Proverbs 24 (BOKCV)
1 Usiwaonee wivu watu waovu,usitamani ushirika nao; 2 kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri,nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 3 Kwa hekima nyumba hujengwa,nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 4 kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwavitu vya thamani na vya kupendeza. 5 Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa,naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 6 kwa kufanya vita unahitaji uongozina kwa ushindi washauri wengi. 7 Hekima i juu mno kwa mpumbavu,katika kusanyiko langonihana lolote la kusema. 8 Yeye apangaye mabayaatajulikana kama mtu wa hila. 9 Mipango ya upumbavu ni dhambi,watu huchukizwa na mwenye dhihaka. 10 Ukikata tamaa wakati wa taabu,jinsi gani nguvu zako ni kidogo! 11 Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo;wazuie wote wanaojikokotakuelekea machinjoni. 12 Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,”je, yule apimaye mioyo halitambui hili?Je, yule awalindaye maisha yenu halijui hili?Je, hatamlipa kila mtu kulingana na aliyotenda? 13 Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri;asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja. 14 Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako,kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo,nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali. 15 Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambuliamakao ya mwenye haki,wala usiyavamie makazi yake, 16 Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena,lakini waovu huangushwa chini na maafa. 17 Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo;wakati ajikwaapo,usiruhusu moyo wako ushangilie. 18 BWANA asije akaona na kuchukiaakaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 19 Usikasirike kwa sababu ya watu wabayawala usiwaonee wivu waovu, 20 kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo,nayo taa ya waovu itazimwa. 21 Mwanangu, mche BWANA na mfalme,wala usijiunge na waasi, 22 kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao,naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? 23 Hii pia ni misemo ya wenye hekima:Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 24 Yeyote amwambiaye mwenye hatia,“Wewe huna hatia,”Kabila zitamlaanina mataifa yatamkana. 25 Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia,nazo baraka tele zitawajilia juu yao. 26 Jawabu la uaminifuni kama busu la midomoni. 27 Maliza kazi zako za nje,nawe uweke mashamba yako tayari,baada ya hayo, jenga nyumba yako. 28 Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu,au kutumia midomo yako kudanganya. 29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi;nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” 30 Nilipita karibu na shamba la mvivu,karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 31 miiba ilikuwa imeota kila mahali,ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, naukuta wa mawe ulikuwa umebomoka. 32 Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona,nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona: 33 Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo,bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: 34 hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi,na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
In Other Versions
Proverbs 24 in the ANGEFD
Proverbs 24 in the ANTPNG2D
Proverbs 24 in the AS21
Proverbs 24 in the BAGH
Proverbs 24 in the BBPNG
Proverbs 24 in the BBT1E
Proverbs 24 in the BDS
Proverbs 24 in the BEV
Proverbs 24 in the BHAD
Proverbs 24 in the BIB
Proverbs 24 in the BLPT
Proverbs 24 in the BNT
Proverbs 24 in the BNTABOOT
Proverbs 24 in the BNTLV
Proverbs 24 in the BOATCB
Proverbs 24 in the BOATCB2
Proverbs 24 in the BOBCV
Proverbs 24 in the BOCNT
Proverbs 24 in the BOECS
Proverbs 24 in the BOGWICC
Proverbs 24 in the BOHCB
Proverbs 24 in the BOHCV
Proverbs 24 in the BOHLNT
Proverbs 24 in the BOHNTLTAL
Proverbs 24 in the BOICB
Proverbs 24 in the BOILNTAP
Proverbs 24 in the BOITCV
Proverbs 24 in the BOKCV2
Proverbs 24 in the BOKHWOG
Proverbs 24 in the BOKSSV
Proverbs 24 in the BOLCB
Proverbs 24 in the BOLCB2
Proverbs 24 in the BOMCV
Proverbs 24 in the BONAV
Proverbs 24 in the BONCB
Proverbs 24 in the BONLT
Proverbs 24 in the BONUT2
Proverbs 24 in the BOPLNT
Proverbs 24 in the BOSCB
Proverbs 24 in the BOSNC
Proverbs 24 in the BOTLNT
Proverbs 24 in the BOVCB
Proverbs 24 in the BOYCB
Proverbs 24 in the BPBB
Proverbs 24 in the BPH
Proverbs 24 in the BSB
Proverbs 24 in the CCB
Proverbs 24 in the CUV
Proverbs 24 in the CUVS
Proverbs 24 in the DBT
Proverbs 24 in the DGDNT
Proverbs 24 in the DHNT
Proverbs 24 in the DNT
Proverbs 24 in the ELBE
Proverbs 24 in the EMTV
Proverbs 24 in the ESV
Proverbs 24 in the FBV
Proverbs 24 in the FEB
Proverbs 24 in the GGMNT
Proverbs 24 in the GNT
Proverbs 24 in the HARY
Proverbs 24 in the HNT
Proverbs 24 in the IRVA
Proverbs 24 in the IRVB
Proverbs 24 in the IRVG
Proverbs 24 in the IRVH
Proverbs 24 in the IRVK
Proverbs 24 in the IRVM
Proverbs 24 in the IRVM2
Proverbs 24 in the IRVO
Proverbs 24 in the IRVP
Proverbs 24 in the IRVT
Proverbs 24 in the IRVT2
Proverbs 24 in the IRVU
Proverbs 24 in the ISVN
Proverbs 24 in the JSNT
Proverbs 24 in the KAPI
Proverbs 24 in the KBT1ETNIK
Proverbs 24 in the KBV
Proverbs 24 in the KJV
Proverbs 24 in the KNFD
Proverbs 24 in the LBA
Proverbs 24 in the LBLA
Proverbs 24 in the LNT
Proverbs 24 in the LSV
Proverbs 24 in the MAAL
Proverbs 24 in the MBV
Proverbs 24 in the MBV2
Proverbs 24 in the MHNT
Proverbs 24 in the MKNFD
Proverbs 24 in the MNG
Proverbs 24 in the MNT
Proverbs 24 in the MNT2
Proverbs 24 in the MRS1T
Proverbs 24 in the NAA
Proverbs 24 in the NASB
Proverbs 24 in the NBLA
Proverbs 24 in the NBS
Proverbs 24 in the NBVTP
Proverbs 24 in the NET2
Proverbs 24 in the NIV11
Proverbs 24 in the NNT
Proverbs 24 in the NNT2
Proverbs 24 in the NNT3
Proverbs 24 in the PDDPT
Proverbs 24 in the PFNT
Proverbs 24 in the RMNT
Proverbs 24 in the SBIAS
Proverbs 24 in the SBIBS
Proverbs 24 in the SBIBS2
Proverbs 24 in the SBICS
Proverbs 24 in the SBIDS
Proverbs 24 in the SBIGS
Proverbs 24 in the SBIHS
Proverbs 24 in the SBIIS
Proverbs 24 in the SBIIS2
Proverbs 24 in the SBIIS3
Proverbs 24 in the SBIKS
Proverbs 24 in the SBIKS2
Proverbs 24 in the SBIMS
Proverbs 24 in the SBIOS
Proverbs 24 in the SBIPS
Proverbs 24 in the SBISS
Proverbs 24 in the SBITS
Proverbs 24 in the SBITS2
Proverbs 24 in the SBITS3
Proverbs 24 in the SBITS4
Proverbs 24 in the SBIUS
Proverbs 24 in the SBIVS
Proverbs 24 in the SBT
Proverbs 24 in the SBT1E
Proverbs 24 in the SCHL
Proverbs 24 in the SNT
Proverbs 24 in the SUSU
Proverbs 24 in the SUSU2
Proverbs 24 in the SYNO
Proverbs 24 in the TBIAOTANT
Proverbs 24 in the TBT1E
Proverbs 24 in the TBT1E2
Proverbs 24 in the TFTIP
Proverbs 24 in the TFTU
Proverbs 24 in the TGNTATF3T
Proverbs 24 in the THAI
Proverbs 24 in the TNFD
Proverbs 24 in the TNT
Proverbs 24 in the TNTIK
Proverbs 24 in the TNTIL
Proverbs 24 in the TNTIN
Proverbs 24 in the TNTIP
Proverbs 24 in the TNTIZ
Proverbs 24 in the TOMA
Proverbs 24 in the TTENT
Proverbs 24 in the UBG
Proverbs 24 in the UGV
Proverbs 24 in the UGV2
Proverbs 24 in the UGV3
Proverbs 24 in the VBL
Proverbs 24 in the VDCC
Proverbs 24 in the YALU
Proverbs 24 in the YAPE
Proverbs 24 in the YBVTP
Proverbs 24 in the ZBP