Joshua 23 (BOKCV)

1 Baada ya muda mrefu kupita, naye BWANA akawa amewapa Israeli pumziko mbele ya adui zao wote waliowazunguka, Yoshua, wakati huo akiwa mzee na umri ukiwa umeendelea sana, 2 akawaita Israeli wote, wazee wao, viongozi, waamuzi na maafisa Yoshua akawaambia: “Mimi ni mzee na umri wangu umeendelea sana. 3 Ninyi wenyewe mmeona kila kitu BWANA Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni BWANA Mungu wenu aliyewapigania. 4 Kumbukeni jinsi nilivyowagawia kama urithi kwa makabila yenu yote nchi ya mataifa yaliyobaki, yaani mataifa niliyowashinda, kati ya Mto Yordani na Bahari kuu upande wa magharibi. 5 BWANA Mungu wenu mwenyewe atawaondoa watoke mbele yenu. Atawafukuza mbele yenu, nanyi mtamiliki nchi yao, kama vile BWANA Mungu wenu alivyowaahidi. 6 “Kuweni hodari sana, kuweni waangalifu kutii yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria ya Mose, pasipo kugeuka upande wa kuume au kushoto. 7 Msishirikiane na mataifa yaliyobakia katikati yenu, wala msiombe kwa majina ya miungu yao au kuapa kwayo. Msiitumikie wala kuisujudia. 8 Bali mtashikamana kwa uthabiti na BWANA, Mungu wenu, kama vile ambavyo mmefanya mpaka sasa. 9 “BWANA amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, mpaka siku ya leo hakuna yeyote aliyeweza kusimama mbele yenu. 10 Mtu mmoja miongoni mwenu anafukuza watu elfu, kwa kuwa BWANA Mungu wenu anawapigania, kama alivyoahidi. 11 Kwa hiyo kuweni waangalifu sana kumpenda BWANA Mungu wenu. 12 “Lakini ikiwa mtageuka na kushikamana na mabaki ya mataifa haya yaliyosalia katikati yenu na kama mtaoana na kushirikiana nao, 13 basi mwe na hakika kuwa BWANA Mungu wenu hatawafukuza tena mataifa hayo mbele yenu. Badala yake, watakuwa tanzi na mitego kwenu, mijeledi migongoni mwenu, na miiba machoni mwenu, mpaka mwangamie kutoka nchi hii nzuri, ambayo BWANA Mungu wenu amewapa. 14 “Sasa mimi ninakaribia kwenda katika njia ya watu wote wa dunia. Mnajua kwa mioyo yenu na roho zenu kwamba hakuna ahadi zozote njema BWANA Mungu wenu alizowaahidia, ambazo hazikutimia. Kila ahadi imetimizwa, hakuna hata moja ambayo haikutimia. 15 Lakini kama vile kila ahadi njema ya BWANA Mungu wenu imekuwa kweli, vivyo hivyo BWANA ataleta maovu yote kama alivyo onya, mpaka awe amewaangamiza kutoka nchi hii nzuri aliyowapa. 16 Kama mkilivunja agano la BWANA Mungu wenu, ambalo aliwaamuru ninyi, mkaenda na kuitumikia miungu mingine na kuisujudia, hasira ya BWANA itawaka dhidi yenu, nanyi mtaangamia kutoka nchi nzuri aliyowapa ninyi.”

In Other Versions

Joshua 23 in the ANGEFD

Joshua 23 in the ANTPNG2D

Joshua 23 in the AS21

Joshua 23 in the BAGH

Joshua 23 in the BBPNG

Joshua 23 in the BBT1E

Joshua 23 in the BDS

Joshua 23 in the BEV

Joshua 23 in the BHAD

Joshua 23 in the BIB

Joshua 23 in the BLPT

Joshua 23 in the BNT

Joshua 23 in the BNTABOOT

Joshua 23 in the BNTLV

Joshua 23 in the BOATCB

Joshua 23 in the BOATCB2

Joshua 23 in the BOBCV

Joshua 23 in the BOCNT

Joshua 23 in the BOECS

Joshua 23 in the BOGWICC

Joshua 23 in the BOHCB

Joshua 23 in the BOHCV

Joshua 23 in the BOHLNT

Joshua 23 in the BOHNTLTAL

Joshua 23 in the BOICB

Joshua 23 in the BOILNTAP

Joshua 23 in the BOITCV

Joshua 23 in the BOKCV2

Joshua 23 in the BOKHWOG

Joshua 23 in the BOKSSV

Joshua 23 in the BOLCB

Joshua 23 in the BOLCB2

Joshua 23 in the BOMCV

Joshua 23 in the BONAV

Joshua 23 in the BONCB

Joshua 23 in the BONLT

Joshua 23 in the BONUT2

Joshua 23 in the BOPLNT

Joshua 23 in the BOSCB

Joshua 23 in the BOSNC

Joshua 23 in the BOTLNT

Joshua 23 in the BOVCB

Joshua 23 in the BOYCB

Joshua 23 in the BPBB

Joshua 23 in the BPH

Joshua 23 in the BSB

Joshua 23 in the CCB

Joshua 23 in the CUV

Joshua 23 in the CUVS

Joshua 23 in the DBT

Joshua 23 in the DGDNT

Joshua 23 in the DHNT

Joshua 23 in the DNT

Joshua 23 in the ELBE

Joshua 23 in the EMTV

Joshua 23 in the ESV

Joshua 23 in the FBV

Joshua 23 in the FEB

Joshua 23 in the GGMNT

Joshua 23 in the GNT

Joshua 23 in the HARY

Joshua 23 in the HNT

Joshua 23 in the IRVA

Joshua 23 in the IRVB

Joshua 23 in the IRVG

Joshua 23 in the IRVH

Joshua 23 in the IRVK

Joshua 23 in the IRVM

Joshua 23 in the IRVM2

Joshua 23 in the IRVO

Joshua 23 in the IRVP

Joshua 23 in the IRVT

Joshua 23 in the IRVT2

Joshua 23 in the IRVU

Joshua 23 in the ISVN

Joshua 23 in the JSNT

Joshua 23 in the KAPI

Joshua 23 in the KBT1ETNIK

Joshua 23 in the KBV

Joshua 23 in the KJV

Joshua 23 in the KNFD

Joshua 23 in the LBA

Joshua 23 in the LBLA

Joshua 23 in the LNT

Joshua 23 in the LSV

Joshua 23 in the MAAL

Joshua 23 in the MBV

Joshua 23 in the MBV2

Joshua 23 in the MHNT

Joshua 23 in the MKNFD

Joshua 23 in the MNG

Joshua 23 in the MNT

Joshua 23 in the MNT2

Joshua 23 in the MRS1T

Joshua 23 in the NAA

Joshua 23 in the NASB

Joshua 23 in the NBLA

Joshua 23 in the NBS

Joshua 23 in the NBVTP

Joshua 23 in the NET2

Joshua 23 in the NIV11

Joshua 23 in the NNT

Joshua 23 in the NNT2

Joshua 23 in the NNT3

Joshua 23 in the PDDPT

Joshua 23 in the PFNT

Joshua 23 in the RMNT

Joshua 23 in the SBIAS

Joshua 23 in the SBIBS

Joshua 23 in the SBIBS2

Joshua 23 in the SBICS

Joshua 23 in the SBIDS

Joshua 23 in the SBIGS

Joshua 23 in the SBIHS

Joshua 23 in the SBIIS

Joshua 23 in the SBIIS2

Joshua 23 in the SBIIS3

Joshua 23 in the SBIKS

Joshua 23 in the SBIKS2

Joshua 23 in the SBIMS

Joshua 23 in the SBIOS

Joshua 23 in the SBIPS

Joshua 23 in the SBISS

Joshua 23 in the SBITS

Joshua 23 in the SBITS2

Joshua 23 in the SBITS3

Joshua 23 in the SBITS4

Joshua 23 in the SBIUS

Joshua 23 in the SBIVS

Joshua 23 in the SBT

Joshua 23 in the SBT1E

Joshua 23 in the SCHL

Joshua 23 in the SNT

Joshua 23 in the SUSU

Joshua 23 in the SUSU2

Joshua 23 in the SYNO

Joshua 23 in the TBIAOTANT

Joshua 23 in the TBT1E

Joshua 23 in the TBT1E2

Joshua 23 in the TFTIP

Joshua 23 in the TFTU

Joshua 23 in the TGNTATF3T

Joshua 23 in the THAI

Joshua 23 in the TNFD

Joshua 23 in the TNT

Joshua 23 in the TNTIK

Joshua 23 in the TNTIL

Joshua 23 in the TNTIN

Joshua 23 in the TNTIP

Joshua 23 in the TNTIZ

Joshua 23 in the TOMA

Joshua 23 in the TTENT

Joshua 23 in the UBG

Joshua 23 in the UGV

Joshua 23 in the UGV2

Joshua 23 in the UGV3

Joshua 23 in the VBL

Joshua 23 in the VDCC

Joshua 23 in the YALU

Joshua 23 in the YAPE

Joshua 23 in the YBVTP

Joshua 23 in the ZBP