2 Timothy 2 (BOKCV)
1 Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu. 2 Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile. 3 Vumilia taabu pamoja nasi kama askari mwema wa Kristo Yesu. 4 Hakuna askari yeyote ambaye akiwa vitani hujishughulisha na mambo ya kawaida ya maisha haya kwa sababu nia yake ni kumpendeza yule aliyemwandika awe askari. 5 Vivyo hivyo, yeye ashindanaye katika michezo hawezi kupewa tuzo ya ushindi asiposhindana kulingana na kanuni za mashindano. 6 Mkulima mwenye bidii ya kazi ndiye anayestahili kuwa wa kwanza kupata fungu la mavuno. 7 Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo hayo yote. 8 Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, yeye aliye wa uzao wa Daudi. Hii ndiyo Injili yangu, 9 ambayo kwayo ninateseka hata kufikia hatua ya kufungwa minyororo kama mhalifu. Lakini neno la Mungu halifungwi. 10 Kwa hiyo ninavumilia mambo yote kwa ajili ya wateule wa Mungu, kusudi wao nao wapate wokovu ulio katika Kristo Yesu, pamoja na utukufu wa milele. 11 Hili ni neno la kuaminiwa:Kwa maana kama tumekufa pamoja naye,tutaishi pia pamoja naye. 12 Kama tukistahimili,pia tutatawala pamoja naye.Kama tukimkana yeye,naye atatukana sisi. 13 Kama tusipoamini,yeye hudumu kuwa mwaminifu,kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. 14 Endelea kuwakumbusha mambo haya ukiwaonya mbele za Bwana waache kushindana kwa maneno ambayo hayana faida yoyote bali huwaangamiza tu wale wanaoyasikia. 15 Jitahidi kujionyesha kwa Mungu kuwa umekubaliwa naye, mtendakazi asiye na sababu ya kuona aibu, ukilitumia kwa usahihi neno la kweli. 16 Jiepushe na maneno mabaya, yasiyo na maana, yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kukosa heshima kwa Mungu. 17 Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto 18 ambao wameiacha kweli, wakisema kwamba ufufuo wa wafu umekwisha kuwako, nao huharibu imani ya baadhi ya watu. 19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.” 20 Katika nyumba kubwa si kwamba kuna vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali pia vimo vyombo vya miti na vya udongo; vingine kwa matumizi maalum, na vingine kwa matumizi ya kawaida. 21 Basi ikiwa mtu amejitakasa na kujitenga na hayo niliyoyataja, atakuwa chombo maalum, kilichotengwa na ambacho kinamfaa mwenye nyumba, kimeandaliwa tayari kwa kila kazi njema. 22 Zikimbie tamaa mbaya za ujana, ufuate haki, imani, upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi. 23 Jiepushe na mabishano ya kipumbavu na yasiyo na maana, kwa kuwa wajua ya kwamba hayo huzaa magomvi. 24 Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu. 25 Inampasa kuwaonya kwa upole wale wanaopingana naye, kwa matumaini kwamba Mungu atawajalia kutubu na kuijua kweli, 26 ili fahamu zao ziwarudie tena, nao waponyoke katika mtego wa ibilisi ambaye amewateka wapate kufanya mapenzi yake.
In Other Versions
2 Timothy 2 in the ANGEFD
2 Timothy 2 in the ANTPNG2D
2 Timothy 2 in the AS21
2 Timothy 2 in the BAGH
2 Timothy 2 in the BBPNG
2 Timothy 2 in the BBT1E
2 Timothy 2 in the BDS
2 Timothy 2 in the BEV
2 Timothy 2 in the BHAD
2 Timothy 2 in the BIB
2 Timothy 2 in the BLPT
2 Timothy 2 in the BNT
2 Timothy 2 in the BNTABOOT
2 Timothy 2 in the BNTLV
2 Timothy 2 in the BOATCB
2 Timothy 2 in the BOATCB2
2 Timothy 2 in the BOBCV
2 Timothy 2 in the BOCNT
2 Timothy 2 in the BOECS
2 Timothy 2 in the BOGWICC
2 Timothy 2 in the BOHCB
2 Timothy 2 in the BOHCV
2 Timothy 2 in the BOHLNT
2 Timothy 2 in the BOHNTLTAL
2 Timothy 2 in the BOICB
2 Timothy 2 in the BOILNTAP
2 Timothy 2 in the BOITCV
2 Timothy 2 in the BOKCV2
2 Timothy 2 in the BOKHWOG
2 Timothy 2 in the BOKSSV
2 Timothy 2 in the BOLCB
2 Timothy 2 in the BOLCB2
2 Timothy 2 in the BOMCV
2 Timothy 2 in the BONAV
2 Timothy 2 in the BONCB
2 Timothy 2 in the BONLT
2 Timothy 2 in the BONUT2
2 Timothy 2 in the BOPLNT
2 Timothy 2 in the BOSCB
2 Timothy 2 in the BOSNC
2 Timothy 2 in the BOTLNT
2 Timothy 2 in the BOVCB
2 Timothy 2 in the BOYCB
2 Timothy 2 in the BPBB
2 Timothy 2 in the BPH
2 Timothy 2 in the BSB
2 Timothy 2 in the CCB
2 Timothy 2 in the CUV
2 Timothy 2 in the CUVS
2 Timothy 2 in the DBT
2 Timothy 2 in the DGDNT
2 Timothy 2 in the DHNT
2 Timothy 2 in the DNT
2 Timothy 2 in the ELBE
2 Timothy 2 in the EMTV
2 Timothy 2 in the ESV
2 Timothy 2 in the FBV
2 Timothy 2 in the FEB
2 Timothy 2 in the GGMNT
2 Timothy 2 in the GNT
2 Timothy 2 in the HARY
2 Timothy 2 in the HNT
2 Timothy 2 in the IRVA
2 Timothy 2 in the IRVB
2 Timothy 2 in the IRVG
2 Timothy 2 in the IRVH
2 Timothy 2 in the IRVK
2 Timothy 2 in the IRVM
2 Timothy 2 in the IRVM2
2 Timothy 2 in the IRVO
2 Timothy 2 in the IRVP
2 Timothy 2 in the IRVT
2 Timothy 2 in the IRVT2
2 Timothy 2 in the IRVU
2 Timothy 2 in the ISVN
2 Timothy 2 in the JSNT
2 Timothy 2 in the KAPI
2 Timothy 2 in the KBT1ETNIK
2 Timothy 2 in the KBV
2 Timothy 2 in the KJV
2 Timothy 2 in the KNFD
2 Timothy 2 in the LBA
2 Timothy 2 in the LBLA
2 Timothy 2 in the LNT
2 Timothy 2 in the LSV
2 Timothy 2 in the MAAL
2 Timothy 2 in the MBV
2 Timothy 2 in the MBV2
2 Timothy 2 in the MHNT
2 Timothy 2 in the MKNFD
2 Timothy 2 in the MNG
2 Timothy 2 in the MNT
2 Timothy 2 in the MNT2
2 Timothy 2 in the MRS1T
2 Timothy 2 in the NAA
2 Timothy 2 in the NASB
2 Timothy 2 in the NBLA
2 Timothy 2 in the NBS
2 Timothy 2 in the NBVTP
2 Timothy 2 in the NET2
2 Timothy 2 in the NIV11
2 Timothy 2 in the NNT
2 Timothy 2 in the NNT2
2 Timothy 2 in the NNT3
2 Timothy 2 in the PDDPT
2 Timothy 2 in the PFNT
2 Timothy 2 in the RMNT
2 Timothy 2 in the SBIAS
2 Timothy 2 in the SBIBS
2 Timothy 2 in the SBIBS2
2 Timothy 2 in the SBICS
2 Timothy 2 in the SBIDS
2 Timothy 2 in the SBIGS
2 Timothy 2 in the SBIHS
2 Timothy 2 in the SBIIS
2 Timothy 2 in the SBIIS2
2 Timothy 2 in the SBIIS3
2 Timothy 2 in the SBIKS
2 Timothy 2 in the SBIKS2
2 Timothy 2 in the SBIMS
2 Timothy 2 in the SBIOS
2 Timothy 2 in the SBIPS
2 Timothy 2 in the SBISS
2 Timothy 2 in the SBITS
2 Timothy 2 in the SBITS2
2 Timothy 2 in the SBITS3
2 Timothy 2 in the SBITS4
2 Timothy 2 in the SBIUS
2 Timothy 2 in the SBIVS
2 Timothy 2 in the SBT
2 Timothy 2 in the SBT1E
2 Timothy 2 in the SCHL
2 Timothy 2 in the SNT
2 Timothy 2 in the SUSU
2 Timothy 2 in the SUSU2
2 Timothy 2 in the SYNO
2 Timothy 2 in the TBIAOTANT
2 Timothy 2 in the TBT1E
2 Timothy 2 in the TBT1E2
2 Timothy 2 in the TFTIP
2 Timothy 2 in the TFTU
2 Timothy 2 in the TGNTATF3T
2 Timothy 2 in the THAI
2 Timothy 2 in the TNFD
2 Timothy 2 in the TNT
2 Timothy 2 in the TNTIK
2 Timothy 2 in the TNTIL
2 Timothy 2 in the TNTIN
2 Timothy 2 in the TNTIP
2 Timothy 2 in the TNTIZ
2 Timothy 2 in the TOMA
2 Timothy 2 in the TTENT
2 Timothy 2 in the UBG
2 Timothy 2 in the UGV
2 Timothy 2 in the UGV2
2 Timothy 2 in the UGV3
2 Timothy 2 in the VBL
2 Timothy 2 in the VDCC
2 Timothy 2 in the YALU
2 Timothy 2 in the YAPE
2 Timothy 2 in the YBVTP
2 Timothy 2 in the ZBP