1 Corinthians 4 (BOKCV)

1 Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. 2 Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu. 3 Lakini kwangu mimi ni jambo dogo sana kwamba nihukumiwe na ninyi au na mahakama yoyote ya kibinadamu. Naam, hata mimi mwenyewe sijihukumu. 4 Dhamiri yangu ni safi, lakini hilo halinihesabii kuwa asiye na hatia. Bwana ndiye anihukumuye. 5 Kwa hiyo msihukumu jambo lolote kabla ya wakati wake. Ngojeni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayaleta nuruni mambo yale yaliyofichwa gizani, na kuweka wazi nia za mioyo ya wanadamu. Wakati huo kila mmoja atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu. 6 Basi ndugu zangu, mambo haya nimeyafanya kwangu binafsi na Apolo kwa faida yenu, ili mweze kujifunza kutoka kwetu maana ya ule usemi usemao, “Msivuke zaidi ya yale yaliyoandikwa.” Hivyo hamtajivunia mtu fulani na kumdharau mwingine. 7 Kwa maana ni nani aliyewafanya kuwa tofauti na wengine? Ni nini mlicho nacho ambacho hamkupokea? Nanyi kama mlipokea, kwa nini mnajivuna kama vile hamkupokea? 8 Sasa tayari mnayo yale yote mnayohitaji! Tayari mmekwisha kuwa matajiri! Mmekuwa wafalme, tena bila sisi! Laiti mngekuwa wafalme kweli ili na sisi tupate kuwa wafalme pamoja nanyi! 9 Kwa maana ninaona kwamba Mungu ametuweka sisi mitume katika nafasi ya mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kufa kwenye uwanja wa tamasha, kwa sababu tumefanywa kuwa maonyesho kwa ulimwengu wote, kwa malaika na kwa wanadamu pia. 10 Kwa ajili ya Kristo sisi ni wajinga, lakini ninyi mna hekima sana ndani ya Kristo. Sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu. Tunadharauliwa, lakini ninyi mnaheshimiwa. 11 Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao. 12 Tunafanya kazi kwa bidii kwa mikono yetu wenyewe. Tunapolaaniwa, tunabariki, tunapoteswa, tunastahimili, 13 tunaposingiziwa, tunajibu kwa upole. Mpaka sasa tumekuwa kama takataka ya dunia na uchafu wa ulimwengu. 14 Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa. 15 Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili. 16 Basi nawasihi igeni mfano wangu. 17 Kwa sababu hii ninamtuma Timotheo, mwanangu mpendwa na mwaminifu katika Bwana. Yeye atawakumbusha kuhusu njia za maisha yangu katika Kristo Yesu, ambayo yanakubaliana na mafundisho yangu ninayofundisha katika kila kanisa. 18 Baadhi yenu mmekuwa na jeuri mkidhani kuwa sitafika kwenu. 19 Lakini kama Bwana akipenda, nitafika kwenu mapema, nami nitapenda kujua, si tu kile wanachosema hawa watu jeuri, bali pia kujua nguvu yao. 20 Kwa kuwa Ufalme wa Mungu si maneno matupu tu bali ni nguvu. 21 Ninyi amueni. Je, nije kwenu na fimbo, au nije kwa upendo na kwa roho ya upole?

In Other Versions

1 Corinthians 4 in the ANGEFD

1 Corinthians 4 in the ANTPNG2D

1 Corinthians 4 in the AS21

1 Corinthians 4 in the BAGH

1 Corinthians 4 in the BBPNG

1 Corinthians 4 in the BBT1E

1 Corinthians 4 in the BDS

1 Corinthians 4 in the BEV

1 Corinthians 4 in the BHAD

1 Corinthians 4 in the BIB

1 Corinthians 4 in the BLPT

1 Corinthians 4 in the BNT

1 Corinthians 4 in the BNTABOOT

1 Corinthians 4 in the BNTLV

1 Corinthians 4 in the BOATCB

1 Corinthians 4 in the BOATCB2

1 Corinthians 4 in the BOBCV

1 Corinthians 4 in the BOCNT

1 Corinthians 4 in the BOECS

1 Corinthians 4 in the BOGWICC

1 Corinthians 4 in the BOHCB

1 Corinthians 4 in the BOHCV

1 Corinthians 4 in the BOHLNT

1 Corinthians 4 in the BOHNTLTAL

1 Corinthians 4 in the BOICB

1 Corinthians 4 in the BOILNTAP

1 Corinthians 4 in the BOITCV

1 Corinthians 4 in the BOKCV2

1 Corinthians 4 in the BOKHWOG

1 Corinthians 4 in the BOKSSV

1 Corinthians 4 in the BOLCB

1 Corinthians 4 in the BOLCB2

1 Corinthians 4 in the BOMCV

1 Corinthians 4 in the BONAV

1 Corinthians 4 in the BONCB

1 Corinthians 4 in the BONLT

1 Corinthians 4 in the BONUT2

1 Corinthians 4 in the BOPLNT

1 Corinthians 4 in the BOSCB

1 Corinthians 4 in the BOSNC

1 Corinthians 4 in the BOTLNT

1 Corinthians 4 in the BOVCB

1 Corinthians 4 in the BOYCB

1 Corinthians 4 in the BPBB

1 Corinthians 4 in the BPH

1 Corinthians 4 in the BSB

1 Corinthians 4 in the CCB

1 Corinthians 4 in the CUV

1 Corinthians 4 in the CUVS

1 Corinthians 4 in the DBT

1 Corinthians 4 in the DGDNT

1 Corinthians 4 in the DHNT

1 Corinthians 4 in the DNT

1 Corinthians 4 in the ELBE

1 Corinthians 4 in the EMTV

1 Corinthians 4 in the ESV

1 Corinthians 4 in the FBV

1 Corinthians 4 in the FEB

1 Corinthians 4 in the GGMNT

1 Corinthians 4 in the GNT

1 Corinthians 4 in the HARY

1 Corinthians 4 in the HNT

1 Corinthians 4 in the IRVA

1 Corinthians 4 in the IRVB

1 Corinthians 4 in the IRVG

1 Corinthians 4 in the IRVH

1 Corinthians 4 in the IRVK

1 Corinthians 4 in the IRVM

1 Corinthians 4 in the IRVM2

1 Corinthians 4 in the IRVO

1 Corinthians 4 in the IRVP

1 Corinthians 4 in the IRVT

1 Corinthians 4 in the IRVT2

1 Corinthians 4 in the IRVU

1 Corinthians 4 in the ISVN

1 Corinthians 4 in the JSNT

1 Corinthians 4 in the KAPI

1 Corinthians 4 in the KBT1ETNIK

1 Corinthians 4 in the KBV

1 Corinthians 4 in the KJV

1 Corinthians 4 in the KNFD

1 Corinthians 4 in the LBA

1 Corinthians 4 in the LBLA

1 Corinthians 4 in the LNT

1 Corinthians 4 in the LSV

1 Corinthians 4 in the MAAL

1 Corinthians 4 in the MBV

1 Corinthians 4 in the MBV2

1 Corinthians 4 in the MHNT

1 Corinthians 4 in the MKNFD

1 Corinthians 4 in the MNG

1 Corinthians 4 in the MNT

1 Corinthians 4 in the MNT2

1 Corinthians 4 in the MRS1T

1 Corinthians 4 in the NAA

1 Corinthians 4 in the NASB

1 Corinthians 4 in the NBLA

1 Corinthians 4 in the NBS

1 Corinthians 4 in the NBVTP

1 Corinthians 4 in the NET2

1 Corinthians 4 in the NIV11

1 Corinthians 4 in the NNT

1 Corinthians 4 in the NNT2

1 Corinthians 4 in the NNT3

1 Corinthians 4 in the PDDPT

1 Corinthians 4 in the PFNT

1 Corinthians 4 in the RMNT

1 Corinthians 4 in the SBIAS

1 Corinthians 4 in the SBIBS

1 Corinthians 4 in the SBIBS2

1 Corinthians 4 in the SBICS

1 Corinthians 4 in the SBIDS

1 Corinthians 4 in the SBIGS

1 Corinthians 4 in the SBIHS

1 Corinthians 4 in the SBIIS

1 Corinthians 4 in the SBIIS2

1 Corinthians 4 in the SBIIS3

1 Corinthians 4 in the SBIKS

1 Corinthians 4 in the SBIKS2

1 Corinthians 4 in the SBIMS

1 Corinthians 4 in the SBIOS

1 Corinthians 4 in the SBIPS

1 Corinthians 4 in the SBISS

1 Corinthians 4 in the SBITS

1 Corinthians 4 in the SBITS2

1 Corinthians 4 in the SBITS3

1 Corinthians 4 in the SBITS4

1 Corinthians 4 in the SBIUS

1 Corinthians 4 in the SBIVS

1 Corinthians 4 in the SBT

1 Corinthians 4 in the SBT1E

1 Corinthians 4 in the SCHL

1 Corinthians 4 in the SNT

1 Corinthians 4 in the SUSU

1 Corinthians 4 in the SUSU2

1 Corinthians 4 in the SYNO

1 Corinthians 4 in the TBIAOTANT

1 Corinthians 4 in the TBT1E

1 Corinthians 4 in the TBT1E2

1 Corinthians 4 in the TFTIP

1 Corinthians 4 in the TFTU

1 Corinthians 4 in the TGNTATF3T

1 Corinthians 4 in the THAI

1 Corinthians 4 in the TNFD

1 Corinthians 4 in the TNT

1 Corinthians 4 in the TNTIK

1 Corinthians 4 in the TNTIL

1 Corinthians 4 in the TNTIN

1 Corinthians 4 in the TNTIP

1 Corinthians 4 in the TNTIZ

1 Corinthians 4 in the TOMA

1 Corinthians 4 in the TTENT

1 Corinthians 4 in the UBG

1 Corinthians 4 in the UGV

1 Corinthians 4 in the UGV2

1 Corinthians 4 in the UGV3

1 Corinthians 4 in the VBL

1 Corinthians 4 in the VDCC

1 Corinthians 4 in the YALU

1 Corinthians 4 in the YAPE

1 Corinthians 4 in the YBVTP

1 Corinthians 4 in the ZBP