Proverbs 25 (BOKCV)

1 Hizi ni mithali zaidi za Solomoni, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda: 2 Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo,bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 3 Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini,ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. 4 Ondoa takataka kwenye madini ya fedha,nako ndani yake kutatokea chombocha mfua fedha. 5 Ondoa waovu mbele ya mfalme,nacho kiti chake cha enzikitaimarishwa kwa njia ya haki. 6 Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme,wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 7 ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,”kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu. Kile ulichokiona kwa macho yako 8 usiharakishe kukipeleka mahakamani,maana utafanya nini mwishonikama jirani yako atakuaibisha? 9 Kama ukifanya shauri na jirani yako,usisaliti siri ya mtu mwingine, 10 ama yeye aisikiaye aweza kukuaibishana kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. 11 Neno lisemwalo kwa wakati ufaaoni kama matunda ya mtofaa ya dhahabuyaliyowekwa kwenye vijalizo vya fedha. 12 Kama vile kipuli cha dhahabuau pambo la dhahabu safi,ndivyo lilivyo karipio la mtu mwenye hekimakwa sikio lisikilizalo. 13 Kama vile ubaridi wa theluji wakati wa mavunondivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwa wale wamtumao,huburudisha roho za bwana zake. 14 Kama vile mawingu na upepo pasipo mvuandivyo alivyo mtu ajisifuye kwa zawadi ambazo hatoi. 15 Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa,nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa. 16 Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha,ukila zaidi, utatapika. 17 Ingiza mguu wako nyumbani kwa jirani yako mara chache,ukizidisha, atakukinai na atakuchukia. 18 Kama vile rungu au upanga au mshale mkalindivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. 19 Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa,ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 20 Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi,au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi,ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 21 Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale;kama ana kiu, mpe maji anywe. 22 Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake,naye BWANA atakupa thawabu. 23 Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua,ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira. 24 Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba,kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 25 Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochokandivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. 26 Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope aukisima kilichotiwa takandivyo alivyo mtu mwenye hakiakishiriki na waovu. 27 Si vyema kula asali nyingi sana,wala si heshimakujitafutia heshima yako mwenyewe. 28 Kama vile mji ambao kuta zake zimebomokandivyo alivyo mtuambaye hawezi kujitawala mwenyewe.

In Other Versions

Proverbs 25 in the ANGEFD

Proverbs 25 in the ANTPNG2D

Proverbs 25 in the AS21

Proverbs 25 in the BAGH

Proverbs 25 in the BBPNG

Proverbs 25 in the BBT1E

Proverbs 25 in the BDS

Proverbs 25 in the BEV

Proverbs 25 in the BHAD

Proverbs 25 in the BIB

Proverbs 25 in the BLPT

Proverbs 25 in the BNT

Proverbs 25 in the BNTABOOT

Proverbs 25 in the BNTLV

Proverbs 25 in the BOATCB

Proverbs 25 in the BOATCB2

Proverbs 25 in the BOBCV

Proverbs 25 in the BOCNT

Proverbs 25 in the BOECS

Proverbs 25 in the BOGWICC

Proverbs 25 in the BOHCB

Proverbs 25 in the BOHCV

Proverbs 25 in the BOHLNT

Proverbs 25 in the BOHNTLTAL

Proverbs 25 in the BOICB

Proverbs 25 in the BOILNTAP

Proverbs 25 in the BOITCV

Proverbs 25 in the BOKCV2

Proverbs 25 in the BOKHWOG

Proverbs 25 in the BOKSSV

Proverbs 25 in the BOLCB

Proverbs 25 in the BOLCB2

Proverbs 25 in the BOMCV

Proverbs 25 in the BONAV

Proverbs 25 in the BONCB

Proverbs 25 in the BONLT

Proverbs 25 in the BONUT2

Proverbs 25 in the BOPLNT

Proverbs 25 in the BOSCB

Proverbs 25 in the BOSNC

Proverbs 25 in the BOTLNT

Proverbs 25 in the BOVCB

Proverbs 25 in the BOYCB

Proverbs 25 in the BPBB

Proverbs 25 in the BPH

Proverbs 25 in the BSB

Proverbs 25 in the CCB

Proverbs 25 in the CUV

Proverbs 25 in the CUVS

Proverbs 25 in the DBT

Proverbs 25 in the DGDNT

Proverbs 25 in the DHNT

Proverbs 25 in the DNT

Proverbs 25 in the ELBE

Proverbs 25 in the EMTV

Proverbs 25 in the ESV

Proverbs 25 in the FBV

Proverbs 25 in the FEB

Proverbs 25 in the GGMNT

Proverbs 25 in the GNT

Proverbs 25 in the HARY

Proverbs 25 in the HNT

Proverbs 25 in the IRVA

Proverbs 25 in the IRVB

Proverbs 25 in the IRVG

Proverbs 25 in the IRVH

Proverbs 25 in the IRVK

Proverbs 25 in the IRVM

Proverbs 25 in the IRVM2

Proverbs 25 in the IRVO

Proverbs 25 in the IRVP

Proverbs 25 in the IRVT

Proverbs 25 in the IRVT2

Proverbs 25 in the IRVU

Proverbs 25 in the ISVN

Proverbs 25 in the JSNT

Proverbs 25 in the KAPI

Proverbs 25 in the KBT1ETNIK

Proverbs 25 in the KBV

Proverbs 25 in the KJV

Proverbs 25 in the KNFD

Proverbs 25 in the LBA

Proverbs 25 in the LBLA

Proverbs 25 in the LNT

Proverbs 25 in the LSV

Proverbs 25 in the MAAL

Proverbs 25 in the MBV

Proverbs 25 in the MBV2

Proverbs 25 in the MHNT

Proverbs 25 in the MKNFD

Proverbs 25 in the MNG

Proverbs 25 in the MNT

Proverbs 25 in the MNT2

Proverbs 25 in the MRS1T

Proverbs 25 in the NAA

Proverbs 25 in the NASB

Proverbs 25 in the NBLA

Proverbs 25 in the NBS

Proverbs 25 in the NBVTP

Proverbs 25 in the NET2

Proverbs 25 in the NIV11

Proverbs 25 in the NNT

Proverbs 25 in the NNT2

Proverbs 25 in the NNT3

Proverbs 25 in the PDDPT

Proverbs 25 in the PFNT

Proverbs 25 in the RMNT

Proverbs 25 in the SBIAS

Proverbs 25 in the SBIBS

Proverbs 25 in the SBIBS2

Proverbs 25 in the SBICS

Proverbs 25 in the SBIDS

Proverbs 25 in the SBIGS

Proverbs 25 in the SBIHS

Proverbs 25 in the SBIIS

Proverbs 25 in the SBIIS2

Proverbs 25 in the SBIIS3

Proverbs 25 in the SBIKS

Proverbs 25 in the SBIKS2

Proverbs 25 in the SBIMS

Proverbs 25 in the SBIOS

Proverbs 25 in the SBIPS

Proverbs 25 in the SBISS

Proverbs 25 in the SBITS

Proverbs 25 in the SBITS2

Proverbs 25 in the SBITS3

Proverbs 25 in the SBITS4

Proverbs 25 in the SBIUS

Proverbs 25 in the SBIVS

Proverbs 25 in the SBT

Proverbs 25 in the SBT1E

Proverbs 25 in the SCHL

Proverbs 25 in the SNT

Proverbs 25 in the SUSU

Proverbs 25 in the SUSU2

Proverbs 25 in the SYNO

Proverbs 25 in the TBIAOTANT

Proverbs 25 in the TBT1E

Proverbs 25 in the TBT1E2

Proverbs 25 in the TFTIP

Proverbs 25 in the TFTU

Proverbs 25 in the TGNTATF3T

Proverbs 25 in the THAI

Proverbs 25 in the TNFD

Proverbs 25 in the TNT

Proverbs 25 in the TNTIK

Proverbs 25 in the TNTIL

Proverbs 25 in the TNTIN

Proverbs 25 in the TNTIP

Proverbs 25 in the TNTIZ

Proverbs 25 in the TOMA

Proverbs 25 in the TTENT

Proverbs 25 in the UBG

Proverbs 25 in the UGV

Proverbs 25 in the UGV2

Proverbs 25 in the UGV3

Proverbs 25 in the VBL

Proverbs 25 in the VDCC

Proverbs 25 in the YALU

Proverbs 25 in the YAPE

Proverbs 25 in the YBVTP

Proverbs 25 in the ZBP