2 Samuel 11 in the BNTABOOT

2 Samuel 11 in the BNTLV

2 Samuel 11 in the BOATCB

2 Samuel 11 in the BOATCB2

2 Samuel 11 in the BOBCV

2 Samuel 11 in the BOCNT

2 Samuel 11 in the BOECS

2 Samuel 11 in the BOGWICC

2 Samuel 11 in the BOHCB

2 Samuel 11 in the BOHCV

2 Samuel 11 in the BOHLNT

2 Samuel 11 in the BOHNTLTAL

2 Samuel 11 in the BOICB

2 Samuel 11 in the BOILNTAP

2 Samuel 11 in the BOITCV

2 Samuel 11 in the BOKCV2

2 Samuel 11 in the BOKHWOG

2 Samuel 11 in the BOKSSV

2 Samuel 11 in the BOLCB

2 Samuel 11 in the BOLCB2

2 Samuel 11 in the BOMCV

2 Samuel 11 in the BONAV

2 Samuel 11 in the BONCB

2 Samuel 11 in the BONLT

2 Samuel 11 in the BONUT2

2 Samuel 11 in the BOPLNT

2 Samuel 11 in the BOSCB

2 Samuel 11 in the BOSNC

2 Samuel 11 in the BOTLNT

2 Samuel 11 in the BOVCB

2 Samuel 11 in the BOYCB

2 Samuel 11 in the BPBB

2 Samuel 11 in the BPH

2 Samuel 11 in the BSB

2 Samuel 11 in the CCB

2 Samuel 11 in the CUV

2 Samuel 11 in the CUVS

2 Samuel 11 in the DBT

2 Samuel 11 in the DGDNT

2 Samuel 11 in the DHNT

2 Samuel 11 in the DNT

2 Samuel 11 in the ELBE

2 Samuel 11 in the EMTV

2 Samuel 11 in the ESV

2 Samuel 11 in the FBV

2 Samuel 11 in the FEB

2 Samuel 11 in the GGMNT

2 Samuel 11 in the GNT

2 Samuel 11 in the HARY

2 Samuel 11 in the HNT

2 Samuel 11 in the IRVA

2 Samuel 11 in the IRVB

2 Samuel 11 in the IRVG

2 Samuel 11 in the IRVH

2 Samuel 11 in the IRVK

2 Samuel 11 in the IRVM

2 Samuel 11 in the IRVM2

2 Samuel 11 in the IRVO

2 Samuel 11 in the IRVP

2 Samuel 11 in the IRVT

2 Samuel 11 in the IRVT2

2 Samuel 11 in the IRVU

2 Samuel 11 in the ISVN

2 Samuel 11 in the JSNT

2 Samuel 11 in the KAPI

2 Samuel 11 in the KBT1ETNIK

2 Samuel 11 in the KBV

2 Samuel 11 in the KJV

2 Samuel 11 in the KNFD

2 Samuel 11 in the LBA

2 Samuel 11 in the LBLA

2 Samuel 11 in the LNT

2 Samuel 11 in the LSV

2 Samuel 11 in the MAAL

2 Samuel 11 in the MBV

2 Samuel 11 in the MBV2

2 Samuel 11 in the MHNT

2 Samuel 11 in the MKNFD

2 Samuel 11 in the MNG

2 Samuel 11 in the MNT

2 Samuel 11 in the MNT2

2 Samuel 11 in the MRS1T

2 Samuel 11 in the NAA

2 Samuel 11 in the NASB

2 Samuel 11 in the NBLA

2 Samuel 11 in the NBS

2 Samuel 11 in the NBVTP

2 Samuel 11 in the NET2

2 Samuel 11 in the NIV11

2 Samuel 11 in the NNT

2 Samuel 11 in the NNT2

2 Samuel 11 in the NNT3

2 Samuel 11 in the PDDPT

2 Samuel 11 in the PFNT

2 Samuel 11 in the RMNT

2 Samuel 11 in the SBIAS

2 Samuel 11 in the SBIBS

2 Samuel 11 in the SBIBS2

2 Samuel 11 in the SBICS

2 Samuel 11 in the SBIDS

2 Samuel 11 in the SBIGS

2 Samuel 11 in the SBIHS

2 Samuel 11 in the SBIIS

2 Samuel 11 in the SBIIS2

2 Samuel 11 in the SBIIS3

2 Samuel 11 in the SBIKS

2 Samuel 11 in the SBIKS2

2 Samuel 11 in the SBIMS

2 Samuel 11 in the SBIOS

2 Samuel 11 in the SBIPS

2 Samuel 11 in the SBISS

2 Samuel 11 in the SBITS

2 Samuel 11 in the SBITS2

2 Samuel 11 in the SBITS3

2 Samuel 11 in the SBITS4

2 Samuel 11 in the SBIUS

2 Samuel 11 in the SBIVS

2 Samuel 11 in the SBT

2 Samuel 11 in the SBT1E

2 Samuel 11 in the SCHL

2 Samuel 11 in the SNT

2 Samuel 11 in the SUSU

2 Samuel 11 in the SUSU2

2 Samuel 11 in the SYNO

2 Samuel 11 in the TBIAOTANT

2 Samuel 11 in the TBT1E

2 Samuel 11 in the TBT1E2

2 Samuel 11 in the TFTIP

2 Samuel 11 in the TFTU

2 Samuel 11 in the TGNTATF3T

2 Samuel 11 in the THAI

2 Samuel 11 in the TNFD

2 Samuel 11 in the TNT

2 Samuel 11 in the TNTIK

2 Samuel 11 in the TNTIL

2 Samuel 11 in the TNTIN

2 Samuel 11 in the TNTIP

2 Samuel 11 in the TNTIZ

2 Samuel 11 in the TOMA

2 Samuel 11 in the TTENT

2 Samuel 11 in the UBG

2 Samuel 11 in the UGV

2 Samuel 11 in the UGV2

2 Samuel 11 in the UGV3

2 Samuel 11 in the VBL

2 Samuel 11 in the VDCC

2 Samuel 11 in the YALU

2 Samuel 11 in the YAPE

2 Samuel 11 in the YBVTP

2 Samuel 11 in the ZBP