Jeremiah 5 (BOKCV)

1 “Pandeni na kushuka katika mitaa ya Yerusalemu,tazameni pande zote na mtafakari,tafuteni katika viwanja vyake.Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja tuatendaye kwa uaminifu na kutafuta kweli,nitausamehe mji huu. 2 Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama BWANA aishivyo,’bado wanaapa kwa uongo.” 3 Ee BWANA, je, macho yako hayaitafuti kweli?Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu,uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo.Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwenao walikataa kutubu. 4 Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu;wao ni wapumbavu,kwa maana hawaijui njia ya BWANA,sheria ya Mungu wao. 5 Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozina kuzungumza nao,hakika wao wanaijua njia ya BWANA,sheria ya Mungu wao.”Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nirana kuvivunja vifungo. 6 Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia,mbwa mwitu kutoka jangwani atawaangamiza,chui atawavizia karibu na miji yao,ili kumrarua vipande vipande yeyote atakayethubutu kutoka nje,kwa maana maasi yao ni makubwa,na kukengeuka kwao kumekuwa ni kwingi. 7 “Kwa nini niwasamehe?Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu.Niliwapatia mahitaji yao yote,lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 8 Wamelishwa vizuri, kama farasi waume wenye tamaa nyingi,kila mmoja akimlilia mke wa mwanaume mwingine. 9 Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?”asema BWANA.“Je, nisijilipizie kisasijuu ya taifa kama hili? 10 “Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu,lakini msiangamize kabisa.Pogoeni matawi yake,kwa kuwa watu hawa sio wa BWANA. 11 Nyumba ya Israeli na nyumba ya Yudawamekuwa si waaminifu kwangu kamwe,”asema BWANA. 12 Wamedanganya kuhusu BWANA.Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote!Hakuna dhara litakalotupata;kamwe hatutaona upanga wala njaa. 13 Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao,kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.” 14 Kwa hiyo hili ndilo asemalo BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote:“Kwa sababu watu hawa wamesema maneno haya,nitayafanya maneno yangu vinywani mwenu kuwa moto,na watu hawa wawe kunizinazoliwa na huo moto. 15 Ee nyumba ya Israeli,” asema BWANA,“Ninaleta taifa toka mbali dhidi yako,taifa la kale na linaloendelea kudumu,taifa ambalo lugha yao huijui,wala msemo wao huwezi kuuelewa. 16 Podo zao ni kama kaburi lililo wazi,wote ni mashujaa hodari wa vita. 17 Watayaangamiza mazao yenu na chakula chenu,wataangamiza wana wenu na mabinti zenu;wataangamiza makundi yenu ya kondoo na ya ngʼombe,wataangamiza mizabibu yenu na mitini yenu.Kwa upanga wataangamizamiji yenye maboma mliyoitumainia. 18 “Hata hivyo katika siku hizo, sitakuangamiza kabisa,” asema BWANA. 19 “Nao watu watakapouliza, ‘Kwa nini BWANA, Mungu wetu ametufanyia mambo haya yote?’ utawaambia, ‘Kama vile mlivyoniacha mimi na kutumikia miungu migeni katika nchi yenu wenyewe, ndivyo sasa mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’ 20 “Itangazie nyumba ya Yakobo hilina ulipigie mbiu katika Yuda: 21 Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili,mlio na macho lakini hamwoni,mlio na masikio lakini hamsikii: 22 Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema BWANA.“Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu?Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari,kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita.Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita;yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 23 Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi,wamegeukia mbali na kwenda zao. 24 Wao hawaambiani wenyewe,‘Sisi na tumwogope BWANA Mungu wetu,anayetupatia mvua za masika na za vuli kwa majira yake,anayetuhakikishia majuma ya mavuno kwa utaratibu.’ 25 Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote,dhambi zenu zimewazuia msipate mema. 26 “Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovuwanaovizia kama watu wanaotega ndege,na kama wale wanaoweka mitegokuwakamata watu. 27 Kama vitundu vilivyojaa ndege,nyumba zao zimejaa udanganyifu;wamekuwa matajiri na wenye nguvu, 28 wamenenepa na kunawiri.Matendo yao maovu hayana kikomo;hawatetei mashauri ya yatima wapate kushinda,hawatetei haki za maskini. 29 Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?”asema BWANA.“Je, nisijilipizie kisasijuu ya taifa kama hili? 30 “Jambo la kutisha na kushtushalimetokea katika nchi hii: 31 Manabii wanatabiri uongo,makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe,nao watu wangu wanapenda hivyo.Lakini mtafanya nini mwisho wake?

In Other Versions

Jeremiah 5 in the ANGEFD

Jeremiah 5 in the ANTPNG2D

Jeremiah 5 in the AS21

Jeremiah 5 in the BAGH

Jeremiah 5 in the BBPNG

Jeremiah 5 in the BBT1E

Jeremiah 5 in the BDS

Jeremiah 5 in the BEV

Jeremiah 5 in the BHAD

Jeremiah 5 in the BIB

Jeremiah 5 in the BLPT

Jeremiah 5 in the BNT

Jeremiah 5 in the BNTABOOT

Jeremiah 5 in the BNTLV

Jeremiah 5 in the BOATCB

Jeremiah 5 in the BOATCB2

Jeremiah 5 in the BOBCV

Jeremiah 5 in the BOCNT

Jeremiah 5 in the BOECS

Jeremiah 5 in the BOGWICC

Jeremiah 5 in the BOHCB

Jeremiah 5 in the BOHCV

Jeremiah 5 in the BOHLNT

Jeremiah 5 in the BOHNTLTAL

Jeremiah 5 in the BOICB

Jeremiah 5 in the BOILNTAP

Jeremiah 5 in the BOITCV

Jeremiah 5 in the BOKCV2

Jeremiah 5 in the BOKHWOG

Jeremiah 5 in the BOKSSV

Jeremiah 5 in the BOLCB

Jeremiah 5 in the BOLCB2

Jeremiah 5 in the BOMCV

Jeremiah 5 in the BONAV

Jeremiah 5 in the BONCB

Jeremiah 5 in the BONLT

Jeremiah 5 in the BONUT2

Jeremiah 5 in the BOPLNT

Jeremiah 5 in the BOSCB

Jeremiah 5 in the BOSNC

Jeremiah 5 in the BOTLNT

Jeremiah 5 in the BOVCB

Jeremiah 5 in the BOYCB

Jeremiah 5 in the BPBB

Jeremiah 5 in the BPH

Jeremiah 5 in the BSB

Jeremiah 5 in the CCB

Jeremiah 5 in the CUV

Jeremiah 5 in the CUVS

Jeremiah 5 in the DBT

Jeremiah 5 in the DGDNT

Jeremiah 5 in the DHNT

Jeremiah 5 in the DNT

Jeremiah 5 in the ELBE

Jeremiah 5 in the EMTV

Jeremiah 5 in the ESV

Jeremiah 5 in the FBV

Jeremiah 5 in the FEB

Jeremiah 5 in the GGMNT

Jeremiah 5 in the GNT

Jeremiah 5 in the HARY

Jeremiah 5 in the HNT

Jeremiah 5 in the IRVA

Jeremiah 5 in the IRVB

Jeremiah 5 in the IRVG

Jeremiah 5 in the IRVH

Jeremiah 5 in the IRVK

Jeremiah 5 in the IRVM

Jeremiah 5 in the IRVM2

Jeremiah 5 in the IRVO

Jeremiah 5 in the IRVP

Jeremiah 5 in the IRVT

Jeremiah 5 in the IRVT2

Jeremiah 5 in the IRVU

Jeremiah 5 in the ISVN

Jeremiah 5 in the JSNT

Jeremiah 5 in the KAPI

Jeremiah 5 in the KBT1ETNIK

Jeremiah 5 in the KBV

Jeremiah 5 in the KJV

Jeremiah 5 in the KNFD

Jeremiah 5 in the LBA

Jeremiah 5 in the LBLA

Jeremiah 5 in the LNT

Jeremiah 5 in the LSV

Jeremiah 5 in the MAAL

Jeremiah 5 in the MBV

Jeremiah 5 in the MBV2

Jeremiah 5 in the MHNT

Jeremiah 5 in the MKNFD

Jeremiah 5 in the MNG

Jeremiah 5 in the MNT

Jeremiah 5 in the MNT2

Jeremiah 5 in the MRS1T

Jeremiah 5 in the NAA

Jeremiah 5 in the NASB

Jeremiah 5 in the NBLA

Jeremiah 5 in the NBS

Jeremiah 5 in the NBVTP

Jeremiah 5 in the NET2

Jeremiah 5 in the NIV11

Jeremiah 5 in the NNT

Jeremiah 5 in the NNT2

Jeremiah 5 in the NNT3

Jeremiah 5 in the PDDPT

Jeremiah 5 in the PFNT

Jeremiah 5 in the RMNT

Jeremiah 5 in the SBIAS

Jeremiah 5 in the SBIBS

Jeremiah 5 in the SBIBS2

Jeremiah 5 in the SBICS

Jeremiah 5 in the SBIDS

Jeremiah 5 in the SBIGS

Jeremiah 5 in the SBIHS

Jeremiah 5 in the SBIIS

Jeremiah 5 in the SBIIS2

Jeremiah 5 in the SBIIS3

Jeremiah 5 in the SBIKS

Jeremiah 5 in the SBIKS2

Jeremiah 5 in the SBIMS

Jeremiah 5 in the SBIOS

Jeremiah 5 in the SBIPS

Jeremiah 5 in the SBISS

Jeremiah 5 in the SBITS

Jeremiah 5 in the SBITS2

Jeremiah 5 in the SBITS3

Jeremiah 5 in the SBITS4

Jeremiah 5 in the SBIUS

Jeremiah 5 in the SBIVS

Jeremiah 5 in the SBT

Jeremiah 5 in the SBT1E

Jeremiah 5 in the SCHL

Jeremiah 5 in the SNT

Jeremiah 5 in the SUSU

Jeremiah 5 in the SUSU2

Jeremiah 5 in the SYNO

Jeremiah 5 in the TBIAOTANT

Jeremiah 5 in the TBT1E

Jeremiah 5 in the TBT1E2

Jeremiah 5 in the TFTIP

Jeremiah 5 in the TFTU

Jeremiah 5 in the TGNTATF3T

Jeremiah 5 in the THAI

Jeremiah 5 in the TNFD

Jeremiah 5 in the TNT

Jeremiah 5 in the TNTIK

Jeremiah 5 in the TNTIL

Jeremiah 5 in the TNTIN

Jeremiah 5 in the TNTIP

Jeremiah 5 in the TNTIZ

Jeremiah 5 in the TOMA

Jeremiah 5 in the TTENT

Jeremiah 5 in the UBG

Jeremiah 5 in the UGV

Jeremiah 5 in the UGV2

Jeremiah 5 in the UGV3

Jeremiah 5 in the VBL

Jeremiah 5 in the VDCC

Jeremiah 5 in the YALU

Jeremiah 5 in the YAPE

Jeremiah 5 in the YBVTP

Jeremiah 5 in the ZBP