Nehemiah 10 (BOKCV)
1 Wale waliotia muhuri walikuwa: Nehemia mtawala, mwana wa Hakalia. Sedekia, 2 Seraya, Azaria, Yeremia, 3 Pashuri, Amaria, Malkiya, 4 Hatushi, Shebania, Maluki, 5 Harimu, Meremothi, Obadia, 6 Danieli, Ginethoni, Baruku, 7 Meshulamu, Abiya, Miyamini, 8 Maazia, Bilgai na Shemaya.Hawa ndio waliokuwa makuhani. 9 Walawi:Yeshua mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli, 10 na wenzao: Shebania,Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, 11 Mika, Rehobu, Hashabia, 12 Zakuri, Sherebia, Shebania, 13 Hodia, Bani na Beninu. 14 Viongozi wa watu:Paroshi, Pahath-Moabu, Elamu, Zatu, Bani, 15 Buni, Azgadi, Bebai, 16 Adoniya, Bigwai, Adini, 17 Ateri, Hezekia, Azuri, 18 Hodia, Hashumu, Besai, 19 Harifu, Anathothi, Nebai, 20 Magpiashi, Meshulamu, Heziri, 21 Meshezabeli, Sadoki, Yadua, 22 Pelatia, Hanani, Anaya, 23 Hoshea, Hanania, Hashubu, 24 Haloheshi, Pilha, Shobeki, 25 Rehumu, Hashabna, Maaseya, 26 Ahiya, Hanani, Anani, 27 Maluki, Harimu na Baana. 28 “Watu wengine wote, wakiwa ni makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, watumishi wa Hekalu, na wale wote waliojitenga na mataifa jirani kwa ajili ya Sheria ya Mungu, pamoja na wake zao na wana wao na binti zao wote waliokuwa na uwezo wa kufahamu, 29 basi hawa wote wanajiunga na ndugu zao na wakuu wao, na kujifunga kwa laana na kwa kiapo kufuata Sheria ya Mungu iliyotolewa kupitia kwa Mose mtumishi wa Mungu, na kutii kwa uangalifu amri zote, maagizo na sheria za BWANA, Bwana wetu. 30 “Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao. 31 “Wakati mataifa jirani waletapo bidhaa zao au nafaka kuuza siku ya Sabato, hatutazinunua kutoka kwao siku ya Sabato, wala siku nyingine yoyote takatifu. Kila mwaka wa saba, tutaacha kuilima ardhi na tutafuta madeni yote. 32 “Tunakubali wajibu wa kutimiza amri za kutoa theluthi ya shekeli kila mwaka kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu: 33 Kwa ajili ya mikate ya Wonyesho, kwa ajili ya sadaka za kawaida za nafaka na sadaka za kuteketezwa, kwa ajili ya sadaka za siku za Sabato, Sikukuu za Mwandamo wa Mwezi na sikukuu nyingine zilizoamriwa, kwa ajili ya sadaka takatifu, kwa ajili ya sadaka za dhambi ili kufanya upatanisho kwa ajili ya Israeli, na kwa ajili ya kazi zote za nyumba ya Mungu wetu. 34 “Sisi makuhani, Walawi na watu, tumepiga kura kuamua kuwa kila mmoja wa jamaa zetu lazima alete katika nyumba ya Mungu wetu kwa nyakati maalum kila mwaka mchango wa kuni za kukokea moto katika madhabahu ya BWANA Mungu wetu, kama ilivyoandikwa katika Sheria. 35 “Pia tunachukua wajibu wa kuleta malimbuko ya mazao yetu na matunda ya kwanza ya kila mti wa matunda katika nyumba ya BWANA kila mwaka. 36 “Kama pia ilivyoandikwa katika Sheria, tutawaleta wazaliwa wetu wa kwanza wa kiume, na wa mifugo yetu, yaani wa ngʼombe wetu na wa makundi yetu ya kondoo na mbuzi, katika nyumba ya Mungu wetu, kwa ajili ya makuhani wanaohudumu huko. 37 “Zaidi ya hayo, tutaleta katika ghala za nyumba ya Mungu wetu, kwa makuhani, vyakula vya kwanza vya mashamba yetu, sadaka zetu za nafaka, matunda ya miti yetu yote, divai yetu mpya na mafuta. Nasi tutaleta zaka za mazao yetu kwa Walawi, kwa kuwa Walawi ndio ambao hukusanya zaka katika miji yote tunakofanya kazi. 38 Kuhani atokanaye na uzao wa Aroni atashirikiana na Walawi wakati wanapopokea zaka, nao Walawi itawapasa kuleta sehemu ya kumi ya zaka katika nyumba ya Mungu wetu katika ghala za hazina. 39 Watu wa Israeli pamoja na Walawi itawapasa kuleta michango yao ya nafaka, divai mpya na mafuta katika vyumba vya ghala, mahali vifaa vya mahali patakatifu vinapohifadhiwa, na wanapokaa makuhani wanaohudumu, na mabawabu na waimbaji.“Hatutaacha kuijali nyumba ya Mungu wetu.”
In Other Versions
Nehemiah 10 in the ANGEFD
Nehemiah 10 in the ANTPNG2D
Nehemiah 10 in the AS21
Nehemiah 10 in the BAGH
Nehemiah 10 in the BBPNG
Nehemiah 10 in the BBT1E
Nehemiah 10 in the BDS
Nehemiah 10 in the BEV
Nehemiah 10 in the BHAD
Nehemiah 10 in the BIB
Nehemiah 10 in the BLPT
Nehemiah 10 in the BNT
Nehemiah 10 in the BNTABOOT
Nehemiah 10 in the BNTLV
Nehemiah 10 in the BOATCB
Nehemiah 10 in the BOATCB2
Nehemiah 10 in the BOBCV
Nehemiah 10 in the BOCNT
Nehemiah 10 in the BOECS
Nehemiah 10 in the BOGWICC
Nehemiah 10 in the BOHCB
Nehemiah 10 in the BOHCV
Nehemiah 10 in the BOHLNT
Nehemiah 10 in the BOHNTLTAL
Nehemiah 10 in the BOICB
Nehemiah 10 in the BOILNTAP
Nehemiah 10 in the BOITCV
Nehemiah 10 in the BOKCV2
Nehemiah 10 in the BOKHWOG
Nehemiah 10 in the BOKSSV
Nehemiah 10 in the BOLCB
Nehemiah 10 in the BOLCB2
Nehemiah 10 in the BOMCV
Nehemiah 10 in the BONAV
Nehemiah 10 in the BONCB
Nehemiah 10 in the BONLT
Nehemiah 10 in the BONUT2
Nehemiah 10 in the BOPLNT
Nehemiah 10 in the BOSCB
Nehemiah 10 in the BOSNC
Nehemiah 10 in the BOTLNT
Nehemiah 10 in the BOVCB
Nehemiah 10 in the BOYCB
Nehemiah 10 in the BPBB
Nehemiah 10 in the BPH
Nehemiah 10 in the BSB
Nehemiah 10 in the CCB
Nehemiah 10 in the CUV
Nehemiah 10 in the CUVS
Nehemiah 10 in the DBT
Nehemiah 10 in the DGDNT
Nehemiah 10 in the DHNT
Nehemiah 10 in the DNT
Nehemiah 10 in the ELBE
Nehemiah 10 in the EMTV
Nehemiah 10 in the ESV
Nehemiah 10 in the FBV
Nehemiah 10 in the FEB
Nehemiah 10 in the GGMNT
Nehemiah 10 in the GNT
Nehemiah 10 in the HARY
Nehemiah 10 in the HNT
Nehemiah 10 in the IRVA
Nehemiah 10 in the IRVB
Nehemiah 10 in the IRVG
Nehemiah 10 in the IRVH
Nehemiah 10 in the IRVK
Nehemiah 10 in the IRVM
Nehemiah 10 in the IRVM2
Nehemiah 10 in the IRVO
Nehemiah 10 in the IRVP
Nehemiah 10 in the IRVT
Nehemiah 10 in the IRVT2
Nehemiah 10 in the IRVU
Nehemiah 10 in the ISVN
Nehemiah 10 in the JSNT
Nehemiah 10 in the KAPI
Nehemiah 10 in the KBT1ETNIK
Nehemiah 10 in the KBV
Nehemiah 10 in the KJV
Nehemiah 10 in the KNFD
Nehemiah 10 in the LBA
Nehemiah 10 in the LBLA
Nehemiah 10 in the LNT
Nehemiah 10 in the LSV
Nehemiah 10 in the MAAL
Nehemiah 10 in the MBV
Nehemiah 10 in the MBV2
Nehemiah 10 in the MHNT
Nehemiah 10 in the MKNFD
Nehemiah 10 in the MNG
Nehemiah 10 in the MNT
Nehemiah 10 in the MNT2
Nehemiah 10 in the MRS1T
Nehemiah 10 in the NAA
Nehemiah 10 in the NASB
Nehemiah 10 in the NBLA
Nehemiah 10 in the NBS
Nehemiah 10 in the NBVTP
Nehemiah 10 in the NET2
Nehemiah 10 in the NIV11
Nehemiah 10 in the NNT
Nehemiah 10 in the NNT2
Nehemiah 10 in the NNT3
Nehemiah 10 in the PDDPT
Nehemiah 10 in the PFNT
Nehemiah 10 in the RMNT
Nehemiah 10 in the SBIAS
Nehemiah 10 in the SBIBS
Nehemiah 10 in the SBIBS2
Nehemiah 10 in the SBICS
Nehemiah 10 in the SBIDS
Nehemiah 10 in the SBIGS
Nehemiah 10 in the SBIHS
Nehemiah 10 in the SBIIS
Nehemiah 10 in the SBIIS2
Nehemiah 10 in the SBIIS3
Nehemiah 10 in the SBIKS
Nehemiah 10 in the SBIKS2
Nehemiah 10 in the SBIMS
Nehemiah 10 in the SBIOS
Nehemiah 10 in the SBIPS
Nehemiah 10 in the SBISS
Nehemiah 10 in the SBITS
Nehemiah 10 in the SBITS2
Nehemiah 10 in the SBITS3
Nehemiah 10 in the SBITS4
Nehemiah 10 in the SBIUS
Nehemiah 10 in the SBIVS
Nehemiah 10 in the SBT
Nehemiah 10 in the SBT1E
Nehemiah 10 in the SCHL
Nehemiah 10 in the SNT
Nehemiah 10 in the SUSU
Nehemiah 10 in the SUSU2
Nehemiah 10 in the SYNO
Nehemiah 10 in the TBIAOTANT
Nehemiah 10 in the TBT1E
Nehemiah 10 in the TBT1E2
Nehemiah 10 in the TFTIP
Nehemiah 10 in the TFTU
Nehemiah 10 in the TGNTATF3T
Nehemiah 10 in the THAI
Nehemiah 10 in the TNFD
Nehemiah 10 in the TNT
Nehemiah 10 in the TNTIK
Nehemiah 10 in the TNTIL
Nehemiah 10 in the TNTIN
Nehemiah 10 in the TNTIP
Nehemiah 10 in the TNTIZ
Nehemiah 10 in the TOMA
Nehemiah 10 in the TTENT
Nehemiah 10 in the UBG
Nehemiah 10 in the UGV
Nehemiah 10 in the UGV2
Nehemiah 10 in the UGV3
Nehemiah 10 in the VBL
Nehemiah 10 in the VDCC
Nehemiah 10 in the YALU
Nehemiah 10 in the YAPE
Nehemiah 10 in the YBVTP
Nehemiah 10 in the ZBP