Psalms 23 (BOKCV)
undefined Zaburi ya Daudi. 1 BWANA ndiye mchungaji wangu,sitapungukiwa na kitu. 2 Hunilaza katika malishoya majani mabichi,kando ya maji matulivu huniongoza, 3 hunihuisha nafsi yangu.Huniongoza katika njia za hakikwa ajili ya jina lake. 4 Hata kama nikipita katikatiya bonde la uvuli wa mauti,sitaogopa mabaya,kwa maana wewe upo pamoja nami;fimbo yako na mkongojo wakovyanifariji. 5 Waandaa meza mbele yangumachoni pa adui zangu.Umenipaka mafuta kichwani pangu,kikombe changu kinafurika. 6 Hakika wema na upendo vitanifuatasiku zote za maisha yangu,nami nitakaa nyumbani mwa BWANAmilele.