Psalms 109 (BOKCV)
undefined Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. 1 Ee Mungu, ambaye ninakusifu,usiwe kimya, 2 kwa maana watu waovu na wadanganyifuwamefungua vinywa vyao dhidi yangu;wasema dhidi yangukwa ndimi za udanganyifu. 3 Wamenizunguka kwa maneno ya chuki,wananishambulia bila sababu. 4 Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki,lakini mimi ninawaombea. 5 Wananilipiza mabaya kwa mema,chuki badala ya urafiki wangu. 6 Agiza mtu mwovu ampinge,mshtaki asimame mkono wake wa kuume. 7 Anapohukumiwa, apatikane na hatia,nayo maombi yake yamhukumu. 8 Siku zake za kuishi na ziwe chache,nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine. 9 Watoto wake na waachwe yatima,mke wake na awe mjane. 10 Watoto wake na watangetange wakiomba,na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao. 11 Mtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo,matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni. 12 Asiwepo mtu yeyote wa kumtendea memawala wa kuwahurumia yatima wake. 13 Uzao wake na ukatiliwe mbali,majina yao yafutike katika kizazi kifuatacho. 14 Maovu ya baba zake na yakumbukwembele za BWANA,dhambi ya mama yakeisifutwe kamwe. 15 Dhambi zao na zibaki daima mbele za BWANA,ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani. 16 Kwa maana kamwe hakuweza kutenda wema,bali alimfukuza mnyonge na mhitaji,aliwafanyia jeuri wahitaji na waliovunjika moyo. 17 Alipenda kulaani,nayo laana ikampata;hakupenda kubariki,kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 18 Alivaa kulaani kama vazi lake,nayo laana ikamwingia mwilini mwake kama maji,kwenye mifupa yake kama mafuta. 19 Na iwe kama joho alilozungushiwa,kama mshipi aliofungiwa daima. 20 Haya na yawe malipo ya BWANA kwa washtaki wangu,kwa wale wanaoninenea mabaya. 21 Lakini wewe, Ee BWANA Mwenyezi,unitendee wema kwa ajili ya jina lako,uniokoe kwa wema wa pendo lako. 22 Maana mimi ni maskini na mhitaji,moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 23 Ninafifia kama kivuli cha jioni,nimerushwa-rushwa kama nzige. 24 Magoti yangu yamelegea kwa kufunga,mwili wangu umedhoofika na kukonda. 25 Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu,wanionapo, hutikisa vichwa vyao. 26 Ee BWANA, Mungu wangu nisaidie,niokoe sawasawa na upendo wako. 27 Watu na wafahamu kuwa ni mkono wako,kwamba wewe, Ee BWANA, umetenda hili. 28 Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki,watakaposhambulia wataaibishwa,lakini mtumishi wako atashangilia. 29 Washtaki wangu watavikwa fedheha,na kufunikwa na aibu kama joho. 30 Kwa kinywa changu nitamtukuza sana BWANA,katika umati mkubwa nitamsifu. 31 Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji,kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
In Other Versions
Psalms 109 in the ANGEFD
Psalms 109 in the ANTPNG2D
Psalms 109 in the AS21
Psalms 109 in the BAGH
Psalms 109 in the BBPNG
Psalms 109 in the BBT1E
Psalms 109 in the BDS
Psalms 109 in the BEV
Psalms 109 in the BHAD
Psalms 109 in the BIB
Psalms 109 in the BLPT
Psalms 109 in the BNT
Psalms 109 in the BNTABOOT
Psalms 109 in the BNTLV
Psalms 109 in the BOATCB
Psalms 109 in the BOATCB2
Psalms 109 in the BOBCV
Psalms 109 in the BOCNT
Psalms 109 in the BOECS
Psalms 109 in the BOGWICC
Psalms 109 in the BOHCB
Psalms 109 in the BOHCV
Psalms 109 in the BOHLNT
Psalms 109 in the BOHNTLTAL
Psalms 109 in the BOICB
Psalms 109 in the BOILNTAP
Psalms 109 in the BOITCV
Psalms 109 in the BOKCV2
Psalms 109 in the BOKHWOG
Psalms 109 in the BOKSSV
Psalms 109 in the BOLCB
Psalms 109 in the BOLCB2
Psalms 109 in the BOMCV
Psalms 109 in the BONAV
Psalms 109 in the BONCB
Psalms 109 in the BONLT
Psalms 109 in the BONUT2
Psalms 109 in the BOPLNT
Psalms 109 in the BOSCB
Psalms 109 in the BOSNC
Psalms 109 in the BOTLNT
Psalms 109 in the BOVCB
Psalms 109 in the BOYCB
Psalms 109 in the BPBB
Psalms 109 in the BPH
Psalms 109 in the BSB
Psalms 109 in the CCB
Psalms 109 in the CUV
Psalms 109 in the CUVS
Psalms 109 in the DBT
Psalms 109 in the DGDNT
Psalms 109 in the DHNT
Psalms 109 in the DNT
Psalms 109 in the ELBE
Psalms 109 in the EMTV
Psalms 109 in the ESV
Psalms 109 in the FBV
Psalms 109 in the FEB
Psalms 109 in the GGMNT
Psalms 109 in the GNT
Psalms 109 in the HARY
Psalms 109 in the HNT
Psalms 109 in the IRVA
Psalms 109 in the IRVB
Psalms 109 in the IRVG
Psalms 109 in the IRVH
Psalms 109 in the IRVK
Psalms 109 in the IRVM
Psalms 109 in the IRVM2
Psalms 109 in the IRVO
Psalms 109 in the IRVP
Psalms 109 in the IRVT
Psalms 109 in the IRVT2
Psalms 109 in the IRVU
Psalms 109 in the ISVN
Psalms 109 in the JSNT
Psalms 109 in the KAPI
Psalms 109 in the KBT1ETNIK
Psalms 109 in the KBV
Psalms 109 in the KJV
Psalms 109 in the KNFD
Psalms 109 in the LBA
Psalms 109 in the LBLA
Psalms 109 in the LNT
Psalms 109 in the LSV
Psalms 109 in the MAAL
Psalms 109 in the MBV
Psalms 109 in the MBV2
Psalms 109 in the MHNT
Psalms 109 in the MKNFD
Psalms 109 in the MNG
Psalms 109 in the MNT
Psalms 109 in the MNT2
Psalms 109 in the MRS1T
Psalms 109 in the NAA
Psalms 109 in the NASB
Psalms 109 in the NBLA
Psalms 109 in the NBS
Psalms 109 in the NBVTP
Psalms 109 in the NET2
Psalms 109 in the NIV11
Psalms 109 in the NNT
Psalms 109 in the NNT2
Psalms 109 in the NNT3
Psalms 109 in the PDDPT
Psalms 109 in the PFNT
Psalms 109 in the RMNT
Psalms 109 in the SBIAS
Psalms 109 in the SBIBS
Psalms 109 in the SBIBS2
Psalms 109 in the SBICS
Psalms 109 in the SBIDS
Psalms 109 in the SBIGS
Psalms 109 in the SBIHS
Psalms 109 in the SBIIS
Psalms 109 in the SBIIS2
Psalms 109 in the SBIIS3
Psalms 109 in the SBIKS
Psalms 109 in the SBIKS2
Psalms 109 in the SBIMS
Psalms 109 in the SBIOS
Psalms 109 in the SBIPS
Psalms 109 in the SBISS
Psalms 109 in the SBITS
Psalms 109 in the SBITS2
Psalms 109 in the SBITS3
Psalms 109 in the SBITS4
Psalms 109 in the SBIUS
Psalms 109 in the SBIVS
Psalms 109 in the SBT
Psalms 109 in the SBT1E
Psalms 109 in the SCHL
Psalms 109 in the SNT
Psalms 109 in the SUSU
Psalms 109 in the SUSU2
Psalms 109 in the SYNO
Psalms 109 in the TBIAOTANT
Psalms 109 in the TBT1E
Psalms 109 in the TBT1E2
Psalms 109 in the TFTIP
Psalms 109 in the TFTU
Psalms 109 in the TGNTATF3T
Psalms 109 in the THAI
Psalms 109 in the TNFD
Psalms 109 in the TNT
Psalms 109 in the TNTIK
Psalms 109 in the TNTIL
Psalms 109 in the TNTIN
Psalms 109 in the TNTIP
Psalms 109 in the TNTIZ
Psalms 109 in the TOMA
Psalms 109 in the TTENT
Psalms 109 in the UBG
Psalms 109 in the UGV
Psalms 109 in the UGV2
Psalms 109 in the UGV3
Psalms 109 in the VBL
Psalms 109 in the VDCC
Psalms 109 in the YALU
Psalms 109 in the YAPE
Psalms 109 in the YBVTP
Psalms 109 in the ZBP