1 John 5 (BOKCV)
1 Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo amezaliwa na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye. 2 Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake. 3 Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito. 4 Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani, hiyo imani yetu. 5 Ni nani yule aushindaye ulimwengu? Ni yule tu aaminiye kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu. 6 Huyu ndiye alikuja kwa maji na damu, yaani, Yesu Kristo. Hakuja kwa maji peke yake, bali kwa maji na damu. Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli. 7 Kwa maana wako watatu washuhudiao[ mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho Mtakatifu. Hawa watatu ni umoja. 8 Pia wako mashahidi watatu duniani]: Roho, Maji na Damu; hawa watatu wanakubaliana katika umoja. 9 Kama tunaukubali ushuhuda wa wanadamu, basi ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi, kwa kuwa huu ndio ushuhuda wa Mungu kwamba amemshuhudia Mwanawe. 10 Kila mtu amwaminiye Mwana wa Mungu anao huu ushuhuda moyoni mwake. Kila mtu asiyemwamini Mungu amemfanya yeye kuwa mwongo, kwa sababu hakuamini ushuhuda Mungu alioutoa kuhusu Mwanawe. 11 Huu ndio ushuhuda: kwamba Mungu ametupa uzima wa milele, nao huo uzima umo katika Mwanawe. 12 Aliye naye Mwana wa Mungu anao uzima, yeye asiye na Mwana wa Mungu hana uzima. 13 Nawaandikia mambo haya ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu ili mpate kujua ya kuwa mnao uzima wa milele. 14 Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba kama tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. 15 Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua ya kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba. 16 Kama mtu akimwona ndugu yake akitenda dhambi isiyo ya mauti, inampasa aombe, naye Mungu atampa uzima mtu huyo. Ninamaanisha wale ambao dhambi yao si ya mauti. Iko dhambi ya mauti, sisemi kwamba utaomba kwa ajili ya hiyo. 17 Jambo lolote lisilo la haki ni dhambi, lakini iko dhambi isiyo ya mauti. 18 Tunajua ya kuwa yeye aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, bali aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hawezi kumdhuru. 19 Sisi twajua kuwa tu watoto wa Mungu na ya kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu. 20 Nasi pia twajua ya kwamba Mwana wa Mungu amekuja, naye ametupa sisi ufahamu ili tupate kumjua yeye aliye Kweli. Nasi tumo ndani yake yeye aliye Kweli, yaani, ndani ya Yesu Kristo Mwanawe. Yeye ndiye Mungu wa kweli na uzima wa milele. 21 Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.
In Other Versions
1 John 5 in the ANGEFD
1 John 5 in the ANTPNG2D
1 John 5 in the AS21
1 John 5 in the BAGH
1 John 5 in the BBPNG
1 John 5 in the BBT1E
1 John 5 in the BDS
1 John 5 in the BEV
1 John 5 in the BHAD
1 John 5 in the BIB
1 John 5 in the BLPT
1 John 5 in the BNT
1 John 5 in the BNTABOOT
1 John 5 in the BNTLV
1 John 5 in the BOATCB
1 John 5 in the BOATCB2
1 John 5 in the BOBCV
1 John 5 in the BOCNT
1 John 5 in the BOECS
1 John 5 in the BOGWICC
1 John 5 in the BOHCB
1 John 5 in the BOHCV
1 John 5 in the BOHLNT
1 John 5 in the BOHNTLTAL
1 John 5 in the BOICB
1 John 5 in the BOILNTAP
1 John 5 in the BOITCV
1 John 5 in the BOKCV2
1 John 5 in the BOKHWOG
1 John 5 in the BOKSSV
1 John 5 in the BOLCB
1 John 5 in the BOLCB2
1 John 5 in the BOMCV
1 John 5 in the BONAV
1 John 5 in the BONCB
1 John 5 in the BONLT
1 John 5 in the BONUT2
1 John 5 in the BOPLNT
1 John 5 in the BOSCB
1 John 5 in the BOSNC
1 John 5 in the BOTLNT
1 John 5 in the BOVCB
1 John 5 in the BOYCB
1 John 5 in the BPBB
1 John 5 in the BPH
1 John 5 in the BSB
1 John 5 in the CCB
1 John 5 in the CUV
1 John 5 in the CUVS
1 John 5 in the DBT
1 John 5 in the DGDNT
1 John 5 in the DHNT
1 John 5 in the DNT
1 John 5 in the ELBE
1 John 5 in the EMTV
1 John 5 in the ESV
1 John 5 in the FBV
1 John 5 in the FEB
1 John 5 in the GGMNT
1 John 5 in the GNT
1 John 5 in the HARY
1 John 5 in the HNT
1 John 5 in the IRVA
1 John 5 in the IRVB
1 John 5 in the IRVG
1 John 5 in the IRVH
1 John 5 in the IRVK
1 John 5 in the IRVM
1 John 5 in the IRVM2
1 John 5 in the IRVO
1 John 5 in the IRVP
1 John 5 in the IRVT
1 John 5 in the IRVT2
1 John 5 in the IRVU
1 John 5 in the ISVN
1 John 5 in the JSNT
1 John 5 in the KAPI
1 John 5 in the KBT1ETNIK
1 John 5 in the KBV
1 John 5 in the KJV
1 John 5 in the KNFD
1 John 5 in the LBA
1 John 5 in the LBLA
1 John 5 in the LNT
1 John 5 in the LSV
1 John 5 in the MAAL
1 John 5 in the MBV
1 John 5 in the MBV2
1 John 5 in the MHNT
1 John 5 in the MKNFD
1 John 5 in the MNG
1 John 5 in the MNT
1 John 5 in the MNT2
1 John 5 in the MRS1T
1 John 5 in the NAA
1 John 5 in the NASB
1 John 5 in the NBLA
1 John 5 in the NBS
1 John 5 in the NBVTP
1 John 5 in the NET2
1 John 5 in the NIV11
1 John 5 in the NNT
1 John 5 in the NNT2
1 John 5 in the NNT3
1 John 5 in the PDDPT
1 John 5 in the PFNT
1 John 5 in the RMNT
1 John 5 in the SBIAS
1 John 5 in the SBIBS
1 John 5 in the SBIBS2
1 John 5 in the SBICS
1 John 5 in the SBIDS
1 John 5 in the SBIGS
1 John 5 in the SBIHS
1 John 5 in the SBIIS
1 John 5 in the SBIIS2
1 John 5 in the SBIIS3
1 John 5 in the SBIKS
1 John 5 in the SBIKS2
1 John 5 in the SBIMS
1 John 5 in the SBIOS
1 John 5 in the SBIPS
1 John 5 in the SBISS
1 John 5 in the SBITS
1 John 5 in the SBITS2
1 John 5 in the SBITS3
1 John 5 in the SBITS4
1 John 5 in the SBIUS
1 John 5 in the SBIVS
1 John 5 in the SBT
1 John 5 in the SBT1E
1 John 5 in the SCHL
1 John 5 in the SNT
1 John 5 in the SUSU
1 John 5 in the SUSU2
1 John 5 in the SYNO
1 John 5 in the TBIAOTANT
1 John 5 in the TBT1E
1 John 5 in the TBT1E2
1 John 5 in the TFTIP
1 John 5 in the TFTU
1 John 5 in the TGNTATF3T
1 John 5 in the THAI
1 John 5 in the TNFD
1 John 5 in the TNT
1 John 5 in the TNTIK
1 John 5 in the TNTIL
1 John 5 in the TNTIN
1 John 5 in the TNTIP
1 John 5 in the TNTIZ
1 John 5 in the TOMA
1 John 5 in the TTENT
1 John 5 in the UBG
1 John 5 in the UGV
1 John 5 in the UGV2
1 John 5 in the UGV3
1 John 5 in the VBL
1 John 5 in the VDCC
1 John 5 in the YALU
1 John 5 in the YAPE
1 John 5 in the YBVTP
1 John 5 in the ZBP