Lamentations 2 (BOKCV)
1 Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayunikwa wingu la hasira yake!Ameitupa chini fahari ya Israelikutoka mbinguni mpaka duniani,hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguukatika siku ya hasira yake. 2 Bila huruma Bwana ameyamezamakao yote ya Yakobo;katika ghadhabu yake amebomoangome za Binti Yuda.Ameuangusha ufalme wake na wakuu wakechini kwa aibu. 3 Katika hasira kali amevunjakila pembe ya Israeli.Ameuondoa mkono wake wa kuumealipokaribia adui.Amemteketeza Yakobo kama moto uwakaoule uteketezao kila kitu kinachouzunguka. 4 Ameupinda upinde wake kama adui,mkono wake wa kuume uko tayari.Kama vile adui amewachinjawote waliokuwa wanapendeza jicho,amemwaga ghadhabu yake kama motojuu ya hema la Binti Sayuni. 5 Bwana ni kama adui;amemmeza Israeli.Amemeza majumba yake yote ya kifalmena kuangamiza ngome zake.Ameongeza huzuni na maombolezokwa ajili ya Binti Yuda. 6 Ameharibu maskani yake kama bustani,ameharibu mahali pake pa mkutano. BWANA amemfanya Sayuni kusahausikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake;katika hasira yake kali amewadharaumfalme na kuhani. 7 Bwana amekataa madhabahu yakena kuacha mahali patakatifu pake.Amemkabidhi adui kutaza majumba yake ya kifalme;wamepiga kelele katika nyumba ya BWANAkama katika siku ya sikukuu iliyoamriwa. 8 BWANA alikusudia kuangushaukuta uliomzunguka Binti Sayuni.Ameinyoosha kamba ya kupimiana hakuuzuia mkono wake usiangamize.Alifanya maboma na kuta ziomboleze,vyote vikaharibika pamoja. 9 Malango yake yamezama ardhini,makomeo yake ameyavunja na kuyaharibu.Mfalme wake na wakuu wake wamepelekwa uhamishonimiongoni mwa mataifa,sheria haipo tena,na manabii wake hawapati tenamaono kutoka kwa BWANA. 10 Wazee wa Binti Sayuniwanaketi chini kimya,wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyaona kuvaa nguo za gunia.Wanawali wa Yerusalemuwamesujudu hadi ardhini. 11 Macho yangu yamedhoofika kwa kulia,nina maumivu makali ndani,moyo wangu umemiminwa ardhinikwa sababu watu wangu wameangamizwa,kwa sababu watoto na wanyonyao wanazimiakwenye barabara za mji. 12 Wanawaambia mama zao,“Wapi mkate na divai?”wazimiapo kama watu waliojeruhiwakatika barabara za mji,maisha yao yadhoofikavyomikononi mwa mama zao. 13 Ninaweza kusema nini kwa ajili yako?Nikulinganishe na nini,ee Binti Yerusalemu?Nitakufananisha na nini,ili nipate kukufariji,ee Bikira Binti Sayuni?Jeraha lako lina kina kama bahari.Ni nani awezaye kukuponya? 14 Maono ya manabii wakoyalikuwa ya uongo na yasiyofaa kitu,hawakuifunua dhambi yakoili kukuzuilia kwenda utumwani.Maneno waliyokupayalikuwa ya uongo na ya kupotosha. 15 Wote wapitiao njia yakowanakupigia makofi,wanakudhihaki na kutikisa vichwa vyaokwa Binti Yerusalemu:“Huu ndio ule mji ulioitwamkamilifu wa uzuri,furaha ya dunia yote?” 16 Adui zako wote wanapanuavinywa vyao dhidi yako,wanadhihaki na kusaga meno yaona kusema, “Tumemmeza.Hii ndiyo siku tuliyoingojea,tumeishi na kuiona.” 17 BWANA amefanya lile alilolipanga;ametimiza neno lakealiloliamuru siku za kale.Amekuangusha bila huruma,amewaacha adui wakusimange,ametukuza pembe ya adui yako. 18 Mioyo ya watuinamlilia Bwana.Ee ukuta wa Binti Sayuni,machozi yako na yatiririke kama mtousiku na mchana;usijipe nafuu,macho yako yasipumzike. 19 Inuka, lia usiku,zamu za usiku zianzapo;mimina moyo wako kama majimbele za Bwana.Mwinulie yeye mikono yakokwa ajili ya maisha ya watoto wako,ambao wanazimia kwa njaakwenye kila mwanzo wa barabara. 20 “Tazama, Ee BWANA, ufikirie:Ni nani ambaye umepatakumtendea namna hii?Je, wanawake wakule wazao wao,watoto waliowalea?Je, kuhani na nabii auawemahali patakatifu pa Bwana? 21 “Vijana na wazee hujilaza pamojakatika mavumbi ya barabarani,wavulana wangu na wasichanawameanguka kwa upanga.Umewaua katika siku ya hasira yako,umewachinja bila huruma. 22 “Kama ulivyoita siku ya karamu,ndivyo ulivyoagiza hofu kuudhidi yangu kila upande.Katika siku ya hasira ya BWANAhakuna yeyote aliyekwepa au kupona;wale niliowatunza na kuwalea,adui yangu amewaangamiza.”
In Other Versions
Lamentations 2 in the ANGEFD
Lamentations 2 in the ANTPNG2D
Lamentations 2 in the AS21
Lamentations 2 in the BAGH
Lamentations 2 in the BBPNG
Lamentations 2 in the BBT1E
Lamentations 2 in the BDS
Lamentations 2 in the BEV
Lamentations 2 in the BHAD
Lamentations 2 in the BIB
Lamentations 2 in the BLPT
Lamentations 2 in the BNT
Lamentations 2 in the BNTABOOT
Lamentations 2 in the BNTLV
Lamentations 2 in the BOATCB
Lamentations 2 in the BOATCB2
Lamentations 2 in the BOBCV
Lamentations 2 in the BOCNT
Lamentations 2 in the BOECS
Lamentations 2 in the BOGWICC
Lamentations 2 in the BOHCB
Lamentations 2 in the BOHCV
Lamentations 2 in the BOHLNT
Lamentations 2 in the BOHNTLTAL
Lamentations 2 in the BOICB
Lamentations 2 in the BOILNTAP
Lamentations 2 in the BOITCV
Lamentations 2 in the BOKCV2
Lamentations 2 in the BOKHWOG
Lamentations 2 in the BOKSSV
Lamentations 2 in the BOLCB
Lamentations 2 in the BOLCB2
Lamentations 2 in the BOMCV
Lamentations 2 in the BONAV
Lamentations 2 in the BONCB
Lamentations 2 in the BONLT
Lamentations 2 in the BONUT2
Lamentations 2 in the BOPLNT
Lamentations 2 in the BOSCB
Lamentations 2 in the BOSNC
Lamentations 2 in the BOTLNT
Lamentations 2 in the BOVCB
Lamentations 2 in the BOYCB
Lamentations 2 in the BPBB
Lamentations 2 in the BPH
Lamentations 2 in the BSB
Lamentations 2 in the CCB
Lamentations 2 in the CUV
Lamentations 2 in the CUVS
Lamentations 2 in the DBT
Lamentations 2 in the DGDNT
Lamentations 2 in the DHNT
Lamentations 2 in the DNT
Lamentations 2 in the ELBE
Lamentations 2 in the EMTV
Lamentations 2 in the ESV
Lamentations 2 in the FBV
Lamentations 2 in the FEB
Lamentations 2 in the GGMNT
Lamentations 2 in the GNT
Lamentations 2 in the HARY
Lamentations 2 in the HNT
Lamentations 2 in the IRVA
Lamentations 2 in the IRVB
Lamentations 2 in the IRVG
Lamentations 2 in the IRVH
Lamentations 2 in the IRVK
Lamentations 2 in the IRVM
Lamentations 2 in the IRVM2
Lamentations 2 in the IRVO
Lamentations 2 in the IRVP
Lamentations 2 in the IRVT
Lamentations 2 in the IRVT2
Lamentations 2 in the IRVU
Lamentations 2 in the ISVN
Lamentations 2 in the JSNT
Lamentations 2 in the KAPI
Lamentations 2 in the KBT1ETNIK
Lamentations 2 in the KBV
Lamentations 2 in the KJV
Lamentations 2 in the KNFD
Lamentations 2 in the LBA
Lamentations 2 in the LBLA
Lamentations 2 in the LNT
Lamentations 2 in the LSV
Lamentations 2 in the MAAL
Lamentations 2 in the MBV
Lamentations 2 in the MBV2
Lamentations 2 in the MHNT
Lamentations 2 in the MKNFD
Lamentations 2 in the MNG
Lamentations 2 in the MNT
Lamentations 2 in the MNT2
Lamentations 2 in the MRS1T
Lamentations 2 in the NAA
Lamentations 2 in the NASB
Lamentations 2 in the NBLA
Lamentations 2 in the NBS
Lamentations 2 in the NBVTP
Lamentations 2 in the NET2
Lamentations 2 in the NIV11
Lamentations 2 in the NNT
Lamentations 2 in the NNT2
Lamentations 2 in the NNT3
Lamentations 2 in the PDDPT
Lamentations 2 in the PFNT
Lamentations 2 in the RMNT
Lamentations 2 in the SBIAS
Lamentations 2 in the SBIBS
Lamentations 2 in the SBIBS2
Lamentations 2 in the SBICS
Lamentations 2 in the SBIDS
Lamentations 2 in the SBIGS
Lamentations 2 in the SBIHS
Lamentations 2 in the SBIIS
Lamentations 2 in the SBIIS2
Lamentations 2 in the SBIIS3
Lamentations 2 in the SBIKS
Lamentations 2 in the SBIKS2
Lamentations 2 in the SBIMS
Lamentations 2 in the SBIOS
Lamentations 2 in the SBIPS
Lamentations 2 in the SBISS
Lamentations 2 in the SBITS
Lamentations 2 in the SBITS2
Lamentations 2 in the SBITS3
Lamentations 2 in the SBITS4
Lamentations 2 in the SBIUS
Lamentations 2 in the SBIVS
Lamentations 2 in the SBT
Lamentations 2 in the SBT1E
Lamentations 2 in the SCHL
Lamentations 2 in the SNT
Lamentations 2 in the SUSU
Lamentations 2 in the SUSU2
Lamentations 2 in the SYNO
Lamentations 2 in the TBIAOTANT
Lamentations 2 in the TBT1E
Lamentations 2 in the TBT1E2
Lamentations 2 in the TFTIP
Lamentations 2 in the TFTU
Lamentations 2 in the TGNTATF3T
Lamentations 2 in the THAI
Lamentations 2 in the TNFD
Lamentations 2 in the TNT
Lamentations 2 in the TNTIK
Lamentations 2 in the TNTIL
Lamentations 2 in the TNTIN
Lamentations 2 in the TNTIP
Lamentations 2 in the TNTIZ
Lamentations 2 in the TOMA
Lamentations 2 in the TTENT
Lamentations 2 in the UBG
Lamentations 2 in the UGV
Lamentations 2 in the UGV2
Lamentations 2 in the UGV3
Lamentations 2 in the VBL
Lamentations 2 in the VDCC
Lamentations 2 in the YALU
Lamentations 2 in the YAPE
Lamentations 2 in the YBVTP
Lamentations 2 in the ZBP