Jeremiah 39 (BOKCV)
1 Hivi ndivyo Yerusalemu ilivyotwaliwa: Katika mwaka wa tisa wa utawala wa Mfalme Sedekia wa Yuda, katika mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli akiwa na jeshi lake lote alifanya vita dhidi ya Yerusalemu na akauzunguka mji. 2 Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia, ukuta wa mji ulibomolewa. 3 Kisha maafisa wote wa mfalme wa Babeli wakaja na kuketi kwenye Lango la Kati, nao ni: Nergal-Shareza wa Samgari, Nebo-Sarsekimu afisa mkuu, Nergal-Shareza afisa mwenye cheo cha juu, na maafisa wengine wote wa mfalme wa Babeli. 4 Mfalme Sedekia wa Yuda na askari wote walipowaona, wakakimbia na kuondoka mjini usiku kwa njia ya bustani ya mfalme, kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili, wakaelekea Araba. 5 Lakini jeshi la Wakaldayo likawafuatia na kumpata Sedekia katika sehemu tambarare za Yeriko. Wakamkamata na kumpeleka kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mahali ambapo alimtangazia hukumu. 6 Huko Ribla, mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake, na pia akawaua wakuu wote wa Yuda. 7 Kisha akayangʼoa macho ya Sedekia na kumfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli. 8 Jeshi la Wakaldayo likachoma moto jumba la kifalme na nyumba za watu, na kuzibomoa kuta za Yerusalemu. 9 Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme akawachukua na kuwapeleka uhamishoni Babeli watu waliokuwa wamebaki ndani ya mji, pamoja na wale waliokuwa wamejisalimisha kwake, na watu wengine wote. 10 Lakini Nebuzaradani kiongozi wa walinzi aliwabakiza baadhi ya watu maskini katika nchi ya Yuda, ambao hawakuwa na kitu. Naye wakati huo akawapa mashamba ya mizabibu na mashamba mengine. 11 Basi, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa maagizo kuhusu Yeremia kupitia Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme akisema: 12 “Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.” 13 Basi Nebuzaradani kiongozi wa walinzi, Nebushazbani afisa mkuu, Nergal-Shareza afisa wa cheo cha juu, na maafisa wengine wote wa mfalme wa Babeli 14 wakatuma watu kumwondoa Yeremia kutoka ua wa walinzi. Wakamkabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, ili amrudishe nyumbani kwake. Kwa hiyo akabaki miongoni mwa watu wake mwenyewe. 15 Wakati Yeremia alipokuwa amezuiliwa katika ua wa walinzi, neno la BWANA lilimjia kusema: 16 “Nenda ukamwambie Ebed-Meleki Mkushi, ‘Hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Ninakaribia kutimiza maneno yangu dhidi ya mji huu kwa njia ya maafa, wala si kwa kuwafanikisha. Wakati huo hayo yatatimizwa mbele ya macho yako. 17 Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema BWANA; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa. 18 Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, lakini maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema BWANA.’ ”
In Other Versions
Jeremiah 39 in the ANGEFD
Jeremiah 39 in the ANTPNG2D
Jeremiah 39 in the AS21
Jeremiah 39 in the BAGH
Jeremiah 39 in the BBPNG
Jeremiah 39 in the BBT1E
Jeremiah 39 in the BDS
Jeremiah 39 in the BEV
Jeremiah 39 in the BHAD
Jeremiah 39 in the BIB
Jeremiah 39 in the BLPT
Jeremiah 39 in the BNT
Jeremiah 39 in the BNTABOOT
Jeremiah 39 in the BNTLV
Jeremiah 39 in the BOATCB
Jeremiah 39 in the BOATCB2
Jeremiah 39 in the BOBCV
Jeremiah 39 in the BOCNT
Jeremiah 39 in the BOECS
Jeremiah 39 in the BOGWICC
Jeremiah 39 in the BOHCB
Jeremiah 39 in the BOHCV
Jeremiah 39 in the BOHLNT
Jeremiah 39 in the BOHNTLTAL
Jeremiah 39 in the BOICB
Jeremiah 39 in the BOILNTAP
Jeremiah 39 in the BOITCV
Jeremiah 39 in the BOKCV2
Jeremiah 39 in the BOKHWOG
Jeremiah 39 in the BOKSSV
Jeremiah 39 in the BOLCB
Jeremiah 39 in the BOLCB2
Jeremiah 39 in the BOMCV
Jeremiah 39 in the BONAV
Jeremiah 39 in the BONCB
Jeremiah 39 in the BONLT
Jeremiah 39 in the BONUT2
Jeremiah 39 in the BOPLNT
Jeremiah 39 in the BOSCB
Jeremiah 39 in the BOSNC
Jeremiah 39 in the BOTLNT
Jeremiah 39 in the BOVCB
Jeremiah 39 in the BOYCB
Jeremiah 39 in the BPBB
Jeremiah 39 in the BPH
Jeremiah 39 in the BSB
Jeremiah 39 in the CCB
Jeremiah 39 in the CUV
Jeremiah 39 in the CUVS
Jeremiah 39 in the DBT
Jeremiah 39 in the DGDNT
Jeremiah 39 in the DHNT
Jeremiah 39 in the DNT
Jeremiah 39 in the ELBE
Jeremiah 39 in the EMTV
Jeremiah 39 in the ESV
Jeremiah 39 in the FBV
Jeremiah 39 in the FEB
Jeremiah 39 in the GGMNT
Jeremiah 39 in the GNT
Jeremiah 39 in the HARY
Jeremiah 39 in the HNT
Jeremiah 39 in the IRVA
Jeremiah 39 in the IRVB
Jeremiah 39 in the IRVG
Jeremiah 39 in the IRVH
Jeremiah 39 in the IRVK
Jeremiah 39 in the IRVM
Jeremiah 39 in the IRVM2
Jeremiah 39 in the IRVO
Jeremiah 39 in the IRVP
Jeremiah 39 in the IRVT
Jeremiah 39 in the IRVT2
Jeremiah 39 in the IRVU
Jeremiah 39 in the ISVN
Jeremiah 39 in the JSNT
Jeremiah 39 in the KAPI
Jeremiah 39 in the KBT1ETNIK
Jeremiah 39 in the KBV
Jeremiah 39 in the KJV
Jeremiah 39 in the KNFD
Jeremiah 39 in the LBA
Jeremiah 39 in the LBLA
Jeremiah 39 in the LNT
Jeremiah 39 in the LSV
Jeremiah 39 in the MAAL
Jeremiah 39 in the MBV
Jeremiah 39 in the MBV2
Jeremiah 39 in the MHNT
Jeremiah 39 in the MKNFD
Jeremiah 39 in the MNG
Jeremiah 39 in the MNT
Jeremiah 39 in the MNT2
Jeremiah 39 in the MRS1T
Jeremiah 39 in the NAA
Jeremiah 39 in the NASB
Jeremiah 39 in the NBLA
Jeremiah 39 in the NBS
Jeremiah 39 in the NBVTP
Jeremiah 39 in the NET2
Jeremiah 39 in the NIV11
Jeremiah 39 in the NNT
Jeremiah 39 in the NNT2
Jeremiah 39 in the NNT3
Jeremiah 39 in the PDDPT
Jeremiah 39 in the PFNT
Jeremiah 39 in the RMNT
Jeremiah 39 in the SBIAS
Jeremiah 39 in the SBIBS
Jeremiah 39 in the SBIBS2
Jeremiah 39 in the SBICS
Jeremiah 39 in the SBIDS
Jeremiah 39 in the SBIGS
Jeremiah 39 in the SBIHS
Jeremiah 39 in the SBIIS
Jeremiah 39 in the SBIIS2
Jeremiah 39 in the SBIIS3
Jeremiah 39 in the SBIKS
Jeremiah 39 in the SBIKS2
Jeremiah 39 in the SBIMS
Jeremiah 39 in the SBIOS
Jeremiah 39 in the SBIPS
Jeremiah 39 in the SBISS
Jeremiah 39 in the SBITS
Jeremiah 39 in the SBITS2
Jeremiah 39 in the SBITS3
Jeremiah 39 in the SBITS4
Jeremiah 39 in the SBIUS
Jeremiah 39 in the SBIVS
Jeremiah 39 in the SBT
Jeremiah 39 in the SBT1E
Jeremiah 39 in the SCHL
Jeremiah 39 in the SNT
Jeremiah 39 in the SUSU
Jeremiah 39 in the SUSU2
Jeremiah 39 in the SYNO
Jeremiah 39 in the TBIAOTANT
Jeremiah 39 in the TBT1E
Jeremiah 39 in the TBT1E2
Jeremiah 39 in the TFTIP
Jeremiah 39 in the TFTU
Jeremiah 39 in the TGNTATF3T
Jeremiah 39 in the THAI
Jeremiah 39 in the TNFD
Jeremiah 39 in the TNT
Jeremiah 39 in the TNTIK
Jeremiah 39 in the TNTIL
Jeremiah 39 in the TNTIN
Jeremiah 39 in the TNTIP
Jeremiah 39 in the TNTIZ
Jeremiah 39 in the TOMA
Jeremiah 39 in the TTENT
Jeremiah 39 in the UBG
Jeremiah 39 in the UGV
Jeremiah 39 in the UGV2
Jeremiah 39 in the UGV3
Jeremiah 39 in the VBL
Jeremiah 39 in the VDCC
Jeremiah 39 in the YALU
Jeremiah 39 in the YAPE
Jeremiah 39 in the YBVTP
Jeremiah 39 in the ZBP