1 Chronicles 25 (BOKCV)

1 Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii: 2 Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa:Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme. 3 Wana wa Yeduthuni walikuwa sita:Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza BWANA. 4 Wana wa Hemani walikuwa:Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti na Romamti-Ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi. 5 Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu. 6 Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la BWANA wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme. 7 Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa BWANA. Idadi yao walikuwa 288. 8 Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura. 9 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, 12 10 Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 12 11 ya nne ikamwangukia Isri, wanawe na jamaa zake, 12 12 ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, 12 13 ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, 12 14 ya saba ikamwangukia Yesarela, wanawe na jamaa zake, 12 15 ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 12 16 ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 12 17 ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 12 18 ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, wanawe na jamaa zake, 12 19 ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, 12 20 ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, 12 21 ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, 12 22 ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, 12 23 Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, 12 24 ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, 12 25 ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, 12 26 ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, 12 27 ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, 12 28 ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, 12 29 ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, 12 30 ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, 12 31 ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, 12.

In Other Versions

1 Chronicles 25 in the ANGEFD

1 Chronicles 25 in the ANTPNG2D

1 Chronicles 25 in the AS21

1 Chronicles 25 in the BAGH

1 Chronicles 25 in the BBPNG

1 Chronicles 25 in the BBT1E

1 Chronicles 25 in the BDS

1 Chronicles 25 in the BEV

1 Chronicles 25 in the BHAD

1 Chronicles 25 in the BIB

1 Chronicles 25 in the BLPT

1 Chronicles 25 in the BNT

1 Chronicles 25 in the BNTABOOT

1 Chronicles 25 in the BNTLV

1 Chronicles 25 in the BOATCB

1 Chronicles 25 in the BOATCB2

1 Chronicles 25 in the BOBCV

1 Chronicles 25 in the BOCNT

1 Chronicles 25 in the BOECS

1 Chronicles 25 in the BOGWICC

1 Chronicles 25 in the BOHCB

1 Chronicles 25 in the BOHCV

1 Chronicles 25 in the BOHLNT

1 Chronicles 25 in the BOHNTLTAL

1 Chronicles 25 in the BOICB

1 Chronicles 25 in the BOILNTAP

1 Chronicles 25 in the BOITCV

1 Chronicles 25 in the BOKCV2

1 Chronicles 25 in the BOKHWOG

1 Chronicles 25 in the BOKSSV

1 Chronicles 25 in the BOLCB

1 Chronicles 25 in the BOLCB2

1 Chronicles 25 in the BOMCV

1 Chronicles 25 in the BONAV

1 Chronicles 25 in the BONCB

1 Chronicles 25 in the BONLT

1 Chronicles 25 in the BONUT2

1 Chronicles 25 in the BOPLNT

1 Chronicles 25 in the BOSCB

1 Chronicles 25 in the BOSNC

1 Chronicles 25 in the BOTLNT

1 Chronicles 25 in the BOVCB

1 Chronicles 25 in the BOYCB

1 Chronicles 25 in the BPBB

1 Chronicles 25 in the BPH

1 Chronicles 25 in the BSB

1 Chronicles 25 in the CCB

1 Chronicles 25 in the CUV

1 Chronicles 25 in the CUVS

1 Chronicles 25 in the DBT

1 Chronicles 25 in the DGDNT

1 Chronicles 25 in the DHNT

1 Chronicles 25 in the DNT

1 Chronicles 25 in the ELBE

1 Chronicles 25 in the EMTV

1 Chronicles 25 in the ESV

1 Chronicles 25 in the FBV

1 Chronicles 25 in the FEB

1 Chronicles 25 in the GGMNT

1 Chronicles 25 in the GNT

1 Chronicles 25 in the HARY

1 Chronicles 25 in the HNT

1 Chronicles 25 in the IRVA

1 Chronicles 25 in the IRVB

1 Chronicles 25 in the IRVG

1 Chronicles 25 in the IRVH

1 Chronicles 25 in the IRVK

1 Chronicles 25 in the IRVM

1 Chronicles 25 in the IRVM2

1 Chronicles 25 in the IRVO

1 Chronicles 25 in the IRVP

1 Chronicles 25 in the IRVT

1 Chronicles 25 in the IRVT2

1 Chronicles 25 in the IRVU

1 Chronicles 25 in the ISVN

1 Chronicles 25 in the JSNT

1 Chronicles 25 in the KAPI

1 Chronicles 25 in the KBT1ETNIK

1 Chronicles 25 in the KBV

1 Chronicles 25 in the KJV

1 Chronicles 25 in the KNFD

1 Chronicles 25 in the LBA

1 Chronicles 25 in the LBLA

1 Chronicles 25 in the LNT

1 Chronicles 25 in the LSV

1 Chronicles 25 in the MAAL

1 Chronicles 25 in the MBV

1 Chronicles 25 in the MBV2

1 Chronicles 25 in the MHNT

1 Chronicles 25 in the MKNFD

1 Chronicles 25 in the MNG

1 Chronicles 25 in the MNT

1 Chronicles 25 in the MNT2

1 Chronicles 25 in the MRS1T

1 Chronicles 25 in the NAA

1 Chronicles 25 in the NASB

1 Chronicles 25 in the NBLA

1 Chronicles 25 in the NBS

1 Chronicles 25 in the NBVTP

1 Chronicles 25 in the NET2

1 Chronicles 25 in the NIV11

1 Chronicles 25 in the NNT

1 Chronicles 25 in the NNT2

1 Chronicles 25 in the NNT3

1 Chronicles 25 in the PDDPT

1 Chronicles 25 in the PFNT

1 Chronicles 25 in the RMNT

1 Chronicles 25 in the SBIAS

1 Chronicles 25 in the SBIBS

1 Chronicles 25 in the SBIBS2

1 Chronicles 25 in the SBICS

1 Chronicles 25 in the SBIDS

1 Chronicles 25 in the SBIGS

1 Chronicles 25 in the SBIHS

1 Chronicles 25 in the SBIIS

1 Chronicles 25 in the SBIIS2

1 Chronicles 25 in the SBIIS3

1 Chronicles 25 in the SBIKS

1 Chronicles 25 in the SBIKS2

1 Chronicles 25 in the SBIMS

1 Chronicles 25 in the SBIOS

1 Chronicles 25 in the SBIPS

1 Chronicles 25 in the SBISS

1 Chronicles 25 in the SBITS

1 Chronicles 25 in the SBITS2

1 Chronicles 25 in the SBITS3

1 Chronicles 25 in the SBITS4

1 Chronicles 25 in the SBIUS

1 Chronicles 25 in the SBIVS

1 Chronicles 25 in the SBT

1 Chronicles 25 in the SBT1E

1 Chronicles 25 in the SCHL

1 Chronicles 25 in the SNT

1 Chronicles 25 in the SUSU

1 Chronicles 25 in the SUSU2

1 Chronicles 25 in the SYNO

1 Chronicles 25 in the TBIAOTANT

1 Chronicles 25 in the TBT1E

1 Chronicles 25 in the TBT1E2

1 Chronicles 25 in the TFTIP

1 Chronicles 25 in the TFTU

1 Chronicles 25 in the TGNTATF3T

1 Chronicles 25 in the THAI

1 Chronicles 25 in the TNFD

1 Chronicles 25 in the TNT

1 Chronicles 25 in the TNTIK

1 Chronicles 25 in the TNTIL

1 Chronicles 25 in the TNTIN

1 Chronicles 25 in the TNTIP

1 Chronicles 25 in the TNTIZ

1 Chronicles 25 in the TOMA

1 Chronicles 25 in the TTENT

1 Chronicles 25 in the UBG

1 Chronicles 25 in the UGV

1 Chronicles 25 in the UGV2

1 Chronicles 25 in the UGV3

1 Chronicles 25 in the VBL

1 Chronicles 25 in the VDCC

1 Chronicles 25 in the YALU

1 Chronicles 25 in the YAPE

1 Chronicles 25 in the YBVTP

1 Chronicles 25 in the ZBP