Joshua 1 (BOKCV)

1 Baada ya kifo cha Mose mtumishi wa BWANA, BWANA akamwambia Yoshua mwana wa Nuni, msaidizi wa Mose: 2 “Mtumishi wangu Mose amekufa. Sasa basi, wewe pamoja na watu wote hawa, jiandaeni kuvuka huu Mto Yordani kuingia nchi ambayo karibu nitawapa wana wa Israeli. 3 Kila mahali nyayo za miguu yenu zitakapokanyaga nimewapa, kama vile nilivyomwahidi Mose. 4 Nchi yenu itaenea kuanzia jangwa hili hadi Lebanoni, tena kuanzia mto mkubwa wa Frati, yaani nchi yote ya Wahiti, hadi Bahari ile Kubwa iliyoko upande wa magharibi. 5 Hakuna mtu yeyote atakayeweza kushindana na wewe siku zote za maisha yako. Kama vile nilivyokuwa pamoja na Mose, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe, sitakuacha wala sitakupungukia. 6 “Uwe hodari na shujaa, kwa sababu wewe ndiwe utakayewaongoza watu hawa kuirithi nchi niliyowaapia baba zao kuwapa. 7 Uwe hodari na uwe na ushujaa mwingi. Uwe na bidii kutii sheria yote aliyokupa Mose mtumishi wangu, usiiache kwa kugeuka kuelekea kuume au kushoto, ili upate kufanikiwa popote uendako. 8 Usiache Kitabu hiki cha Sheria kiondoke kinywani mwako; yatafakari maneno yake usiku na mchana, ili upate kuwa mwangalifu kufanya kila kitu sawasawa na yote yaliyoandikwa ndani yake. Ndipo utakapofanikiwa na kisha utastawi. 9 Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa. Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa BWANA Mungu wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.” 10 Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema, 11 “Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Wekeni tayari mahitaji yenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka hii Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa iwe yenu wenyewe.’ ” 12 Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema, 13 “Kumbukeni agizo lile Mose mtumishi wa BWANA alilowapa: ‘BWANA Mungu wenu anawapa ninyi raha, naye amewapa nchi hii.’ 14 Wake zenu, watoto wenu na mifugo yenu watakaa katika nchi ile Mose aliyowapa mashariki ya Yordani, lakini mashujaa wenu wote, wakiwa wamevikwa silaha kikamilifu lazima wavuke mbele ya ndugu zenu. Imewapasa kuwasaidia ndugu zenu hadi 15 BWANA awape nao raha, kama alivyokwisha kufanya kwa ajili yenu hadi wao pia watakapokuwa wamemiliki nchi ile BWANA Mungu wenu anayowapa. Baada ya hilo, mwaweza kurudi na kukalia nchi yenu wenyewe, ambayo Mose mtumishi wa BWANA aliwapa mashariki mwa Yordani kuelekea linakochomoza jua.” 16 Ndipo wakamjibu Yoshua, “Chochote ambacho umetuagiza tutafanya na popote utakapotutuma tutakwenda. 17 Kama vile tulivyomtii Mose kikamilifu, ndivyo tutakavyokutii wewe. BWANA Mungu wako na awe pamoja nawe tu kama vile alivyokuwa pamoja na Mose. 18 Yeyote atakayeasi neno lako na kuacha kuyatii maneno yako, au chochote utakachowaamuru, atauawa. Uwe imara na hodari tu!”

In Other Versions

Joshua 1 in the ANGEFD

Joshua 1 in the ANTPNG2D

Joshua 1 in the AS21

Joshua 1 in the BAGH

Joshua 1 in the BBPNG

Joshua 1 in the BBT1E

Joshua 1 in the BDS

Joshua 1 in the BEV

Joshua 1 in the BHAD

Joshua 1 in the BIB

Joshua 1 in the BLPT

Joshua 1 in the BNT

Joshua 1 in the BNTABOOT

Joshua 1 in the BNTLV

Joshua 1 in the BOATCB

Joshua 1 in the BOATCB2

Joshua 1 in the BOBCV

Joshua 1 in the BOCNT

Joshua 1 in the BOECS

Joshua 1 in the BOGWICC

Joshua 1 in the BOHCB

Joshua 1 in the BOHCV

Joshua 1 in the BOHLNT

Joshua 1 in the BOHNTLTAL

Joshua 1 in the BOICB

Joshua 1 in the BOILNTAP

Joshua 1 in the BOITCV

Joshua 1 in the BOKCV2

Joshua 1 in the BOKHWOG

Joshua 1 in the BOKSSV

Joshua 1 in the BOLCB

Joshua 1 in the BOLCB2

Joshua 1 in the BOMCV

Joshua 1 in the BONAV

Joshua 1 in the BONCB

Joshua 1 in the BONLT

Joshua 1 in the BONUT2

Joshua 1 in the BOPLNT

Joshua 1 in the BOSCB

Joshua 1 in the BOSNC

Joshua 1 in the BOTLNT

Joshua 1 in the BOVCB

Joshua 1 in the BOYCB

Joshua 1 in the BPBB

Joshua 1 in the BPH

Joshua 1 in the BSB

Joshua 1 in the CCB

Joshua 1 in the CUV

Joshua 1 in the CUVS

Joshua 1 in the DBT

Joshua 1 in the DGDNT

Joshua 1 in the DHNT

Joshua 1 in the DNT

Joshua 1 in the ELBE

Joshua 1 in the EMTV

Joshua 1 in the ESV

Joshua 1 in the FBV

Joshua 1 in the FEB

Joshua 1 in the GGMNT

Joshua 1 in the GNT

Joshua 1 in the HARY

Joshua 1 in the HNT

Joshua 1 in the IRVA

Joshua 1 in the IRVB

Joshua 1 in the IRVG

Joshua 1 in the IRVH

Joshua 1 in the IRVK

Joshua 1 in the IRVM

Joshua 1 in the IRVM2

Joshua 1 in the IRVO

Joshua 1 in the IRVP

Joshua 1 in the IRVT

Joshua 1 in the IRVT2

Joshua 1 in the IRVU

Joshua 1 in the ISVN

Joshua 1 in the JSNT

Joshua 1 in the KAPI

Joshua 1 in the KBT1ETNIK

Joshua 1 in the KBV

Joshua 1 in the KJV

Joshua 1 in the KNFD

Joshua 1 in the LBA

Joshua 1 in the LBLA

Joshua 1 in the LNT

Joshua 1 in the LSV

Joshua 1 in the MAAL

Joshua 1 in the MBV

Joshua 1 in the MBV2

Joshua 1 in the MHNT

Joshua 1 in the MKNFD

Joshua 1 in the MNG

Joshua 1 in the MNT

Joshua 1 in the MNT2

Joshua 1 in the MRS1T

Joshua 1 in the NAA

Joshua 1 in the NASB

Joshua 1 in the NBLA

Joshua 1 in the NBS

Joshua 1 in the NBVTP

Joshua 1 in the NET2

Joshua 1 in the NIV11

Joshua 1 in the NNT

Joshua 1 in the NNT2

Joshua 1 in the NNT3

Joshua 1 in the PDDPT

Joshua 1 in the PFNT

Joshua 1 in the RMNT

Joshua 1 in the SBIAS

Joshua 1 in the SBIBS

Joshua 1 in the SBIBS2

Joshua 1 in the SBICS

Joshua 1 in the SBIDS

Joshua 1 in the SBIGS

Joshua 1 in the SBIHS

Joshua 1 in the SBIIS

Joshua 1 in the SBIIS2

Joshua 1 in the SBIIS3

Joshua 1 in the SBIKS

Joshua 1 in the SBIKS2

Joshua 1 in the SBIMS

Joshua 1 in the SBIOS

Joshua 1 in the SBIPS

Joshua 1 in the SBISS

Joshua 1 in the SBITS

Joshua 1 in the SBITS2

Joshua 1 in the SBITS3

Joshua 1 in the SBITS4

Joshua 1 in the SBIUS

Joshua 1 in the SBIVS

Joshua 1 in the SBT

Joshua 1 in the SBT1E

Joshua 1 in the SCHL

Joshua 1 in the SNT

Joshua 1 in the SUSU

Joshua 1 in the SUSU2

Joshua 1 in the SYNO

Joshua 1 in the TBIAOTANT

Joshua 1 in the TBT1E

Joshua 1 in the TBT1E2

Joshua 1 in the TFTIP

Joshua 1 in the TFTU

Joshua 1 in the TGNTATF3T

Joshua 1 in the THAI

Joshua 1 in the TNFD

Joshua 1 in the TNT

Joshua 1 in the TNTIK

Joshua 1 in the TNTIL

Joshua 1 in the TNTIN

Joshua 1 in the TNTIP

Joshua 1 in the TNTIZ

Joshua 1 in the TOMA

Joshua 1 in the TTENT

Joshua 1 in the UBG

Joshua 1 in the UGV

Joshua 1 in the UGV2

Joshua 1 in the UGV3

Joshua 1 in the VBL

Joshua 1 in the VDCC

Joshua 1 in the YALU

Joshua 1 in the YAPE

Joshua 1 in the YBVTP

Joshua 1 in the ZBP