1 Corinthians 9 (BOKCV)
1 Je, mimi si huru? Je, mimi si mtume? Je, mimi sikumwona Yesu, Bwana wetu? Je, ninyi si matunda ya kazi yangu katika Bwana? 2 Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana. 3 Huu ndio utetezi wangu kwa hao wanaokaa kunihukumu. 4 Je, hatuna haki ya kula na kunywa? 5 Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa? 6 Au ni mimi na Barnaba tu inatubidi kufanya kazi ili tuweze kupata mahitaji yetu? 7 Ni askari yupi aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye shamba la mizabibu na asile matunda yake? Ni nani achungaye kundi na asipate maziwa yake. 8 Je, nasema mambo haya katika mtazamo wa kibinadamu tu? Je, sheria haisemi vivyo hivyo? 9 Kwa maana imeandikwa katika Sheria ya Mose: “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka.” Je, Mungu hapa anahusika na ngʼombe? 10 Je, Mungu hasemi haya hasa kwa ajili yetu? Hakika yameandikwa kwa ajili yetu, kwa sababu mtu anapolima na mpuraji akapura nafaka, wote wanapaswa kufanya hivyo wakiwa na tumaini la kushiriki mavuno. 11 Je, ikiwa sisi tulipanda mbegu ya kiroho miongoni mwenu, itakuwa ni jambo kubwa iwapo tutavuna vitu vya mwili kutoka kwenu? 12 Kama wengine wana haki ya kupata msaada kutoka kwenu, isingepasa tuwe na haki hiyo hata zaidi?Lakini sisi hatukutumia haki hii. Kinyume chake, tunavumilia kila kitu ili tusije tukazuia Injili ya Kristo. 13 Je, hamjui kwamba, watu wafanyao kazi hekaluni hupata chakula chao kutoka hekaluni, nao wale wahudumiao madhabahuni hushiriki kile kitolewacho madhabahuni? 14 Vivyo hivyo, Bwana ameamuru kwamba wale wanaohubiri Injili wapate riziki yao kutokana na Injili. 15 Lakini sijatumia hata mojawapo ya haki hizi. Nami siandiki haya nikitumaini kwamba mtanifanyia mambo hayo. Heri nife kuliko mtu yeyote kuninyima huku kujisifu kwangu. 16 Lakini ninapohubiri Injili siwezi kujisifu maana ninalazimika kuhubiri. Ole wangu nisipoihubiri Injili! 17 Nikihubiri kwa hiari, ninayo thawabu. Lakini kama si kwa hiari, basi ninachofanya ni kutekeleza tu uwakili niliowekewa. 18 Basi je, thawabu yangu ni nini? Thawabu yangu ni hii: Ya kwamba katika kuhubiri Injili niitoe bila gharama, bila kutumia kwa utimilifu uwezo wangu nilio nao katika Injili. 19 Ingawa mimi ni huru, wala si mtumwa wa mtu yeyote, nimejifanya kuwa mtumwa wa kila mtu, ili niweze kuwavuta wengi kadri iwezekanavyo. 20 Kwa Wayahudi, nilikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi. Kwa watu wale walio chini ya sheria, nilikuwa kama aliye chini ya sheria (ingawa mimi siko chini ya sheria), ili niweze kuwapata wale walio chini ya sheria. 21 Kwa watu wasio na sheria nilikuwa kama asiye na sheria (ingawa siko huru mbali na sheria ya Mungu, bali niko chini ya sheria ya Kristo), ili niweze kuwapata wale wasio na sheria. 22 Kwa walio dhaifu nilikuwa dhaifu, ili niweze kuwapata walio dhaifu. Nimekuwa mtu wa hali zote kwa watu wote ili kwa njia yoyote niweze kuwaokoa baadhi yao. 23 Nafanya haya yote kwa ajili ya Injili, ili nipate kushiriki baraka zake. 24 Je, hamjui kwamba katika mashindano ya mbio wote wanaoshindana hukimbia, lakini ni mmoja wao tu apewaye tuzo? Kwa hiyo kimbieni katika mashindano kwa jinsi ambavyo mtapata tuzo. 25 Kila mmoja anayeshiriki katika mashindano hufanya mazoezi makali. Wao hufanya hivyo ili wapokee taji isiyodumu, lakini sisi tunafanya hivyo ili kupata taji idumuyo milele. 26 Kwa hiyo mimi sikimbii kama mtu akimbiaye bila lengo, sipigani kama mtu anayepiga hewa, 27 la, bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha ili nikiisha kuwahubiria wengine, mimi nisiwe mtu wa kukataliwa.
In Other Versions
1 Corinthians 9 in the ANGEFD
1 Corinthians 9 in the ANTPNG2D
1 Corinthians 9 in the AS21
1 Corinthians 9 in the BAGH
1 Corinthians 9 in the BBPNG
1 Corinthians 9 in the BBT1E
1 Corinthians 9 in the BDS
1 Corinthians 9 in the BEV
1 Corinthians 9 in the BHAD
1 Corinthians 9 in the BIB
1 Corinthians 9 in the BLPT
1 Corinthians 9 in the BNT
1 Corinthians 9 in the BNTABOOT
1 Corinthians 9 in the BNTLV
1 Corinthians 9 in the BOATCB
1 Corinthians 9 in the BOATCB2
1 Corinthians 9 in the BOBCV
1 Corinthians 9 in the BOCNT
1 Corinthians 9 in the BOECS
1 Corinthians 9 in the BOGWICC
1 Corinthians 9 in the BOHCB
1 Corinthians 9 in the BOHCV
1 Corinthians 9 in the BOHLNT
1 Corinthians 9 in the BOHNTLTAL
1 Corinthians 9 in the BOICB
1 Corinthians 9 in the BOILNTAP
1 Corinthians 9 in the BOITCV
1 Corinthians 9 in the BOKCV2
1 Corinthians 9 in the BOKHWOG
1 Corinthians 9 in the BOKSSV
1 Corinthians 9 in the BOLCB
1 Corinthians 9 in the BOLCB2
1 Corinthians 9 in the BOMCV
1 Corinthians 9 in the BONAV
1 Corinthians 9 in the BONCB
1 Corinthians 9 in the BONLT
1 Corinthians 9 in the BONUT2
1 Corinthians 9 in the BOPLNT
1 Corinthians 9 in the BOSCB
1 Corinthians 9 in the BOSNC
1 Corinthians 9 in the BOTLNT
1 Corinthians 9 in the BOVCB
1 Corinthians 9 in the BOYCB
1 Corinthians 9 in the BPBB
1 Corinthians 9 in the BPH
1 Corinthians 9 in the BSB
1 Corinthians 9 in the CCB
1 Corinthians 9 in the CUV
1 Corinthians 9 in the CUVS
1 Corinthians 9 in the DBT
1 Corinthians 9 in the DGDNT
1 Corinthians 9 in the DHNT
1 Corinthians 9 in the DNT
1 Corinthians 9 in the ELBE
1 Corinthians 9 in the EMTV
1 Corinthians 9 in the ESV
1 Corinthians 9 in the FBV
1 Corinthians 9 in the FEB
1 Corinthians 9 in the GGMNT
1 Corinthians 9 in the GNT
1 Corinthians 9 in the HARY
1 Corinthians 9 in the HNT
1 Corinthians 9 in the IRVA
1 Corinthians 9 in the IRVB
1 Corinthians 9 in the IRVG
1 Corinthians 9 in the IRVH
1 Corinthians 9 in the IRVK
1 Corinthians 9 in the IRVM
1 Corinthians 9 in the IRVM2
1 Corinthians 9 in the IRVO
1 Corinthians 9 in the IRVP
1 Corinthians 9 in the IRVT
1 Corinthians 9 in the IRVT2
1 Corinthians 9 in the IRVU
1 Corinthians 9 in the ISVN
1 Corinthians 9 in the JSNT
1 Corinthians 9 in the KAPI
1 Corinthians 9 in the KBT1ETNIK
1 Corinthians 9 in the KBV
1 Corinthians 9 in the KJV
1 Corinthians 9 in the KNFD
1 Corinthians 9 in the LBA
1 Corinthians 9 in the LBLA
1 Corinthians 9 in the LNT
1 Corinthians 9 in the LSV
1 Corinthians 9 in the MAAL
1 Corinthians 9 in the MBV
1 Corinthians 9 in the MBV2
1 Corinthians 9 in the MHNT
1 Corinthians 9 in the MKNFD
1 Corinthians 9 in the MNG
1 Corinthians 9 in the MNT
1 Corinthians 9 in the MNT2
1 Corinthians 9 in the MRS1T
1 Corinthians 9 in the NAA
1 Corinthians 9 in the NASB
1 Corinthians 9 in the NBLA
1 Corinthians 9 in the NBS
1 Corinthians 9 in the NBVTP
1 Corinthians 9 in the NET2
1 Corinthians 9 in the NIV11
1 Corinthians 9 in the NNT
1 Corinthians 9 in the NNT2
1 Corinthians 9 in the NNT3
1 Corinthians 9 in the PDDPT
1 Corinthians 9 in the PFNT
1 Corinthians 9 in the RMNT
1 Corinthians 9 in the SBIAS
1 Corinthians 9 in the SBIBS
1 Corinthians 9 in the SBIBS2
1 Corinthians 9 in the SBICS
1 Corinthians 9 in the SBIDS
1 Corinthians 9 in the SBIGS
1 Corinthians 9 in the SBIHS
1 Corinthians 9 in the SBIIS
1 Corinthians 9 in the SBIIS2
1 Corinthians 9 in the SBIIS3
1 Corinthians 9 in the SBIKS
1 Corinthians 9 in the SBIKS2
1 Corinthians 9 in the SBIMS
1 Corinthians 9 in the SBIOS
1 Corinthians 9 in the SBIPS
1 Corinthians 9 in the SBISS
1 Corinthians 9 in the SBITS
1 Corinthians 9 in the SBITS2
1 Corinthians 9 in the SBITS3
1 Corinthians 9 in the SBITS4
1 Corinthians 9 in the SBIUS
1 Corinthians 9 in the SBIVS
1 Corinthians 9 in the SBT
1 Corinthians 9 in the SBT1E
1 Corinthians 9 in the SCHL
1 Corinthians 9 in the SNT
1 Corinthians 9 in the SUSU
1 Corinthians 9 in the SUSU2
1 Corinthians 9 in the SYNO
1 Corinthians 9 in the TBIAOTANT
1 Corinthians 9 in the TBT1E
1 Corinthians 9 in the TBT1E2
1 Corinthians 9 in the TFTIP
1 Corinthians 9 in the TFTU
1 Corinthians 9 in the TGNTATF3T
1 Corinthians 9 in the THAI
1 Corinthians 9 in the TNFD
1 Corinthians 9 in the TNT
1 Corinthians 9 in the TNTIK
1 Corinthians 9 in the TNTIL
1 Corinthians 9 in the TNTIN
1 Corinthians 9 in the TNTIP
1 Corinthians 9 in the TNTIZ
1 Corinthians 9 in the TOMA
1 Corinthians 9 in the TTENT
1 Corinthians 9 in the UBG
1 Corinthians 9 in the UGV
1 Corinthians 9 in the UGV2
1 Corinthians 9 in the UGV3
1 Corinthians 9 in the VBL
1 Corinthians 9 in the VDCC
1 Corinthians 9 in the YALU
1 Corinthians 9 in the YAPE
1 Corinthians 9 in the YBVTP
1 Corinthians 9 in the ZBP