Ezekiel 11 (BOKCV)
1 Ndipo Roho akaniinua na kunileta mpaka kwenye lango la nyumba ya BWANA linalotazama upande wa mashariki. Pale kwenye ingilio la lango kulikuwepo wanaume ishirini na watano, nami nikaona miongoni mwao Yaazania mwana wa Azuri na Pelatia mwana wa Benaya, viongozi wa watu. 2 BWANA akaniambia, “Mwanadamu, hawa ndio wafanyao hila na kutoa mashauri potovu katika mji huu. 3 Wao husema, ‘Je, hivi karibuni hautakuwa wakati wa kujenga nyumba? Mji huu ni chungu cha kupikia, nasi ndio nyama.’ 4 Kwa hiyo toa unabii dhidi yao, tabiri, Ewe mwanadamu.” 5 Kisha Roho wa BWANA akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo BWANA asemalo: Hili ndilo ninyi mnalosema, ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu. 6 Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti. 7 “Kwa hiyo hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi: maiti ulizozitupa huko ni nyama na mji huu ni chungu, lakini nitawaondoa mtoke huko. 8 Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta juu yenu, asema BWANA Mwenyezi. 9 Nitawaondoa mtoke katika mji na kuwatia mikononi mwa wageni nami nitawaadhibu. 10 Mtaanguka kwa upanga, nami nitatimiza hukumu dhidi yenu katika mipaka ya Israeli. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi BWANA. 11 Mji huu hautakuwa chungu kwa ajili yenu, wala hamtakuwa nyama ndani yake. Nitatoa hukumu dhidi yenu katika mipaka ya Israeli. 12 Nanyi mtajua ya kuwa Mimi ndimi BWANA, kwa kuwa hamkufuata amri zangu wala kuzishika sheria zangu, bali mmefuata mwenendo wa mataifa yanayowazunguka.” 13 Basi nilipokuwa ninatoa unabii, Pelatia mwana wa Benaya akafa. Ndipo nikaanguka kifudifudi, nikalia kwa sauti kuu nikasema, “Ee BWANA Mwenyezi! Je utaangamiza kabisa mabaki ya Israeli?” 14 Neno la BWANA likanijia kusema: 15 “Mwanadamu, ndugu zako, ndugu zako ambao ni wa uhusiano wa damu na nyumba yote ya Israeli, ndio wale ambao watu wa Yerusalemu wamesema, ‘Wako mbali na BWANA; nchi hii tulipewa sisi kuwa milki yetu.’ 16 “Kwa hiyo sema, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Ingawa niliwapeleka mbali miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbalimbali, lakini kwa kitambo kidogo mimi nimekuwa mahali patakatifu kwao katika nchi walizokwenda.’ 17 “Kwa hiyo sema: ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Nitawakusanyeni kutoka mataifa na kuwarudisha kutoka nchi ambazo mmetawanywa, nami nitawarudishia nchi ya Israeli.’ 18 “Watairudia nchi na kuondoa vinyago vyote vya upotovu na sanamu zote za machukizo. 19 Nitawapa moyo mmoja na kuweka roho mpya ndani yao, nitaondoa kutoka ndani yao moyo wa jiwe na kuwapa moyo wa nyama. 20 Kisha watafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii sheria zangu. Watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao. 21 Lakini kwa wale ambao mioyo yao imeambatana na vinyago vyao vya upotovu na sanamu zao za machukizo, nitaleta juu ya vichwa vyao yale waliyotenda asema BWANA Mwenyezi.” 22 Ndipo wale makerubi, wenye magurudumu pembeni mwao, wakakunjua mabawa yao, nao utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwa juu yao. 23 Basi utukufu wa BWANA ukapaa juu kutoka mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji. 24 Roho akaniinua na kunileta mpaka kwa watu wa uhamisho huko Ukaldayo nikiwa katika yale maono niliyopewa na Roho wa Mungu.Ndipo maono niliyokuwa nimeyaona yakanitoka, 25 nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu BWANA alichokuwa amenionyesha.
In Other Versions
Ezekiel 11 in the ANGEFD
Ezekiel 11 in the ANTPNG2D
Ezekiel 11 in the AS21
Ezekiel 11 in the BAGH
Ezekiel 11 in the BBPNG
Ezekiel 11 in the BBT1E
Ezekiel 11 in the BDS
Ezekiel 11 in the BEV
Ezekiel 11 in the BHAD
Ezekiel 11 in the BIB
Ezekiel 11 in the BLPT
Ezekiel 11 in the BNT
Ezekiel 11 in the BNTABOOT
Ezekiel 11 in the BNTLV
Ezekiel 11 in the BOATCB
Ezekiel 11 in the BOATCB2
Ezekiel 11 in the BOBCV
Ezekiel 11 in the BOCNT
Ezekiel 11 in the BOECS
Ezekiel 11 in the BOGWICC
Ezekiel 11 in the BOHCB
Ezekiel 11 in the BOHCV
Ezekiel 11 in the BOHLNT
Ezekiel 11 in the BOHNTLTAL
Ezekiel 11 in the BOICB
Ezekiel 11 in the BOILNTAP
Ezekiel 11 in the BOITCV
Ezekiel 11 in the BOKCV2
Ezekiel 11 in the BOKHWOG
Ezekiel 11 in the BOKSSV
Ezekiel 11 in the BOLCB
Ezekiel 11 in the BOLCB2
Ezekiel 11 in the BOMCV
Ezekiel 11 in the BONAV
Ezekiel 11 in the BONCB
Ezekiel 11 in the BONLT
Ezekiel 11 in the BONUT2
Ezekiel 11 in the BOPLNT
Ezekiel 11 in the BOSCB
Ezekiel 11 in the BOSNC
Ezekiel 11 in the BOTLNT
Ezekiel 11 in the BOVCB
Ezekiel 11 in the BOYCB
Ezekiel 11 in the BPBB
Ezekiel 11 in the BPH
Ezekiel 11 in the BSB
Ezekiel 11 in the CCB
Ezekiel 11 in the CUV
Ezekiel 11 in the CUVS
Ezekiel 11 in the DBT
Ezekiel 11 in the DGDNT
Ezekiel 11 in the DHNT
Ezekiel 11 in the DNT
Ezekiel 11 in the ELBE
Ezekiel 11 in the EMTV
Ezekiel 11 in the ESV
Ezekiel 11 in the FBV
Ezekiel 11 in the FEB
Ezekiel 11 in the GGMNT
Ezekiel 11 in the GNT
Ezekiel 11 in the HARY
Ezekiel 11 in the HNT
Ezekiel 11 in the IRVA
Ezekiel 11 in the IRVB
Ezekiel 11 in the IRVG
Ezekiel 11 in the IRVH
Ezekiel 11 in the IRVK
Ezekiel 11 in the IRVM
Ezekiel 11 in the IRVM2
Ezekiel 11 in the IRVO
Ezekiel 11 in the IRVP
Ezekiel 11 in the IRVT
Ezekiel 11 in the IRVT2
Ezekiel 11 in the IRVU
Ezekiel 11 in the ISVN
Ezekiel 11 in the JSNT
Ezekiel 11 in the KAPI
Ezekiel 11 in the KBT1ETNIK
Ezekiel 11 in the KBV
Ezekiel 11 in the KJV
Ezekiel 11 in the KNFD
Ezekiel 11 in the LBA
Ezekiel 11 in the LBLA
Ezekiel 11 in the LNT
Ezekiel 11 in the LSV
Ezekiel 11 in the MAAL
Ezekiel 11 in the MBV
Ezekiel 11 in the MBV2
Ezekiel 11 in the MHNT
Ezekiel 11 in the MKNFD
Ezekiel 11 in the MNG
Ezekiel 11 in the MNT
Ezekiel 11 in the MNT2
Ezekiel 11 in the MRS1T
Ezekiel 11 in the NAA
Ezekiel 11 in the NASB
Ezekiel 11 in the NBLA
Ezekiel 11 in the NBS
Ezekiel 11 in the NBVTP
Ezekiel 11 in the NET2
Ezekiel 11 in the NIV11
Ezekiel 11 in the NNT
Ezekiel 11 in the NNT2
Ezekiel 11 in the NNT3
Ezekiel 11 in the PDDPT
Ezekiel 11 in the PFNT
Ezekiel 11 in the RMNT
Ezekiel 11 in the SBIAS
Ezekiel 11 in the SBIBS
Ezekiel 11 in the SBIBS2
Ezekiel 11 in the SBICS
Ezekiel 11 in the SBIDS
Ezekiel 11 in the SBIGS
Ezekiel 11 in the SBIHS
Ezekiel 11 in the SBIIS
Ezekiel 11 in the SBIIS2
Ezekiel 11 in the SBIIS3
Ezekiel 11 in the SBIKS
Ezekiel 11 in the SBIKS2
Ezekiel 11 in the SBIMS
Ezekiel 11 in the SBIOS
Ezekiel 11 in the SBIPS
Ezekiel 11 in the SBISS
Ezekiel 11 in the SBITS
Ezekiel 11 in the SBITS2
Ezekiel 11 in the SBITS3
Ezekiel 11 in the SBITS4
Ezekiel 11 in the SBIUS
Ezekiel 11 in the SBIVS
Ezekiel 11 in the SBT
Ezekiel 11 in the SBT1E
Ezekiel 11 in the SCHL
Ezekiel 11 in the SNT
Ezekiel 11 in the SUSU
Ezekiel 11 in the SUSU2
Ezekiel 11 in the SYNO
Ezekiel 11 in the TBIAOTANT
Ezekiel 11 in the TBT1E
Ezekiel 11 in the TBT1E2
Ezekiel 11 in the TFTIP
Ezekiel 11 in the TFTU
Ezekiel 11 in the TGNTATF3T
Ezekiel 11 in the THAI
Ezekiel 11 in the TNFD
Ezekiel 11 in the TNT
Ezekiel 11 in the TNTIK
Ezekiel 11 in the TNTIL
Ezekiel 11 in the TNTIN
Ezekiel 11 in the TNTIP
Ezekiel 11 in the TNTIZ
Ezekiel 11 in the TOMA
Ezekiel 11 in the TTENT
Ezekiel 11 in the UBG
Ezekiel 11 in the UGV
Ezekiel 11 in the UGV2
Ezekiel 11 in the UGV3
Ezekiel 11 in the VBL
Ezekiel 11 in the VDCC
Ezekiel 11 in the YALU
Ezekiel 11 in the YAPE
Ezekiel 11 in the YBVTP
Ezekiel 11 in the ZBP