Amos 5 (BOKCV)

1 Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi: 2 “Bikira Israeli ameanguka,kamwe hatainuka tena,ameachwa pweke katika nchi yake,hakuna yeyote wa kumwinua.” 3 Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo:“Wakati mmoja wa miji yako utakapopeleka watu elfu moja vitani kwa ajili ya Israeli,mia moja tu watarudi;wakati mji utakapopeleka mia moja,kumi tu ndio watarudi hai.” 4 Hili ndilo BWANA asemalo kwa nyumba ya Israeli:“Nitafuteni mpate kuishi; 5 msitafute Betheli,msiende Gilgali,msisafiri kwenda Beer-Sheba.Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni,na Betheli itafanywa kuwa si kitu.” 6 Mtafuteni BWANA mpate kuishi,au atafagia nyumba ya Yosefu kama moto;utawateketeza, nayo Bethelihaitakuwa na yeyote wa kuuzima. 7 Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchunguna kuiangusha haki chini 8 (yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni,ambaye hugeuza giza kuwa mapambazukona mchana kuwa usiku,ambaye huyaita maji ya baharina kuyamwaga juu ya uso wa nchi: BWANA ndilo jina lake; 9 yeye hufanya maangamizo kwenye ngomena kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa), 10 mnamchukia yule akemeaye mahakamani,na kumdharau yule ambaye husema kweli. 11 Mnamgandamiza maskinina kumlazimisha awape nafaka.Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari,hamtaishi ndani yake;ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu,hamtakunywa divai yake. 12 Kwa kuwa ninajua hesabu ya makosa yenuna ukubwa wa dhambi zenu. Mmewaonea wenye haki na kupokea rushwana kuzuia haki ya maskini mahakamani. 13 Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo,kwa kuwa nyakati ni mbaya. 14 Tafuteni mema, wala si mabaya,ili mpate kuishi.Ndipo BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi,kama msemavyo yupo nanyi. 15 Yachukieni maovu, yapendeni mema;dumisheni haki mahakamani.Yamkini BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zoteatawahurumia mabaki ya Yosefu. 16 Kwa hiyo hili ndilo Bwana, BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, asemalo:“Kutakuwepo maombolezo katika barabara zotena vilio vya uchungu katika njia kuu zote.Wakulima wataitwa kuja kulia,na waombolezaji waje kuomboleza. 17 Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu,kwa kuwa nitapita katikati yenu,”asema BWANA. 18 Ole wenu ninyi mnaoitamanisiku ya BWANA!Kwa nini mnaitamani siku ya BWANA?Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. 19 Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simbakumbe akakutana na dubu,kama vile mtu aliyeingia nyumbani mwakena kuupumzisha mkono wake kwenye ukuta,kumbe akaumwa na nyoka. 20 Je, siku ya BWANA haitakuwa giza, na si nuru:giza nene, bila mwonzi wa mwanga? 21 “Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini;siwezi kuvumilia makusanyiko yenu. 22 Hata ingawa mnaniletea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka za nafaka,sitazikubali.Ingawa mnaniletea sadaka nzuri za amani,sitazitambua. 23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu!Sitasikiliza sauti za vinubi vyenu. 24 Lakini acheni haki itiririke kama mto,na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka! 25 “Je, mliniletea dhabihu na sadakakwa miaka arobaini kule jangwani,ee nyumba ya Israeli? 26 Mmeyainua madhabahu ya mfalme wenu,Sikuthi mungu wenu mtawala,na Kiuni mungu wenu wa nyota,ambao mliwatengeneza wenyewe. 27 Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,”asema BWANA, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.

In Other Versions

Amos 5 in the ANGEFD

Amos 5 in the ANTPNG2D

Amos 5 in the AS21

Amos 5 in the BAGH

Amos 5 in the BBPNG

Amos 5 in the BBT1E

Amos 5 in the BDS

Amos 5 in the BEV

Amos 5 in the BHAD

Amos 5 in the BIB

Amos 5 in the BLPT

Amos 5 in the BNT

Amos 5 in the BNTABOOT

Amos 5 in the BNTLV

Amos 5 in the BOATCB

Amos 5 in the BOATCB2

Amos 5 in the BOBCV

Amos 5 in the BOCNT

Amos 5 in the BOECS

Amos 5 in the BOGWICC

Amos 5 in the BOHCB

Amos 5 in the BOHCV

Amos 5 in the BOHLNT

Amos 5 in the BOHNTLTAL

Amos 5 in the BOICB

Amos 5 in the BOILNTAP

Amos 5 in the BOITCV

Amos 5 in the BOKCV2

Amos 5 in the BOKHWOG

Amos 5 in the BOKSSV

Amos 5 in the BOLCB

Amos 5 in the BOLCB2

Amos 5 in the BOMCV

Amos 5 in the BONAV

Amos 5 in the BONCB

Amos 5 in the BONLT

Amos 5 in the BONUT2

Amos 5 in the BOPLNT

Amos 5 in the BOSCB

Amos 5 in the BOSNC

Amos 5 in the BOTLNT

Amos 5 in the BOVCB

Amos 5 in the BOYCB

Amos 5 in the BPBB

Amos 5 in the BPH

Amos 5 in the BSB

Amos 5 in the CCB

Amos 5 in the CUV

Amos 5 in the CUVS

Amos 5 in the DBT

Amos 5 in the DGDNT

Amos 5 in the DHNT

Amos 5 in the DNT

Amos 5 in the ELBE

Amos 5 in the EMTV

Amos 5 in the ESV

Amos 5 in the FBV

Amos 5 in the FEB

Amos 5 in the GGMNT

Amos 5 in the GNT

Amos 5 in the HARY

Amos 5 in the HNT

Amos 5 in the IRVA

Amos 5 in the IRVB

Amos 5 in the IRVG

Amos 5 in the IRVH

Amos 5 in the IRVK

Amos 5 in the IRVM

Amos 5 in the IRVM2

Amos 5 in the IRVO

Amos 5 in the IRVP

Amos 5 in the IRVT

Amos 5 in the IRVT2

Amos 5 in the IRVU

Amos 5 in the ISVN

Amos 5 in the JSNT

Amos 5 in the KAPI

Amos 5 in the KBT1ETNIK

Amos 5 in the KBV

Amos 5 in the KJV

Amos 5 in the KNFD

Amos 5 in the LBA

Amos 5 in the LBLA

Amos 5 in the LNT

Amos 5 in the LSV

Amos 5 in the MAAL

Amos 5 in the MBV

Amos 5 in the MBV2

Amos 5 in the MHNT

Amos 5 in the MKNFD

Amos 5 in the MNG

Amos 5 in the MNT

Amos 5 in the MNT2

Amos 5 in the MRS1T

Amos 5 in the NAA

Amos 5 in the NASB

Amos 5 in the NBLA

Amos 5 in the NBS

Amos 5 in the NBVTP

Amos 5 in the NET2

Amos 5 in the NIV11

Amos 5 in the NNT

Amos 5 in the NNT2

Amos 5 in the NNT3

Amos 5 in the PDDPT

Amos 5 in the PFNT

Amos 5 in the RMNT

Amos 5 in the SBIAS

Amos 5 in the SBIBS

Amos 5 in the SBIBS2

Amos 5 in the SBICS

Amos 5 in the SBIDS

Amos 5 in the SBIGS

Amos 5 in the SBIHS

Amos 5 in the SBIIS

Amos 5 in the SBIIS2

Amos 5 in the SBIIS3

Amos 5 in the SBIKS

Amos 5 in the SBIKS2

Amos 5 in the SBIMS

Amos 5 in the SBIOS

Amos 5 in the SBIPS

Amos 5 in the SBISS

Amos 5 in the SBITS

Amos 5 in the SBITS2

Amos 5 in the SBITS3

Amos 5 in the SBITS4

Amos 5 in the SBIUS

Amos 5 in the SBIVS

Amos 5 in the SBT

Amos 5 in the SBT1E

Amos 5 in the SCHL

Amos 5 in the SNT

Amos 5 in the SUSU

Amos 5 in the SUSU2

Amos 5 in the SYNO

Amos 5 in the TBIAOTANT

Amos 5 in the TBT1E

Amos 5 in the TBT1E2

Amos 5 in the TFTIP

Amos 5 in the TFTU

Amos 5 in the TGNTATF3T

Amos 5 in the THAI

Amos 5 in the TNFD

Amos 5 in the TNT

Amos 5 in the TNTIK

Amos 5 in the TNTIL

Amos 5 in the TNTIN

Amos 5 in the TNTIP

Amos 5 in the TNTIZ

Amos 5 in the TOMA

Amos 5 in the TTENT

Amos 5 in the UBG

Amos 5 in the UGV

Amos 5 in the UGV2

Amos 5 in the UGV3

Amos 5 in the VBL

Amos 5 in the VDCC

Amos 5 in the YALU

Amos 5 in the YAPE

Amos 5 in the YBVTP

Amos 5 in the ZBP