Genesis 33 (BOKCV)
1 Yakobo akainua macho akamwona Esau akija na watu wake 400, kwa hiyo akawagawanya watoto kati ya Lea, Raheli na wale watumishi wake wawili wa kike. 2 Akawaweka wale watumishi wa kike na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, Raheli na Yosefu wakaja nyuma. 3 Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu mara saba alipomkaribia ndugu yake. 4 Lakini Esau akamkimbilia Yakobo kumlaki na kumkumbatia, akamwangukia shingoni na kumbusu. Nao wakalia. 5 Esau akainua macho akawaona wale wanawake na watoto. Akauliza, “Hawa uliofuatana nao ni nani?”Yakobo akamjibu, “Ni watoto ambao Mungu amempa mtumishi wako kwa neema.” 6 Kisha wale watumishi wa kike na watoto wao wakakaribia na kusujudu. 7 Kisha Lea na watoto wake wakaja na kusujudu. Mwisho wa wote wakaja Yosefu na Raheli, nao pia wakasujudu. 8 Esau akauliza, “Una maana gani kuhusu makundi hayo yote niliyokutana nayo?”Akasema, “Ni ili kupata kibali machoni pako, bwana wangu.” 9 Lakini Esau akamwambia, “Ndugu yangu, tayari nina wingi wa mali. Ulivyo navyo viwe vyako mwenyewe.” 10 Yakobo akasema, “La hasha! Tafadhali, kama nimepata kibali machoni pako, upokee zawadi hii kutoka kwangu. Kwa maana kuuona uso wako, ni kama kuuona uso wa Mungu, kwa kuwa umenipokea kwa takabali kubwa. 11 Tafadhali ukubali zawadi iliyoletwa kwako, kwa kuwa Mungu amenineemesha na ninavyo vyote ninavyohitaji.” Kwa sababu Yakobo alisisitiza, Esau akapokea. 12 Ndipo Esau akasema, “Na tuendelee na safari, nitakuwa pamoja nawe.” 13 Lakini Yakobo akamwambia, “Bwana wangu unajua kwamba watoto ni wachanga na kwamba ni lazima nitunze hawa kondoo wake na ngʼombe wanaonyonyesha. Wakipelekwa kwa haraka hata kama ni kwa siku moja tu, wanyama wote watakufa. 14 Hivyo bwana wangu umtangulie mtumishi wako, wakati mimi nikija polepole kwa mwendo wa makundi yaliyo mbele yangu na mwendo wa watoto, mpaka nifike kwa bwana wangu huko Seiri.” 15 Esau akamwambia, “Basi na niwaache baadhi ya watu wangu pamoja nawe.”Yakobo akauliza, “Lakini kwa nini ufanye hivyo, niache tu nipate kibali machoni pa bwana wangu.” 16 Hivyo siku hiyo Esau akashika njia akarudi Seiri. 17 Pamoja na hayo, Yakobo akaenda Sukothi, mahali alipojijengea makazi kwa ajili yake na mabanda kwa ajili ya mifugo yake. Hii ndiyo sababu sehemu ile inaitwa Sukothi. 18 Baada ya Yakobo kutoka Padan-Aramu, alifika salama katika mji wa Shekemu huko Kanaani na kuweka kambi yake karibu na mji. 19 Akanunua kiwanja kutoka kwa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa bei ya vipande mia vya fedha, ambapo alipiga hema lake. 20 Pale akajenga madhabahu na kupaita El-Elohe-Israeli.
In Other Versions
Genesis 33 in the ANGEFD
Genesis 33 in the ANTPNG2D
Genesis 33 in the AS21
Genesis 33 in the BAGH
Genesis 33 in the BBPNG
Genesis 33 in the BBT1E
Genesis 33 in the BDS
Genesis 33 in the BEV
Genesis 33 in the BHAD
Genesis 33 in the BIB
Genesis 33 in the BLPT
Genesis 33 in the BNT
Genesis 33 in the BNTABOOT
Genesis 33 in the BNTLV
Genesis 33 in the BOATCB
Genesis 33 in the BOATCB2
Genesis 33 in the BOBCV
Genesis 33 in the BOCNT
Genesis 33 in the BOECS
Genesis 33 in the BOGWICC
Genesis 33 in the BOHCB
Genesis 33 in the BOHCV
Genesis 33 in the BOHLNT
Genesis 33 in the BOHNTLTAL
Genesis 33 in the BOICB
Genesis 33 in the BOILNTAP
Genesis 33 in the BOITCV
Genesis 33 in the BOKCV2
Genesis 33 in the BOKHWOG
Genesis 33 in the BOKSSV
Genesis 33 in the BOLCB
Genesis 33 in the BOLCB2
Genesis 33 in the BOMCV
Genesis 33 in the BONAV
Genesis 33 in the BONCB
Genesis 33 in the BONLT
Genesis 33 in the BONUT2
Genesis 33 in the BOPLNT
Genesis 33 in the BOSCB
Genesis 33 in the BOSNC
Genesis 33 in the BOTLNT
Genesis 33 in the BOVCB
Genesis 33 in the BOYCB
Genesis 33 in the BPBB
Genesis 33 in the BPH
Genesis 33 in the BSB
Genesis 33 in the CCB
Genesis 33 in the CUV
Genesis 33 in the CUVS
Genesis 33 in the DBT
Genesis 33 in the DGDNT
Genesis 33 in the DHNT
Genesis 33 in the DNT
Genesis 33 in the ELBE
Genesis 33 in the EMTV
Genesis 33 in the ESV
Genesis 33 in the FBV
Genesis 33 in the FEB
Genesis 33 in the GGMNT
Genesis 33 in the GNT
Genesis 33 in the HARY
Genesis 33 in the HNT
Genesis 33 in the IRVA
Genesis 33 in the IRVB
Genesis 33 in the IRVG
Genesis 33 in the IRVH
Genesis 33 in the IRVK
Genesis 33 in the IRVM
Genesis 33 in the IRVM2
Genesis 33 in the IRVO
Genesis 33 in the IRVP
Genesis 33 in the IRVT
Genesis 33 in the IRVT2
Genesis 33 in the IRVU
Genesis 33 in the ISVN
Genesis 33 in the JSNT
Genesis 33 in the KAPI
Genesis 33 in the KBT1ETNIK
Genesis 33 in the KBV
Genesis 33 in the KJV
Genesis 33 in the KNFD
Genesis 33 in the LBA
Genesis 33 in the LBLA
Genesis 33 in the LNT
Genesis 33 in the LSV
Genesis 33 in the MAAL
Genesis 33 in the MBV
Genesis 33 in the MBV2
Genesis 33 in the MHNT
Genesis 33 in the MKNFD
Genesis 33 in the MNG
Genesis 33 in the MNT
Genesis 33 in the MNT2
Genesis 33 in the MRS1T
Genesis 33 in the NAA
Genesis 33 in the NASB
Genesis 33 in the NBLA
Genesis 33 in the NBS
Genesis 33 in the NBVTP
Genesis 33 in the NET2
Genesis 33 in the NIV11
Genesis 33 in the NNT
Genesis 33 in the NNT2
Genesis 33 in the NNT3
Genesis 33 in the PDDPT
Genesis 33 in the PFNT
Genesis 33 in the RMNT
Genesis 33 in the SBIAS
Genesis 33 in the SBIBS
Genesis 33 in the SBIBS2
Genesis 33 in the SBICS
Genesis 33 in the SBIDS
Genesis 33 in the SBIGS
Genesis 33 in the SBIHS
Genesis 33 in the SBIIS
Genesis 33 in the SBIIS2
Genesis 33 in the SBIIS3
Genesis 33 in the SBIKS
Genesis 33 in the SBIKS2
Genesis 33 in the SBIMS
Genesis 33 in the SBIOS
Genesis 33 in the SBIPS
Genesis 33 in the SBISS
Genesis 33 in the SBITS
Genesis 33 in the SBITS2
Genesis 33 in the SBITS3
Genesis 33 in the SBITS4
Genesis 33 in the SBIUS
Genesis 33 in the SBIVS
Genesis 33 in the SBT
Genesis 33 in the SBT1E
Genesis 33 in the SCHL
Genesis 33 in the SNT
Genesis 33 in the SUSU
Genesis 33 in the SUSU2
Genesis 33 in the SYNO
Genesis 33 in the TBIAOTANT
Genesis 33 in the TBT1E
Genesis 33 in the TBT1E2
Genesis 33 in the TFTIP
Genesis 33 in the TFTU
Genesis 33 in the TGNTATF3T
Genesis 33 in the THAI
Genesis 33 in the TNFD
Genesis 33 in the TNT
Genesis 33 in the TNTIK
Genesis 33 in the TNTIL
Genesis 33 in the TNTIN
Genesis 33 in the TNTIP
Genesis 33 in the TNTIZ
Genesis 33 in the TOMA
Genesis 33 in the TTENT
Genesis 33 in the UBG
Genesis 33 in the UGV
Genesis 33 in the UGV2
Genesis 33 in the UGV3
Genesis 33 in the VBL
Genesis 33 in the VDCC
Genesis 33 in the YALU
Genesis 33 in the YAPE
Genesis 33 in the YBVTP
Genesis 33 in the ZBP