1 Corinthians 3 (BOKCV)
1 Ndugu zangu, mimi sikuweza kusema nanyi kama watu wa kiroho, bali kama watu wa mwilini, kama watoto wachanga katika Kristo. 2 Naliwanywesha maziwa, wala si chakula kigumu, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa hicho chakula. Naam, hata sasa hamko tayari. 3 Ninyi bado ni watu wa mwilini. Kwa kuwa bado kuna wivu na magombano miongoni mwenu, je, ninyi si watu wa mwilini? Je, si mwaendelea kama watu wa kawaida? 4 Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida? 5 Kwani, Apolo ni nani? Naye Paulo ni nani? Ni watumishi tu ambao kupitia wao mliamini, kama vile Bwana alivyompa kila mtu huduma yake. 6 Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza. 7 Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. 8 Apandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake. 9 Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu. 10 Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mmoja inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga. 11 Kwa maana hakuna mtu yeyote awezaye kuweka msingi mwingine wowote isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Yesu Kristo. 12 Kama mtu yeyote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, fedha, vito vya thamani, miti, majani au nyasi, 13 kazi yake itaonekana ilivyo, kwa kuwa Siku ile itaidhihirisha. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu. 14 Kama kile alichojenga kitabaki, atapokea thawabu yake. 15 Kama kazi kitateketea, atapata hasara, ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini tu kama mtu aliyenusurika kwenye moto. 16 Je, hamjui ya kwamba ninyi wenyewe ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? 17 Kama mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndiyo hilo hekalu. 18 Msijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima. 19 Kwa maana hekima ya ulimwengu huu ni upuzi mbele za Mungu. Kama ilivyoandikwa: “Mungu huwanasa wenye hekima katika hila yao,” 20 tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.” 21 Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu, 22 ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu 23 na ninyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.
In Other Versions
1 Corinthians 3 in the ANGEFD
1 Corinthians 3 in the ANTPNG2D
1 Corinthians 3 in the AS21
1 Corinthians 3 in the BAGH
1 Corinthians 3 in the BBPNG
1 Corinthians 3 in the BBT1E
1 Corinthians 3 in the BDS
1 Corinthians 3 in the BEV
1 Corinthians 3 in the BHAD
1 Corinthians 3 in the BIB
1 Corinthians 3 in the BLPT
1 Corinthians 3 in the BNT
1 Corinthians 3 in the BNTABOOT
1 Corinthians 3 in the BNTLV
1 Corinthians 3 in the BOATCB
1 Corinthians 3 in the BOATCB2
1 Corinthians 3 in the BOBCV
1 Corinthians 3 in the BOCNT
1 Corinthians 3 in the BOECS
1 Corinthians 3 in the BOGWICC
1 Corinthians 3 in the BOHCB
1 Corinthians 3 in the BOHCV
1 Corinthians 3 in the BOHLNT
1 Corinthians 3 in the BOHNTLTAL
1 Corinthians 3 in the BOICB
1 Corinthians 3 in the BOILNTAP
1 Corinthians 3 in the BOITCV
1 Corinthians 3 in the BOKCV2
1 Corinthians 3 in the BOKHWOG
1 Corinthians 3 in the BOKSSV
1 Corinthians 3 in the BOLCB
1 Corinthians 3 in the BOLCB2
1 Corinthians 3 in the BOMCV
1 Corinthians 3 in the BONAV
1 Corinthians 3 in the BONCB
1 Corinthians 3 in the BONLT
1 Corinthians 3 in the BONUT2
1 Corinthians 3 in the BOPLNT
1 Corinthians 3 in the BOSCB
1 Corinthians 3 in the BOSNC
1 Corinthians 3 in the BOTLNT
1 Corinthians 3 in the BOVCB
1 Corinthians 3 in the BOYCB
1 Corinthians 3 in the BPBB
1 Corinthians 3 in the BPH
1 Corinthians 3 in the BSB
1 Corinthians 3 in the CCB
1 Corinthians 3 in the CUV
1 Corinthians 3 in the CUVS
1 Corinthians 3 in the DBT
1 Corinthians 3 in the DGDNT
1 Corinthians 3 in the DHNT
1 Corinthians 3 in the DNT
1 Corinthians 3 in the ELBE
1 Corinthians 3 in the EMTV
1 Corinthians 3 in the ESV
1 Corinthians 3 in the FBV
1 Corinthians 3 in the FEB
1 Corinthians 3 in the GGMNT
1 Corinthians 3 in the GNT
1 Corinthians 3 in the HARY
1 Corinthians 3 in the HNT
1 Corinthians 3 in the IRVA
1 Corinthians 3 in the IRVB
1 Corinthians 3 in the IRVG
1 Corinthians 3 in the IRVH
1 Corinthians 3 in the IRVK
1 Corinthians 3 in the IRVM
1 Corinthians 3 in the IRVM2
1 Corinthians 3 in the IRVO
1 Corinthians 3 in the IRVP
1 Corinthians 3 in the IRVT
1 Corinthians 3 in the IRVT2
1 Corinthians 3 in the IRVU
1 Corinthians 3 in the ISVN
1 Corinthians 3 in the JSNT
1 Corinthians 3 in the KAPI
1 Corinthians 3 in the KBT1ETNIK
1 Corinthians 3 in the KBV
1 Corinthians 3 in the KJV
1 Corinthians 3 in the KNFD
1 Corinthians 3 in the LBA
1 Corinthians 3 in the LBLA
1 Corinthians 3 in the LNT
1 Corinthians 3 in the LSV
1 Corinthians 3 in the MAAL
1 Corinthians 3 in the MBV
1 Corinthians 3 in the MBV2
1 Corinthians 3 in the MHNT
1 Corinthians 3 in the MKNFD
1 Corinthians 3 in the MNG
1 Corinthians 3 in the MNT
1 Corinthians 3 in the MNT2
1 Corinthians 3 in the MRS1T
1 Corinthians 3 in the NAA
1 Corinthians 3 in the NASB
1 Corinthians 3 in the NBLA
1 Corinthians 3 in the NBS
1 Corinthians 3 in the NBVTP
1 Corinthians 3 in the NET2
1 Corinthians 3 in the NIV11
1 Corinthians 3 in the NNT
1 Corinthians 3 in the NNT2
1 Corinthians 3 in the NNT3
1 Corinthians 3 in the PDDPT
1 Corinthians 3 in the PFNT
1 Corinthians 3 in the RMNT
1 Corinthians 3 in the SBIAS
1 Corinthians 3 in the SBIBS
1 Corinthians 3 in the SBIBS2
1 Corinthians 3 in the SBICS
1 Corinthians 3 in the SBIDS
1 Corinthians 3 in the SBIGS
1 Corinthians 3 in the SBIHS
1 Corinthians 3 in the SBIIS
1 Corinthians 3 in the SBIIS2
1 Corinthians 3 in the SBIIS3
1 Corinthians 3 in the SBIKS
1 Corinthians 3 in the SBIKS2
1 Corinthians 3 in the SBIMS
1 Corinthians 3 in the SBIOS
1 Corinthians 3 in the SBIPS
1 Corinthians 3 in the SBISS
1 Corinthians 3 in the SBITS
1 Corinthians 3 in the SBITS2
1 Corinthians 3 in the SBITS3
1 Corinthians 3 in the SBITS4
1 Corinthians 3 in the SBIUS
1 Corinthians 3 in the SBIVS
1 Corinthians 3 in the SBT
1 Corinthians 3 in the SBT1E
1 Corinthians 3 in the SCHL
1 Corinthians 3 in the SNT
1 Corinthians 3 in the SUSU
1 Corinthians 3 in the SUSU2
1 Corinthians 3 in the SYNO
1 Corinthians 3 in the TBIAOTANT
1 Corinthians 3 in the TBT1E
1 Corinthians 3 in the TBT1E2
1 Corinthians 3 in the TFTIP
1 Corinthians 3 in the TFTU
1 Corinthians 3 in the TGNTATF3T
1 Corinthians 3 in the THAI
1 Corinthians 3 in the TNFD
1 Corinthians 3 in the TNT
1 Corinthians 3 in the TNTIK
1 Corinthians 3 in the TNTIL
1 Corinthians 3 in the TNTIN
1 Corinthians 3 in the TNTIP
1 Corinthians 3 in the TNTIZ
1 Corinthians 3 in the TOMA
1 Corinthians 3 in the TTENT
1 Corinthians 3 in the UBG
1 Corinthians 3 in the UGV
1 Corinthians 3 in the UGV2
1 Corinthians 3 in the UGV3
1 Corinthians 3 in the VBL
1 Corinthians 3 in the VDCC
1 Corinthians 3 in the YALU
1 Corinthians 3 in the YAPE
1 Corinthians 3 in the YBVTP
1 Corinthians 3 in the ZBP