1 Timothy 3 (BOKCV)

1 Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri. 2 Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha, 3 asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha. 4 Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia. 5 (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?) 6 Asiwe mtu aliyeokoka karibuni asije akajivuna na kuangukia kwenye hukumu ile ile ya ibilisi. 7 Inampasa pia awe na sifa njema kwa watu walio nje, ili asije akalaumiwa na kuanguka kwenye mtego wa ibilisi. 8 Vivyo hivyo, mashemasi nao wawe watu wanaostahili heshima, wasiwe wenye kauli mbili au wenye kujifurahisha kwa mvinyo, wala wanaotamani faida isiyo halali. 9 Inawapasa kushikamana sana na ile siri ya imani kwa dhamiri safi. 10 Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi. 11 Vivyo hivyo, wake zao wawe wanawake wanaostahili heshima, wasio wasingiziaji, bali wawe na kiasi na waaminifu katika kila jambo. 12 Shemasi awe mume wa mke mmoja na inampasa aweze kusimamia watoto wake na watu wa nyumbani mwake vyema. 13 Wale ambao wamehudumu vyema katika huduma ya ushemasi hujipatia msimamo bora na ujasiri mkubwa katika imani yao ndani ya Kristo Yesu. 14 Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili kwamba, 15 kama nikikawia, utajua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ndiyo kanisa la Mungu aliye hai, lililo nguzo na msingi wa kweli. 16 Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa:Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu,akathibitishwa kuwa na haki katika Roho,akaonekana na malaika,akahubiriwa miongoni mwa mataifa,akaaminiwa ulimwenguni,akachukuliwa juu katika utukufu.

In Other Versions

1 Timothy 3 in the ANGEFD

1 Timothy 3 in the ANTPNG2D

1 Timothy 3 in the AS21

1 Timothy 3 in the BAGH

1 Timothy 3 in the BBPNG

1 Timothy 3 in the BBT1E

1 Timothy 3 in the BDS

1 Timothy 3 in the BEV

1 Timothy 3 in the BHAD

1 Timothy 3 in the BIB

1 Timothy 3 in the BLPT

1 Timothy 3 in the BNT

1 Timothy 3 in the BNTABOOT

1 Timothy 3 in the BNTLV

1 Timothy 3 in the BOATCB

1 Timothy 3 in the BOATCB2

1 Timothy 3 in the BOBCV

1 Timothy 3 in the BOCNT

1 Timothy 3 in the BOECS

1 Timothy 3 in the BOGWICC

1 Timothy 3 in the BOHCB

1 Timothy 3 in the BOHCV

1 Timothy 3 in the BOHLNT

1 Timothy 3 in the BOHNTLTAL

1 Timothy 3 in the BOICB

1 Timothy 3 in the BOILNTAP

1 Timothy 3 in the BOITCV

1 Timothy 3 in the BOKCV2

1 Timothy 3 in the BOKHWOG

1 Timothy 3 in the BOKSSV

1 Timothy 3 in the BOLCB

1 Timothy 3 in the BOLCB2

1 Timothy 3 in the BOMCV

1 Timothy 3 in the BONAV

1 Timothy 3 in the BONCB

1 Timothy 3 in the BONLT

1 Timothy 3 in the BONUT2

1 Timothy 3 in the BOPLNT

1 Timothy 3 in the BOSCB

1 Timothy 3 in the BOSNC

1 Timothy 3 in the BOTLNT

1 Timothy 3 in the BOVCB

1 Timothy 3 in the BOYCB

1 Timothy 3 in the BPBB

1 Timothy 3 in the BPH

1 Timothy 3 in the BSB

1 Timothy 3 in the CCB

1 Timothy 3 in the CUV

1 Timothy 3 in the CUVS

1 Timothy 3 in the DBT

1 Timothy 3 in the DGDNT

1 Timothy 3 in the DHNT

1 Timothy 3 in the DNT

1 Timothy 3 in the ELBE

1 Timothy 3 in the EMTV

1 Timothy 3 in the ESV

1 Timothy 3 in the FBV

1 Timothy 3 in the FEB

1 Timothy 3 in the GGMNT

1 Timothy 3 in the GNT

1 Timothy 3 in the HARY

1 Timothy 3 in the HNT

1 Timothy 3 in the IRVA

1 Timothy 3 in the IRVB

1 Timothy 3 in the IRVG

1 Timothy 3 in the IRVH

1 Timothy 3 in the IRVK

1 Timothy 3 in the IRVM

1 Timothy 3 in the IRVM2

1 Timothy 3 in the IRVO

1 Timothy 3 in the IRVP

1 Timothy 3 in the IRVT

1 Timothy 3 in the IRVT2

1 Timothy 3 in the IRVU

1 Timothy 3 in the ISVN

1 Timothy 3 in the JSNT

1 Timothy 3 in the KAPI

1 Timothy 3 in the KBT1ETNIK

1 Timothy 3 in the KBV

1 Timothy 3 in the KJV

1 Timothy 3 in the KNFD

1 Timothy 3 in the LBA

1 Timothy 3 in the LBLA

1 Timothy 3 in the LNT

1 Timothy 3 in the LSV

1 Timothy 3 in the MAAL

1 Timothy 3 in the MBV

1 Timothy 3 in the MBV2

1 Timothy 3 in the MHNT

1 Timothy 3 in the MKNFD

1 Timothy 3 in the MNG

1 Timothy 3 in the MNT

1 Timothy 3 in the MNT2

1 Timothy 3 in the MRS1T

1 Timothy 3 in the NAA

1 Timothy 3 in the NASB

1 Timothy 3 in the NBLA

1 Timothy 3 in the NBS

1 Timothy 3 in the NBVTP

1 Timothy 3 in the NET2

1 Timothy 3 in the NIV11

1 Timothy 3 in the NNT

1 Timothy 3 in the NNT2

1 Timothy 3 in the NNT3

1 Timothy 3 in the PDDPT

1 Timothy 3 in the PFNT

1 Timothy 3 in the RMNT

1 Timothy 3 in the SBIAS

1 Timothy 3 in the SBIBS

1 Timothy 3 in the SBIBS2

1 Timothy 3 in the SBICS

1 Timothy 3 in the SBIDS

1 Timothy 3 in the SBIGS

1 Timothy 3 in the SBIHS

1 Timothy 3 in the SBIIS

1 Timothy 3 in the SBIIS2

1 Timothy 3 in the SBIIS3

1 Timothy 3 in the SBIKS

1 Timothy 3 in the SBIKS2

1 Timothy 3 in the SBIMS

1 Timothy 3 in the SBIOS

1 Timothy 3 in the SBIPS

1 Timothy 3 in the SBISS

1 Timothy 3 in the SBITS

1 Timothy 3 in the SBITS2

1 Timothy 3 in the SBITS3

1 Timothy 3 in the SBITS4

1 Timothy 3 in the SBIUS

1 Timothy 3 in the SBIVS

1 Timothy 3 in the SBT

1 Timothy 3 in the SBT1E

1 Timothy 3 in the SCHL

1 Timothy 3 in the SNT

1 Timothy 3 in the SUSU

1 Timothy 3 in the SUSU2

1 Timothy 3 in the SYNO

1 Timothy 3 in the TBIAOTANT

1 Timothy 3 in the TBT1E

1 Timothy 3 in the TBT1E2

1 Timothy 3 in the TFTIP

1 Timothy 3 in the TFTU

1 Timothy 3 in the TGNTATF3T

1 Timothy 3 in the THAI

1 Timothy 3 in the TNFD

1 Timothy 3 in the TNT

1 Timothy 3 in the TNTIK

1 Timothy 3 in the TNTIL

1 Timothy 3 in the TNTIN

1 Timothy 3 in the TNTIP

1 Timothy 3 in the TNTIZ

1 Timothy 3 in the TOMA

1 Timothy 3 in the TTENT

1 Timothy 3 in the UBG

1 Timothy 3 in the UGV

1 Timothy 3 in the UGV2

1 Timothy 3 in the UGV3

1 Timothy 3 in the VBL

1 Timothy 3 in the VDCC

1 Timothy 3 in the YALU

1 Timothy 3 in the YAPE

1 Timothy 3 in the YBVTP

1 Timothy 3 in the ZBP