1 Chronicles 24 (BOKCV)
1 Hii ndiyo migawanyo ya wana wa Aroni:Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 2 Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao, nao hawakuwa na wana; kwa hiyo ndugu zao Eleazari na Ithamari wakahudumu kama makuhani. 3 Akisaidiwa na Sadoki mwana wa Eleazari na Ahimeleki mwana wa Ithamari, Daudi aliwapanga wazao wa Aroni katika migawanyo kufuatana na wajibu wa huduma zao. 4 Idadi kubwa ya viongozi walipatikana miongoni mwa wazao wa Eleazari, kuliko miongoni mwa wazao wa Ithamari, nao waligawanywa kwa uwiano: Viongozi kumi na sita kutoka jamaa ya wazao wa Eleazari na viongozi wanane kutoka jamaa ya wazao wa Ithamari. 5 Waliwagawanya bila upendeleo kwa kupiga kura, kwa kuwa kulikuwa na maafisa wa mahali patakatifu na maafisa wa Mungu miongoni mwa wazao wale wa Eleazari na wale wa Ithamari. 6 Mwandishi Shemaya mwana wa Nethaneli, Mlawi, aliorodhesha majina yao mbele ya Mfalme Daudi na maafisa: Kuhani Sadoki, Ahimeleki mwana wa Abiathari, na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi: jamaa moja ikitoka upande wa Eleazari na nyingine upande wa Ithamari. 7 Kura ya kwanza ilimwangukia Yehoyaribu,ya pili Yedaya, 8 ya tatu Harimu,ya nne Seorimu, 9 ya tano Malkiya,ya sita Miyamini, 10 ya saba Hakosi,ya nane Abiya, 11 ya tisa Yeshua,ya kumi Shekania, 12 ya kumi na moja Eliashibu,ya kumi na mbili Yakimu, 13 ya kumi na tatu Hupa,ya kumi na nne Yeshebeabu, 14 ya kumi na tano Bilga,ya kumi na sita Imeri, 15 ya kumi na saba Heziri,ya kumi na nane Hapisesi, 16 ya kumi na tisa Pethahia,ya ishirini Yehezkeli, 17 ya ishirini na moja Yakini,ya ishirini na mbili Gamuli, 18 ya ishirini na tatu Delaya,ya ishirini na nne Maazia. 19 Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la BWANA kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama BWANA, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru. 20 Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki:Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli;kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya. 21 Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe:Ishia alikuwa wa kwanza. 22 Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi,kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi. 23 Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. 24 Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika;kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 25 Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia;na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria. 26 Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi.Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 27 Wana wa Merari:kutoka kwa Yaazia: ni Beno, Shohamu, Zakuri na Ibri. 28 Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana. 29 Kutoka kwa Kishi: mwana wa Kishi:alikuwa Yerameeli. 30 Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao. 31 Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Aroni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.
In Other Versions
1 Chronicles 24 in the ANGEFD
1 Chronicles 24 in the ANTPNG2D
1 Chronicles 24 in the AS21
1 Chronicles 24 in the BAGH
1 Chronicles 24 in the BBPNG
1 Chronicles 24 in the BBT1E
1 Chronicles 24 in the BDS
1 Chronicles 24 in the BEV
1 Chronicles 24 in the BHAD
1 Chronicles 24 in the BIB
1 Chronicles 24 in the BLPT
1 Chronicles 24 in the BNT
1 Chronicles 24 in the BNTABOOT
1 Chronicles 24 in the BNTLV
1 Chronicles 24 in the BOATCB
1 Chronicles 24 in the BOATCB2
1 Chronicles 24 in the BOBCV
1 Chronicles 24 in the BOCNT
1 Chronicles 24 in the BOECS
1 Chronicles 24 in the BOGWICC
1 Chronicles 24 in the BOHCB
1 Chronicles 24 in the BOHCV
1 Chronicles 24 in the BOHLNT
1 Chronicles 24 in the BOHNTLTAL
1 Chronicles 24 in the BOICB
1 Chronicles 24 in the BOILNTAP
1 Chronicles 24 in the BOITCV
1 Chronicles 24 in the BOKCV2
1 Chronicles 24 in the BOKHWOG
1 Chronicles 24 in the BOKSSV
1 Chronicles 24 in the BOLCB
1 Chronicles 24 in the BOLCB2
1 Chronicles 24 in the BOMCV
1 Chronicles 24 in the BONAV
1 Chronicles 24 in the BONCB
1 Chronicles 24 in the BONLT
1 Chronicles 24 in the BONUT2
1 Chronicles 24 in the BOPLNT
1 Chronicles 24 in the BOSCB
1 Chronicles 24 in the BOSNC
1 Chronicles 24 in the BOTLNT
1 Chronicles 24 in the BOVCB
1 Chronicles 24 in the BOYCB
1 Chronicles 24 in the BPBB
1 Chronicles 24 in the BPH
1 Chronicles 24 in the BSB
1 Chronicles 24 in the CCB
1 Chronicles 24 in the CUV
1 Chronicles 24 in the CUVS
1 Chronicles 24 in the DBT
1 Chronicles 24 in the DGDNT
1 Chronicles 24 in the DHNT
1 Chronicles 24 in the DNT
1 Chronicles 24 in the ELBE
1 Chronicles 24 in the EMTV
1 Chronicles 24 in the ESV
1 Chronicles 24 in the FBV
1 Chronicles 24 in the FEB
1 Chronicles 24 in the GGMNT
1 Chronicles 24 in the GNT
1 Chronicles 24 in the HARY
1 Chronicles 24 in the HNT
1 Chronicles 24 in the IRVA
1 Chronicles 24 in the IRVB
1 Chronicles 24 in the IRVG
1 Chronicles 24 in the IRVH
1 Chronicles 24 in the IRVK
1 Chronicles 24 in the IRVM
1 Chronicles 24 in the IRVM2
1 Chronicles 24 in the IRVO
1 Chronicles 24 in the IRVP
1 Chronicles 24 in the IRVT
1 Chronicles 24 in the IRVT2
1 Chronicles 24 in the IRVU
1 Chronicles 24 in the ISVN
1 Chronicles 24 in the JSNT
1 Chronicles 24 in the KAPI
1 Chronicles 24 in the KBT1ETNIK
1 Chronicles 24 in the KBV
1 Chronicles 24 in the KJV
1 Chronicles 24 in the KNFD
1 Chronicles 24 in the LBA
1 Chronicles 24 in the LBLA
1 Chronicles 24 in the LNT
1 Chronicles 24 in the LSV
1 Chronicles 24 in the MAAL
1 Chronicles 24 in the MBV
1 Chronicles 24 in the MBV2
1 Chronicles 24 in the MHNT
1 Chronicles 24 in the MKNFD
1 Chronicles 24 in the MNG
1 Chronicles 24 in the MNT
1 Chronicles 24 in the MNT2
1 Chronicles 24 in the MRS1T
1 Chronicles 24 in the NAA
1 Chronicles 24 in the NASB
1 Chronicles 24 in the NBLA
1 Chronicles 24 in the NBS
1 Chronicles 24 in the NBVTP
1 Chronicles 24 in the NET2
1 Chronicles 24 in the NIV11
1 Chronicles 24 in the NNT
1 Chronicles 24 in the NNT2
1 Chronicles 24 in the NNT3
1 Chronicles 24 in the PDDPT
1 Chronicles 24 in the PFNT
1 Chronicles 24 in the RMNT
1 Chronicles 24 in the SBIAS
1 Chronicles 24 in the SBIBS
1 Chronicles 24 in the SBIBS2
1 Chronicles 24 in the SBICS
1 Chronicles 24 in the SBIDS
1 Chronicles 24 in the SBIGS
1 Chronicles 24 in the SBIHS
1 Chronicles 24 in the SBIIS
1 Chronicles 24 in the SBIIS2
1 Chronicles 24 in the SBIIS3
1 Chronicles 24 in the SBIKS
1 Chronicles 24 in the SBIKS2
1 Chronicles 24 in the SBIMS
1 Chronicles 24 in the SBIOS
1 Chronicles 24 in the SBIPS
1 Chronicles 24 in the SBISS
1 Chronicles 24 in the SBITS
1 Chronicles 24 in the SBITS2
1 Chronicles 24 in the SBITS3
1 Chronicles 24 in the SBITS4
1 Chronicles 24 in the SBIUS
1 Chronicles 24 in the SBIVS
1 Chronicles 24 in the SBT
1 Chronicles 24 in the SBT1E
1 Chronicles 24 in the SCHL
1 Chronicles 24 in the SNT
1 Chronicles 24 in the SUSU
1 Chronicles 24 in the SUSU2
1 Chronicles 24 in the SYNO
1 Chronicles 24 in the TBIAOTANT
1 Chronicles 24 in the TBT1E
1 Chronicles 24 in the TBT1E2
1 Chronicles 24 in the TFTIP
1 Chronicles 24 in the TFTU
1 Chronicles 24 in the TGNTATF3T
1 Chronicles 24 in the THAI
1 Chronicles 24 in the TNFD
1 Chronicles 24 in the TNT
1 Chronicles 24 in the TNTIK
1 Chronicles 24 in the TNTIL
1 Chronicles 24 in the TNTIN
1 Chronicles 24 in the TNTIP
1 Chronicles 24 in the TNTIZ
1 Chronicles 24 in the TOMA
1 Chronicles 24 in the TTENT
1 Chronicles 24 in the UBG
1 Chronicles 24 in the UGV
1 Chronicles 24 in the UGV2
1 Chronicles 24 in the UGV3
1 Chronicles 24 in the VBL
1 Chronicles 24 in the VDCC
1 Chronicles 24 in the YALU
1 Chronicles 24 in the YAPE
1 Chronicles 24 in the YBVTP
1 Chronicles 24 in the ZBP