2 Chronicles 1 (BOKCV)
1 Solomoni mwana wa Daudi alijiimarisha kwenye milango yote! Katika ufalme wake, kwa kuwa BWANA Mungu wake alikuwa pamoja naye, naye akamfanya mkuu mno. 2 Ndipo Solomoni akasema na Israeli wote, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, waamuzi na viongozi wote katika Israeli, pamoja na wakuu wa jamaa. 3 Naye Solomoni na kusanyiko lote wakakwea mpaka mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni, kwa kuwa huko ndiko Hema la Kukutania la Mungu lilipokuwa, ambalo Mose mtumishi wa BWANA alikuwa amelitengeneza huko jangwani. 4 Basi Daudi alikuwa amelipandisha Sanduku la Mungu kutoka Kiriath-Yearimu mpaka mahali alipokuwa amepatengeneza kwa ajili yake, kwa sababu alikuwa amesimamisha hema kwa ajili ya hilo Sanduku huko Yerusalemu. 5 Lakini yale madhabahu ya shaba ambayo Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, alikuwa ametengeneza yalikuwa huko Gibeoni mbele ya Maskani ya BWANA Mungu, hivyo Solomoni na kusanyiko lote walimtafuta Mungu huko. 6 Solomoni akapanda huko yalikokuwa madhabahu ya shaba mbele za BWANA katika Hema la Kukutania, na kutoa dhabihu 1,000 za sadaka za kuteketezwa juu yake. 7 Usiku ule Mungu akamtokea Solomoni na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.” 8 Solomoni akamjibu Mungu, “Umemwonyesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, nawe umeniweka niwe mfalme mahali pake. 9 Sasa, BWANA Mungu, ahadi yako kwa baba yangu Daudi na ithibitike, kwa kuwa umenifanya mimi mfalme juu ya watu ambao ni wengi kama mavumbi ya nchi. 10 Nakuomba unipe mimi hekima na maarifa, ili niweze kuongoza watu hawa, kwa kuwa ni nani awezaye kutawala hawa watu wako walio wengi hivi?” 11 Mungu akamwambia Solomoni, “Kwa kuwa jambo hili ndilo shauku ya moyo wako na hukuomba mali, utajiri au heshima, wala kifo kwa ajili ya adui zako, nawe kwa kuwa hukuomba maisha marefu, bali umeomba hekima na maarifa ili kuongoza watu wangu ambao nimekufanya uwe mfalme juu yao, 12 kwa hiyo utapewa hekima na maarifa. Tena nitakupa pia mali, utajiri na heshima, ambavyo hakuna mfalme yeyote aliyekuwepo kabla yako amewahi kuwa navyo, na hakuna yeyote baada yako atakayekuwa navyo.” 13 Ndipo Solomoni akaenda mpaka Yerusalemu kutoka mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni, kutoka mbele ya Hema la Kukutania. Naye akatawala Israeli. 14 Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. 15 Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani. 16 Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. 17 Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha, na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
In Other Versions
2 Chronicles 1 in the ANGEFD
2 Chronicles 1 in the ANTPNG2D
2 Chronicles 1 in the AS21
2 Chronicles 1 in the BAGH
2 Chronicles 1 in the BBPNG
2 Chronicles 1 in the BBT1E
2 Chronicles 1 in the BDS
2 Chronicles 1 in the BEV
2 Chronicles 1 in the BHAD
2 Chronicles 1 in the BIB
2 Chronicles 1 in the BLPT
2 Chronicles 1 in the BNT
2 Chronicles 1 in the BNTABOOT
2 Chronicles 1 in the BNTLV
2 Chronicles 1 in the BOATCB
2 Chronicles 1 in the BOATCB2
2 Chronicles 1 in the BOBCV
2 Chronicles 1 in the BOCNT
2 Chronicles 1 in the BOECS
2 Chronicles 1 in the BOGWICC
2 Chronicles 1 in the BOHCB
2 Chronicles 1 in the BOHCV
2 Chronicles 1 in the BOHLNT
2 Chronicles 1 in the BOHNTLTAL
2 Chronicles 1 in the BOICB
2 Chronicles 1 in the BOILNTAP
2 Chronicles 1 in the BOITCV
2 Chronicles 1 in the BOKCV2
2 Chronicles 1 in the BOKHWOG
2 Chronicles 1 in the BOKSSV
2 Chronicles 1 in the BOLCB
2 Chronicles 1 in the BOLCB2
2 Chronicles 1 in the BOMCV
2 Chronicles 1 in the BONAV
2 Chronicles 1 in the BONCB
2 Chronicles 1 in the BONLT
2 Chronicles 1 in the BONUT2
2 Chronicles 1 in the BOPLNT
2 Chronicles 1 in the BOSCB
2 Chronicles 1 in the BOSNC
2 Chronicles 1 in the BOTLNT
2 Chronicles 1 in the BOVCB
2 Chronicles 1 in the BOYCB
2 Chronicles 1 in the BPBB
2 Chronicles 1 in the BPH
2 Chronicles 1 in the BSB
2 Chronicles 1 in the CCB
2 Chronicles 1 in the CUV
2 Chronicles 1 in the CUVS
2 Chronicles 1 in the DBT
2 Chronicles 1 in the DGDNT
2 Chronicles 1 in the DHNT
2 Chronicles 1 in the DNT
2 Chronicles 1 in the ELBE
2 Chronicles 1 in the EMTV
2 Chronicles 1 in the ESV
2 Chronicles 1 in the FBV
2 Chronicles 1 in the FEB
2 Chronicles 1 in the GGMNT
2 Chronicles 1 in the GNT
2 Chronicles 1 in the HARY
2 Chronicles 1 in the HNT
2 Chronicles 1 in the IRVA
2 Chronicles 1 in the IRVB
2 Chronicles 1 in the IRVG
2 Chronicles 1 in the IRVH
2 Chronicles 1 in the IRVK
2 Chronicles 1 in the IRVM
2 Chronicles 1 in the IRVM2
2 Chronicles 1 in the IRVO
2 Chronicles 1 in the IRVP
2 Chronicles 1 in the IRVT
2 Chronicles 1 in the IRVT2
2 Chronicles 1 in the IRVU
2 Chronicles 1 in the ISVN
2 Chronicles 1 in the JSNT
2 Chronicles 1 in the KAPI
2 Chronicles 1 in the KBT1ETNIK
2 Chronicles 1 in the KBV
2 Chronicles 1 in the KJV
2 Chronicles 1 in the KNFD
2 Chronicles 1 in the LBA
2 Chronicles 1 in the LBLA
2 Chronicles 1 in the LNT
2 Chronicles 1 in the LSV
2 Chronicles 1 in the MAAL
2 Chronicles 1 in the MBV
2 Chronicles 1 in the MBV2
2 Chronicles 1 in the MHNT
2 Chronicles 1 in the MKNFD
2 Chronicles 1 in the MNG
2 Chronicles 1 in the MNT
2 Chronicles 1 in the MNT2
2 Chronicles 1 in the MRS1T
2 Chronicles 1 in the NAA
2 Chronicles 1 in the NASB
2 Chronicles 1 in the NBLA
2 Chronicles 1 in the NBS
2 Chronicles 1 in the NBVTP
2 Chronicles 1 in the NET2
2 Chronicles 1 in the NIV11
2 Chronicles 1 in the NNT
2 Chronicles 1 in the NNT2
2 Chronicles 1 in the NNT3
2 Chronicles 1 in the PDDPT
2 Chronicles 1 in the PFNT
2 Chronicles 1 in the RMNT
2 Chronicles 1 in the SBIAS
2 Chronicles 1 in the SBIBS
2 Chronicles 1 in the SBIBS2
2 Chronicles 1 in the SBICS
2 Chronicles 1 in the SBIDS
2 Chronicles 1 in the SBIGS
2 Chronicles 1 in the SBIHS
2 Chronicles 1 in the SBIIS
2 Chronicles 1 in the SBIIS2
2 Chronicles 1 in the SBIIS3
2 Chronicles 1 in the SBIKS
2 Chronicles 1 in the SBIKS2
2 Chronicles 1 in the SBIMS
2 Chronicles 1 in the SBIOS
2 Chronicles 1 in the SBIPS
2 Chronicles 1 in the SBISS
2 Chronicles 1 in the SBITS
2 Chronicles 1 in the SBITS2
2 Chronicles 1 in the SBITS3
2 Chronicles 1 in the SBITS4
2 Chronicles 1 in the SBIUS
2 Chronicles 1 in the SBIVS
2 Chronicles 1 in the SBT
2 Chronicles 1 in the SBT1E
2 Chronicles 1 in the SCHL
2 Chronicles 1 in the SNT
2 Chronicles 1 in the SUSU
2 Chronicles 1 in the SUSU2
2 Chronicles 1 in the SYNO
2 Chronicles 1 in the TBIAOTANT
2 Chronicles 1 in the TBT1E
2 Chronicles 1 in the TBT1E2
2 Chronicles 1 in the TFTIP
2 Chronicles 1 in the TFTU
2 Chronicles 1 in the TGNTATF3T
2 Chronicles 1 in the THAI
2 Chronicles 1 in the TNFD
2 Chronicles 1 in the TNT
2 Chronicles 1 in the TNTIK
2 Chronicles 1 in the TNTIL
2 Chronicles 1 in the TNTIN
2 Chronicles 1 in the TNTIP
2 Chronicles 1 in the TNTIZ
2 Chronicles 1 in the TOMA
2 Chronicles 1 in the TTENT
2 Chronicles 1 in the UBG
2 Chronicles 1 in the UGV
2 Chronicles 1 in the UGV2
2 Chronicles 1 in the UGV3
2 Chronicles 1 in the VBL
2 Chronicles 1 in the VDCC
2 Chronicles 1 in the YALU
2 Chronicles 1 in the YAPE
2 Chronicles 1 in the YBVTP
2 Chronicles 1 in the ZBP