1 Samuel 7 (BOKCV)
1 Kisha watu wa Kiriath-Yearimu wakaja na kulichukua Sanduku la BWANA. Wakalipeleka katika nyumba ya Abinadabu juu kilimani na kumweka Eleazari mwanawe wakfu kulichunga Sanduku la BWANA. 2 Sanduku la BWANA lilibakia huko Kiriath-Yearimu kwa muda mrefu, yaani jumla ya miaka ishirini, nao watu wa Israeli wakaomboleza na kumtafuta BWANA. 3 Naye Samweli akawaambia nyumba yote ya Israeli, “Ikiwa mtamrudia BWANA kwa mioyo yenu yote, basi iacheni miungu migeni na Maashtorethi na kujitoa wenyewe kwa BWANA na kumtumikia yeye peke yake, naye atawaokoa ninyi na mkono wa Wafilisti.” 4 Hivyo Waisraeli wakaweka mbali Mabaali yao na Maashtorethi, nao wakamtumikia BWANA peke yake. 5 Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa BWANA.” 6 Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za BWANA. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya BWANA.” Naye Samweli alikuwa kiongozi wa Israeli huko Mispa. 7 Wafilisti waliposikia kwamba Israeli wamekusanyika huko Mispa, watawala wa Wafilisti wakapanda ili kuwashambulia. Waisraeli waliposikia habari hiyo, waliogopa kwa sababu ya Wafilisti. 8 Wakamwambia Samweli, “Usiache kumlilia BWANA, Mungu wetu, kwa ajili yetu, ili apate kutuokoa na mikono ya Wafilisti.” 9 Kisha Samweli akamchukua mwana-kondoo anyonyaye na kumtoa mzima kama sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA. Akamlilia BWANA kwa niaba ya Israeli, naye BWANA akamjibu. 10 Samweli alipokuwa anatoa hiyo dhabihu ya kuteketezwa, Wafilisti wakasogea karibu ili kupigana vita na Israeli. Lakini siku ile BWANA alinguruma kwa ngurumo kubwa dhidi ya Wafilisti na kuwafanya wafadhaike na kutetemeka hivi kwamba walikimbizwa mbele ya Waisraeli. 11 Watu wa Israeli wakatoka mbio huko Mispa na kuwafuatia Wafilisti, wakiwachinja njiani hadi mahali chini ya Beth-Kari. 12 Ndipo Samweli akachukua jiwe na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni. Akaliita Ebenezeri, akisema, “Hata sasa BWANA ametusaidia.” 13 Basi Wafilisti wakashindwa na hawakuvamia nchi ya Israeli tena.Katika maisha yote ya Samweli, mkono wa BWANA ulikuwa dhidi ya Wafilisti. 14 Miji kuanzia Ekroni hadi Gathi, ile ambayo Wafilisti walikuwa wameiteka kutoka Israeli, ilirudishwa kwake, naye Israeli akazikomboa nchi jirani mikononi mwa Wafilisti. Kukawepo amani kati ya Israeli na Waamori. 15 Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake. 16 Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli mpaka Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote. 17 Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea BWANA madhabahu.
In Other Versions
1 Samuel 7 in the ANGEFD
1 Samuel 7 in the ANTPNG2D
1 Samuel 7 in the AS21
1 Samuel 7 in the BAGH
1 Samuel 7 in the BBPNG
1 Samuel 7 in the BBT1E
1 Samuel 7 in the BDS
1 Samuel 7 in the BEV
1 Samuel 7 in the BHAD
1 Samuel 7 in the BIB
1 Samuel 7 in the BLPT
1 Samuel 7 in the BNT
1 Samuel 7 in the BNTABOOT
1 Samuel 7 in the BNTLV
1 Samuel 7 in the BOATCB
1 Samuel 7 in the BOATCB2
1 Samuel 7 in the BOBCV
1 Samuel 7 in the BOCNT
1 Samuel 7 in the BOECS
1 Samuel 7 in the BOGWICC
1 Samuel 7 in the BOHCB
1 Samuel 7 in the BOHCV
1 Samuel 7 in the BOHLNT
1 Samuel 7 in the BOHNTLTAL
1 Samuel 7 in the BOICB
1 Samuel 7 in the BOILNTAP
1 Samuel 7 in the BOITCV
1 Samuel 7 in the BOKCV2
1 Samuel 7 in the BOKHWOG
1 Samuel 7 in the BOKSSV
1 Samuel 7 in the BOLCB
1 Samuel 7 in the BOLCB2
1 Samuel 7 in the BOMCV
1 Samuel 7 in the BONAV
1 Samuel 7 in the BONCB
1 Samuel 7 in the BONLT
1 Samuel 7 in the BONUT2
1 Samuel 7 in the BOPLNT
1 Samuel 7 in the BOSCB
1 Samuel 7 in the BOSNC
1 Samuel 7 in the BOTLNT
1 Samuel 7 in the BOVCB
1 Samuel 7 in the BOYCB
1 Samuel 7 in the BPBB
1 Samuel 7 in the BPH
1 Samuel 7 in the BSB
1 Samuel 7 in the CCB
1 Samuel 7 in the CUV
1 Samuel 7 in the CUVS
1 Samuel 7 in the DBT
1 Samuel 7 in the DGDNT
1 Samuel 7 in the DHNT
1 Samuel 7 in the DNT
1 Samuel 7 in the ELBE
1 Samuel 7 in the EMTV
1 Samuel 7 in the ESV
1 Samuel 7 in the FBV
1 Samuel 7 in the FEB
1 Samuel 7 in the GGMNT
1 Samuel 7 in the GNT
1 Samuel 7 in the HARY
1 Samuel 7 in the HNT
1 Samuel 7 in the IRVA
1 Samuel 7 in the IRVB
1 Samuel 7 in the IRVG
1 Samuel 7 in the IRVH
1 Samuel 7 in the IRVK
1 Samuel 7 in the IRVM
1 Samuel 7 in the IRVM2
1 Samuel 7 in the IRVO
1 Samuel 7 in the IRVP
1 Samuel 7 in the IRVT
1 Samuel 7 in the IRVT2
1 Samuel 7 in the IRVU
1 Samuel 7 in the ISVN
1 Samuel 7 in the JSNT
1 Samuel 7 in the KAPI
1 Samuel 7 in the KBT1ETNIK
1 Samuel 7 in the KBV
1 Samuel 7 in the KJV
1 Samuel 7 in the KNFD
1 Samuel 7 in the LBA
1 Samuel 7 in the LBLA
1 Samuel 7 in the LNT
1 Samuel 7 in the LSV
1 Samuel 7 in the MAAL
1 Samuel 7 in the MBV
1 Samuel 7 in the MBV2
1 Samuel 7 in the MHNT
1 Samuel 7 in the MKNFD
1 Samuel 7 in the MNG
1 Samuel 7 in the MNT
1 Samuel 7 in the MNT2
1 Samuel 7 in the MRS1T
1 Samuel 7 in the NAA
1 Samuel 7 in the NASB
1 Samuel 7 in the NBLA
1 Samuel 7 in the NBS
1 Samuel 7 in the NBVTP
1 Samuel 7 in the NET2
1 Samuel 7 in the NIV11
1 Samuel 7 in the NNT
1 Samuel 7 in the NNT2
1 Samuel 7 in the NNT3
1 Samuel 7 in the PDDPT
1 Samuel 7 in the PFNT
1 Samuel 7 in the RMNT
1 Samuel 7 in the SBIAS
1 Samuel 7 in the SBIBS
1 Samuel 7 in the SBIBS2
1 Samuel 7 in the SBICS
1 Samuel 7 in the SBIDS
1 Samuel 7 in the SBIGS
1 Samuel 7 in the SBIHS
1 Samuel 7 in the SBIIS
1 Samuel 7 in the SBIIS2
1 Samuel 7 in the SBIIS3
1 Samuel 7 in the SBIKS
1 Samuel 7 in the SBIKS2
1 Samuel 7 in the SBIMS
1 Samuel 7 in the SBIOS
1 Samuel 7 in the SBIPS
1 Samuel 7 in the SBISS
1 Samuel 7 in the SBITS
1 Samuel 7 in the SBITS2
1 Samuel 7 in the SBITS3
1 Samuel 7 in the SBITS4
1 Samuel 7 in the SBIUS
1 Samuel 7 in the SBIVS
1 Samuel 7 in the SBT
1 Samuel 7 in the SBT1E
1 Samuel 7 in the SCHL
1 Samuel 7 in the SNT
1 Samuel 7 in the SUSU
1 Samuel 7 in the SUSU2
1 Samuel 7 in the SYNO
1 Samuel 7 in the TBIAOTANT
1 Samuel 7 in the TBT1E
1 Samuel 7 in the TBT1E2
1 Samuel 7 in the TFTIP
1 Samuel 7 in the TFTU
1 Samuel 7 in the TGNTATF3T
1 Samuel 7 in the THAI
1 Samuel 7 in the TNFD
1 Samuel 7 in the TNT
1 Samuel 7 in the TNTIK
1 Samuel 7 in the TNTIL
1 Samuel 7 in the TNTIN
1 Samuel 7 in the TNTIP
1 Samuel 7 in the TNTIZ
1 Samuel 7 in the TOMA
1 Samuel 7 in the TTENT
1 Samuel 7 in the UBG
1 Samuel 7 in the UGV
1 Samuel 7 in the UGV2
1 Samuel 7 in the UGV3
1 Samuel 7 in the VBL
1 Samuel 7 in the VDCC
1 Samuel 7 in the YALU
1 Samuel 7 in the YAPE
1 Samuel 7 in the YBVTP
1 Samuel 7 in the ZBP