1 Chronicles 23 (BOKCV)

1 Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Solomoni mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli. 2 Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. 3 Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000. 4 Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la BWANA na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, 5 na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu BWANA kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.” 6 Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. 7 Wana wa Wagershoni walikuwa wawili:Ladani na Shimei. 8 Wana wa Ladani walikuwa watatu:Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. 9 Wana wa Shimei walikuwa watatu:Shelomothi, Hazieli na Harani.Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani. 10 Nao wana wa Shimei walikuwa wanne:Yahathi, Zina, Yeushi na Beria. 11 Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja. 12 Wana wa Kohathi walikuwa wanne:Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 13 Wana wa Amramu walikuwa:Aroni na Mose.Aroni waliwekwa wakfu, yeye na wazao wake milele, wawe wakiweka wakfu vitu ambavyo ni vitakatifu mno, kutoa dhabihu mbele za BWANA, kuhudumu mbele zake na kutamka baraka katika Jina la BWANA milele. 14 Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi. 15 Wana wa Mose walikuwa:Gershomu na Eliezeri. 16 Wazao wa Gershomu:Shebueli alikuwa wa kwanza. 17 Wazao wa Eliezeri:Rehabia alikuwa wa kwanza.Eliezeri alikuwa na mwana mmoja tu, lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana. 18 Wana wa Ishari:Shelomithi alikuwa wa kwanza. 19 Wana wa Hebroni walikuwa:Yeria alikuwa wa kwanza, wa pili Amaria, wa tatu Yahazieli, na wa nne Yekameamu. 20 Wana wa Uzieli walikuwa:Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 21 Wana wa Merari walikuwa:Mahli na Mushi.Wana wa Mahli walikuwa:Eleazari na Kishi. 22 Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. 23 Wana wa Mushi:Mahli, Ederi na Yeremothi; wote walikuwa watatu. 24 Hawa walikuwa wazao wa Lawi kwa jamaa zao. Wakuu wa jamaa kama walivyoandikwa kwa majina yao na kuhesabiwa kila mmoja, yaani, wenye uwezo wa kufanya kazi kuanzia miaka ishirini au zaidi, waliohudumu katika Hekalu la BWANA. 25 Kwa maana Daudi alikuwa amesema, “Kwa vile BWANA, Mungu wa Israeli amewapa watu wake raha na amekuja kuishi Yerusalemu milele, 26 Walawi hawahitaji tena kubeba Maskani wala chombo chochote cha utumishi wake.” 27 Kulingana na maagizo ya mwisho ya Daudi, Walawi waliohesabiwa ni wale wa kuanzia umri wa miaka ishirini au zaidi. 28 Wajibu wa Walawi ulikuwa kuwasaidia wazao wa Aroni kuhudumu katika Hekalu la BWANA: Kuwa wasimamizi wa nyua, vyumba vya pembeni, kutakasa vyombo vitakatifu na utendaji mwingine wowote katika nyumba ya Mungu. 29 Walikuwa wasimamizi wa mikate iliyowekwa mezani, unga kwa ajili ya sadaka za nafaka, mikate isiyotiwa chachu, uokaji na uchanganyaji, pamoja na vipimo vyote vya wingi na ukubwa. 30 Pia ulikuwa wajibu wao kila asubuhi kumshukuru na kumsifu BWANA. Iliwapasa pia kufanya hivyo jioni 31 na wakati wowote sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa BWANA siku za Sabato na kwenye sikukuu za Mwezi Mwandamo na katika sikukuu nyingine zilizoamriwa. Iliwapasa kuhudumu mbele za BWANA mara kwa mara kwa idadi maalum na kwa namna waliyokuwa wamepewa maelekezo. 32 Hivyo Walawi wakafanya wajibu wao katika Hema la Kukutania, katika Mahali Patakatifu chini ya uongozi wa ndugu zao wazao wa Aroni, kwa ajili ya utumishi katika Hekalu la BWANA.

In Other Versions

1 Chronicles 23 in the ANGEFD

1 Chronicles 23 in the ANTPNG2D

1 Chronicles 23 in the AS21

1 Chronicles 23 in the BAGH

1 Chronicles 23 in the BBPNG

1 Chronicles 23 in the BBT1E

1 Chronicles 23 in the BDS

1 Chronicles 23 in the BEV

1 Chronicles 23 in the BHAD

1 Chronicles 23 in the BIB

1 Chronicles 23 in the BLPT

1 Chronicles 23 in the BNT

1 Chronicles 23 in the BNTABOOT

1 Chronicles 23 in the BNTLV

1 Chronicles 23 in the BOATCB

1 Chronicles 23 in the BOATCB2

1 Chronicles 23 in the BOBCV

1 Chronicles 23 in the BOCNT

1 Chronicles 23 in the BOECS

1 Chronicles 23 in the BOGWICC

1 Chronicles 23 in the BOHCB

1 Chronicles 23 in the BOHCV

1 Chronicles 23 in the BOHLNT

1 Chronicles 23 in the BOHNTLTAL

1 Chronicles 23 in the BOICB

1 Chronicles 23 in the BOILNTAP

1 Chronicles 23 in the BOITCV

1 Chronicles 23 in the BOKCV2

1 Chronicles 23 in the BOKHWOG

1 Chronicles 23 in the BOKSSV

1 Chronicles 23 in the BOLCB

1 Chronicles 23 in the BOLCB2

1 Chronicles 23 in the BOMCV

1 Chronicles 23 in the BONAV

1 Chronicles 23 in the BONCB

1 Chronicles 23 in the BONLT

1 Chronicles 23 in the BONUT2

1 Chronicles 23 in the BOPLNT

1 Chronicles 23 in the BOSCB

1 Chronicles 23 in the BOSNC

1 Chronicles 23 in the BOTLNT

1 Chronicles 23 in the BOVCB

1 Chronicles 23 in the BOYCB

1 Chronicles 23 in the BPBB

1 Chronicles 23 in the BPH

1 Chronicles 23 in the BSB

1 Chronicles 23 in the CCB

1 Chronicles 23 in the CUV

1 Chronicles 23 in the CUVS

1 Chronicles 23 in the DBT

1 Chronicles 23 in the DGDNT

1 Chronicles 23 in the DHNT

1 Chronicles 23 in the DNT

1 Chronicles 23 in the ELBE

1 Chronicles 23 in the EMTV

1 Chronicles 23 in the ESV

1 Chronicles 23 in the FBV

1 Chronicles 23 in the FEB

1 Chronicles 23 in the GGMNT

1 Chronicles 23 in the GNT

1 Chronicles 23 in the HARY

1 Chronicles 23 in the HNT

1 Chronicles 23 in the IRVA

1 Chronicles 23 in the IRVB

1 Chronicles 23 in the IRVG

1 Chronicles 23 in the IRVH

1 Chronicles 23 in the IRVK

1 Chronicles 23 in the IRVM

1 Chronicles 23 in the IRVM2

1 Chronicles 23 in the IRVO

1 Chronicles 23 in the IRVP

1 Chronicles 23 in the IRVT

1 Chronicles 23 in the IRVT2

1 Chronicles 23 in the IRVU

1 Chronicles 23 in the ISVN

1 Chronicles 23 in the JSNT

1 Chronicles 23 in the KAPI

1 Chronicles 23 in the KBT1ETNIK

1 Chronicles 23 in the KBV

1 Chronicles 23 in the KJV

1 Chronicles 23 in the KNFD

1 Chronicles 23 in the LBA

1 Chronicles 23 in the LBLA

1 Chronicles 23 in the LNT

1 Chronicles 23 in the LSV

1 Chronicles 23 in the MAAL

1 Chronicles 23 in the MBV

1 Chronicles 23 in the MBV2

1 Chronicles 23 in the MHNT

1 Chronicles 23 in the MKNFD

1 Chronicles 23 in the MNG

1 Chronicles 23 in the MNT

1 Chronicles 23 in the MNT2

1 Chronicles 23 in the MRS1T

1 Chronicles 23 in the NAA

1 Chronicles 23 in the NASB

1 Chronicles 23 in the NBLA

1 Chronicles 23 in the NBS

1 Chronicles 23 in the NBVTP

1 Chronicles 23 in the NET2

1 Chronicles 23 in the NIV11

1 Chronicles 23 in the NNT

1 Chronicles 23 in the NNT2

1 Chronicles 23 in the NNT3

1 Chronicles 23 in the PDDPT

1 Chronicles 23 in the PFNT

1 Chronicles 23 in the RMNT

1 Chronicles 23 in the SBIAS

1 Chronicles 23 in the SBIBS

1 Chronicles 23 in the SBIBS2

1 Chronicles 23 in the SBICS

1 Chronicles 23 in the SBIDS

1 Chronicles 23 in the SBIGS

1 Chronicles 23 in the SBIHS

1 Chronicles 23 in the SBIIS

1 Chronicles 23 in the SBIIS2

1 Chronicles 23 in the SBIIS3

1 Chronicles 23 in the SBIKS

1 Chronicles 23 in the SBIKS2

1 Chronicles 23 in the SBIMS

1 Chronicles 23 in the SBIOS

1 Chronicles 23 in the SBIPS

1 Chronicles 23 in the SBISS

1 Chronicles 23 in the SBITS

1 Chronicles 23 in the SBITS2

1 Chronicles 23 in the SBITS3

1 Chronicles 23 in the SBITS4

1 Chronicles 23 in the SBIUS

1 Chronicles 23 in the SBIVS

1 Chronicles 23 in the SBT

1 Chronicles 23 in the SBT1E

1 Chronicles 23 in the SCHL

1 Chronicles 23 in the SNT

1 Chronicles 23 in the SUSU

1 Chronicles 23 in the SUSU2

1 Chronicles 23 in the SYNO

1 Chronicles 23 in the TBIAOTANT

1 Chronicles 23 in the TBT1E

1 Chronicles 23 in the TBT1E2

1 Chronicles 23 in the TFTIP

1 Chronicles 23 in the TFTU

1 Chronicles 23 in the TGNTATF3T

1 Chronicles 23 in the THAI

1 Chronicles 23 in the TNFD

1 Chronicles 23 in the TNT

1 Chronicles 23 in the TNTIK

1 Chronicles 23 in the TNTIL

1 Chronicles 23 in the TNTIN

1 Chronicles 23 in the TNTIP

1 Chronicles 23 in the TNTIZ

1 Chronicles 23 in the TOMA

1 Chronicles 23 in the TTENT

1 Chronicles 23 in the UBG

1 Chronicles 23 in the UGV

1 Chronicles 23 in the UGV2

1 Chronicles 23 in the UGV3

1 Chronicles 23 in the VBL

1 Chronicles 23 in the VDCC

1 Chronicles 23 in the YALU

1 Chronicles 23 in the YAPE

1 Chronicles 23 in the YBVTP

1 Chronicles 23 in the ZBP