3 John 1 (BOKCV)

1 Mzee:Kwa Gayo rafiki yangu, nimpendaye katika kweli. 2 Mpendwa, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama vile roho yako ifanikiwavyo. 3 Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza juu ya uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli. 4 Sina furaha kubwa kuliko hii, kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli. 5 Rafiki mpendwa, wewe ni mwaminifu kwa yale unayowatendea ndugu, ingawa wao ni wageni kwako. 6 Wameshuhudia kuhusu upendo wako mbele ya kanisa. Utafanya vyema ukiwasafirisha kama inavyostahili kwa Mungu. 7 Ilikuwa ni kwa ajili ya hilo Jina waliondoka, bila kukubali kupokea msaada wowote kutoka kwa watu wasioamini. 8 Kwa hiyo imetupasa sisi kuonyesha ukarimu kwa watu kama hao ili tuweze kutenda kazi pamoja kwa ajili ya kweli. 9 Nililiandikia kanisa, lakini Deotrefe, yeye apendaye kujifanya wa kwanza, hakubali mamlaka yetu. 10 Hivyo kama nikija, nitakumbuka matendo yake atendayo, akitusingizia kwa maneno ya hila. Wala hatosheki na hayo anayotusingizia, bali pia hukataa kuwakaribisha ndugu, na hata huwazuia wale walio tayari kufanya hivyo na kuwafukuza watoke kanisani. 11 Rafiki mpendwa, usiige lile lililo baya bali lile lililo jema. Yeyote atendaye mema atoka kwa Mungu, bali atendaye mabaya hajamwona Mungu. 12 Kila mtu ameshuhudia mema kuhusu Demetrio, vivyo hivyo hata na hiyo kweli yenyewe. Sisi pia twashuhudia mema juu yake, nanyi mwajua kwamba ushuhuda wetu ni kweli. 13 Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino. 14 Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana. 15 Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.

In Other Versions

3 John 1 in the ANGEFD

3 John 1 in the ANTPNG2D

3 John 1 in the AS21

3 John 1 in the BAGH

3 John 1 in the BBPNG

3 John 1 in the BBT1E

3 John 1 in the BDS

3 John 1 in the BEV

3 John 1 in the BHAD

3 John 1 in the BIB

3 John 1 in the BLPT

3 John 1 in the BNT

3 John 1 in the BNTABOOT

3 John 1 in the BNTLV

3 John 1 in the BOATCB

3 John 1 in the BOATCB2

3 John 1 in the BOBCV

3 John 1 in the BOCNT

3 John 1 in the BOECS

3 John 1 in the BOGWICC

3 John 1 in the BOHCB

3 John 1 in the BOHCV

3 John 1 in the BOHLNT

3 John 1 in the BOHNTLTAL

3 John 1 in the BOICB

3 John 1 in the BOILNTAP

3 John 1 in the BOITCV

3 John 1 in the BOKCV2

3 John 1 in the BOKHWOG

3 John 1 in the BOKSSV

3 John 1 in the BOLCB

3 John 1 in the BOLCB2

3 John 1 in the BOMCV

3 John 1 in the BONAV

3 John 1 in the BONCB

3 John 1 in the BONLT

3 John 1 in the BONUT2

3 John 1 in the BOPLNT

3 John 1 in the BOSCB

3 John 1 in the BOSNC

3 John 1 in the BOTLNT

3 John 1 in the BOVCB

3 John 1 in the BOYCB

3 John 1 in the BPBB

3 John 1 in the BPH

3 John 1 in the BSB

3 John 1 in the CCB

3 John 1 in the CUV

3 John 1 in the CUVS

3 John 1 in the DBT

3 John 1 in the DGDNT

3 John 1 in the DHNT

3 John 1 in the DNT

3 John 1 in the ELBE

3 John 1 in the EMTV

3 John 1 in the ESV

3 John 1 in the FBV

3 John 1 in the FEB

3 John 1 in the GGMNT

3 John 1 in the GNT

3 John 1 in the HARY

3 John 1 in the HNT

3 John 1 in the IRVA

3 John 1 in the IRVB

3 John 1 in the IRVG

3 John 1 in the IRVH

3 John 1 in the IRVK

3 John 1 in the IRVM

3 John 1 in the IRVM2

3 John 1 in the IRVO

3 John 1 in the IRVP

3 John 1 in the IRVT

3 John 1 in the IRVT2

3 John 1 in the IRVU

3 John 1 in the ISVN

3 John 1 in the JSNT

3 John 1 in the KAPI

3 John 1 in the KBT1ETNIK

3 John 1 in the KBV

3 John 1 in the KJV

3 John 1 in the KNFD

3 John 1 in the LBA

3 John 1 in the LBLA

3 John 1 in the LNT

3 John 1 in the LSV

3 John 1 in the MAAL

3 John 1 in the MBV

3 John 1 in the MBV2

3 John 1 in the MHNT

3 John 1 in the MKNFD

3 John 1 in the MNG

3 John 1 in the MNT

3 John 1 in the MNT2

3 John 1 in the MRS1T

3 John 1 in the NAA

3 John 1 in the NASB

3 John 1 in the NBLA

3 John 1 in the NBS

3 John 1 in the NBVTP

3 John 1 in the NET2

3 John 1 in the NIV11

3 John 1 in the NNT

3 John 1 in the NNT2

3 John 1 in the NNT3

3 John 1 in the PDDPT

3 John 1 in the PFNT

3 John 1 in the RMNT

3 John 1 in the SBIAS

3 John 1 in the SBIBS

3 John 1 in the SBIBS2

3 John 1 in the SBICS

3 John 1 in the SBIDS

3 John 1 in the SBIGS

3 John 1 in the SBIHS

3 John 1 in the SBIIS

3 John 1 in the SBIIS2

3 John 1 in the SBIIS3

3 John 1 in the SBIKS

3 John 1 in the SBIKS2

3 John 1 in the SBIMS

3 John 1 in the SBIOS

3 John 1 in the SBIPS

3 John 1 in the SBISS

3 John 1 in the SBITS

3 John 1 in the SBITS2

3 John 1 in the SBITS3

3 John 1 in the SBITS4

3 John 1 in the SBIUS

3 John 1 in the SBIVS

3 John 1 in the SBT

3 John 1 in the SBT1E

3 John 1 in the SCHL

3 John 1 in the SNT

3 John 1 in the SUSU

3 John 1 in the SUSU2

3 John 1 in the SYNO

3 John 1 in the TBIAOTANT

3 John 1 in the TBT1E

3 John 1 in the TBT1E2

3 John 1 in the TFTIP

3 John 1 in the TFTU

3 John 1 in the TGNTATF3T

3 John 1 in the THAI

3 John 1 in the TNFD

3 John 1 in the TNT

3 John 1 in the TNTIK

3 John 1 in the TNTIL

3 John 1 in the TNTIN

3 John 1 in the TNTIP

3 John 1 in the TNTIZ

3 John 1 in the TOMA

3 John 1 in the TTENT

3 John 1 in the UBG

3 John 1 in the UGV

3 John 1 in the UGV2

3 John 1 in the UGV3

3 John 1 in the VBL

3 John 1 in the VDCC

3 John 1 in the YALU

3 John 1 in the YAPE

3 John 1 in the YBVTP

3 John 1 in the ZBP