Proverbs 16 (BOKCV)
1 Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu,bali jibu la ulimi hutoka kwa BWANA. 2 Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe,bali makusudi hupimwa na BWANA. 3 Mkabidhi BWANA lolote ufanyalo,nayo mipango yako itafanikiwa. 4 BWANA hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe;hata waovu kwa siku ya maangamizi. 5 BWANA huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo.Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 6 Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa;kwa kumcha BWANA mtu hujiepusha na ubaya. 7 Njia za mtu zinapompendeza BWANA,huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 8 Afadhali kitu kidogo pamoja na hakikuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake,bali BWANA huelekeza hatua zake. 10 Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu,wala kinywa chake hakipotoshi haki. 11 Vipimo na mizani za halali hutoka kwa BWANA;mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 12 Wafalme huchukia sana kutenda maovu,kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 13 Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu;humthamini mtu asemaye kweli. 14 Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti,bali mtu mwenye hekima ataituliza. 15 Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai;upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 16 Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu,kuchagua ufahamu kuliko fedha! 17 Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya;yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 18 Kiburi hutangulia maangamizi,roho ya majivuno hutangulia maanguko. 19 Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika rohomiongoni mwa walioonewakuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 20 Yeyote anayekubali mafundisho hustawi,tena amebarikiwa yeye anayemtumaini BWANA. 21 Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu,na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 22 Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao,bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 23 Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake,na midomo yake huchochea mafundisho. 24 Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali,ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu,bali mwisho wake huelekeza mautini. 26 Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi;njaa yake humsukuma aendelee. 27 Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya,maneno yake ni kama moto uunguzao. 28 Mtu mpotovu huchochea ugomvi,nayo maongezi ya upuzi hutenganisha marafiki wa karibu. 29 Mtu mkali humvuta jirani yakena kumwongoza katika mapito yale mabaya. 30 Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu;naye akazaye midomo yake amenuia mabaya. 31 Mvi ni taji ya utukufu;hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 32 Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa,mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji. 33 Kura hupigwa kwa siri,lakini kila uamuzi wake hutoka kwa BWANA.
In Other Versions
Proverbs 16 in the ANGEFD
Proverbs 16 in the ANTPNG2D
Proverbs 16 in the AS21
Proverbs 16 in the BAGH
Proverbs 16 in the BBPNG
Proverbs 16 in the BBT1E
Proverbs 16 in the BDS
Proverbs 16 in the BEV
Proverbs 16 in the BHAD
Proverbs 16 in the BIB
Proverbs 16 in the BLPT
Proverbs 16 in the BNT
Proverbs 16 in the BNTABOOT
Proverbs 16 in the BNTLV
Proverbs 16 in the BOATCB
Proverbs 16 in the BOATCB2
Proverbs 16 in the BOBCV
Proverbs 16 in the BOCNT
Proverbs 16 in the BOECS
Proverbs 16 in the BOGWICC
Proverbs 16 in the BOHCB
Proverbs 16 in the BOHCV
Proverbs 16 in the BOHLNT
Proverbs 16 in the BOHNTLTAL
Proverbs 16 in the BOICB
Proverbs 16 in the BOILNTAP
Proverbs 16 in the BOITCV
Proverbs 16 in the BOKCV2
Proverbs 16 in the BOKHWOG
Proverbs 16 in the BOKSSV
Proverbs 16 in the BOLCB
Proverbs 16 in the BOLCB2
Proverbs 16 in the BOMCV
Proverbs 16 in the BONAV
Proverbs 16 in the BONCB
Proverbs 16 in the BONLT
Proverbs 16 in the BONUT2
Proverbs 16 in the BOPLNT
Proverbs 16 in the BOSCB
Proverbs 16 in the BOSNC
Proverbs 16 in the BOTLNT
Proverbs 16 in the BOVCB
Proverbs 16 in the BOYCB
Proverbs 16 in the BPBB
Proverbs 16 in the BPH
Proverbs 16 in the BSB
Proverbs 16 in the CCB
Proverbs 16 in the CUV
Proverbs 16 in the CUVS
Proverbs 16 in the DBT
Proverbs 16 in the DGDNT
Proverbs 16 in the DHNT
Proverbs 16 in the DNT
Proverbs 16 in the ELBE
Proverbs 16 in the EMTV
Proverbs 16 in the ESV
Proverbs 16 in the FBV
Proverbs 16 in the FEB
Proverbs 16 in the GGMNT
Proverbs 16 in the GNT
Proverbs 16 in the HARY
Proverbs 16 in the HNT
Proverbs 16 in the IRVA
Proverbs 16 in the IRVB
Proverbs 16 in the IRVG
Proverbs 16 in the IRVH
Proverbs 16 in the IRVK
Proverbs 16 in the IRVM
Proverbs 16 in the IRVM2
Proverbs 16 in the IRVO
Proverbs 16 in the IRVP
Proverbs 16 in the IRVT
Proverbs 16 in the IRVT2
Proverbs 16 in the IRVU
Proverbs 16 in the ISVN
Proverbs 16 in the JSNT
Proverbs 16 in the KAPI
Proverbs 16 in the KBT1ETNIK
Proverbs 16 in the KBV
Proverbs 16 in the KJV
Proverbs 16 in the KNFD
Proverbs 16 in the LBA
Proverbs 16 in the LBLA
Proverbs 16 in the LNT
Proverbs 16 in the LSV
Proverbs 16 in the MAAL
Proverbs 16 in the MBV
Proverbs 16 in the MBV2
Proverbs 16 in the MHNT
Proverbs 16 in the MKNFD
Proverbs 16 in the MNG
Proverbs 16 in the MNT
Proverbs 16 in the MNT2
Proverbs 16 in the MRS1T
Proverbs 16 in the NAA
Proverbs 16 in the NASB
Proverbs 16 in the NBLA
Proverbs 16 in the NBS
Proverbs 16 in the NBVTP
Proverbs 16 in the NET2
Proverbs 16 in the NIV11
Proverbs 16 in the NNT
Proverbs 16 in the NNT2
Proverbs 16 in the NNT3
Proverbs 16 in the PDDPT
Proverbs 16 in the PFNT
Proverbs 16 in the RMNT
Proverbs 16 in the SBIAS
Proverbs 16 in the SBIBS
Proverbs 16 in the SBIBS2
Proverbs 16 in the SBICS
Proverbs 16 in the SBIDS
Proverbs 16 in the SBIGS
Proverbs 16 in the SBIHS
Proverbs 16 in the SBIIS
Proverbs 16 in the SBIIS2
Proverbs 16 in the SBIIS3
Proverbs 16 in the SBIKS
Proverbs 16 in the SBIKS2
Proverbs 16 in the SBIMS
Proverbs 16 in the SBIOS
Proverbs 16 in the SBIPS
Proverbs 16 in the SBISS
Proverbs 16 in the SBITS
Proverbs 16 in the SBITS2
Proverbs 16 in the SBITS3
Proverbs 16 in the SBITS4
Proverbs 16 in the SBIUS
Proverbs 16 in the SBIVS
Proverbs 16 in the SBT
Proverbs 16 in the SBT1E
Proverbs 16 in the SCHL
Proverbs 16 in the SNT
Proverbs 16 in the SUSU
Proverbs 16 in the SUSU2
Proverbs 16 in the SYNO
Proverbs 16 in the TBIAOTANT
Proverbs 16 in the TBT1E
Proverbs 16 in the TBT1E2
Proverbs 16 in the TFTIP
Proverbs 16 in the TFTU
Proverbs 16 in the TGNTATF3T
Proverbs 16 in the THAI
Proverbs 16 in the TNFD
Proverbs 16 in the TNT
Proverbs 16 in the TNTIK
Proverbs 16 in the TNTIL
Proverbs 16 in the TNTIN
Proverbs 16 in the TNTIP
Proverbs 16 in the TNTIZ
Proverbs 16 in the TOMA
Proverbs 16 in the TTENT
Proverbs 16 in the UBG
Proverbs 16 in the UGV
Proverbs 16 in the UGV2
Proverbs 16 in the UGV3
Proverbs 16 in the VBL
Proverbs 16 in the VDCC
Proverbs 16 in the YALU
Proverbs 16 in the YAPE
Proverbs 16 in the YBVTP
Proverbs 16 in the ZBP