Numbers 34 (BOKCV)
1 BWANA akamwambia Mose, 2 “Waamuru Waisraeli na uwaambie: ‘Mtakapoingia nchi ya Kanaani, nchi ambayo itagawanywa kwenu kama urithi itakuwa na mipaka ifuatayo: 3 “ ‘Upande wenu wa kusini utajumuisha sehemu ya Jangwa la Sini kufuata mpaka wa Edomu. Upande wa mashariki mpaka wenu wa kusini utaanzia mwisho wa Bahari ya Chumvi, 4 katiza kusini mwa Pito la Akrabimu, endelea mpaka Sini na kwenda kusini ya Kadesh-Barnea. Kisha mpaka huo utaenda hadi Hasar-Adari hadi Azmoni, 5 mahali ambapo utapinda, na kuunganika na Kijito cha Misri na kumalizikia kwenye Bahari ya Kati. 6 “ ‘Mpaka wenu wa magharibi utakuwa Bahari ya Kati. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa magharibi. 7 “ ‘Kwa mpaka wenu wa kaskazini, wekeni alama kuanzia Bahari ya Kati hadi mlima Hori, 8 na kutoka mlima Hori hadi Pito la Hamathi. Kisha mpaka utaenda hadi Sedadi, 9 kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini. 10 “ ‘Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu. 11 Mpaka utaelekea kusini kuanzia Shefamu hadi Ribla upande wa mashariki wa Aini, na kuendelea kwenye miteremko mashariki mwa Bahari ya Kinerethi. 12 Kisha mpaka utashuka kuelekea Mto Yordani na kuishia katika Bahari ya Chumvi.“ ‘Hii itakuwa nchi yenu, ikiwa na mipaka yake kila upande.’ ” 13 Mose akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. BWANA ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, 14 kwa sababu jamaa ya kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manase wamekwishapokea urithi wao. 15 Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ngʼambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.” 16 BWANA akamwambia Mose, 17 “Haya ndiyo majina ya watu ambao watakusaidia kugawanya nchi kama urithi: Eleazari kuhani na Yoshua mwana wa Nuni. 18 Tena uteue kiongozi mmoja kutoka kila kabila kusaidia kuigawanya nchi. 19 Haya ndiyo majina yao: “Kalebu mwana wa Yefune,kutoka kabila la Yuda; 20 Shemueli mwana wa Amihudi,kutoka kabila la Simeoni; 21 Elidadi mwana wa Kisloni,kutoka kabila la Benyamini; 22 Buki mwana wa Yogli,kiongozi kutoka kabila la Dani; 23 Hanieli mwana wa Efodi,kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yosefu; 24 Kemueli mwana wa Shiftani,kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yosefu; 25 Elisafani mwana wa Parnaki,kiongozi kutoka kabila la Zabuloni; 26 Paltieli mwana wa Azani,kiongozi kutoka kabila la Isakari; 27 Ahihudi mwana wa Shelomi,kiongozi kutoka kabila la Asheri; 28 Pedaheli mwana wa Amihudi,kiongozi kutoka kabila la Naftali.” 29 Hawa ndio watu ambao BWANA aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.
In Other Versions
Numbers 34 in the ANGEFD
Numbers 34 in the ANTPNG2D
Numbers 34 in the AS21
Numbers 34 in the BAGH
Numbers 34 in the BBPNG
Numbers 34 in the BBT1E
Numbers 34 in the BDS
Numbers 34 in the BEV
Numbers 34 in the BHAD
Numbers 34 in the BIB
Numbers 34 in the BLPT
Numbers 34 in the BNT
Numbers 34 in the BNTABOOT
Numbers 34 in the BNTLV
Numbers 34 in the BOATCB
Numbers 34 in the BOATCB2
Numbers 34 in the BOBCV
Numbers 34 in the BOCNT
Numbers 34 in the BOECS
Numbers 34 in the BOGWICC
Numbers 34 in the BOHCB
Numbers 34 in the BOHCV
Numbers 34 in the BOHLNT
Numbers 34 in the BOHNTLTAL
Numbers 34 in the BOICB
Numbers 34 in the BOILNTAP
Numbers 34 in the BOITCV
Numbers 34 in the BOKCV2
Numbers 34 in the BOKHWOG
Numbers 34 in the BOKSSV
Numbers 34 in the BOLCB
Numbers 34 in the BOLCB2
Numbers 34 in the BOMCV
Numbers 34 in the BONAV
Numbers 34 in the BONCB
Numbers 34 in the BONLT
Numbers 34 in the BONUT2
Numbers 34 in the BOPLNT
Numbers 34 in the BOSCB
Numbers 34 in the BOSNC
Numbers 34 in the BOTLNT
Numbers 34 in the BOVCB
Numbers 34 in the BOYCB
Numbers 34 in the BPBB
Numbers 34 in the BPH
Numbers 34 in the BSB
Numbers 34 in the CCB
Numbers 34 in the CUV
Numbers 34 in the CUVS
Numbers 34 in the DBT
Numbers 34 in the DGDNT
Numbers 34 in the DHNT
Numbers 34 in the DNT
Numbers 34 in the ELBE
Numbers 34 in the EMTV
Numbers 34 in the ESV
Numbers 34 in the FBV
Numbers 34 in the FEB
Numbers 34 in the GGMNT
Numbers 34 in the GNT
Numbers 34 in the HARY
Numbers 34 in the HNT
Numbers 34 in the IRVA
Numbers 34 in the IRVB
Numbers 34 in the IRVG
Numbers 34 in the IRVH
Numbers 34 in the IRVK
Numbers 34 in the IRVM
Numbers 34 in the IRVM2
Numbers 34 in the IRVO
Numbers 34 in the IRVP
Numbers 34 in the IRVT
Numbers 34 in the IRVT2
Numbers 34 in the IRVU
Numbers 34 in the ISVN
Numbers 34 in the JSNT
Numbers 34 in the KAPI
Numbers 34 in the KBT1ETNIK
Numbers 34 in the KBV
Numbers 34 in the KJV
Numbers 34 in the KNFD
Numbers 34 in the LBA
Numbers 34 in the LBLA
Numbers 34 in the LNT
Numbers 34 in the LSV
Numbers 34 in the MAAL
Numbers 34 in the MBV
Numbers 34 in the MBV2
Numbers 34 in the MHNT
Numbers 34 in the MKNFD
Numbers 34 in the MNG
Numbers 34 in the MNT
Numbers 34 in the MNT2
Numbers 34 in the MRS1T
Numbers 34 in the NAA
Numbers 34 in the NASB
Numbers 34 in the NBLA
Numbers 34 in the NBS
Numbers 34 in the NBVTP
Numbers 34 in the NET2
Numbers 34 in the NIV11
Numbers 34 in the NNT
Numbers 34 in the NNT2
Numbers 34 in the NNT3
Numbers 34 in the PDDPT
Numbers 34 in the PFNT
Numbers 34 in the RMNT
Numbers 34 in the SBIAS
Numbers 34 in the SBIBS
Numbers 34 in the SBIBS2
Numbers 34 in the SBICS
Numbers 34 in the SBIDS
Numbers 34 in the SBIGS
Numbers 34 in the SBIHS
Numbers 34 in the SBIIS
Numbers 34 in the SBIIS2
Numbers 34 in the SBIIS3
Numbers 34 in the SBIKS
Numbers 34 in the SBIKS2
Numbers 34 in the SBIMS
Numbers 34 in the SBIOS
Numbers 34 in the SBIPS
Numbers 34 in the SBISS
Numbers 34 in the SBITS
Numbers 34 in the SBITS2
Numbers 34 in the SBITS3
Numbers 34 in the SBITS4
Numbers 34 in the SBIUS
Numbers 34 in the SBIVS
Numbers 34 in the SBT
Numbers 34 in the SBT1E
Numbers 34 in the SCHL
Numbers 34 in the SNT
Numbers 34 in the SUSU
Numbers 34 in the SUSU2
Numbers 34 in the SYNO
Numbers 34 in the TBIAOTANT
Numbers 34 in the TBT1E
Numbers 34 in the TBT1E2
Numbers 34 in the TFTIP
Numbers 34 in the TFTU
Numbers 34 in the TGNTATF3T
Numbers 34 in the THAI
Numbers 34 in the TNFD
Numbers 34 in the TNT
Numbers 34 in the TNTIK
Numbers 34 in the TNTIL
Numbers 34 in the TNTIN
Numbers 34 in the TNTIP
Numbers 34 in the TNTIZ
Numbers 34 in the TOMA
Numbers 34 in the TTENT
Numbers 34 in the UBG
Numbers 34 in the UGV
Numbers 34 in the UGV2
Numbers 34 in the UGV3
Numbers 34 in the VBL
Numbers 34 in the VDCC
Numbers 34 in the YALU
Numbers 34 in the YAPE
Numbers 34 in the YBVTP
Numbers 34 in the ZBP