2 Chronicles 14 (BOKCV)

1 Naye Abiya akalala na baba zake, akazikwa katika Mji wa Daudi. Asa mwanawe akawa mfalme baada yake. Katika siku zake, nchi ikawa na amani kwa miaka kumi. 2 Asa akatenda yaliyo mema na haki machoni pa BWANA Mungu wake. 3 Akaziondoa madhabahu za kigeni na mahali pa juu pa kuabudia miungu, akayavunja yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Maashera. 4 Akawaamuru Yuda kumtafuta BWANA, Mungu wa baba zao na kutii sheria zake na amri zake. 5 Akaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu na madhabahu za kufukizia uvumba kwenye kila mji katika Yuda, nao ufalme ulikuwa na amani katika utawala wake. 6 Akajenga miji yenye ngome katika Yuda, wakati nchi ikiwa na amani. Hakuna mtu yeyote aliyepigana vita naye katika miaka hiyo, kwa kuwa BWANA alimstarehesha. 7 Mfalme akawaambia Yuda, “Tuijenge hii miji na tuizungushie kuta, pamoja na minara, malango na makomeo. Nchi bado ni yetu, kwa sababu tumemtafuta BWANA Mungu wetu, tulimtafuta naye ametupa raha kila upande.” Hivyo wakajenga na wakafanikiwa. 8 Asa alikuwa na jeshi la watu 300,000 kutoka Yuda, wenye ngao kubwa na mikuki na jeshi la watu 280,000 kutoka Benyamini, wenye ngao ndogo na pinde. Watu hawa wote walikuwa wapiganaji mashujaa. 9 Zera Mkushi akatoka kupigana dhidi yao akiwa na jeshi la watu maelfu ya maelfu na magari ya vita 300, nao wakaja mpaka Maresha. 10 Asa akatoka kumkabili, nao wakapanga vita katika Bonde la Sefatha karibu na Maresha. 11 Kisha Asa akamlilia BWANA Mungu wake na kusema, “Ee BWANA, hakuna yeyote aliye kama wewe wa kuwasaidia wasio na nguvu dhidi ya wenye nguvu. Utusaidie, Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu wetu, kwa kuwa tunakutumainia wewe, nasi kwa jina lako tumekuja dhidi ya jeshi hili kubwa. Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu wetu, usiwaache wanadamu wakushinde wewe.” 12 BWANA akawapiga Wakushi mbele ya Asa na Yuda. Wakushi wakakimbia, 13 naye Asa na jeshi lake wakawafuatia mpaka Gerari. Idadi kubwa ya Wakushi ilianguka hata wasiweze kuinuka tena, wakapondapondwa mbele za BWANA na majeshi yake. 14 Watu wa Yuda wakachukua nyara nyingi sana, wakaangamiza vijiji vyote vinavyoizunguka Gerari, kwa kuwa hofu ya BWANA ilikuwa imewaangukia. Wakateka nyara vijiji hivi vyote, kwani kulikuwepo nyara nyingi huko. 15 Pia wakashambulia kambi za wachunga makundi ya wanyama wakachukua na kuyaswaga makundi ya kondoo, mbuzi na ngamia. Kisha wakarudi Yerusalemu.

In Other Versions

2 Chronicles 14 in the ANGEFD

2 Chronicles 14 in the ANTPNG2D

2 Chronicles 14 in the AS21

2 Chronicles 14 in the BAGH

2 Chronicles 14 in the BBPNG

2 Chronicles 14 in the BBT1E

2 Chronicles 14 in the BDS

2 Chronicles 14 in the BEV

2 Chronicles 14 in the BHAD

2 Chronicles 14 in the BIB

2 Chronicles 14 in the BLPT

2 Chronicles 14 in the BNT

2 Chronicles 14 in the BNTABOOT

2 Chronicles 14 in the BNTLV

2 Chronicles 14 in the BOATCB

2 Chronicles 14 in the BOATCB2

2 Chronicles 14 in the BOBCV

2 Chronicles 14 in the BOCNT

2 Chronicles 14 in the BOECS

2 Chronicles 14 in the BOGWICC

2 Chronicles 14 in the BOHCB

2 Chronicles 14 in the BOHCV

2 Chronicles 14 in the BOHLNT

2 Chronicles 14 in the BOHNTLTAL

2 Chronicles 14 in the BOICB

2 Chronicles 14 in the BOILNTAP

2 Chronicles 14 in the BOITCV

2 Chronicles 14 in the BOKCV2

2 Chronicles 14 in the BOKHWOG

2 Chronicles 14 in the BOKSSV

2 Chronicles 14 in the BOLCB

2 Chronicles 14 in the BOLCB2

2 Chronicles 14 in the BOMCV

2 Chronicles 14 in the BONAV

2 Chronicles 14 in the BONCB

2 Chronicles 14 in the BONLT

2 Chronicles 14 in the BONUT2

2 Chronicles 14 in the BOPLNT

2 Chronicles 14 in the BOSCB

2 Chronicles 14 in the BOSNC

2 Chronicles 14 in the BOTLNT

2 Chronicles 14 in the BOVCB

2 Chronicles 14 in the BOYCB

2 Chronicles 14 in the BPBB

2 Chronicles 14 in the BPH

2 Chronicles 14 in the BSB

2 Chronicles 14 in the CCB

2 Chronicles 14 in the CUV

2 Chronicles 14 in the CUVS

2 Chronicles 14 in the DBT

2 Chronicles 14 in the DGDNT

2 Chronicles 14 in the DHNT

2 Chronicles 14 in the DNT

2 Chronicles 14 in the ELBE

2 Chronicles 14 in the EMTV

2 Chronicles 14 in the ESV

2 Chronicles 14 in the FBV

2 Chronicles 14 in the FEB

2 Chronicles 14 in the GGMNT

2 Chronicles 14 in the GNT

2 Chronicles 14 in the HARY

2 Chronicles 14 in the HNT

2 Chronicles 14 in the IRVA

2 Chronicles 14 in the IRVB

2 Chronicles 14 in the IRVG

2 Chronicles 14 in the IRVH

2 Chronicles 14 in the IRVK

2 Chronicles 14 in the IRVM

2 Chronicles 14 in the IRVM2

2 Chronicles 14 in the IRVO

2 Chronicles 14 in the IRVP

2 Chronicles 14 in the IRVT

2 Chronicles 14 in the IRVT2

2 Chronicles 14 in the IRVU

2 Chronicles 14 in the ISVN

2 Chronicles 14 in the JSNT

2 Chronicles 14 in the KAPI

2 Chronicles 14 in the KBT1ETNIK

2 Chronicles 14 in the KBV

2 Chronicles 14 in the KJV

2 Chronicles 14 in the KNFD

2 Chronicles 14 in the LBA

2 Chronicles 14 in the LBLA

2 Chronicles 14 in the LNT

2 Chronicles 14 in the LSV

2 Chronicles 14 in the MAAL

2 Chronicles 14 in the MBV

2 Chronicles 14 in the MBV2

2 Chronicles 14 in the MHNT

2 Chronicles 14 in the MKNFD

2 Chronicles 14 in the MNG

2 Chronicles 14 in the MNT

2 Chronicles 14 in the MNT2

2 Chronicles 14 in the MRS1T

2 Chronicles 14 in the NAA

2 Chronicles 14 in the NASB

2 Chronicles 14 in the NBLA

2 Chronicles 14 in the NBS

2 Chronicles 14 in the NBVTP

2 Chronicles 14 in the NET2

2 Chronicles 14 in the NIV11

2 Chronicles 14 in the NNT

2 Chronicles 14 in the NNT2

2 Chronicles 14 in the NNT3

2 Chronicles 14 in the PDDPT

2 Chronicles 14 in the PFNT

2 Chronicles 14 in the RMNT

2 Chronicles 14 in the SBIAS

2 Chronicles 14 in the SBIBS

2 Chronicles 14 in the SBIBS2

2 Chronicles 14 in the SBICS

2 Chronicles 14 in the SBIDS

2 Chronicles 14 in the SBIGS

2 Chronicles 14 in the SBIHS

2 Chronicles 14 in the SBIIS

2 Chronicles 14 in the SBIIS2

2 Chronicles 14 in the SBIIS3

2 Chronicles 14 in the SBIKS

2 Chronicles 14 in the SBIKS2

2 Chronicles 14 in the SBIMS

2 Chronicles 14 in the SBIOS

2 Chronicles 14 in the SBIPS

2 Chronicles 14 in the SBISS

2 Chronicles 14 in the SBITS

2 Chronicles 14 in the SBITS2

2 Chronicles 14 in the SBITS3

2 Chronicles 14 in the SBITS4

2 Chronicles 14 in the SBIUS

2 Chronicles 14 in the SBIVS

2 Chronicles 14 in the SBT

2 Chronicles 14 in the SBT1E

2 Chronicles 14 in the SCHL

2 Chronicles 14 in the SNT

2 Chronicles 14 in the SUSU

2 Chronicles 14 in the SUSU2

2 Chronicles 14 in the SYNO

2 Chronicles 14 in the TBIAOTANT

2 Chronicles 14 in the TBT1E

2 Chronicles 14 in the TBT1E2

2 Chronicles 14 in the TFTIP

2 Chronicles 14 in the TFTU

2 Chronicles 14 in the TGNTATF3T

2 Chronicles 14 in the THAI

2 Chronicles 14 in the TNFD

2 Chronicles 14 in the TNT

2 Chronicles 14 in the TNTIK

2 Chronicles 14 in the TNTIL

2 Chronicles 14 in the TNTIN

2 Chronicles 14 in the TNTIP

2 Chronicles 14 in the TNTIZ

2 Chronicles 14 in the TOMA

2 Chronicles 14 in the TTENT

2 Chronicles 14 in the UBG

2 Chronicles 14 in the UGV

2 Chronicles 14 in the UGV2

2 Chronicles 14 in the UGV3

2 Chronicles 14 in the VBL

2 Chronicles 14 in the VDCC

2 Chronicles 14 in the YALU

2 Chronicles 14 in the YAPE

2 Chronicles 14 in the YBVTP

2 Chronicles 14 in the ZBP