Hosea 10 (BOKCV)
1 Israeli alikuwa mzabibu uliostawi sana,alijizalia matunda mwenyewe.Kadiri matunda yake yalivyoongezeka,alijenga madhabahu zaidi;kadiri nchi yake ilivyostawi,alipamba mawe yake ya ibada. 2 Moyo wao ni mdanganyifu,nao sasa lazima wachukue hatia yao. BWANA atabomoa madhabahu zaona kuharibu mawe yao ya ibada. 3 Kisha watasema, “Hatuna mfalmekwa sababu hatukumheshimu BWANA.Lakini hata kama tungelikuwa na mfalme,angeweza kutufanyia nini?” 4 Wanaweka ahadi nyingi,huapa viapo vya uongowanapofanya mapatano;kwa hiyo mashtaka huchipukakama magugu ya sumukatika shamba lililolimwa. 5 Watu wanaoishi Samaria huogopakwa ajili ya sanamu ya ndama ya Beth-Aveni.Watu wake wataiombolezea,vivyo hivyo kuhani wake wa kuabudu sanamu,wale waliokuwa wamefurahia fahari yake,kwa sababu itaondolewa kutoka kwaokwenda uhamishoni. 6 Itachukuliwa kwenda Ashurukama ushuru kwa mfalme mkuu.Efraimu atafedheheshwa;Israeli ataaibika kwa ajili ya sanamu zake za mti. 7 Samaria na mfalme wake wataeleakama kijiti juu ya uso wa maji. 8 Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu pataharibiwa:ndiyo dhambi ya Israeli.Miiba na mibaruti itaotana kufunika madhabahu zao.Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!”na vilima, “Tuangukieni!” 9 “Tangu siku za Gibea, mmetenda dhambi, ee Israeli,huko ndiko mlikobaki.Je, vita havikuwapatawatenda mabaya huko Gibea? 10 Wakati nitakapopenda, nitawaadhibu;mataifa yatakusanywa dhidi yaoili kuwaweka katika vifungokwa ajili ya dhambi zao mbili. 11 Efraimu ni mtamba wa ngʼombe aliyefundishwaambaye hupenda kupura,hivyo nitamfunga nirajuu ya shingo yake nzuri.Nitamwendesha Efraimu,Yuda lazima alime,naye Yakobo lazima avunjavunjemabonge ya udongo. 12 Jipandieni wenyewe haki,vuneni matunda ya upendo usio na kikomo,vunjeni ardhi yenu isiyolimwa;kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta BWANA,mpaka atakapokujana kuwanyeshea juu yenu haki. 13 Lakini mmepanda uovu,mkavuna ubaya,mmekula tunda la udanganyifu.Kwa sababu mmetegemea nguvu zenu wenyewena wingi wa mashujaa wenu, 14 mngurumo wa vita utainuka dhidi ya watu wako,ili kwamba ngome zako zote zitaharibiwa:kama Shalmani alivyoharibu Beth-Arbeli katika siku ile ya vita,wakati mama pamoja na watoto waowalipotupwa kwa nguvu ardhini. 15 Ndivyo itakavyotokea kwako, ee Betheli,kwa sababu uovu wako ni mkuu.Siku ile itakapopambazuka,mfalme wa Israeli ataharibiwa kabisa.
In Other Versions
Hosea 10 in the ANGEFD
Hosea 10 in the ANTPNG2D
Hosea 10 in the AS21
Hosea 10 in the BAGH
Hosea 10 in the BBPNG
Hosea 10 in the BBT1E
Hosea 10 in the BDS
Hosea 10 in the BEV
Hosea 10 in the BHAD
Hosea 10 in the BIB
Hosea 10 in the BLPT
Hosea 10 in the BNT
Hosea 10 in the BNTABOOT
Hosea 10 in the BNTLV
Hosea 10 in the BOATCB
Hosea 10 in the BOATCB2
Hosea 10 in the BOBCV
Hosea 10 in the BOCNT
Hosea 10 in the BOECS
Hosea 10 in the BOGWICC
Hosea 10 in the BOHCB
Hosea 10 in the BOHCV
Hosea 10 in the BOHLNT
Hosea 10 in the BOHNTLTAL
Hosea 10 in the BOICB
Hosea 10 in the BOILNTAP
Hosea 10 in the BOITCV
Hosea 10 in the BOKCV2
Hosea 10 in the BOKHWOG
Hosea 10 in the BOKSSV
Hosea 10 in the BOLCB
Hosea 10 in the BOLCB2
Hosea 10 in the BOMCV
Hosea 10 in the BONAV
Hosea 10 in the BONCB
Hosea 10 in the BONLT
Hosea 10 in the BONUT2
Hosea 10 in the BOPLNT
Hosea 10 in the BOSCB
Hosea 10 in the BOSNC
Hosea 10 in the BOTLNT
Hosea 10 in the BOVCB
Hosea 10 in the BOYCB
Hosea 10 in the BPBB
Hosea 10 in the BPH
Hosea 10 in the BSB
Hosea 10 in the CCB
Hosea 10 in the CUV
Hosea 10 in the CUVS
Hosea 10 in the DBT
Hosea 10 in the DGDNT
Hosea 10 in the DHNT
Hosea 10 in the DNT
Hosea 10 in the ELBE
Hosea 10 in the EMTV
Hosea 10 in the ESV
Hosea 10 in the FBV
Hosea 10 in the FEB
Hosea 10 in the GGMNT
Hosea 10 in the GNT
Hosea 10 in the HARY
Hosea 10 in the HNT
Hosea 10 in the IRVA
Hosea 10 in the IRVB
Hosea 10 in the IRVG
Hosea 10 in the IRVH
Hosea 10 in the IRVK
Hosea 10 in the IRVM
Hosea 10 in the IRVM2
Hosea 10 in the IRVO
Hosea 10 in the IRVP
Hosea 10 in the IRVT
Hosea 10 in the IRVT2
Hosea 10 in the IRVU
Hosea 10 in the ISVN
Hosea 10 in the JSNT
Hosea 10 in the KAPI
Hosea 10 in the KBT1ETNIK
Hosea 10 in the KBV
Hosea 10 in the KJV
Hosea 10 in the KNFD
Hosea 10 in the LBA
Hosea 10 in the LBLA
Hosea 10 in the LNT
Hosea 10 in the LSV
Hosea 10 in the MAAL
Hosea 10 in the MBV
Hosea 10 in the MBV2
Hosea 10 in the MHNT
Hosea 10 in the MKNFD
Hosea 10 in the MNG
Hosea 10 in the MNT
Hosea 10 in the MNT2
Hosea 10 in the MRS1T
Hosea 10 in the NAA
Hosea 10 in the NASB
Hosea 10 in the NBLA
Hosea 10 in the NBS
Hosea 10 in the NBVTP
Hosea 10 in the NET2
Hosea 10 in the NIV11
Hosea 10 in the NNT
Hosea 10 in the NNT2
Hosea 10 in the NNT3
Hosea 10 in the PDDPT
Hosea 10 in the PFNT
Hosea 10 in the RMNT
Hosea 10 in the SBIAS
Hosea 10 in the SBIBS
Hosea 10 in the SBIBS2
Hosea 10 in the SBICS
Hosea 10 in the SBIDS
Hosea 10 in the SBIGS
Hosea 10 in the SBIHS
Hosea 10 in the SBIIS
Hosea 10 in the SBIIS2
Hosea 10 in the SBIIS3
Hosea 10 in the SBIKS
Hosea 10 in the SBIKS2
Hosea 10 in the SBIMS
Hosea 10 in the SBIOS
Hosea 10 in the SBIPS
Hosea 10 in the SBISS
Hosea 10 in the SBITS
Hosea 10 in the SBITS2
Hosea 10 in the SBITS3
Hosea 10 in the SBITS4
Hosea 10 in the SBIUS
Hosea 10 in the SBIVS
Hosea 10 in the SBT
Hosea 10 in the SBT1E
Hosea 10 in the SCHL
Hosea 10 in the SNT
Hosea 10 in the SUSU
Hosea 10 in the SUSU2
Hosea 10 in the SYNO
Hosea 10 in the TBIAOTANT
Hosea 10 in the TBT1E
Hosea 10 in the TBT1E2
Hosea 10 in the TFTIP
Hosea 10 in the TFTU
Hosea 10 in the TGNTATF3T
Hosea 10 in the THAI
Hosea 10 in the TNFD
Hosea 10 in the TNT
Hosea 10 in the TNTIK
Hosea 10 in the TNTIL
Hosea 10 in the TNTIN
Hosea 10 in the TNTIP
Hosea 10 in the TNTIZ
Hosea 10 in the TOMA
Hosea 10 in the TTENT
Hosea 10 in the UBG
Hosea 10 in the UGV
Hosea 10 in the UGV2
Hosea 10 in the UGV3
Hosea 10 in the VBL
Hosea 10 in the VDCC
Hosea 10 in the YALU
Hosea 10 in the YAPE
Hosea 10 in the YBVTP
Hosea 10 in the ZBP