1 Peter 4 (BOKCV)
1 Kwa hiyo, kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni nia iyo hiyo kwa maana mtu aliyekwisha kuteswa katika mwili ameachana na dhambi. 2 Kwa hivyo, haishi maisha yake yaliyobaki ya kuishi hapa duniani kwa tamaa mbaya za wanadamu, bali anaishi kwa mapenzi ya Mungu. 3 Maana wakati uliopita mmekwisha kutumia muda wa kutosha katika maisha yenu mkifanya yale ambayo wapagani hupenda kutenda: wakiishi katika uasherati, tamaa mbaya, ulevi, karamu za ulafi, vileo, ngoma mbaya, na ibada chukizo za sanamu. 4 Wao hushangaa kwamba ninyi hamjiingizi pamoja nao katika huo wingi wa maisha ya ufisadi, nao huwatukana ninyi. 5 Lakini itawapasa wao kutoa hesabu mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. 6 Kwa kuwa hii ndiyo sababu Injili ilihubiriwa hata kwa wale waliokufa, ili wahukumiwe sawasawa na wanadamu wengine katika mwili, lakini katika roho waishi kulingana na Mungu aishivyo. 7 Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba. 8 Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi. 9 Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manungʼuniko. 10 Kila mmoja na atumie kipawa chochote alichopewa kuwahudumia wengine, kama mawakili waaminifu wa neema mbalimbali za Mungu. 11 Yeyote asemaye hana budi kusema kama mtu asemaye maneno ya Mungu mwenyewe. Yeyote ahudumuye hana budi kuhudumu kwa nguvu zile anazopewa na Mungu, ili Mungu apate kutukuzwa katika mambo yote kwa njia ya Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye milele na milele. Amen. 12 Wapenzi, msione ajabu kwa yale mateso yanayotukia miongoni mwenu, kana kwamba ni kitu kigeni kinachowapata. 13 Bali furahini kuwa mnashiriki katika mateso ya Kristo, ili mpate kufurahi zaidi wakati utukufu wake utakapofunuliwa. 14 Kama mkitukanwa kwa ajili ya jina la Kristo, mmebarikiwa, kwa sababu Roho wa utukufu na wa Mungu anakaa juu yenu. 15 Lakini asiwepo mtu yeyote miongoni mwenu anayeteswa kwa kuwa ni muuaji, au mwizi, au mhalifu wa aina yoyote, au anayejishughulisha na mambo ya watu wengine. 16 Lakini kama ukiteseka kwa kuwa Mkristo, usihesabu jambo hilo kuwa ni aibu, bali mtukuze Mungu kwa sababu umeitwa kwa jina hilo. 17 Kwa maana wakati umewadia wa hukumu kuanzia katika nyumba ya Mungu. Basi kama ikianzia kwetu sisi, mwisho wa hao wasiotii Injili ya Mungu utakuwaje? 18 Basi,“Ikiwa ni vigumu kwa mwenye haki kuokoka,itakuwaje kwa mtu asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?” 19 Kwa hiyo, wale wanaoteswa kulingana na mapenzi ya Mungu, wajikabidhi kwa Muumba wao aliye mwaminifu, huku wakizidi kutenda mema.
In Other Versions
1 Peter 4 in the ANGEFD
1 Peter 4 in the ANTPNG2D
1 Peter 4 in the AS21
1 Peter 4 in the BAGH
1 Peter 4 in the BBPNG
1 Peter 4 in the BBT1E
1 Peter 4 in the BDS
1 Peter 4 in the BEV
1 Peter 4 in the BHAD
1 Peter 4 in the BIB
1 Peter 4 in the BLPT
1 Peter 4 in the BNT
1 Peter 4 in the BNTABOOT
1 Peter 4 in the BNTLV
1 Peter 4 in the BOATCB
1 Peter 4 in the BOATCB2
1 Peter 4 in the BOBCV
1 Peter 4 in the BOCNT
1 Peter 4 in the BOECS
1 Peter 4 in the BOGWICC
1 Peter 4 in the BOHCB
1 Peter 4 in the BOHCV
1 Peter 4 in the BOHLNT
1 Peter 4 in the BOHNTLTAL
1 Peter 4 in the BOICB
1 Peter 4 in the BOILNTAP
1 Peter 4 in the BOITCV
1 Peter 4 in the BOKCV2
1 Peter 4 in the BOKHWOG
1 Peter 4 in the BOKSSV
1 Peter 4 in the BOLCB
1 Peter 4 in the BOLCB2
1 Peter 4 in the BOMCV
1 Peter 4 in the BONAV
1 Peter 4 in the BONCB
1 Peter 4 in the BONLT
1 Peter 4 in the BONUT2
1 Peter 4 in the BOPLNT
1 Peter 4 in the BOSCB
1 Peter 4 in the BOSNC
1 Peter 4 in the BOTLNT
1 Peter 4 in the BOVCB
1 Peter 4 in the BOYCB
1 Peter 4 in the BPBB
1 Peter 4 in the BPH
1 Peter 4 in the BSB
1 Peter 4 in the CCB
1 Peter 4 in the CUV
1 Peter 4 in the CUVS
1 Peter 4 in the DBT
1 Peter 4 in the DGDNT
1 Peter 4 in the DHNT
1 Peter 4 in the DNT
1 Peter 4 in the ELBE
1 Peter 4 in the EMTV
1 Peter 4 in the ESV
1 Peter 4 in the FBV
1 Peter 4 in the FEB
1 Peter 4 in the GGMNT
1 Peter 4 in the GNT
1 Peter 4 in the HARY
1 Peter 4 in the HNT
1 Peter 4 in the IRVA
1 Peter 4 in the IRVB
1 Peter 4 in the IRVG
1 Peter 4 in the IRVH
1 Peter 4 in the IRVK
1 Peter 4 in the IRVM
1 Peter 4 in the IRVM2
1 Peter 4 in the IRVO
1 Peter 4 in the IRVP
1 Peter 4 in the IRVT
1 Peter 4 in the IRVT2
1 Peter 4 in the IRVU
1 Peter 4 in the ISVN
1 Peter 4 in the JSNT
1 Peter 4 in the KAPI
1 Peter 4 in the KBT1ETNIK
1 Peter 4 in the KBV
1 Peter 4 in the KJV
1 Peter 4 in the KNFD
1 Peter 4 in the LBA
1 Peter 4 in the LBLA
1 Peter 4 in the LNT
1 Peter 4 in the LSV
1 Peter 4 in the MAAL
1 Peter 4 in the MBV
1 Peter 4 in the MBV2
1 Peter 4 in the MHNT
1 Peter 4 in the MKNFD
1 Peter 4 in the MNG
1 Peter 4 in the MNT
1 Peter 4 in the MNT2
1 Peter 4 in the MRS1T
1 Peter 4 in the NAA
1 Peter 4 in the NASB
1 Peter 4 in the NBLA
1 Peter 4 in the NBS
1 Peter 4 in the NBVTP
1 Peter 4 in the NET2
1 Peter 4 in the NIV11
1 Peter 4 in the NNT
1 Peter 4 in the NNT2
1 Peter 4 in the NNT3
1 Peter 4 in the PDDPT
1 Peter 4 in the PFNT
1 Peter 4 in the RMNT
1 Peter 4 in the SBIAS
1 Peter 4 in the SBIBS
1 Peter 4 in the SBIBS2
1 Peter 4 in the SBICS
1 Peter 4 in the SBIDS
1 Peter 4 in the SBIGS
1 Peter 4 in the SBIHS
1 Peter 4 in the SBIIS
1 Peter 4 in the SBIIS2
1 Peter 4 in the SBIIS3
1 Peter 4 in the SBIKS
1 Peter 4 in the SBIKS2
1 Peter 4 in the SBIMS
1 Peter 4 in the SBIOS
1 Peter 4 in the SBIPS
1 Peter 4 in the SBISS
1 Peter 4 in the SBITS
1 Peter 4 in the SBITS2
1 Peter 4 in the SBITS3
1 Peter 4 in the SBITS4
1 Peter 4 in the SBIUS
1 Peter 4 in the SBIVS
1 Peter 4 in the SBT
1 Peter 4 in the SBT1E
1 Peter 4 in the SCHL
1 Peter 4 in the SNT
1 Peter 4 in the SUSU
1 Peter 4 in the SUSU2
1 Peter 4 in the SYNO
1 Peter 4 in the TBIAOTANT
1 Peter 4 in the TBT1E
1 Peter 4 in the TBT1E2
1 Peter 4 in the TFTIP
1 Peter 4 in the TFTU
1 Peter 4 in the TGNTATF3T
1 Peter 4 in the THAI
1 Peter 4 in the TNFD
1 Peter 4 in the TNT
1 Peter 4 in the TNTIK
1 Peter 4 in the TNTIL
1 Peter 4 in the TNTIN
1 Peter 4 in the TNTIP
1 Peter 4 in the TNTIZ
1 Peter 4 in the TOMA
1 Peter 4 in the TTENT
1 Peter 4 in the UBG
1 Peter 4 in the UGV
1 Peter 4 in the UGV2
1 Peter 4 in the UGV3
1 Peter 4 in the VBL
1 Peter 4 in the VDCC
1 Peter 4 in the YALU
1 Peter 4 in the YAPE
1 Peter 4 in the YBVTP
1 Peter 4 in the ZBP