Psalms 106 (BOKCV)

1 Msifuni BWANA. Mshukuruni BWANA, kwa kuwa ni mwema;upendo wake wadumu milele. 2 Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya BWANAau kutangaza kikamilifu sifa zake? 3 Heri wale wanaodumisha haki,ambao daima wanafanya yaliyo mema. 4 Ee BWANA, unikumbuke unapowatendea mema watu wako,uwe msaada wangu unapowaokoa, 5 ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako,niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako,na kuungana na urithi wako katika kukusifu. 6 Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda,tumekosa na tumetenda uovu. 7 Wakati baba zetu walipokuwa Misri,hawakuzingatia maajabu yako,wala hawakukumbuka wingi wa fadhili zako,bali waliasi kando ya bahari, Bahari ya Shamu. 8 Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake,ili apate kudhihirisha uweza wake mkuu. 9 Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka,akawaongoza katika vilindi vyake kama vile jangwani. 10 Aliwaokoa mikononi mwa adui;kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa. 11 Maji yaliwafunika adui zao,hakunusurika hata mmoja. 12 Ndipo walipoamini ahadi zake,nao wakaimba sifa zake. 13 Lakini mara walisahau aliyowatendea,wala hawakungojea shauri lake. 14 Jangwani walitawaliwa na tamaa zao,walimjaribu Mungu nyikani. 15 Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba,lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha. 16 Kambini walimwonea wivu Mose,na pia Aroni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa BWANA. 17 Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani,ikawazika Abiramu na kundi lake. 18 Moto uliwaka katikati ya wafuasi wao,mwali wa moto uliwateketeza waovu. 19 Huko Horebu walitengeneza ndama,na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma. 20 Waliubadilisha Utukufu waokwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. 21 Walimsahau Mungu aliyewaokoa,aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 22 miujiza katika nchi ya Hamuna mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu. 23 Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza:kama Mose mteule wake,asingesimama kati yao na Mungukuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 24 Kisha waliidharau ile nchi nzuri,hawakuiamini ahadi yake. 25 Walinungʼunika ndani ya mahema yao,wala hawakumtii BWANA. 26 Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwakwamba atawafanya waanguke jangwani, 27 kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa,na kuwatawanya katika nchi zote. 28 Walijifunga nira na Baali wa Peori,wakala dhabihu zilizotolewa kwa miungu isiyo na uhai. 29 Waliichochea hasira ya BWANA,wakamkasirisha kwa matendo yao maovu,nayo tauni ikazuka katikati yao. 30 Lakini Finehasi alisimama na kuingilia kati,nayo tauni ikazuiliwa. 31 Hili likahesabiwa kwake haki,kwa vizazi visivyo na mwisho vijavyo. 32 Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha BWANA,janga likampata Mose kwa sababu yao; 33 kwa maana walimwasi Roho wa Mungu,na maneno yasiyofaa yakatoka midomoni kwa Mose. 34 Hawakuyaangamiza yale mataifakama BWANA alivyowaagiza, 35 bali walijichanganya na mataifana wakazikubali desturi zao. 36 Waliabudu sanamu zao,zikawa mtego kwao. 37 Wakawatoa wana waona binti zao dhabihu kwa mashetani. 38 Walimwaga damu isiyo na hatia,damu za wana wao na binti zao,ambao waliwatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani,nayo nchi ikanajisika kwa damu zao. 39 Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda;kwa matendo yao wenyewe wakajifanyia ukahaba. 40 Kwa hiyo BWANA akawakasirikia watu wakena akauchukia sana urithi wake. 41 Akawakabidhi kwa mataifana adui zao wakawatawala. 42 Adui zao wakawaoneana kuwatia chini ya mamlaka yao. 43 Mara nyingi aliwaokoalakini walikuwa wamezama kwenye uasi,nao wakajiharibu katika dhambi zao. 44 Lakini akaangalia mateso yaowakati aliposikia kilio chao; 45 kwa ajili yao akakumbuka agano lake,na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake. 46 Akawafanya wahurumiwena wote waliowashikilia mateka. 47 Ee BWANA Mungu wetu, tuokoe.Tukusanye tena kutoka kwa mataifa,ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu,na kushangilia katika sifa zako. 48 Atukuzwe BWANA, Mungu wa Israeli,tangu milele na hata milele.Watu wote na waseme, “Amen!” Msifuni BWANA.

In Other Versions

Psalms 106 in the ANGEFD

Psalms 106 in the ANTPNG2D

Psalms 106 in the AS21

Psalms 106 in the BAGH

Psalms 106 in the BBPNG

Psalms 106 in the BBT1E

Psalms 106 in the BDS

Psalms 106 in the BEV

Psalms 106 in the BHAD

Psalms 106 in the BIB

Psalms 106 in the BLPT

Psalms 106 in the BNT

Psalms 106 in the BNTABOOT

Psalms 106 in the BNTLV

Psalms 106 in the BOATCB

Psalms 106 in the BOATCB2

Psalms 106 in the BOBCV

Psalms 106 in the BOCNT

Psalms 106 in the BOECS

Psalms 106 in the BOGWICC

Psalms 106 in the BOHCB

Psalms 106 in the BOHCV

Psalms 106 in the BOHLNT

Psalms 106 in the BOHNTLTAL

Psalms 106 in the BOICB

Psalms 106 in the BOILNTAP

Psalms 106 in the BOITCV

Psalms 106 in the BOKCV2

Psalms 106 in the BOKHWOG

Psalms 106 in the BOKSSV

Psalms 106 in the BOLCB

Psalms 106 in the BOLCB2

Psalms 106 in the BOMCV

Psalms 106 in the BONAV

Psalms 106 in the BONCB

Psalms 106 in the BONLT

Psalms 106 in the BONUT2

Psalms 106 in the BOPLNT

Psalms 106 in the BOSCB

Psalms 106 in the BOSNC

Psalms 106 in the BOTLNT

Psalms 106 in the BOVCB

Psalms 106 in the BOYCB

Psalms 106 in the BPBB

Psalms 106 in the BPH

Psalms 106 in the BSB

Psalms 106 in the CCB

Psalms 106 in the CUV

Psalms 106 in the CUVS

Psalms 106 in the DBT

Psalms 106 in the DGDNT

Psalms 106 in the DHNT

Psalms 106 in the DNT

Psalms 106 in the ELBE

Psalms 106 in the EMTV

Psalms 106 in the ESV

Psalms 106 in the FBV

Psalms 106 in the FEB

Psalms 106 in the GGMNT

Psalms 106 in the GNT

Psalms 106 in the HARY

Psalms 106 in the HNT

Psalms 106 in the IRVA

Psalms 106 in the IRVB

Psalms 106 in the IRVG

Psalms 106 in the IRVH

Psalms 106 in the IRVK

Psalms 106 in the IRVM

Psalms 106 in the IRVM2

Psalms 106 in the IRVO

Psalms 106 in the IRVP

Psalms 106 in the IRVT

Psalms 106 in the IRVT2

Psalms 106 in the IRVU

Psalms 106 in the ISVN

Psalms 106 in the JSNT

Psalms 106 in the KAPI

Psalms 106 in the KBT1ETNIK

Psalms 106 in the KBV

Psalms 106 in the KJV

Psalms 106 in the KNFD

Psalms 106 in the LBA

Psalms 106 in the LBLA

Psalms 106 in the LNT

Psalms 106 in the LSV

Psalms 106 in the MAAL

Psalms 106 in the MBV

Psalms 106 in the MBV2

Psalms 106 in the MHNT

Psalms 106 in the MKNFD

Psalms 106 in the MNG

Psalms 106 in the MNT

Psalms 106 in the MNT2

Psalms 106 in the MRS1T

Psalms 106 in the NAA

Psalms 106 in the NASB

Psalms 106 in the NBLA

Psalms 106 in the NBS

Psalms 106 in the NBVTP

Psalms 106 in the NET2

Psalms 106 in the NIV11

Psalms 106 in the NNT

Psalms 106 in the NNT2

Psalms 106 in the NNT3

Psalms 106 in the PDDPT

Psalms 106 in the PFNT

Psalms 106 in the RMNT

Psalms 106 in the SBIAS

Psalms 106 in the SBIBS

Psalms 106 in the SBIBS2

Psalms 106 in the SBICS

Psalms 106 in the SBIDS

Psalms 106 in the SBIGS

Psalms 106 in the SBIHS

Psalms 106 in the SBIIS

Psalms 106 in the SBIIS2

Psalms 106 in the SBIIS3

Psalms 106 in the SBIKS

Psalms 106 in the SBIKS2

Psalms 106 in the SBIMS

Psalms 106 in the SBIOS

Psalms 106 in the SBIPS

Psalms 106 in the SBISS

Psalms 106 in the SBITS

Psalms 106 in the SBITS2

Psalms 106 in the SBITS3

Psalms 106 in the SBITS4

Psalms 106 in the SBIUS

Psalms 106 in the SBIVS

Psalms 106 in the SBT

Psalms 106 in the SBT1E

Psalms 106 in the SCHL

Psalms 106 in the SNT

Psalms 106 in the SUSU

Psalms 106 in the SUSU2

Psalms 106 in the SYNO

Psalms 106 in the TBIAOTANT

Psalms 106 in the TBT1E

Psalms 106 in the TBT1E2

Psalms 106 in the TFTIP

Psalms 106 in the TFTU

Psalms 106 in the TGNTATF3T

Psalms 106 in the THAI

Psalms 106 in the TNFD

Psalms 106 in the TNT

Psalms 106 in the TNTIK

Psalms 106 in the TNTIL

Psalms 106 in the TNTIN

Psalms 106 in the TNTIP

Psalms 106 in the TNTIZ

Psalms 106 in the TOMA

Psalms 106 in the TTENT

Psalms 106 in the UBG

Psalms 106 in the UGV

Psalms 106 in the UGV2

Psalms 106 in the UGV3

Psalms 106 in the VBL

Psalms 106 in the VDCC

Psalms 106 in the YALU

Psalms 106 in the YAPE

Psalms 106 in the YBVTP

Psalms 106 in the ZBP