Genesis 9 (BOKCV)
1 Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia. 2 Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi, na samaki wote wa baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu. 3 Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4 “Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai. 5 Hakika damu ya uhai wenu nitaidai. Nitaidai kutoka kwa kila mnyama. Kutoka kwa kila mwanadamu pia nitaidai kwa ajili ya uhai wa mtu mwenzake. 6 “Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu,damu yake itamwagwa na mwanadamu,kwa kuwa katika mfano wa Mungu,Mungu alimuumba mwanadamu. 7 Kuhusu ninyi, zaeni mwongezeke kwa wingi, mzidi katika dunia na kuijaza.” 8 Ndipo Mungu akamwambia Noa na wanawe pamoja naye: 9 “Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu, 10 pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani. 11 Ninaweka Agano nanyi: Kamwe uhai hautafutwa tena kwa gharika, kamwe haitakuwepo tena gharika ya kuangamiza dunia.” 12 Mungu akasema, “Hii ni ishara ya Agano ninalofanya kati yangu na ninyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, Agano kwa vizazi vyote vijavyo: 13 Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia. 14 Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukijitokeza mawinguni, 15 nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote. 16 Wakati wowote upinde wa mvua unapotokea mawinguni, nitauona na kukumbuka Agano la milele kati ya Mungu na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina duniani.” 17 Hivyo Mungu akamwambia Noa, “Hii ndiyo ishara ya Agano ambalo nimelifanya kati yangu na viumbe vyote vilivyo hai duniani.” 18 Wana wa Noa waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.) 19 Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia. 20 Noa akawa mkulima, akawa mtu wa kwanza kupanda mizabibu. 21 Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake na kuwaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23 Lakini Shemu na Yafethi wakachukua nguo wakaitanda mabegani mwao wote wawili, kisha wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao. Nyuso zao zilielekea upande mwingine ili wasiuone uchi wa baba yao. 24 Noa alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea, 25 akasema,“Alaaniwe Kanaani!Atakuwa mtumwa wa chini sanakuliko watumwa wote kwa ndugu zake.” 26 Pia akasema,“Abarikiwe BWANA, Mungu wa Shemu!Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 27 Mungu na apanue mipaka ya Yafethi;Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu,na Kanaani na awe mtumwa wake.” 28 Baada ya gharika Noa aliishi miaka 350. 29 Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
In Other Versions
Genesis 9 in the ANGEFD
Genesis 9 in the ANTPNG2D
Genesis 9 in the AS21
Genesis 9 in the BAGH
Genesis 9 in the BBPNG
Genesis 9 in the BBT1E
Genesis 9 in the BDS
Genesis 9 in the BEV
Genesis 9 in the BHAD
Genesis 9 in the BIB
Genesis 9 in the BLPT
Genesis 9 in the BNT
Genesis 9 in the BNTABOOT
Genesis 9 in the BNTLV
Genesis 9 in the BOATCB
Genesis 9 in the BOATCB2
Genesis 9 in the BOBCV
Genesis 9 in the BOCNT
Genesis 9 in the BOECS
Genesis 9 in the BOGWICC
Genesis 9 in the BOHCB
Genesis 9 in the BOHCV
Genesis 9 in the BOHLNT
Genesis 9 in the BOHNTLTAL
Genesis 9 in the BOICB
Genesis 9 in the BOILNTAP
Genesis 9 in the BOITCV
Genesis 9 in the BOKCV2
Genesis 9 in the BOKHWOG
Genesis 9 in the BOKSSV
Genesis 9 in the BOLCB
Genesis 9 in the BOLCB2
Genesis 9 in the BOMCV
Genesis 9 in the BONAV
Genesis 9 in the BONCB
Genesis 9 in the BONLT
Genesis 9 in the BONUT2
Genesis 9 in the BOPLNT
Genesis 9 in the BOSCB
Genesis 9 in the BOSNC
Genesis 9 in the BOTLNT
Genesis 9 in the BOVCB
Genesis 9 in the BOYCB
Genesis 9 in the BPBB
Genesis 9 in the BPH
Genesis 9 in the BSB
Genesis 9 in the CCB
Genesis 9 in the CUV
Genesis 9 in the CUVS
Genesis 9 in the DBT
Genesis 9 in the DGDNT
Genesis 9 in the DHNT
Genesis 9 in the DNT
Genesis 9 in the ELBE
Genesis 9 in the EMTV
Genesis 9 in the ESV
Genesis 9 in the FBV
Genesis 9 in the FEB
Genesis 9 in the GGMNT
Genesis 9 in the GNT
Genesis 9 in the HARY
Genesis 9 in the HNT
Genesis 9 in the IRVA
Genesis 9 in the IRVB
Genesis 9 in the IRVG
Genesis 9 in the IRVH
Genesis 9 in the IRVK
Genesis 9 in the IRVM
Genesis 9 in the IRVM2
Genesis 9 in the IRVO
Genesis 9 in the IRVP
Genesis 9 in the IRVT
Genesis 9 in the IRVT2
Genesis 9 in the IRVU
Genesis 9 in the ISVN
Genesis 9 in the JSNT
Genesis 9 in the KAPI
Genesis 9 in the KBT1ETNIK
Genesis 9 in the KBV
Genesis 9 in the KJV
Genesis 9 in the KNFD
Genesis 9 in the LBA
Genesis 9 in the LBLA
Genesis 9 in the LNT
Genesis 9 in the LSV
Genesis 9 in the MAAL
Genesis 9 in the MBV
Genesis 9 in the MBV2
Genesis 9 in the MHNT
Genesis 9 in the MKNFD
Genesis 9 in the MNG
Genesis 9 in the MNT
Genesis 9 in the MNT2
Genesis 9 in the MRS1T
Genesis 9 in the NAA
Genesis 9 in the NASB
Genesis 9 in the NBLA
Genesis 9 in the NBS
Genesis 9 in the NBVTP
Genesis 9 in the NET2
Genesis 9 in the NIV11
Genesis 9 in the NNT
Genesis 9 in the NNT2
Genesis 9 in the NNT3
Genesis 9 in the PDDPT
Genesis 9 in the PFNT
Genesis 9 in the RMNT
Genesis 9 in the SBIAS
Genesis 9 in the SBIBS
Genesis 9 in the SBIBS2
Genesis 9 in the SBICS
Genesis 9 in the SBIDS
Genesis 9 in the SBIGS
Genesis 9 in the SBIHS
Genesis 9 in the SBIIS
Genesis 9 in the SBIIS2
Genesis 9 in the SBIIS3
Genesis 9 in the SBIKS
Genesis 9 in the SBIKS2
Genesis 9 in the SBIMS
Genesis 9 in the SBIOS
Genesis 9 in the SBIPS
Genesis 9 in the SBISS
Genesis 9 in the SBITS
Genesis 9 in the SBITS2
Genesis 9 in the SBITS3
Genesis 9 in the SBITS4
Genesis 9 in the SBIUS
Genesis 9 in the SBIVS
Genesis 9 in the SBT
Genesis 9 in the SBT1E
Genesis 9 in the SCHL
Genesis 9 in the SNT
Genesis 9 in the SUSU
Genesis 9 in the SUSU2
Genesis 9 in the SYNO
Genesis 9 in the TBIAOTANT
Genesis 9 in the TBT1E
Genesis 9 in the TBT1E2
Genesis 9 in the TFTIP
Genesis 9 in the TFTU
Genesis 9 in the TGNTATF3T
Genesis 9 in the THAI
Genesis 9 in the TNFD
Genesis 9 in the TNT
Genesis 9 in the TNTIK
Genesis 9 in the TNTIL
Genesis 9 in the TNTIN
Genesis 9 in the TNTIP
Genesis 9 in the TNTIZ
Genesis 9 in the TOMA
Genesis 9 in the TTENT
Genesis 9 in the UBG
Genesis 9 in the UGV
Genesis 9 in the UGV2
Genesis 9 in the UGV3
Genesis 9 in the VBL
Genesis 9 in the VDCC
Genesis 9 in the YALU
Genesis 9 in the YAPE
Genesis 9 in the YBVTP
Genesis 9 in the ZBP