Jeremiah 12 (BOKCV)
1 Wewe daima u mwenye haki, Ee BWANA,niletapo mashtaka mbele yako.Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako:Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa?Kwa nini wasio waaminifuwote wanaishi kwa raha? 2 Umewapanda, nao wameota,wanakua na kuzaa matunda.Daima u midomoni mwao,lakini mbali na mioyo yao. 3 Hata hivyo unanijua mimi, Ee BWANA;unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe.Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa!Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa! 4 Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini,na majani katika kila shamba kunyauka?Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu,wanyama na ndege wameangamia.Zaidi ya hayo, watu wanasema,“BWANA hataona yatakayotupata sisi.” 5 “Ikiwa umeshindana mbio na watu kwa mguu na wakakushinda,unawezaje kushindana na farasi?Ikiwa unajikwaa kwenye nchi ambayo ni salama,utawezaje kwenye vichaka kando ya Yordani? 6 Ndugu zako, watu wa jamaa yako mwenyewe:hata wao wamekusaliti;wameinua kilio kikubwa dhidi yako.Usiwaamini, ingawa wanazungumzamema juu yako. 7 “Nitaiacha nyumba yangu,nitupe urithi wangu;nitamtia yeye nimpendayemikononi mwa adui zake. 8 Urithi wangu umekuwa kwangukama simba wa msituni.Huningurumia mimi,kwa hiyo ninamchukia. 9 Je, urithi wangu haukuwakama ndege wa mawindo wa madoadoaambaye ndege wengine wawindaohumzunguka na kumshambulia?Nenda ukawakusanye pamoja wanyama wote wa mwituni;walete ili wale. 10 Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibuna kulikanyaga shamba langu;watalifanya shamba langu zurikuwa jangwa la ukiwa. 11 Litafanywa kuwa jangwa,lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu;nchi yote itafanywa jangwakwa sababu hakuna hata mmoja anayejali. 12 Juu ya miinuko yote ilivyo kama jangwanimharabu atajaa,kwa maana upanga wa BWANA utawala,kuanzia ncha moja ya nchi hadi nyingine;hakuna hata mmoja atakayekuwa salama. 13 Watapanda ngano lakini watavuna miiba;watajitaabisha lakini hawatafaidi chochote.Kwa hiyo beba aibu ya mavuno yakokwa sababu ya hasira kali ya BWANA Mungu.” 14 Hili ndilo asemalo BWANA: “Kwa habari ya majirani zangu wote wabaya wanaonyangʼanya urithi ambao ninawapa watu wangu Israeli, nitawangʼoa kutoka nchi zao, nami nitaingʼoa nyumba ya Yuda kutoka katikati yao. 15 Lakini baada ya kuwangʼoa, nitawahurumia tena na kumrudisha kila mmoja wao kwenye urithi wake mwenyewe na kwenye nchi yake mwenyewe. 16 Ikiwa watajifunza vyema njia za watu wangu na kuapa kwa Jina langu, wakisema, ‘Hakika kama BWANA aishivyo,’ hata kama wakati fulani walifundisha watu wangu kuapa kwa Baali, ndipo watakapofanywa imara katikati ya watu wangu. 17 Lakini kama taifa lolote halitasikiliza na kutii, nitalingʼoa kabisa na kuliangamiza,” asema BWANA.
In Other Versions
Jeremiah 12 in the ANGEFD
Jeremiah 12 in the ANTPNG2D
Jeremiah 12 in the AS21
Jeremiah 12 in the BAGH
Jeremiah 12 in the BBPNG
Jeremiah 12 in the BBT1E
Jeremiah 12 in the BDS
Jeremiah 12 in the BEV
Jeremiah 12 in the BHAD
Jeremiah 12 in the BIB
Jeremiah 12 in the BLPT
Jeremiah 12 in the BNT
Jeremiah 12 in the BNTABOOT
Jeremiah 12 in the BNTLV
Jeremiah 12 in the BOATCB
Jeremiah 12 in the BOATCB2
Jeremiah 12 in the BOBCV
Jeremiah 12 in the BOCNT
Jeremiah 12 in the BOECS
Jeremiah 12 in the BOGWICC
Jeremiah 12 in the BOHCB
Jeremiah 12 in the BOHCV
Jeremiah 12 in the BOHLNT
Jeremiah 12 in the BOHNTLTAL
Jeremiah 12 in the BOICB
Jeremiah 12 in the BOILNTAP
Jeremiah 12 in the BOITCV
Jeremiah 12 in the BOKCV2
Jeremiah 12 in the BOKHWOG
Jeremiah 12 in the BOKSSV
Jeremiah 12 in the BOLCB
Jeremiah 12 in the BOLCB2
Jeremiah 12 in the BOMCV
Jeremiah 12 in the BONAV
Jeremiah 12 in the BONCB
Jeremiah 12 in the BONLT
Jeremiah 12 in the BONUT2
Jeremiah 12 in the BOPLNT
Jeremiah 12 in the BOSCB
Jeremiah 12 in the BOSNC
Jeremiah 12 in the BOTLNT
Jeremiah 12 in the BOVCB
Jeremiah 12 in the BOYCB
Jeremiah 12 in the BPBB
Jeremiah 12 in the BPH
Jeremiah 12 in the BSB
Jeremiah 12 in the CCB
Jeremiah 12 in the CUV
Jeremiah 12 in the CUVS
Jeremiah 12 in the DBT
Jeremiah 12 in the DGDNT
Jeremiah 12 in the DHNT
Jeremiah 12 in the DNT
Jeremiah 12 in the ELBE
Jeremiah 12 in the EMTV
Jeremiah 12 in the ESV
Jeremiah 12 in the FBV
Jeremiah 12 in the FEB
Jeremiah 12 in the GGMNT
Jeremiah 12 in the GNT
Jeremiah 12 in the HARY
Jeremiah 12 in the HNT
Jeremiah 12 in the IRVA
Jeremiah 12 in the IRVB
Jeremiah 12 in the IRVG
Jeremiah 12 in the IRVH
Jeremiah 12 in the IRVK
Jeremiah 12 in the IRVM
Jeremiah 12 in the IRVM2
Jeremiah 12 in the IRVO
Jeremiah 12 in the IRVP
Jeremiah 12 in the IRVT
Jeremiah 12 in the IRVT2
Jeremiah 12 in the IRVU
Jeremiah 12 in the ISVN
Jeremiah 12 in the JSNT
Jeremiah 12 in the KAPI
Jeremiah 12 in the KBT1ETNIK
Jeremiah 12 in the KBV
Jeremiah 12 in the KJV
Jeremiah 12 in the KNFD
Jeremiah 12 in the LBA
Jeremiah 12 in the LBLA
Jeremiah 12 in the LNT
Jeremiah 12 in the LSV
Jeremiah 12 in the MAAL
Jeremiah 12 in the MBV
Jeremiah 12 in the MBV2
Jeremiah 12 in the MHNT
Jeremiah 12 in the MKNFD
Jeremiah 12 in the MNG
Jeremiah 12 in the MNT
Jeremiah 12 in the MNT2
Jeremiah 12 in the MRS1T
Jeremiah 12 in the NAA
Jeremiah 12 in the NASB
Jeremiah 12 in the NBLA
Jeremiah 12 in the NBS
Jeremiah 12 in the NBVTP
Jeremiah 12 in the NET2
Jeremiah 12 in the NIV11
Jeremiah 12 in the NNT
Jeremiah 12 in the NNT2
Jeremiah 12 in the NNT3
Jeremiah 12 in the PDDPT
Jeremiah 12 in the PFNT
Jeremiah 12 in the RMNT
Jeremiah 12 in the SBIAS
Jeremiah 12 in the SBIBS
Jeremiah 12 in the SBIBS2
Jeremiah 12 in the SBICS
Jeremiah 12 in the SBIDS
Jeremiah 12 in the SBIGS
Jeremiah 12 in the SBIHS
Jeremiah 12 in the SBIIS
Jeremiah 12 in the SBIIS2
Jeremiah 12 in the SBIIS3
Jeremiah 12 in the SBIKS
Jeremiah 12 in the SBIKS2
Jeremiah 12 in the SBIMS
Jeremiah 12 in the SBIOS
Jeremiah 12 in the SBIPS
Jeremiah 12 in the SBISS
Jeremiah 12 in the SBITS
Jeremiah 12 in the SBITS2
Jeremiah 12 in the SBITS3
Jeremiah 12 in the SBITS4
Jeremiah 12 in the SBIUS
Jeremiah 12 in the SBIVS
Jeremiah 12 in the SBT
Jeremiah 12 in the SBT1E
Jeremiah 12 in the SCHL
Jeremiah 12 in the SNT
Jeremiah 12 in the SUSU
Jeremiah 12 in the SUSU2
Jeremiah 12 in the SYNO
Jeremiah 12 in the TBIAOTANT
Jeremiah 12 in the TBT1E
Jeremiah 12 in the TBT1E2
Jeremiah 12 in the TFTIP
Jeremiah 12 in the TFTU
Jeremiah 12 in the TGNTATF3T
Jeremiah 12 in the THAI
Jeremiah 12 in the TNFD
Jeremiah 12 in the TNT
Jeremiah 12 in the TNTIK
Jeremiah 12 in the TNTIL
Jeremiah 12 in the TNTIN
Jeremiah 12 in the TNTIP
Jeremiah 12 in the TNTIZ
Jeremiah 12 in the TOMA
Jeremiah 12 in the TTENT
Jeremiah 12 in the UBG
Jeremiah 12 in the UGV
Jeremiah 12 in the UGV2
Jeremiah 12 in the UGV3
Jeremiah 12 in the VBL
Jeremiah 12 in the VDCC
Jeremiah 12 in the YALU
Jeremiah 12 in the YAPE
Jeremiah 12 in the YBVTP
Jeremiah 12 in the ZBP