Psalms 22 (BOKCV)
undefined Kwa mwimbishaji. Mtindo wa utenzi wa “Kulungu wa Alfajiri.” Zaburi ya Daudi. 1 Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa?Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 2 Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu,hata usiku, sinyamazi. 3 Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu;wewe ni sifa ya Israeli. 4 Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao,walikutumaini nawe ukawaokoa. 5 Walikulilia wewe na ukawaokoa,walikutegemea wewe nao hawakuaibika. 6 Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu,wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 7 Wote wanionao hunidhihaki,hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 8 Husema, “Anamtegemea BWANA,basi BWANA na amwokoe.Amkomboe basi, kwa maanaanapendezwa naye.” 9 Hata hivyo ulinitoa tumboni,ukanifanya nikutegemee,hata nilipokuwa ninanyonyamatiti ya mama yangu. 10 Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa,toka tumboni mwa mama yanguumekuwa Mungu wangu. 11 Usiwe mbali nami,kwa maana shida iko karibuna hakuna wa kunisaidia. 12 Mafahali wengi wamenizunguka,mafahali wa Bashani wenye nguvuwamenizingira. 13 Simba wangurumao wanaorarua mawindoyao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 14 Nimemiminwa kama maji,mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake.Moyo wangu umegeuka kuwa nta,umeyeyuka ndani yangu. 15 Nguvu zangu zimekauka kama kigae,ulimi wangu umegandamanana kaakaa la kinywa changu,kwa sababu umenilazakatika mavumbi ya kifo. 16 Mbwa wamenizunguka,kundi la watu waovu limenizingira,wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 17 Naweza kuhesabu mifupa yangu yote,watu wananikodolea macho na kunisimanga. 18 Wanagawana nguo zangu wao kwa wao,na vazi langu wanalipigia kura. 19 Lakini wewe, Ee BWANA,usiwe mbali.Ee Nguvu yangu,uje haraka unisaidie. 20 Okoa maisha yangu na upanga,uhai wangu wa thamani kutoka nguvu za mbwa. 21 Niokoe kutoka kinywani mwa simba,niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu. 22 Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu,katika kusanyiko nitakusifu wewe. 23 Ninyi ambao mnamcha BWANA, msifuni!Ninyi nyote wazao wote wa Yakobo, mheshimuni yeye!Mcheni yeye, ninyi wazao wote wa Israeli! 24 Kwa maana hakupuuza wala kudharaumateso ya aliyeonewa;hakumficha uso wakebali alisikiliza kilio chake ili amsaidie. 25 Kwako wewe hutoka kiini cha sifa zangu katika kusanyiko kubwa,nitatimiza nadhiri zangu mbele ya wale wakuchao wewe. 26 Maskini watakula na kushiba,wale wamtafutao BWANA watamsifu:mioyo yenu na iishi milele! 27 Miisho yote ya dunia itakumbukana kumgeukia BWANA,nazo jamaa zote za mataifawatasujudu mbele zake, 28 kwa maana ufalme ni wa BWANAnaye hutawala juu ya mataifa. 29 Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu.Wote waendao mavumbiniwatapiga magoti mbele yake,wote ambao hawawezikudumisha uhai wao. 30 Wazao wa baadaye watamtumikia yeye;vizazi vijavyo vitajulishwa habari za Bwana. 31 Watatangaza haki yake kwa watuambao hawajazaliwa bado,kwa maana yeye ametenda hili.
In Other Versions
Psalms 22 in the ANGEFD
Psalms 22 in the ANTPNG2D
Psalms 22 in the AS21
Psalms 22 in the BAGH
Psalms 22 in the BBPNG
Psalms 22 in the BBT1E
Psalms 22 in the BDS
Psalms 22 in the BEV
Psalms 22 in the BHAD
Psalms 22 in the BIB
Psalms 22 in the BLPT
Psalms 22 in the BNT
Psalms 22 in the BNTABOOT
Psalms 22 in the BNTLV
Psalms 22 in the BOATCB
Psalms 22 in the BOATCB2
Psalms 22 in the BOBCV
Psalms 22 in the BOCNT
Psalms 22 in the BOECS
Psalms 22 in the BOGWICC
Psalms 22 in the BOHCB
Psalms 22 in the BOHCV
Psalms 22 in the BOHLNT
Psalms 22 in the BOHNTLTAL
Psalms 22 in the BOICB
Psalms 22 in the BOILNTAP
Psalms 22 in the BOITCV
Psalms 22 in the BOKCV2
Psalms 22 in the BOKHWOG
Psalms 22 in the BOKSSV
Psalms 22 in the BOLCB
Psalms 22 in the BOLCB2
Psalms 22 in the BOMCV
Psalms 22 in the BONAV
Psalms 22 in the BONCB
Psalms 22 in the BONLT
Psalms 22 in the BONUT2
Psalms 22 in the BOPLNT
Psalms 22 in the BOSCB
Psalms 22 in the BOSNC
Psalms 22 in the BOTLNT
Psalms 22 in the BOVCB
Psalms 22 in the BOYCB
Psalms 22 in the BPBB
Psalms 22 in the BPH
Psalms 22 in the BSB
Psalms 22 in the CCB
Psalms 22 in the CUV
Psalms 22 in the CUVS
Psalms 22 in the DBT
Psalms 22 in the DGDNT
Psalms 22 in the DHNT
Psalms 22 in the DNT
Psalms 22 in the ELBE
Psalms 22 in the EMTV
Psalms 22 in the ESV
Psalms 22 in the FBV
Psalms 22 in the FEB
Psalms 22 in the GGMNT
Psalms 22 in the GNT
Psalms 22 in the HARY
Psalms 22 in the HNT
Psalms 22 in the IRVA
Psalms 22 in the IRVB
Psalms 22 in the IRVG
Psalms 22 in the IRVH
Psalms 22 in the IRVK
Psalms 22 in the IRVM
Psalms 22 in the IRVM2
Psalms 22 in the IRVO
Psalms 22 in the IRVP
Psalms 22 in the IRVT
Psalms 22 in the IRVT2
Psalms 22 in the IRVU
Psalms 22 in the ISVN
Psalms 22 in the JSNT
Psalms 22 in the KAPI
Psalms 22 in the KBT1ETNIK
Psalms 22 in the KBV
Psalms 22 in the KJV
Psalms 22 in the KNFD
Psalms 22 in the LBA
Psalms 22 in the LBLA
Psalms 22 in the LNT
Psalms 22 in the LSV
Psalms 22 in the MAAL
Psalms 22 in the MBV
Psalms 22 in the MBV2
Psalms 22 in the MHNT
Psalms 22 in the MKNFD
Psalms 22 in the MNG
Psalms 22 in the MNT
Psalms 22 in the MNT2
Psalms 22 in the MRS1T
Psalms 22 in the NAA
Psalms 22 in the NASB
Psalms 22 in the NBLA
Psalms 22 in the NBS
Psalms 22 in the NBVTP
Psalms 22 in the NET2
Psalms 22 in the NIV11
Psalms 22 in the NNT
Psalms 22 in the NNT2
Psalms 22 in the NNT3
Psalms 22 in the PDDPT
Psalms 22 in the PFNT
Psalms 22 in the RMNT
Psalms 22 in the SBIAS
Psalms 22 in the SBIBS
Psalms 22 in the SBIBS2
Psalms 22 in the SBICS
Psalms 22 in the SBIDS
Psalms 22 in the SBIGS
Psalms 22 in the SBIHS
Psalms 22 in the SBIIS
Psalms 22 in the SBIIS2
Psalms 22 in the SBIIS3
Psalms 22 in the SBIKS
Psalms 22 in the SBIKS2
Psalms 22 in the SBIMS
Psalms 22 in the SBIOS
Psalms 22 in the SBIPS
Psalms 22 in the SBISS
Psalms 22 in the SBITS
Psalms 22 in the SBITS2
Psalms 22 in the SBITS3
Psalms 22 in the SBITS4
Psalms 22 in the SBIUS
Psalms 22 in the SBIVS
Psalms 22 in the SBT
Psalms 22 in the SBT1E
Psalms 22 in the SCHL
Psalms 22 in the SNT
Psalms 22 in the SUSU
Psalms 22 in the SUSU2
Psalms 22 in the SYNO
Psalms 22 in the TBIAOTANT
Psalms 22 in the TBT1E
Psalms 22 in the TBT1E2
Psalms 22 in the TFTIP
Psalms 22 in the TFTU
Psalms 22 in the TGNTATF3T
Psalms 22 in the THAI
Psalms 22 in the TNFD
Psalms 22 in the TNT
Psalms 22 in the TNTIK
Psalms 22 in the TNTIL
Psalms 22 in the TNTIN
Psalms 22 in the TNTIP
Psalms 22 in the TNTIZ
Psalms 22 in the TOMA
Psalms 22 in the TTENT
Psalms 22 in the UBG
Psalms 22 in the UGV
Psalms 22 in the UGV2
Psalms 22 in the UGV3
Psalms 22 in the VBL
Psalms 22 in the VDCC
Psalms 22 in the YALU
Psalms 22 in the YAPE
Psalms 22 in the YBVTP
Psalms 22 in the ZBP