Isaiah 9 (BOKCV)

1 Hata hivyo, hapatakuwepo huzuni tena kwa wale waliokuwa katika dhiki. Wakati uliopita aliidhili nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, lakini katika siku zijazo ataiheshimu Galilaya ya Mataifa, karibu na njia ya bahari, kando ya Yordani: 2 Watu wanaotembea katika gizawameona nuru kuu,wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti,nuru imewazukia. 3 Umelikuza taifa,na kuzidisha furaha yao,wanafurahia mbele zako,kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno,kama watu wafurahivyowagawanyapo nyara. 4 Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani,umevunja nira iliyowalemea,ile gongo mabegani mwao nafimbo yake yeye aliyewaonea. 5 Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani,na kila vazi lililovingirishwa katika damuvitawekwa kwa ajili ya kuchomwa,vitakuwa kuni za kuwasha moto. 6 Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,tumepewa mtoto mwanaume,nao utawala utakuwa mabegani mwake.Naye ataitwaMshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu,Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 7 Kuongezeka kwa utawala wake na amanihakutakuwa na mwisho.Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudina juu ya ufalme wake,akiuthibitisha na kuutegemezakwa haki na kwa adili,tangu wakati huo na hata milele.Wivu wa BWANA Mwenye Nguvu Zoteutatimiza haya. 8 Bwana ametuma ujumbe dhidi ya Yakobo,utamwangukia Israeli. 9 Watu wote watajua hili:Efraimu na wakazi wa Samaria,wanaosema kwa kiburina majivuno ya mioyo, 10 “Matofali yameanguka chini,lakini tutajenga tena kwa mawe yaliyochongwa,mitini imeangushwa,lakini tutapanda mierezi badala yake.” 11 Lakini BWANA amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yaona kuchochea watesi wao. 12 Waashuru kutoka upande wa masharikina Wafilisti kutoka upande wa magharibiwameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali,mkono wake bado umeinuliwa juu. 13 Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga,wala hawajamtafuta BWANA Mwenye Nguvu Zote. 14 Kwa hiyo BWANA atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia,tawi la mtende na tete katika siku moja. 15 Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa,nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia. 16 Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha,nao wale wanaoongozwa wamepotoka. 17 Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana,wala hatawahurumia yatima na wajane,kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu,na kila kinywa kinanena upotovu. Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali,mkono wake bado umeinuliwa juu. 18 Hakika uovu huwaka kama moto;huteketeza michongoma na miiba,huwasha moto vichaka vya msituni,hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi. 19 Kwa hasira ya BWANA Mwenye Nguvu Zotenchi itachomwa kwa moto,nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto.Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 20 Upande wa kuume watakuwa wakitafuna,lakini bado wataona njaa;upande wa kushoto watakuwa wakila,lakini hawatashiba.Kila mmoja atajilisha kwa nyama ya mtoto wake mwenyewe: 21 Manase atamla Efraimu,naye Efraimu atamla Manase;nao pamoja watakuwa kinyume na Yuda. Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali,mkono wake bado umeinuliwa juu.

In Other Versions

Isaiah 9 in the ANGEFD

Isaiah 9 in the ANTPNG2D

Isaiah 9 in the AS21

Isaiah 9 in the BAGH

Isaiah 9 in the BBPNG

Isaiah 9 in the BBT1E

Isaiah 9 in the BDS

Isaiah 9 in the BEV

Isaiah 9 in the BHAD

Isaiah 9 in the BIB

Isaiah 9 in the BLPT

Isaiah 9 in the BNT

Isaiah 9 in the BNTABOOT

Isaiah 9 in the BNTLV

Isaiah 9 in the BOATCB

Isaiah 9 in the BOATCB2

Isaiah 9 in the BOBCV

Isaiah 9 in the BOCNT

Isaiah 9 in the BOECS

Isaiah 9 in the BOGWICC

Isaiah 9 in the BOHCB

Isaiah 9 in the BOHCV

Isaiah 9 in the BOHLNT

Isaiah 9 in the BOHNTLTAL

Isaiah 9 in the BOICB

Isaiah 9 in the BOILNTAP

Isaiah 9 in the BOITCV

Isaiah 9 in the BOKCV2

Isaiah 9 in the BOKHWOG

Isaiah 9 in the BOKSSV

Isaiah 9 in the BOLCB

Isaiah 9 in the BOLCB2

Isaiah 9 in the BOMCV

Isaiah 9 in the BONAV

Isaiah 9 in the BONCB

Isaiah 9 in the BONLT

Isaiah 9 in the BONUT2

Isaiah 9 in the BOPLNT

Isaiah 9 in the BOSCB

Isaiah 9 in the BOSNC

Isaiah 9 in the BOTLNT

Isaiah 9 in the BOVCB

Isaiah 9 in the BOYCB

Isaiah 9 in the BPBB

Isaiah 9 in the BPH

Isaiah 9 in the BSB

Isaiah 9 in the CCB

Isaiah 9 in the CUV

Isaiah 9 in the CUVS

Isaiah 9 in the DBT

Isaiah 9 in the DGDNT

Isaiah 9 in the DHNT

Isaiah 9 in the DNT

Isaiah 9 in the ELBE

Isaiah 9 in the EMTV

Isaiah 9 in the ESV

Isaiah 9 in the FBV

Isaiah 9 in the FEB

Isaiah 9 in the GGMNT

Isaiah 9 in the GNT

Isaiah 9 in the HARY

Isaiah 9 in the HNT

Isaiah 9 in the IRVA

Isaiah 9 in the IRVB

Isaiah 9 in the IRVG

Isaiah 9 in the IRVH

Isaiah 9 in the IRVK

Isaiah 9 in the IRVM

Isaiah 9 in the IRVM2

Isaiah 9 in the IRVO

Isaiah 9 in the IRVP

Isaiah 9 in the IRVT

Isaiah 9 in the IRVT2

Isaiah 9 in the IRVU

Isaiah 9 in the ISVN

Isaiah 9 in the JSNT

Isaiah 9 in the KAPI

Isaiah 9 in the KBT1ETNIK

Isaiah 9 in the KBV

Isaiah 9 in the KJV

Isaiah 9 in the KNFD

Isaiah 9 in the LBA

Isaiah 9 in the LBLA

Isaiah 9 in the LNT

Isaiah 9 in the LSV

Isaiah 9 in the MAAL

Isaiah 9 in the MBV

Isaiah 9 in the MBV2

Isaiah 9 in the MHNT

Isaiah 9 in the MKNFD

Isaiah 9 in the MNG

Isaiah 9 in the MNT

Isaiah 9 in the MNT2

Isaiah 9 in the MRS1T

Isaiah 9 in the NAA

Isaiah 9 in the NASB

Isaiah 9 in the NBLA

Isaiah 9 in the NBS

Isaiah 9 in the NBVTP

Isaiah 9 in the NET2

Isaiah 9 in the NIV11

Isaiah 9 in the NNT

Isaiah 9 in the NNT2

Isaiah 9 in the NNT3

Isaiah 9 in the PDDPT

Isaiah 9 in the PFNT

Isaiah 9 in the RMNT

Isaiah 9 in the SBIAS

Isaiah 9 in the SBIBS

Isaiah 9 in the SBIBS2

Isaiah 9 in the SBICS

Isaiah 9 in the SBIDS

Isaiah 9 in the SBIGS

Isaiah 9 in the SBIHS

Isaiah 9 in the SBIIS

Isaiah 9 in the SBIIS2

Isaiah 9 in the SBIIS3

Isaiah 9 in the SBIKS

Isaiah 9 in the SBIKS2

Isaiah 9 in the SBIMS

Isaiah 9 in the SBIOS

Isaiah 9 in the SBIPS

Isaiah 9 in the SBISS

Isaiah 9 in the SBITS

Isaiah 9 in the SBITS2

Isaiah 9 in the SBITS3

Isaiah 9 in the SBITS4

Isaiah 9 in the SBIUS

Isaiah 9 in the SBIVS

Isaiah 9 in the SBT

Isaiah 9 in the SBT1E

Isaiah 9 in the SCHL

Isaiah 9 in the SNT

Isaiah 9 in the SUSU

Isaiah 9 in the SUSU2

Isaiah 9 in the SYNO

Isaiah 9 in the TBIAOTANT

Isaiah 9 in the TBT1E

Isaiah 9 in the TBT1E2

Isaiah 9 in the TFTIP

Isaiah 9 in the TFTU

Isaiah 9 in the TGNTATF3T

Isaiah 9 in the THAI

Isaiah 9 in the TNFD

Isaiah 9 in the TNT

Isaiah 9 in the TNTIK

Isaiah 9 in the TNTIL

Isaiah 9 in the TNTIN

Isaiah 9 in the TNTIP

Isaiah 9 in the TNTIZ

Isaiah 9 in the TOMA

Isaiah 9 in the TTENT

Isaiah 9 in the UBG

Isaiah 9 in the UGV

Isaiah 9 in the UGV2

Isaiah 9 in the UGV3

Isaiah 9 in the VBL

Isaiah 9 in the VDCC

Isaiah 9 in the YALU

Isaiah 9 in the YAPE

Isaiah 9 in the YBVTP

Isaiah 9 in the ZBP