Isaiah 10 (BOKCV)

1 Ole wao wawekao sheria zisizo za haki,kwa wale watoao amri za kuonea, 2 kuwanyima maskini haki zaona kuzuilia haki za watu wangu walioonewa,kuwafanya wajane mawindo yaona kuwanyangʼanya yatima. 3 Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu,wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali?Mtamkimbilia nani awape msaada?Mtaacha wapi mali zenu? 4 Hakutasalia kitu chochote,isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka,au kuanguka miongoni mwa waliouawa.Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali,mkono wake bado umeinuliwa juu. 5 “Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu,ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 6 Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu,ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha,kukamata mateka na kunyakua nyara,pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 7 Lakini hili silo analokusudia,hili silo alilo nalo akilini;kusudi lake ni kuangamiza,kuyakomesha mataifa mengi. 8 Maana asema, ‘Je, wafalme wotesi majemadari wangu? 9 Je, Kalno hakutendwa kama Karkemishi?Hamathi si kama Arpadi,nayo Samaria si kama Dameski? 10 Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu,falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: 11 je, nisiishughulikie Yerusalemu na sanamu zakekama nilivyoshughulikia Samaria na vinyago vyake?’ ” 12 Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.” 13 Kwa kuwa anasema:“ ‘Kwa nguvu za mkono wangu nimefanya hili,kwa hekima yangu, kwa sababu nina ufahamu.Niliondoa mipaka ya mataifa,niliteka nyara hazina zao,kama yeye aliye shujaaniliwatiisha wafalme wao. 14 Kama mtu atiavyo mkono kwenye kiota,ndivyo mkono wangu ulivyochukua utajiri wa mataifa;kama watu wakusanyavyo mayai yaliyoachwa,ndivyo nilivyokusanya nchi zote;wala hakuna hata mmoja aliyepiga bawaau kufungua kinywa chake kutoa mlio.’ ” 15 Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidikuliko yule anayelitumia,au msumeno kujisifudhidi ya yule anayeutumia?Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye,au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 16 Kwa hiyo Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote,atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari,katika fahari yake moto utawakakama mwali wa moto. 17 Nuru ya Israeli itakuwa moto,Aliye Mtakatifu wao mwali wa moto;katika siku moja utaunguza na kuteketeza miibana michongoma yake. 18 Fahari ya misitu yake na mashamba yenye rutubautateketeza kabisa,kama vile mtu mgonjwa adhoofikavyo. 19 Nayo miti inayobaki katika misitu yake itakuwa michache sanahata mtoto mdogo angeweza kuihesabu. 20 Katika siku ile, mabaki ya Israeli,walionusurika wa nyumba ya Yakobo,hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga,lakini watamtegemea kwa kweli BWANA Aliye Mtakatifu wa Israeli. 21 Mabaki watarudi, mabaki wa Yakobowatamrudia Mungu Mwenye Nguvu. 22 Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani,ni mabaki yao tu watakaorudi.Maangamizi yamekwisha amriwa,ni mengi tena ni haki. 23 Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, atatekelezamaangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote. 24 Kwa hiyo, hili ndilo Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote asemalo:“Enyi watu wangu mkaao Sayuni,msiwaogope Waashuru,wanaowapiga ninyi kwa fimbona kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya. 25 Bado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma,na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.” 26 BWANA Mwenye Nguvu Zote atawachapa kwa mjeledi,kama alivyowapiga Wamidiani katika mwamba wa Orebu,naye atainua fimbo yake juu ya maji,kama alivyofanya huko Misri. 27 Katika siku hiyo mzigo wao utainuliwa kutoka mabegani mwenu,na nira yao kutoka shingoni mwenu;nira itavunjwakwa sababu ya kutiwa mafuta. 28 Wanaingia Ayathi,wanapita katikati ya Migroni,wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 29 Wanavuka kivukoni, nao wanasema,“Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.”Rama inatetemeka;Gibea ya Sauli inakimbia. 30 Piga kelele, ee Binti Galimu!Sikiliza, ee Laisha!Maskini Anathothi! 31 Madmena inakimbia;watu wa Gebimu wanajificha. 32 Siku hii ya leo watasimama Nobu;watatikisa ngumi zaokwa mlima wa Binti Sayuni,kwa kilima cha Yerusalemu. 33 Tazama, Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote,atayakata matawi kwa nguvu kuu.Miti mirefu sana itaangushwa,ile mirefu itashushwa chini. 34 Atakata vichaka vya msitu kwa shoka;Lebanoni itaanguka mbele zake yeye Mwenye Nguvu.

In Other Versions

Isaiah 10 in the ANGEFD

Isaiah 10 in the ANTPNG2D

Isaiah 10 in the AS21

Isaiah 10 in the BAGH

Isaiah 10 in the BBPNG

Isaiah 10 in the BBT1E

Isaiah 10 in the BDS

Isaiah 10 in the BEV

Isaiah 10 in the BHAD

Isaiah 10 in the BIB

Isaiah 10 in the BLPT

Isaiah 10 in the BNT

Isaiah 10 in the BNTABOOT

Isaiah 10 in the BNTLV

Isaiah 10 in the BOATCB

Isaiah 10 in the BOATCB2

Isaiah 10 in the BOBCV

Isaiah 10 in the BOCNT

Isaiah 10 in the BOECS

Isaiah 10 in the BOGWICC

Isaiah 10 in the BOHCB

Isaiah 10 in the BOHCV

Isaiah 10 in the BOHLNT

Isaiah 10 in the BOHNTLTAL

Isaiah 10 in the BOICB

Isaiah 10 in the BOILNTAP

Isaiah 10 in the BOITCV

Isaiah 10 in the BOKCV2

Isaiah 10 in the BOKHWOG

Isaiah 10 in the BOKSSV

Isaiah 10 in the BOLCB

Isaiah 10 in the BOLCB2

Isaiah 10 in the BOMCV

Isaiah 10 in the BONAV

Isaiah 10 in the BONCB

Isaiah 10 in the BONLT

Isaiah 10 in the BONUT2

Isaiah 10 in the BOPLNT

Isaiah 10 in the BOSCB

Isaiah 10 in the BOSNC

Isaiah 10 in the BOTLNT

Isaiah 10 in the BOVCB

Isaiah 10 in the BOYCB

Isaiah 10 in the BPBB

Isaiah 10 in the BPH

Isaiah 10 in the BSB

Isaiah 10 in the CCB

Isaiah 10 in the CUV

Isaiah 10 in the CUVS

Isaiah 10 in the DBT

Isaiah 10 in the DGDNT

Isaiah 10 in the DHNT

Isaiah 10 in the DNT

Isaiah 10 in the ELBE

Isaiah 10 in the EMTV

Isaiah 10 in the ESV

Isaiah 10 in the FBV

Isaiah 10 in the FEB

Isaiah 10 in the GGMNT

Isaiah 10 in the GNT

Isaiah 10 in the HARY

Isaiah 10 in the HNT

Isaiah 10 in the IRVA

Isaiah 10 in the IRVB

Isaiah 10 in the IRVG

Isaiah 10 in the IRVH

Isaiah 10 in the IRVK

Isaiah 10 in the IRVM

Isaiah 10 in the IRVM2

Isaiah 10 in the IRVO

Isaiah 10 in the IRVP

Isaiah 10 in the IRVT

Isaiah 10 in the IRVT2

Isaiah 10 in the IRVU

Isaiah 10 in the ISVN

Isaiah 10 in the JSNT

Isaiah 10 in the KAPI

Isaiah 10 in the KBT1ETNIK

Isaiah 10 in the KBV

Isaiah 10 in the KJV

Isaiah 10 in the KNFD

Isaiah 10 in the LBA

Isaiah 10 in the LBLA

Isaiah 10 in the LNT

Isaiah 10 in the LSV

Isaiah 10 in the MAAL

Isaiah 10 in the MBV

Isaiah 10 in the MBV2

Isaiah 10 in the MHNT

Isaiah 10 in the MKNFD

Isaiah 10 in the MNG

Isaiah 10 in the MNT

Isaiah 10 in the MNT2

Isaiah 10 in the MRS1T

Isaiah 10 in the NAA

Isaiah 10 in the NASB

Isaiah 10 in the NBLA

Isaiah 10 in the NBS

Isaiah 10 in the NBVTP

Isaiah 10 in the NET2

Isaiah 10 in the NIV11

Isaiah 10 in the NNT

Isaiah 10 in the NNT2

Isaiah 10 in the NNT3

Isaiah 10 in the PDDPT

Isaiah 10 in the PFNT

Isaiah 10 in the RMNT

Isaiah 10 in the SBIAS

Isaiah 10 in the SBIBS

Isaiah 10 in the SBIBS2

Isaiah 10 in the SBICS

Isaiah 10 in the SBIDS

Isaiah 10 in the SBIGS

Isaiah 10 in the SBIHS

Isaiah 10 in the SBIIS

Isaiah 10 in the SBIIS2

Isaiah 10 in the SBIIS3

Isaiah 10 in the SBIKS

Isaiah 10 in the SBIKS2

Isaiah 10 in the SBIMS

Isaiah 10 in the SBIOS

Isaiah 10 in the SBIPS

Isaiah 10 in the SBISS

Isaiah 10 in the SBITS

Isaiah 10 in the SBITS2

Isaiah 10 in the SBITS3

Isaiah 10 in the SBITS4

Isaiah 10 in the SBIUS

Isaiah 10 in the SBIVS

Isaiah 10 in the SBT

Isaiah 10 in the SBT1E

Isaiah 10 in the SCHL

Isaiah 10 in the SNT

Isaiah 10 in the SUSU

Isaiah 10 in the SUSU2

Isaiah 10 in the SYNO

Isaiah 10 in the TBIAOTANT

Isaiah 10 in the TBT1E

Isaiah 10 in the TBT1E2

Isaiah 10 in the TFTIP

Isaiah 10 in the TFTU

Isaiah 10 in the TGNTATF3T

Isaiah 10 in the THAI

Isaiah 10 in the TNFD

Isaiah 10 in the TNT

Isaiah 10 in the TNTIK

Isaiah 10 in the TNTIL

Isaiah 10 in the TNTIN

Isaiah 10 in the TNTIP

Isaiah 10 in the TNTIZ

Isaiah 10 in the TOMA

Isaiah 10 in the TTENT

Isaiah 10 in the UBG

Isaiah 10 in the UGV

Isaiah 10 in the UGV2

Isaiah 10 in the UGV3

Isaiah 10 in the VBL

Isaiah 10 in the VDCC

Isaiah 10 in the YALU

Isaiah 10 in the YAPE

Isaiah 10 in the YBVTP

Isaiah 10 in the ZBP