Isaiah 49 (BOKCV)

1 Nisikilizeni, enyi visiwa, sikieni hili,ninyi mataifa mlio mbali:Kabla sijazaliwa, BWANA aliniita,tangu kuzaliwa kwangu, amelitaja jina langu. 2 Akafanya kinywa changu kuwa kama upanga ulionolewa,katika uvuli wa mkono wake akanificha;akanifanya kuwa mshale uliosuguliwa,na kunificha katika podo lake. 3 Akaniambia, “Wewe u mtumishi wangu,Israeli, ambaye katika yeyenitaonyesha utukufu wangu.” 4 Lakini nilisema, “Nimetumika bure,nimetumia nguvu zangu bure bila faida.Hata hivyo linalonistahili liko mkononi mwa BWANA,nao ujira wangu uko kwa Mungu wangu.” 5 Sasa BWANA asema:yeye aliyeniumba tumboni kuwa mtumishi wake,kumrudisha tena Yakobo kwakena kumkusanyia Israeli,kwa maana nimepata heshima machoni pa BWANA,naye Mungu wangu amekuwa nguvu yangu; 6 yeye asema:“Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wanguili kurejeza makabila ya Yakobo,na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi?Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa,ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 7 Hili ndilo asemalo BWANA,yeye Mkombozi na Aliye Mtakatifu wa Israeli,kwake yeye aliyedharauliwa na kuchukiwa na taifa,kwa mtumishi wa watawala:“Wafalme watakuona na kusimama,wakuu wataona na kuanguka kifudifudi,kwa sababu ya BWANA, aliye mwaminifu,yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, aliyekuchagua wewe.” 8 Hili ndilo asemalo BWANA:“Wakati wangu uliokubalika nitakujibu,nami katika siku ya wokovu nitakusaidia;nitakuhifadhi, nami nitakufanyakuwa agano kwa ajili ya watu,ili kurudisha nchina kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa, 9 kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ “Watajilisha kando ya barabarana kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 10 Hawataona njaa wala kuona kiu,wala hari ya jangwani au jua halitawapiga.Yeye mwenye huruma juu yao atawaonyesha njia,na kuwaongoza kando ya chemchemi za maji. 11 Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara,na njia kuu zangu zitainuliwa. 12 Tazama, watakuja kutoka mbali:wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi,wengine kutoka nchi ya Sinimu.” 13 Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu;furahi, ee dunia;pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima!Kwa maana BWANA anawafariji watu wake,naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa. 14 Lakini Sayuni alisema, “BWANA ameniacha,Bwana amenisahau.” 15 “Je, mama aweza kumsahau mtotoaliyeko matitini mwake akinyonya,wala asiwe na hurumajuu ya mtoto aliyemzaa?Ingawa anaweza kusahau,mimi sitakusahau wewe! 16 Tazama, nimekuchora kama muhurikatika vitanga vya mikono yangu,kuta zako zi mbele yangu daima. 17 Wana wako wanaharakisha kurudi,nao wale waliokuteka wanaondoka kwako. 18 Inua macho yako ukatazame pande zote:wana wako wote wanakusanyika na kukujia.Kwa hakika kama vile niishivyo,utawavaa wote kama mapambo,na kujifunga nao kama bibi arusi,”asema BWANA. 19 “Ingawa uliangamizwa na kufanywa ukiwa,na nchi yako ikaharibiwa,sasa nafasi itakuwa finyu kwa ajili ya watu wako,nao wale waliokuangamiza watakuwa mbali sana. 20 Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wakobado watakuambia,‘Mahali hapa ni finyu sana kwetu,tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’ 21 Ndipo utasema moyoni mwako,‘Ni nani aliyenizalia hawa?Nilikuwa nimefiwa, tena tasa;nilikuwa nimehamishwa na kukataliwa.Ni nani aliyewalea hawa?Niliachwa peke yangu,lakini hawa wametoka wapi?’ ” 22 Hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi:“Tazama, nitawaashiria watu wa Mataifa,nitainua bendera yangu kwa mataifa;watawaleta wana wako mikononi yao,na kuwabeba binti zenu juu ya mabega yao. 23 Wafalme watakuwa baba zenu wa kuwalea,na malkia wao watakuwa mama zenu wa kuwalea.Watasujudu mbele yako nyuso zao zikigusa ardhi;wataramba mavumbi yaliyo miguuni mwako.Ndipo utajua ya kuwa Mimi ndimi BWANA;wale wanaonitumaini mimi hawataaibika.” 24 Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita,au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali? 25 Lakini hili ndilo asemalo BWANA:“Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa,na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali.Nitashindana na wale wanaoshindana nawe,nami nitawaokoa watoto wako. 26 Nitawafanya wale wanaokuonea kula nyama yao wenyewe,watalewa kwa damu yao wenyewe,kama vile kwa mvinyo.Ndipo wanadamu wote watajuaya kuwa Mimi, BWANA, ni Mwokozi wako,Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo.”

In Other Versions

Isaiah 49 in the ANGEFD

Isaiah 49 in the ANTPNG2D

Isaiah 49 in the AS21

Isaiah 49 in the BAGH

Isaiah 49 in the BBPNG

Isaiah 49 in the BBT1E

Isaiah 49 in the BDS

Isaiah 49 in the BEV

Isaiah 49 in the BHAD

Isaiah 49 in the BIB

Isaiah 49 in the BLPT

Isaiah 49 in the BNT

Isaiah 49 in the BNTABOOT

Isaiah 49 in the BNTLV

Isaiah 49 in the BOATCB

Isaiah 49 in the BOATCB2

Isaiah 49 in the BOBCV

Isaiah 49 in the BOCNT

Isaiah 49 in the BOECS

Isaiah 49 in the BOGWICC

Isaiah 49 in the BOHCB

Isaiah 49 in the BOHCV

Isaiah 49 in the BOHLNT

Isaiah 49 in the BOHNTLTAL

Isaiah 49 in the BOICB

Isaiah 49 in the BOILNTAP

Isaiah 49 in the BOITCV

Isaiah 49 in the BOKCV2

Isaiah 49 in the BOKHWOG

Isaiah 49 in the BOKSSV

Isaiah 49 in the BOLCB

Isaiah 49 in the BOLCB2

Isaiah 49 in the BOMCV

Isaiah 49 in the BONAV

Isaiah 49 in the BONCB

Isaiah 49 in the BONLT

Isaiah 49 in the BONUT2

Isaiah 49 in the BOPLNT

Isaiah 49 in the BOSCB

Isaiah 49 in the BOSNC

Isaiah 49 in the BOTLNT

Isaiah 49 in the BOVCB

Isaiah 49 in the BOYCB

Isaiah 49 in the BPBB

Isaiah 49 in the BPH

Isaiah 49 in the BSB

Isaiah 49 in the CCB

Isaiah 49 in the CUV

Isaiah 49 in the CUVS

Isaiah 49 in the DBT

Isaiah 49 in the DGDNT

Isaiah 49 in the DHNT

Isaiah 49 in the DNT

Isaiah 49 in the ELBE

Isaiah 49 in the EMTV

Isaiah 49 in the ESV

Isaiah 49 in the FBV

Isaiah 49 in the FEB

Isaiah 49 in the GGMNT

Isaiah 49 in the GNT

Isaiah 49 in the HARY

Isaiah 49 in the HNT

Isaiah 49 in the IRVA

Isaiah 49 in the IRVB

Isaiah 49 in the IRVG

Isaiah 49 in the IRVH

Isaiah 49 in the IRVK

Isaiah 49 in the IRVM

Isaiah 49 in the IRVM2

Isaiah 49 in the IRVO

Isaiah 49 in the IRVP

Isaiah 49 in the IRVT

Isaiah 49 in the IRVT2

Isaiah 49 in the IRVU

Isaiah 49 in the ISVN

Isaiah 49 in the JSNT

Isaiah 49 in the KAPI

Isaiah 49 in the KBT1ETNIK

Isaiah 49 in the KBV

Isaiah 49 in the KJV

Isaiah 49 in the KNFD

Isaiah 49 in the LBA

Isaiah 49 in the LBLA

Isaiah 49 in the LNT

Isaiah 49 in the LSV

Isaiah 49 in the MAAL

Isaiah 49 in the MBV

Isaiah 49 in the MBV2

Isaiah 49 in the MHNT

Isaiah 49 in the MKNFD

Isaiah 49 in the MNG

Isaiah 49 in the MNT

Isaiah 49 in the MNT2

Isaiah 49 in the MRS1T

Isaiah 49 in the NAA

Isaiah 49 in the NASB

Isaiah 49 in the NBLA

Isaiah 49 in the NBS

Isaiah 49 in the NBVTP

Isaiah 49 in the NET2

Isaiah 49 in the NIV11

Isaiah 49 in the NNT

Isaiah 49 in the NNT2

Isaiah 49 in the NNT3

Isaiah 49 in the PDDPT

Isaiah 49 in the PFNT

Isaiah 49 in the RMNT

Isaiah 49 in the SBIAS

Isaiah 49 in the SBIBS

Isaiah 49 in the SBIBS2

Isaiah 49 in the SBICS

Isaiah 49 in the SBIDS

Isaiah 49 in the SBIGS

Isaiah 49 in the SBIHS

Isaiah 49 in the SBIIS

Isaiah 49 in the SBIIS2

Isaiah 49 in the SBIIS3

Isaiah 49 in the SBIKS

Isaiah 49 in the SBIKS2

Isaiah 49 in the SBIMS

Isaiah 49 in the SBIOS

Isaiah 49 in the SBIPS

Isaiah 49 in the SBISS

Isaiah 49 in the SBITS

Isaiah 49 in the SBITS2

Isaiah 49 in the SBITS3

Isaiah 49 in the SBITS4

Isaiah 49 in the SBIUS

Isaiah 49 in the SBIVS

Isaiah 49 in the SBT

Isaiah 49 in the SBT1E

Isaiah 49 in the SCHL

Isaiah 49 in the SNT

Isaiah 49 in the SUSU

Isaiah 49 in the SUSU2

Isaiah 49 in the SYNO

Isaiah 49 in the TBIAOTANT

Isaiah 49 in the TBT1E

Isaiah 49 in the TBT1E2

Isaiah 49 in the TFTIP

Isaiah 49 in the TFTU

Isaiah 49 in the TGNTATF3T

Isaiah 49 in the THAI

Isaiah 49 in the TNFD

Isaiah 49 in the TNT

Isaiah 49 in the TNTIK

Isaiah 49 in the TNTIL

Isaiah 49 in the TNTIN

Isaiah 49 in the TNTIP

Isaiah 49 in the TNTIZ

Isaiah 49 in the TOMA

Isaiah 49 in the TTENT

Isaiah 49 in the UBG

Isaiah 49 in the UGV

Isaiah 49 in the UGV2

Isaiah 49 in the UGV3

Isaiah 49 in the VBL

Isaiah 49 in the VDCC

Isaiah 49 in the YALU

Isaiah 49 in the YAPE

Isaiah 49 in the YBVTP

Isaiah 49 in the ZBP