Numbers 24 (BOKCV)
1 Basi Balaamu alipoona imempendeza BWANA kubariki Israeli, hakuendelea tena kutafuta uchawi kama nyakati nyingine, bali aligeuza uso wake kuelekea nyikani. 2 Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mungu akawa juu yake, 3 naye akatoa ujumbe wake:“Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori,ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 4 ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu,ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi,ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: 5 “Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo,maskani yako, ee Israeli! 6 “Kama mabonde, yanaenea,kama bustani kando ya mto,kama miti ya udi iliyopandwa na BWANA,kama mierezi kando ya maji. 7 Maji yatatiririka kutoka ndoo zake;mbegu yake itakuwa na maji tele. “Mfalme wake atakuwa mkuu kuliko Mfalme Agagi;ufalme wake utatukuka. 8 “Mungu alimleta kutoka Misri;yeye ana nguvu kama nyati.Anayararua mataifa yaliyo adui zake,na kuvunja mifupa yao vipande vipande;huwachoma kwa mishale yake. 9 Hujikunyata na kuvizia kama simba,kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? “Abarikiwe kila akubarikiye,na alaaniwe kila akulaaniye!” 10 Ndipo hasira ya Balaki ikawaka dhidi ya Balaamu. Akapiga mikono yake pamoja, akamwambia Balaamu, “Nilikuita uje kuwalaani adui zangu, lakini umewabariki mara hizi tatu. 11 Sasa ondoka upesi uende nyumbani! Mimi nilisema nitakuzawadia vizuri sana, lakini BWANA amekuzuia usizawadiwe.” 12 Balaamu akamwambia Balaki, “Je, hukumbuki jinsi nilivyowaambia wajumbe uliowatuma kwangu? Niliwaambia hivi, 13 ‘Hata ikiwa Balaki angenipa jumba lake la kifalme likiwa limejazwa fedha na dhahabu, nisingeweza kufanya kitu chochote kwa matakwa yangu, kikiwa kizuri au kibaya, kwenda kinyume na agizo la BWANA, nami imenipasa kusema tu kile BWANA atakachosema’? 14 Sasa ninarudi kwa watu wangu. Lakini njoo, nikuonye kuhusu kile watu hawa watakachowatenda watu wako siku zijazo.” 15 Kisha Balaamu akatoa ujumbe wake:“Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori,ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 16 ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu,ambaye ana maarifa kutoka kwa Aliye Juu Sana,huona maono kutoka Mwenyezi,ambaye huanguka kifudifudina ambaye macho yake yamefunguka: 17 “Namwona yeye, lakini si sasa;namtazama yeye, lakini si karibu.Nyota itatoka kwa Yakobo,fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli.Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyusona mafuvu yote ya wana wa Shethi. 18 Edomu itamilikiwa,Seiri, adui wake, itamilikiwa,lakini Israeli atakuwa na nguvu. 19 Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobona kuangamiza walionusurika katika mji.” 20 Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake:“Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa,lakini mwisho wake itaangamizwa milele.” 21 Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake:“Makao yenu ni salama,kiota chenu kiko kwenye mwamba. 22 Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwaAshuru atakapowachukua mateka.” 23 Ndipo akatoa ujumbe wake:“Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili? 24 Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu,zitaitiisha Ashuru na Eberi,lakini nao pia wataangamizwa.” 25 Kisha Balaamu akainuka na kurudi nyumbani kwake, naye Balaki akashika njia yake.
In Other Versions
Numbers 24 in the ANGEFD
Numbers 24 in the ANTPNG2D
Numbers 24 in the AS21
Numbers 24 in the BAGH
Numbers 24 in the BBPNG
Numbers 24 in the BBT1E
Numbers 24 in the BDS
Numbers 24 in the BEV
Numbers 24 in the BHAD
Numbers 24 in the BIB
Numbers 24 in the BLPT
Numbers 24 in the BNT
Numbers 24 in the BNTABOOT
Numbers 24 in the BNTLV
Numbers 24 in the BOATCB
Numbers 24 in the BOATCB2
Numbers 24 in the BOBCV
Numbers 24 in the BOCNT
Numbers 24 in the BOECS
Numbers 24 in the BOGWICC
Numbers 24 in the BOHCB
Numbers 24 in the BOHCV
Numbers 24 in the BOHLNT
Numbers 24 in the BOHNTLTAL
Numbers 24 in the BOICB
Numbers 24 in the BOILNTAP
Numbers 24 in the BOITCV
Numbers 24 in the BOKCV2
Numbers 24 in the BOKHWOG
Numbers 24 in the BOKSSV
Numbers 24 in the BOLCB
Numbers 24 in the BOLCB2
Numbers 24 in the BOMCV
Numbers 24 in the BONAV
Numbers 24 in the BONCB
Numbers 24 in the BONLT
Numbers 24 in the BONUT2
Numbers 24 in the BOPLNT
Numbers 24 in the BOSCB
Numbers 24 in the BOSNC
Numbers 24 in the BOTLNT
Numbers 24 in the BOVCB
Numbers 24 in the BOYCB
Numbers 24 in the BPBB
Numbers 24 in the BPH
Numbers 24 in the BSB
Numbers 24 in the CCB
Numbers 24 in the CUV
Numbers 24 in the CUVS
Numbers 24 in the DBT
Numbers 24 in the DGDNT
Numbers 24 in the DHNT
Numbers 24 in the DNT
Numbers 24 in the ELBE
Numbers 24 in the EMTV
Numbers 24 in the ESV
Numbers 24 in the FBV
Numbers 24 in the FEB
Numbers 24 in the GGMNT
Numbers 24 in the GNT
Numbers 24 in the HARY
Numbers 24 in the HNT
Numbers 24 in the IRVA
Numbers 24 in the IRVB
Numbers 24 in the IRVG
Numbers 24 in the IRVH
Numbers 24 in the IRVK
Numbers 24 in the IRVM
Numbers 24 in the IRVM2
Numbers 24 in the IRVO
Numbers 24 in the IRVP
Numbers 24 in the IRVT
Numbers 24 in the IRVT2
Numbers 24 in the IRVU
Numbers 24 in the ISVN
Numbers 24 in the JSNT
Numbers 24 in the KAPI
Numbers 24 in the KBT1ETNIK
Numbers 24 in the KBV
Numbers 24 in the KJV
Numbers 24 in the KNFD
Numbers 24 in the LBA
Numbers 24 in the LBLA
Numbers 24 in the LNT
Numbers 24 in the LSV
Numbers 24 in the MAAL
Numbers 24 in the MBV
Numbers 24 in the MBV2
Numbers 24 in the MHNT
Numbers 24 in the MKNFD
Numbers 24 in the MNG
Numbers 24 in the MNT
Numbers 24 in the MNT2
Numbers 24 in the MRS1T
Numbers 24 in the NAA
Numbers 24 in the NASB
Numbers 24 in the NBLA
Numbers 24 in the NBS
Numbers 24 in the NBVTP
Numbers 24 in the NET2
Numbers 24 in the NIV11
Numbers 24 in the NNT
Numbers 24 in the NNT2
Numbers 24 in the NNT3
Numbers 24 in the PDDPT
Numbers 24 in the PFNT
Numbers 24 in the RMNT
Numbers 24 in the SBIAS
Numbers 24 in the SBIBS
Numbers 24 in the SBIBS2
Numbers 24 in the SBICS
Numbers 24 in the SBIDS
Numbers 24 in the SBIGS
Numbers 24 in the SBIHS
Numbers 24 in the SBIIS
Numbers 24 in the SBIIS2
Numbers 24 in the SBIIS3
Numbers 24 in the SBIKS
Numbers 24 in the SBIKS2
Numbers 24 in the SBIMS
Numbers 24 in the SBIOS
Numbers 24 in the SBIPS
Numbers 24 in the SBISS
Numbers 24 in the SBITS
Numbers 24 in the SBITS2
Numbers 24 in the SBITS3
Numbers 24 in the SBITS4
Numbers 24 in the SBIUS
Numbers 24 in the SBIVS
Numbers 24 in the SBT
Numbers 24 in the SBT1E
Numbers 24 in the SCHL
Numbers 24 in the SNT
Numbers 24 in the SUSU
Numbers 24 in the SUSU2
Numbers 24 in the SYNO
Numbers 24 in the TBIAOTANT
Numbers 24 in the TBT1E
Numbers 24 in the TBT1E2
Numbers 24 in the TFTIP
Numbers 24 in the TFTU
Numbers 24 in the TGNTATF3T
Numbers 24 in the THAI
Numbers 24 in the TNFD
Numbers 24 in the TNT
Numbers 24 in the TNTIK
Numbers 24 in the TNTIL
Numbers 24 in the TNTIN
Numbers 24 in the TNTIP
Numbers 24 in the TNTIZ
Numbers 24 in the TOMA
Numbers 24 in the TTENT
Numbers 24 in the UBG
Numbers 24 in the UGV
Numbers 24 in the UGV2
Numbers 24 in the UGV3
Numbers 24 in the VBL
Numbers 24 in the VDCC
Numbers 24 in the YALU
Numbers 24 in the YAPE
Numbers 24 in the YBVTP
Numbers 24 in the ZBP