Joshua 14 (BOKCV)

1 Basi haya ndiyo maeneo Waisraeli waliyopokea kama urithi katika nchi ya Kanaani, ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliwagawia. 2 Urithi wao uligawanywa kwa kura kwa yale makabila tisa na nusu, kama BWANA alivyoamuru Mose. 3 Mose alikuwa amewapa yale makabila mawili na nusu urithi wao upande wa mashariki mwa Yordani, lakini Walawi hawakupewa urithi miongoni mwa hao wengine, 4 kwa kuwa wana wa Yosefu walikuwa makabila mawili; Manase na Efraimu. Walawi hawakupata mgawo wa ardhi, bali walipewa miji tu kwa ajili ya kuishi, pamoja na maeneo ya malisho kwa ajili ya makundi yao ya kondoo, mbuzi na ngʼombe wao. 5 Kwa hiyo Waisraeli wakagawana ile nchi, kama vile BWANA alivyomwagiza Mose. 6 Kisha watu wa Yuda wakamwendea Yoshua huko Gilgali, naye Kalebu mwana wa Yefune yule Mkenizi, akamwambia, “Unajua jambo ambalo BWANA alimwambia Mose mtu wa Mungu huko Kadesh-Barnea kukuhusu wewe na mimi. 7 Nilikuwa na umri wa miaka arobaini, wakati Mose mtumishi wa BWANA, aliponituma kutoka Kadesh-Barnea kuipeleleza hiyo nchi. Nami nikamletea taarifa kama kulingana na nilivyosadiki moyoni. 8 Lakini ndugu zangu tuliopanda nao waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa hofu. Bali mimi, nilimfuata BWANA Mungu wangu kwa moyo wote. 9 Hivyo katika siku ile, Mose akaniapia, ‘Nchi ambayo umeikanyaga kwa miguu yako itakuwa urithi wako na wa watoto wako milele, kwa sababu umemfuata BWANA Mungu wangu kwa moyo wote.’ 10 “Sasa basi, kama vile BWANA alivyoahidi, ameniweka hai kwa miaka arobaini na mitano tangu wakati alipomwambia Mose jambo hili, wakati Waisraeli wakiwa wanazunguka jangwani. Hivyo mimi hapa leo, nina umri wa miaka themanini na mitano! 11 Bado ninazo nguvu kama siku ile Mose aliponituma. Bado ninazo nguvu za kwenda vitani sasa kama vile nilivyokuwa wakati ule. 12 Basi nipe nchi hii ya vilima, ambayo BWANA aliniahidi siku ile. Wewe mwenyewe ulisikia wakati ule kwamba Waanaki walikuwako huko na miji yao ilikuwa mikubwa na yenye maboma, lakini, kwa msaada wa BWANA, nitawafukuza watoke huko kama vile alivyonena.” 13 Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune, na akampa Hebroni kama urithi wake. 14 Hivyo Hebroni imekuwa mali ya Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi tangu wakati ule, kwa sababu alimwandama BWANA, Mungu wa Israeli, kwa moyo wote. 15 (Hebroni uliitwa Kiriath-Arba hapo mwanzo, kutokana na huyo Arba ambaye alikuwa mtu mkuu kupita wote miongoni mwa Waanaki.)Kisha nchi ikawa na amani bila vita.

In Other Versions

Joshua 14 in the ANGEFD

Joshua 14 in the ANTPNG2D

Joshua 14 in the AS21

Joshua 14 in the BAGH

Joshua 14 in the BBPNG

Joshua 14 in the BBT1E

Joshua 14 in the BDS

Joshua 14 in the BEV

Joshua 14 in the BHAD

Joshua 14 in the BIB

Joshua 14 in the BLPT

Joshua 14 in the BNT

Joshua 14 in the BNTABOOT

Joshua 14 in the BNTLV

Joshua 14 in the BOATCB

Joshua 14 in the BOATCB2

Joshua 14 in the BOBCV

Joshua 14 in the BOCNT

Joshua 14 in the BOECS

Joshua 14 in the BOGWICC

Joshua 14 in the BOHCB

Joshua 14 in the BOHCV

Joshua 14 in the BOHLNT

Joshua 14 in the BOHNTLTAL

Joshua 14 in the BOICB

Joshua 14 in the BOILNTAP

Joshua 14 in the BOITCV

Joshua 14 in the BOKCV2

Joshua 14 in the BOKHWOG

Joshua 14 in the BOKSSV

Joshua 14 in the BOLCB

Joshua 14 in the BOLCB2

Joshua 14 in the BOMCV

Joshua 14 in the BONAV

Joshua 14 in the BONCB

Joshua 14 in the BONLT

Joshua 14 in the BONUT2

Joshua 14 in the BOPLNT

Joshua 14 in the BOSCB

Joshua 14 in the BOSNC

Joshua 14 in the BOTLNT

Joshua 14 in the BOVCB

Joshua 14 in the BOYCB

Joshua 14 in the BPBB

Joshua 14 in the BPH

Joshua 14 in the BSB

Joshua 14 in the CCB

Joshua 14 in the CUV

Joshua 14 in the CUVS

Joshua 14 in the DBT

Joshua 14 in the DGDNT

Joshua 14 in the DHNT

Joshua 14 in the DNT

Joshua 14 in the ELBE

Joshua 14 in the EMTV

Joshua 14 in the ESV

Joshua 14 in the FBV

Joshua 14 in the FEB

Joshua 14 in the GGMNT

Joshua 14 in the GNT

Joshua 14 in the HARY

Joshua 14 in the HNT

Joshua 14 in the IRVA

Joshua 14 in the IRVB

Joshua 14 in the IRVG

Joshua 14 in the IRVH

Joshua 14 in the IRVK

Joshua 14 in the IRVM

Joshua 14 in the IRVM2

Joshua 14 in the IRVO

Joshua 14 in the IRVP

Joshua 14 in the IRVT

Joshua 14 in the IRVT2

Joshua 14 in the IRVU

Joshua 14 in the ISVN

Joshua 14 in the JSNT

Joshua 14 in the KAPI

Joshua 14 in the KBT1ETNIK

Joshua 14 in the KBV

Joshua 14 in the KJV

Joshua 14 in the KNFD

Joshua 14 in the LBA

Joshua 14 in the LBLA

Joshua 14 in the LNT

Joshua 14 in the LSV

Joshua 14 in the MAAL

Joshua 14 in the MBV

Joshua 14 in the MBV2

Joshua 14 in the MHNT

Joshua 14 in the MKNFD

Joshua 14 in the MNG

Joshua 14 in the MNT

Joshua 14 in the MNT2

Joshua 14 in the MRS1T

Joshua 14 in the NAA

Joshua 14 in the NASB

Joshua 14 in the NBLA

Joshua 14 in the NBS

Joshua 14 in the NBVTP

Joshua 14 in the NET2

Joshua 14 in the NIV11

Joshua 14 in the NNT

Joshua 14 in the NNT2

Joshua 14 in the NNT3

Joshua 14 in the PDDPT

Joshua 14 in the PFNT

Joshua 14 in the RMNT

Joshua 14 in the SBIAS

Joshua 14 in the SBIBS

Joshua 14 in the SBIBS2

Joshua 14 in the SBICS

Joshua 14 in the SBIDS

Joshua 14 in the SBIGS

Joshua 14 in the SBIHS

Joshua 14 in the SBIIS

Joshua 14 in the SBIIS2

Joshua 14 in the SBIIS3

Joshua 14 in the SBIKS

Joshua 14 in the SBIKS2

Joshua 14 in the SBIMS

Joshua 14 in the SBIOS

Joshua 14 in the SBIPS

Joshua 14 in the SBISS

Joshua 14 in the SBITS

Joshua 14 in the SBITS2

Joshua 14 in the SBITS3

Joshua 14 in the SBITS4

Joshua 14 in the SBIUS

Joshua 14 in the SBIVS

Joshua 14 in the SBT

Joshua 14 in the SBT1E

Joshua 14 in the SCHL

Joshua 14 in the SNT

Joshua 14 in the SUSU

Joshua 14 in the SUSU2

Joshua 14 in the SYNO

Joshua 14 in the TBIAOTANT

Joshua 14 in the TBT1E

Joshua 14 in the TBT1E2

Joshua 14 in the TFTIP

Joshua 14 in the TFTU

Joshua 14 in the TGNTATF3T

Joshua 14 in the THAI

Joshua 14 in the TNFD

Joshua 14 in the TNT

Joshua 14 in the TNTIK

Joshua 14 in the TNTIL

Joshua 14 in the TNTIN

Joshua 14 in the TNTIP

Joshua 14 in the TNTIZ

Joshua 14 in the TOMA

Joshua 14 in the TTENT

Joshua 14 in the UBG

Joshua 14 in the UGV

Joshua 14 in the UGV2

Joshua 14 in the UGV3

Joshua 14 in the VBL

Joshua 14 in the VDCC

Joshua 14 in the YALU

Joshua 14 in the YAPE

Joshua 14 in the YBVTP

Joshua 14 in the ZBP