Joshua 5 (BOKCV)
1 Basi wafalme wote wa Waamori magharibi ya Yordani na wafalme wote wa Kanaani waliokuwa kwenye pwani waliposikia jinsi BWANA alivyoukausha Mto Yordani mbele ya Waisraeli hata tulipokwisha kuvuka, mioyo yao ikayeyuka kwa hofu, wala hawakuwa na ujasiri kuwakabili Waisraeli. 2 Wakati huo BWANA akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri Waisraeli tena.” 3 Kwa hiyo Yoshua akatengeneza visu vya mawe magumu sana na kutahiri Waisraeli huko Gibeath-Haaralothi. 4 Hii ndiyo sababu ya Yoshua kufanya hivyo: Wanaume wote waliotoka Misri, wote wenye umri wa kwenda vitani, walikufa jangwani wakiwa njiani baada ya kuondoka Misri. 5 Watu wote waliotoka Misri walikuwa wametahiriwa, lakini watu wote waliozaliwa jangwani wakiwa safarini toka Misri walikuwa hawajatahiriwa. 6 Waisraeli walitembea jangwani miaka arobaini mpaka wanaume wote wale waliokuwa na umri wa kwenda vitani wakati waliondoka Misri walipokwisha kufa, kwa kuwa hawakumtii BWANA. Kwa maana BWANA alikuwa amewaapia kuwa wasingeweza kuona nchi ambayo alikuwa amewaahidi baba zao katika kuapa kutupatia, nchi inayotiririka maziwa na asali. 7 Kwa hiyo akawainua wana wao baada yao na hawa ndio hao ambao Yoshua aliwatahiri. Walikuwa hawajatahiriwa bado kwa sababu walikuwa safarini. 8 Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini mpaka walipokuwa wamepona. 9 BWANA akamwambia Yoshua, “Leo nimeiondoa aibu ya Wamisri kutoka kwenu.” Basi mahali pale pakaitwa Gilgali hadi leo. 10 Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi, wakiwa kambini huko Gilgali katika tambarare za Yeriko, Waisraeli wakaadhimisha Pasaka. 11 Siku iliyofuata Pasaka, katika siku ile ile, wakala mazao ya nchi, mikate isiyotiwa chachu na nafaka za kukaanga. 12 Mana ilikoma siku iliyofuata baada ya Waisraeli kula chakula kilichotoka katika nchi; hapakuwa na mana tena kwa ajili ya Waisraeli, ila mwaka huo walikula mazao ya nchi ya Kanaani. 13 Basi wakati Yoshua alipokuwa karibu na Yeriko, akainua macho, akaona mtu aliyesimama mbele yake, akiwa na upanga mkononi uliofutwa kwenye ala. Yoshua akamwendea na kumuuliza, “Je, wewe uko upande wetu au upande wa adui zetu?” 14 Akajibu, “La, siko upande wowote, lakini mimi nimekuja nikiwa jemadari wa jeshi la BWANA.” Yoshua akaanguka kifudifudi hadi chini, akasujudu, akamuuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?” 15 Jemadari wa jeshi la BWANA akajibu, “Vua viatu vyako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni patakatifu.” Naye Yoshua akafanya hivyo.
In Other Versions
Joshua 5 in the ANGEFD
Joshua 5 in the ANTPNG2D
Joshua 5 in the AS21
Joshua 5 in the BAGH
Joshua 5 in the BBPNG
Joshua 5 in the BBT1E
Joshua 5 in the BDS
Joshua 5 in the BEV
Joshua 5 in the BHAD
Joshua 5 in the BIB
Joshua 5 in the BLPT
Joshua 5 in the BNT
Joshua 5 in the BNTABOOT
Joshua 5 in the BNTLV
Joshua 5 in the BOATCB
Joshua 5 in the BOATCB2
Joshua 5 in the BOBCV
Joshua 5 in the BOCNT
Joshua 5 in the BOECS
Joshua 5 in the BOGWICC
Joshua 5 in the BOHCB
Joshua 5 in the BOHCV
Joshua 5 in the BOHLNT
Joshua 5 in the BOHNTLTAL
Joshua 5 in the BOICB
Joshua 5 in the BOILNTAP
Joshua 5 in the BOITCV
Joshua 5 in the BOKCV2
Joshua 5 in the BOKHWOG
Joshua 5 in the BOKSSV
Joshua 5 in the BOLCB
Joshua 5 in the BOLCB2
Joshua 5 in the BOMCV
Joshua 5 in the BONAV
Joshua 5 in the BONCB
Joshua 5 in the BONLT
Joshua 5 in the BONUT2
Joshua 5 in the BOPLNT
Joshua 5 in the BOSCB
Joshua 5 in the BOSNC
Joshua 5 in the BOTLNT
Joshua 5 in the BOVCB
Joshua 5 in the BOYCB
Joshua 5 in the BPBB
Joshua 5 in the BPH
Joshua 5 in the BSB
Joshua 5 in the CCB
Joshua 5 in the CUV
Joshua 5 in the CUVS
Joshua 5 in the DBT
Joshua 5 in the DGDNT
Joshua 5 in the DHNT
Joshua 5 in the DNT
Joshua 5 in the ELBE
Joshua 5 in the EMTV
Joshua 5 in the ESV
Joshua 5 in the FBV
Joshua 5 in the FEB
Joshua 5 in the GGMNT
Joshua 5 in the GNT
Joshua 5 in the HARY
Joshua 5 in the HNT
Joshua 5 in the IRVA
Joshua 5 in the IRVB
Joshua 5 in the IRVG
Joshua 5 in the IRVH
Joshua 5 in the IRVK
Joshua 5 in the IRVM
Joshua 5 in the IRVM2
Joshua 5 in the IRVO
Joshua 5 in the IRVP
Joshua 5 in the IRVT
Joshua 5 in the IRVT2
Joshua 5 in the IRVU
Joshua 5 in the ISVN
Joshua 5 in the JSNT
Joshua 5 in the KAPI
Joshua 5 in the KBT1ETNIK
Joshua 5 in the KBV
Joshua 5 in the KJV
Joshua 5 in the KNFD
Joshua 5 in the LBA
Joshua 5 in the LBLA
Joshua 5 in the LNT
Joshua 5 in the LSV
Joshua 5 in the MAAL
Joshua 5 in the MBV
Joshua 5 in the MBV2
Joshua 5 in the MHNT
Joshua 5 in the MKNFD
Joshua 5 in the MNG
Joshua 5 in the MNT
Joshua 5 in the MNT2
Joshua 5 in the MRS1T
Joshua 5 in the NAA
Joshua 5 in the NASB
Joshua 5 in the NBLA
Joshua 5 in the NBS
Joshua 5 in the NBVTP
Joshua 5 in the NET2
Joshua 5 in the NIV11
Joshua 5 in the NNT
Joshua 5 in the NNT2
Joshua 5 in the NNT3
Joshua 5 in the PDDPT
Joshua 5 in the PFNT
Joshua 5 in the RMNT
Joshua 5 in the SBIAS
Joshua 5 in the SBIBS
Joshua 5 in the SBIBS2
Joshua 5 in the SBICS
Joshua 5 in the SBIDS
Joshua 5 in the SBIGS
Joshua 5 in the SBIHS
Joshua 5 in the SBIIS
Joshua 5 in the SBIIS2
Joshua 5 in the SBIIS3
Joshua 5 in the SBIKS
Joshua 5 in the SBIKS2
Joshua 5 in the SBIMS
Joshua 5 in the SBIOS
Joshua 5 in the SBIPS
Joshua 5 in the SBISS
Joshua 5 in the SBITS
Joshua 5 in the SBITS2
Joshua 5 in the SBITS3
Joshua 5 in the SBITS4
Joshua 5 in the SBIUS
Joshua 5 in the SBIVS
Joshua 5 in the SBT
Joshua 5 in the SBT1E
Joshua 5 in the SCHL
Joshua 5 in the SNT
Joshua 5 in the SUSU
Joshua 5 in the SUSU2
Joshua 5 in the SYNO
Joshua 5 in the TBIAOTANT
Joshua 5 in the TBT1E
Joshua 5 in the TBT1E2
Joshua 5 in the TFTIP
Joshua 5 in the TFTU
Joshua 5 in the TGNTATF3T
Joshua 5 in the THAI
Joshua 5 in the TNFD
Joshua 5 in the TNT
Joshua 5 in the TNTIK
Joshua 5 in the TNTIL
Joshua 5 in the TNTIN
Joshua 5 in the TNTIP
Joshua 5 in the TNTIZ
Joshua 5 in the TOMA
Joshua 5 in the TTENT
Joshua 5 in the UBG
Joshua 5 in the UGV
Joshua 5 in the UGV2
Joshua 5 in the UGV3
Joshua 5 in the VBL
Joshua 5 in the VDCC
Joshua 5 in the YALU
Joshua 5 in the YAPE
Joshua 5 in the YBVTP
Joshua 5 in the ZBP