2 Peter 3 (BOKCV)
1 Wapenzi, huu ndio waraka wangu wa pili ninaowaandikia. Katika nyaraka hizi mbili ninajaribu kuziamsha nia zenu safi kwa mawazo makamilifu. 2 Nataka ninyi mkumbuke maneno yaliyosemwa zamani na manabii watakatifu na ile amri ya Bwana na Mwokozi mliyopewa kupitia kwa mitume wenu. 3 Kwanza kabisa, ni lazima mfahamu ya kwamba siku za mwisho watakuja watu wenye dhihaka, wakidhihaki na kuzifuata tamaa zao mbaya. 4 Watasema, “Iko wapi ile ahadi ya kuja kwake? Tangu baba zetu walipofariki, kila kitu kinaendelea kama kilivyokuwa tangu mwanzo wa kuumbwa.” 5 Lakini wao kwa makusudi hupuuza ukweli huu, ya kwamba kwa neno la Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, nayo dunia ilifanyizwa kutoka ndani ya maji na kwa maji. 6 Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa. 7 Lakini kwa neno lilo hilo, mbingu za sasa na dunia zimewekwa akiba kwa ajili ya moto, zikihifadhiwa hadi siku ile ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomcha Mungu. 8 Lakini wapenzi, msisahau neno hili: kwamba kwa Bwana, siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja. 9 Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama watu wengine wanavyokudhani kukawia. Badala yake, yeye anawavumilia ninyi, maana hataki mtu yeyote aangamie, bali kila mtu afikilie toba. 10 Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilichomo ndani yake kitaunguzwa. 11 Kwa kuwa vitu vyote vitaharibiwa namna hii, je, ninyi imewapasa kuwa watu wa namna gani? Inawapasa kuishi maisha matakatifu na ya kumcha Mungu, 12 mkingojea na kuhimiza kuja kwa hiyo siku ya Mungu. Siku hiyo italeta mbingu kuchomwa moto na kutoweka, na vitu vya asili vitayeyuka kwa moto. 13 Lakini kufuatana na ahadi yake, sisi tunatazamia mbingu mpya na dunia mpya, ambayo haki hukaa ndani yake. 14 Kwa sababu hii, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo haya, fanyeni bidii ili awakute katika amani, bila mawaa wala dosari. 15 Hesabuni uvumilivu wa Bwana kuwa ni wokovu, kama vile ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima ile aliyopewa na Mungu. 16 Huandika vivyo hivyo katika nyaraka zake zote, akizungumzia ndani yake mambo haya. Katika nyaraka zake kuna mambo mengine ambayo ni vigumu kuyaelewa, ambayo watu wajinga na wasio thabiti huyapotosha kwa maangamizi yao wenyewe, kama wapotoshavyo pia Maandiko mengine. 17 Basi, ninyi wapenzi, kwa kuwa mmekwisha kujua mambo haya, jilindeni msije mkachukuliwa na kosa la watu hao waasi na kuanguka kutoka kwenye uthabiti wenu. 18 Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen.
In Other Versions
2 Peter 3 in the ANGEFD
2 Peter 3 in the ANTPNG2D
2 Peter 3 in the AS21
2 Peter 3 in the BAGH
2 Peter 3 in the BBPNG
2 Peter 3 in the BBT1E
2 Peter 3 in the BDS
2 Peter 3 in the BEV
2 Peter 3 in the BHAD
2 Peter 3 in the BIB
2 Peter 3 in the BLPT
2 Peter 3 in the BNT
2 Peter 3 in the BNTABOOT
2 Peter 3 in the BNTLV
2 Peter 3 in the BOATCB
2 Peter 3 in the BOATCB2
2 Peter 3 in the BOBCV
2 Peter 3 in the BOCNT
2 Peter 3 in the BOECS
2 Peter 3 in the BOGWICC
2 Peter 3 in the BOHCB
2 Peter 3 in the BOHCV
2 Peter 3 in the BOHLNT
2 Peter 3 in the BOHNTLTAL
2 Peter 3 in the BOICB
2 Peter 3 in the BOILNTAP
2 Peter 3 in the BOITCV
2 Peter 3 in the BOKCV2
2 Peter 3 in the BOKHWOG
2 Peter 3 in the BOKSSV
2 Peter 3 in the BOLCB
2 Peter 3 in the BOLCB2
2 Peter 3 in the BOMCV
2 Peter 3 in the BONAV
2 Peter 3 in the BONCB
2 Peter 3 in the BONLT
2 Peter 3 in the BONUT2
2 Peter 3 in the BOPLNT
2 Peter 3 in the BOSCB
2 Peter 3 in the BOSNC
2 Peter 3 in the BOTLNT
2 Peter 3 in the BOVCB
2 Peter 3 in the BOYCB
2 Peter 3 in the BPBB
2 Peter 3 in the BPH
2 Peter 3 in the BSB
2 Peter 3 in the CCB
2 Peter 3 in the CUV
2 Peter 3 in the CUVS
2 Peter 3 in the DBT
2 Peter 3 in the DGDNT
2 Peter 3 in the DHNT
2 Peter 3 in the DNT
2 Peter 3 in the ELBE
2 Peter 3 in the EMTV
2 Peter 3 in the ESV
2 Peter 3 in the FBV
2 Peter 3 in the FEB
2 Peter 3 in the GGMNT
2 Peter 3 in the GNT
2 Peter 3 in the HARY
2 Peter 3 in the HNT
2 Peter 3 in the IRVA
2 Peter 3 in the IRVB
2 Peter 3 in the IRVG
2 Peter 3 in the IRVH
2 Peter 3 in the IRVK
2 Peter 3 in the IRVM
2 Peter 3 in the IRVM2
2 Peter 3 in the IRVO
2 Peter 3 in the IRVP
2 Peter 3 in the IRVT
2 Peter 3 in the IRVT2
2 Peter 3 in the IRVU
2 Peter 3 in the ISVN
2 Peter 3 in the JSNT
2 Peter 3 in the KAPI
2 Peter 3 in the KBT1ETNIK
2 Peter 3 in the KBV
2 Peter 3 in the KJV
2 Peter 3 in the KNFD
2 Peter 3 in the LBA
2 Peter 3 in the LBLA
2 Peter 3 in the LNT
2 Peter 3 in the LSV
2 Peter 3 in the MAAL
2 Peter 3 in the MBV
2 Peter 3 in the MBV2
2 Peter 3 in the MHNT
2 Peter 3 in the MKNFD
2 Peter 3 in the MNG
2 Peter 3 in the MNT
2 Peter 3 in the MNT2
2 Peter 3 in the MRS1T
2 Peter 3 in the NAA
2 Peter 3 in the NASB
2 Peter 3 in the NBLA
2 Peter 3 in the NBS
2 Peter 3 in the NBVTP
2 Peter 3 in the NET2
2 Peter 3 in the NIV11
2 Peter 3 in the NNT
2 Peter 3 in the NNT2
2 Peter 3 in the NNT3
2 Peter 3 in the PDDPT
2 Peter 3 in the PFNT
2 Peter 3 in the RMNT
2 Peter 3 in the SBIAS
2 Peter 3 in the SBIBS
2 Peter 3 in the SBIBS2
2 Peter 3 in the SBICS
2 Peter 3 in the SBIDS
2 Peter 3 in the SBIGS
2 Peter 3 in the SBIHS
2 Peter 3 in the SBIIS
2 Peter 3 in the SBIIS2
2 Peter 3 in the SBIIS3
2 Peter 3 in the SBIKS
2 Peter 3 in the SBIKS2
2 Peter 3 in the SBIMS
2 Peter 3 in the SBIOS
2 Peter 3 in the SBIPS
2 Peter 3 in the SBISS
2 Peter 3 in the SBITS
2 Peter 3 in the SBITS2
2 Peter 3 in the SBITS3
2 Peter 3 in the SBITS4
2 Peter 3 in the SBIUS
2 Peter 3 in the SBIVS
2 Peter 3 in the SBT
2 Peter 3 in the SBT1E
2 Peter 3 in the SCHL
2 Peter 3 in the SNT
2 Peter 3 in the SUSU
2 Peter 3 in the SUSU2
2 Peter 3 in the SYNO
2 Peter 3 in the TBIAOTANT
2 Peter 3 in the TBT1E
2 Peter 3 in the TBT1E2
2 Peter 3 in the TFTIP
2 Peter 3 in the TFTU
2 Peter 3 in the TGNTATF3T
2 Peter 3 in the THAI
2 Peter 3 in the TNFD
2 Peter 3 in the TNT
2 Peter 3 in the TNTIK
2 Peter 3 in the TNTIL
2 Peter 3 in the TNTIN
2 Peter 3 in the TNTIP
2 Peter 3 in the TNTIZ
2 Peter 3 in the TOMA
2 Peter 3 in the TTENT
2 Peter 3 in the UBG
2 Peter 3 in the UGV
2 Peter 3 in the UGV2
2 Peter 3 in the UGV3
2 Peter 3 in the VBL
2 Peter 3 in the VDCC
2 Peter 3 in the YALU
2 Peter 3 in the YAPE
2 Peter 3 in the YBVTP
2 Peter 3 in the ZBP